MWANAMITINDO BELINA MGENI ALIYEMTIBU NGOZI LUIZA MBUTU AFUNGUKA - ALIVYOSHINDA TUZO - "NILITETEMEKA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 18

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 дней назад

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 дней назад +3

    Maashaallah Allah akulipe kilalaheri. Pia badilika ujiifazi kimafazi na ufanyeiibada kwani usiposwali hata ufanyejema gani.pepo ni. Uingii. Allah atudumishe kwenyeibada

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 дней назад +1

      Alokudanganya kuswali ndo kuingia peponi nani ???unaweza usiswali ukaingia peponi upo wewe kibwaya nikuambie na wewe unaye swali sala Tano na pepo usiione kabisa Yani unaingia motoni upo wewe pepo ni matendo Yako yawe mema Tena nyie mnao jificha kwa kuswali wengi mnafilana wengi wao kutwa kusema watu wengi kutwa roho mbaya chuki hamtowi sadaka Wala kusaidia mayatima wewe kelele kabisa jujifanya waukumu watu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 дней назад

      @monirangerera7155 imemekuumae. Mm nimemkumbusha nduguyetu nasi ww. Kama kuswali hakuna umuhim. Mbona wanajenga misikiti ?naanajenga iliiweje? Kwanza ww utakua kafili. Yetu hayakuhusu,,,,,lakum mdiinukum. Waliyadiin👈 naludia. Asieswali aingii peponi hata uwtoe.swadaka hata uweje

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 8 дней назад

      ​@@monirangerera7155 Hembu tukome wewe kafiri mmoja nyoooh! kama nyinyi dini yenu hamkatazani mabaya na hamuhusiani mema nini nyinyi sisi utukome kabisa.
      Na kama huko kuendeana kinyume na maumbile nyinyi mpaka makanisani kwenu mmeruhusiwa ndoa za jinsia moja Sasa sisi ulisikia tumeruhusiwa na nani. Nyoooooh

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 дней назад

      Mhmm basi kulewa ndio unaingia peponi haya kalewe​@monirangerera7155

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 8 дней назад

    Dini kubadilisha! From where to where?

  • @marthalusega8948
    @marthalusega8948 7 дней назад

    Naomba namba yako nikuulize kuhusu products zako.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 дней назад

    Tupe namba ako tunahitaji hizo products zako

  • @eliasibuzacha2978
    @eliasibuzacha2978 8 дней назад +1

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 8 дней назад +2

    Namimi naomba tib a yako nataka namb a yako

  • @LemiJackson-zu6hs
    @LemiJackson-zu6hs 8 дней назад

    Tunaomba number tunahitaji vipodozi

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 8 дней назад

    Please tupe namba ya huyu dada ili tuuze products zake

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 8 дней назад

    Mimi nikishaonaga mtu amevaa hizo type za pete najiuliza maswali mengi sana, hasa akiwa mwanamke

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 8 дней назад

    Muda wote anasema kula sikujua kumbe ni kura!