I totally agreed with Charles Hillaly! Kukaa Ulaya kunachosha sana ukiachilia mbali utafutaji lakini always unajikuta kama na upweke maana Socialism ni kitu cha Familia au Watu sehemu unayosoma ama kufanya kazi! Ila haiwezi kufanana na jinsi ambavyo tunapokuwa nyumbani Tz! Nimeipenda sana hii Interview 🤛🏽
Ur right hata kitu kimenifanya niangalie RUclips now Ni upweke yn home will always be the best place Tobe ... M coming home good n this time 4 good yooh I've learned a lot being far from home 🙏
Mahojiano safi. Tusaidiane. Mimi sio daktari wala msaikologia; japo hayo ya saikolojia nimekutana nayo kwenye fani ya ualimu na masomo ya juu ya mambo ya mawasiliano na vyombo vyake. Kati ya viungo vyetu vya mwili, yaani, ubongo na moyo, ni kiungo gani kinalemewa kiasi cha kuleta mavune [stress]? Mimi nadhani ni ubongo - injini inayodhibiti [control] yote mwilini. Madaktari wanaweza kupandikiza moyo au kuweka moyo wa chuma [mechanical] au wa tumbili [kama walivyofanya huko Hospitali ya Loma Linda, California, Marekani]. Lakini ni vigumu kufanya hivyo kwa ubongo...ingawa mabingwa wa "Artificial Intelligence - AI" wanajaribu-jaribu. Moyo ni pampu tu ya kusukuma damu na virutubisho vingine mwilini. Wewe unafikirije?
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
You prolly dont give a shit but does someone know of a trick to log back into an instagram account?? I somehow lost the password. I would appreciate any assistance you can offer me!
Mimi nilikua namsikiza kipindi fulani ivi radio one kila jumapili nimesahau kile kipindi ila nahisi zilipendwa au charanga ila nilikua napenda kusikia sauti yake akitangaza
@@asteriambwei3349 Udini ni kumuombea Mtu aje kwa Dini yangu!Mungu alimpangia hiyo una hakika?Mtu asichoweza kubadili ni Kabila sio Dini.Uoni watu wanavyobadili Dini. Hakuna kumlazimisha mtu ila kumuombea ili si makosa.
Mahojiano safi sana, kwa hapa Tanzania taarifa ya habari ninayoipenda ni ya Azam na ni kwasababu ya Charles na Ivona.
Chukueni madini mzee ana uzoefu
Mungu azidi kukuweka Baba Mr. Charles 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 asee vijana wengi tunakupenda na tunawiwa kuiga kutoka kwako...Be blessed!
I totally agreed with Charles Hillaly! Kukaa Ulaya kunachosha sana ukiachilia mbali utafutaji lakini always unajikuta kama na upweke maana Socialism ni kitu cha Familia au Watu sehemu unayosoma ama kufanya kazi! Ila haiwezi kufanana na jinsi ambavyo tunapokuwa nyumbani Tz! Nimeipenda sana hii Interview 🤛🏽
Ur right hata kitu kimenifanya niangalie RUclips now Ni upweke yn home will always be the best place Tobe ... M coming home good n this time 4 good yooh I've learned a lot being far from home 🙏
Usizikaribishe stress kwenye maisha yako. Cheka. Songa Mbele..
Neno kubwa sanaaaaaaa hili nimelibeba Juma Juma 🤗🤗
Legend..
Yaan naangalia interview meno nje muda woote
Asante sana dada Salama kwa ajili ya hili
Charles ni level nyingine
Hakika ni kweli....yan kuna watu wanahisi maisha ya nje ndio kila kitu ....ila home is the best place ever
Nakupenda bure baba Charles hillary ubarikiwe😘😘😘
Uko vizuri mr Charles nakukubali sana
Mahojiano safi.
Tusaidiane. Mimi sio daktari wala msaikologia; japo hayo ya saikolojia nimekutana nayo kwenye fani ya ualimu na masomo ya juu ya mambo ya mawasiliano na vyombo vyake.
Kati ya viungo vyetu vya mwili, yaani, ubongo na moyo, ni kiungo gani kinalemewa kiasi cha kuleta mavune [stress]?
Mimi nadhani ni ubongo - injini inayodhibiti [control] yote mwilini. Madaktari wanaweza kupandikiza moyo au kuweka moyo wa chuma [mechanical] au wa tumbili [kama walivyofanya huko Hospitali ya Loma Linda, California, Marekani]. Lakini ni vigumu kufanya hivyo kwa ubongo...ingawa mabingwa wa "Artificial Intelligence - AI" wanajaribu-jaribu.
Moyo ni pampu tu ya kusukuma damu na virutubisho vingine mwilini.
Wewe unafikirije?
Salama yahstonetown...ndiyo mahala penyeweeee
Mashallah, nampenda sana uyu Baba, anamadini ya maneno.
Nilikuwa Napend sana Akitangaza mpira akitaja Majina Ya Drogba,T Henry,Bosingwa,Felaini.,Esien
Oyo Ndo Charles Hillary Wajina Wangu Ww Ndo Role Model Wangu Mzee Wangu Ipo Siku Nitatamani Nionane Na Ww ❤️❤️❤️❤️
My self , I like so much Charles akitangaza habari❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Fantastic interview,, big up Salama.
Mashaalah huyu mzee tangu nakuwa nilikuwa nampenda akitangaza habari na michezo enzi ya RTD
Nimefurahi sana mzee atatuachia azina kuu ya tasinia ya habari.
Nice Interview Salama unauliza maswali mazuri sana👏👏👏
Safi sn salama nimependa sn big up pia kwa charles hilali
Shabiki Pekee Wa Arsenal Ambaye Mnene😀😁😂 Sema Safi Sana Chalz Hilary
What A voice from charles 🙌🙌🙌
Salama nampenda, Charles nampenda, basi hapa kazi ni moja tu, kuenjoy.
Nimefurahi sana Leo kipindi kilikuwa kizuri sana una chaguo zuri la wageni wanatufanya tuondoee msongo wa mawazo love u all
Hongera kwa kuwaachia vijana fursa.
Mtu ya kazi Charles
I love you charles hilal umenifanya niishi kwa kutabasam kuanzia leo kesho ❤
Nakupenda sana chaas Hilary your the great!.
Wise man
Salama mwambie Charles awe ana tangaza mara moja moja.
Ee bhana Mzee Hillary I love you so much 😊
Asante salama leo imenifurahisha saaana
Jiskilize..Jiangalie Tabasamu! Wazo La Maisha Asante kwa Kipindi kitamu
I hope siku moja sis' Salama atafika malevel ya kina Oprah
Uyu mze anasauti moja amazing sana
Imependa jinsi inavyo ongea kiswahili tuipende lugha yetu
Ni kweli anaongea kiswahili fasaha kabisa
Daaah hata mm nmefurah sana ki kwel nimefunza mengi kwenye maisha haya tunaishi
Salama asante saana maana huwa napenda utangazaji wa charles na ivona saana
Interview ni mzuri hamuropoki kwenye mazungumzo yenu
Ohh kumbe Charles Hilary ni Mzanzibar
Bonge moja ya interview
Ladha tunaihitaji ni hazina kwa watanzania tunapenda maisha vijanawanahitaji elimu na heshima kutoka kwa wazee wenye hekima!!
He is so brilliant
Ni kweli nime enjoy mnoooo!! Maswali Mazuri pia.
Safi sana salama.
Legend
Kazi nzuri
Nice one
Daaaaah Atariiii Sana 1994 Mm Ndo Nazaliwa Congratulations Wajina Wangu Charles Hillaly!!
ht mm ndg wapi team 1994 tujuane hp....
Interview nzr nimependa
Salama anatisha! Namkubal sn
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
📢Marketing by @cairo_promotions
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Great show with great legend💪thank you salama
Mzee Hillary uko vizur na busara za kutosha
The Legend Charles Hilary
dah 2003 me ndio namaliza la saba,aisee safi sana.
mwenzenu la 3 😂😂😂😂
Na baba pia anauma pia
thats true inabidi arudi dimbani
God Bless Salama Jabir
Hili ni bonge la interview
Charles Hilary mpole, hana majivuno kama wengine ingelikuwa you know, so , zingelikuwa nyingi sana huwa nachukia sana
Mashallah
Safi
Kukaa nje ya nchi kunatosha mimi nipo Dunabai mwaka wa pili ti sasa ila nishachoka ile mbaya hasa ukikumbuka familia
Pole sana me nilikaa miaka 6😂nilipachoka
Da Salama Tuletee yule comedian HAKIKA RUBEN
Natamani vijana wa sasa waandishi wa habari wajifunze kwa Charles.
Salama ninaomba utuletee Ally Choki mzee wa Farasi
English premiership
Interview nzurii sanaaa
Salama one of the best keep it up sister ur the best
Salama 😻😻😻
Nimefurahi sana👏👏
Amonzi
Nimependa mahojiano haya Charles Hillary ni gwiji kweli
Watanzania wengi hatuongei kiswahili fasaha😃
Makini Sana mtu huyu
Charles baba lao
HONGERA SANA SALAMA NA CHARLES HILARY. INTERVIEW NI NZURI SANA
Tep zanyuma hatupati bwana aaa
Role model love him so much ❤️♥️♥️
Fundiii😊😊😊😊
Salama uje umtafute mama mmoja wa Comoro anaitwa Oumurkher alikuwa mtangazaji wa Dw sasa iv amestaafu
I love this man n the interview is Dope🥰
You prolly dont give a shit but does someone know of a trick to log back into an instagram account??
I somehow lost the password. I would appreciate any assistance you can offer me!
Wonderful interview 😍
Salama mlete ivona pia
Tunaomba umlete Faith Hilary tumsikilize
Gentleman
The living legend
Mimi nilikua namsikiza kipindi fulani ivi radio one kila jumapili nimesahau kile kipindi ila nahisi zilipendwa au charanga ila nilikua napenda kusikia sauti yake akitangaza
Chemsha bongo Radio one....😆😆
Nime-enjoy kama Salama ulivyoenjoy kuzungumza na Charles. Jah bless
I use to see Charles almost every day in London as l had been working near BBC Building
Mi too
Kwahiyo..??
GOAT👍
Tuletee baraka mpenja
Alishakuja,tafta episode zilizopita
Mzee na salama ni darasa tosha.
Sasa hivi umekuwa mzee wa Singeli😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
huyu Mzee wa makamo noma sn hw na-enjoy sn kumsikiriza mana anabusara xn
Nampendaa sana charlez
Nakumbuka mwaka 2001 Charles Hillary alikuja LA cassa chica club akaomba awekewe charanga na alicheza sana.
Ooh my God I'm fine of you Sister and like your job kamawaida hukoseyi big up
NASEMA TENA MAPENZI YANGU KWA WATANGAZAJI YAMEPUNGUA,NAMUOMBEA CHARLES HILARY & FAMILIA YAKE WAWE WAISLAMU,INSHAALLAH
Shenjama unaonyesha Una udini mungu alimpangia dini hiyo Acha Imani mbaya unayumba jisimamie na muumba wako atakusikia
@@asteriambwei3349 Udini ni kumuombea Mtu aje kwa Dini yangu!Mungu alimpangia hiyo una hakika?Mtu asichoweza kubadili ni Kabila sio Dini.Uoni watu wanavyobadili Dini.
Hakuna kumlazimisha mtu ila kumuombea ili si makosa.
@@shenjamamzingi7950 Yesu anakupenda mpendwa karibu kwa Yesu upate uzima wa milele
@@evelynmon6491 Asante,"Uzima wa milele upo kwa Mungu"
@@shenjamamzingi7950 ndio na Yesu ndio Mungu
Sema kaka nani kama mama?
Mlete na Kitenge