Sema wewe ndo huwez kuelewa kwa sababu fahamu yako ni ndogo sana, Kisha huwez kuelewa kwa sababu ya hii kanuni; chukua itakusaidia قاعدة: لا تعرفه فليس لك. Pia na sisi hatujakuelewa uliposema "AKUFUNDISHA". Inaonyesha ww pia ukifundisha maneno unaya pindisha sana.😂
Utadhani kuna jambo zito mtu hawezi kulifahamu ispokua ni yeye tu ndo analolifahamu na ndo mwenye hati miliki Acha kupoteza muda kwa maneno mengi yasiyokamilika mara umesema hili hujamaliza ufafanuzi wa hili tayari ushashika lile hawaelewi chochote hadhira yako hao ni waumini sio wanafunzi
Assalaam a'alaykum Warahmatullah Wabarakat. Ndugu zanguni katika imani kuna mipaka tunapaswa kuizingatia au kuichunga. Tuzingatie sana ndimi zetu kupitia vidole viandikavyo. Mtu huzungumza kwa daraja yake ya elimu. Hilo ni darasa maalum ndani ya msikiti, sio mpaka wawe vyuoni ndipo tufahamu wapo darasani. Pia ieleweke hizi mada zinaingia ulimwenguni hivyo anapimwa mizani yake ya elimu katika anachokielezea. Hapo pia ni masjid Mtoro, wapo maalim ambao ni waumini tu wa msikiti(zingatia pia aina ya msikiti). Allah S.W ndio mjuzi zaidi.
Mashallah somo kubwa lipo hapa mwenye mazingatio ataelewa tuu ila wenye mihemko kwao nimtihani
Yaan mawahabi. Ni wapuuzi sana, kila wakion shekh ambae hawahusu wanatoa maneno ya ajabu, lkn haya wahusu lakn bado wanafatilia, WASHENZI NYIE
Wafundishe shekhe wangu hawo
❤
Bags to saudia
Ukiwa na haraka hauwezi kumfaham ila ukitulia nae ana eleweka sana kama Mimi na muelewa wenye elimukubwa huwa wa fundisha ki elimu elim
MASHA ALLAH 💚💚💚
Allah akupe umri mrefu wenye afya uzidi kutuelimisha
Hahaha haha ha sheikh abbas bhn mmmmh!!!!!! Rudiaa
Msipende sana kutukana masheikh kama haujaelewa anachozungumza jizuie
Musiwatukanea mashek kuweni na hishimaa huyu Ana wanafunzii hayaa na ww kafundishee tuateni ubinaf
Huyu akufundisha huwezi kuelewa anazunguuka sana
Sema wewe ndo huwez kuelewa kwa sababu fahamu yako ni ndogo sana,
Kisha huwez kuelewa kwa sababu ya hii kanuni; chukua itakusaidia
قاعدة: لا تعرفه فليس لك.
Pia na sisi hatujakuelewa uliposema "AKUFUNDISHA". Inaonyesha ww pia ukifundisha maneno unaya pindisha sana.😂
HUO NI UFAHAMU WAKO SASA.
Oooh mola wangu nakuomba unisamehe kwa nilipo kisea yarabi na ywasamehe viongozi wetu kwani sisi sio wakamilifu mola ulio tukuka
Amin
Aammiyn
Ukisikia shekh JINGA ndiyo wewe huna lolote ujualo JINGA LA WAJINGA SIKU NYINGINE KABLA HUJABWABWAJA DOMO LAKO TAFUTA VIELELEZO
Mjinga ni wewe
@@mhusinigau3231 , mjianga shekh wako na wewe unayelishwa Matango pori
Astaghfirullaah!
Ndugu yangu 6:06 Akhlaq au tabia ni kitu muhimu sana katka maisha hasa ukishakuwa wewe ni muislamu
Mwenyezi Mungu Atuhidi kwa sote
Subhanallah hv unawezaje kumuita alimu mjinga ww unaelimu ya utume?
Kama hayamuhusu kwanin afatilie, s akae na USALAFI UKOKO WAKE, WASHENZI SANA HAWA@@JAHAZIYAH-TV
Utadhani kuna jambo zito mtu hawezi kulifahamu ispokua ni yeye tu ndo analolifahamu na ndo mwenye hati miliki
Acha kupoteza muda kwa maneno mengi yasiyokamilika mara umesema hili hujamaliza ufafanuzi wa hili tayari ushashika lile hawaelewi chochote hadhira yako hao ni waumini sio wanafunzi
Ndo kazi yao hiyo masufi
@@Hamis-ks1syhamfahamu NYIE MAWAHABI. Sisi Sufi tushafahamu
Assalaam a'alaykum Warahmatullah Wabarakat. Ndugu zanguni katika imani kuna mipaka tunapaswa kuizingatia au kuichunga. Tuzingatie sana ndimi zetu kupitia vidole viandikavyo. Mtu huzungumza kwa daraja yake ya elimu. Hilo ni darasa maalum ndani ya msikiti, sio mpaka wawe vyuoni ndipo tufahamu wapo darasani. Pia ieleweke hizi mada zinaingia ulimwenguni hivyo anapimwa mizani yake ya elimu katika anachokielezea. Hapo pia ni masjid Mtoro, wapo maalim ambao ni waumini tu wa msikiti(zingatia pia aina ya msikiti). Allah S.W ndio mjuzi zaidi.