*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈👈👈💕💕💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
watangazaji muwe mnauliza maswali yenye akili mtakuja kupigwa namaswali yenu yaajabu,mtu kashakwambia kafikisha ujumbe ambayo ndio kazi yasanaa wewe bado unamng`ang`ania kwanini!!!!!.
Uyu demu alita tu kum chalege uyu mwamba pina alafu pina muelewa sana big up pina salutes sana
Jifunzeni watangazaji kutengeneza interview ziwe nzuri, inaonekana kama umebaka hii kazi
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈👈👈💕💕💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
Mtangazaji alikuwa period nn?
Yule Kalapina wa Mstari wa Mbele mbona kama sio huyu au macho yangu ndio sijamuona siku nyingi
ilikua umchezeshe makof n maswal yke y kipumbav 🤣🤣
Hamna mtangazaji apo Kabaka fani. Analazimisha ajibiwe anavyotaka yeye
Uyo demu mngese sana😂😂
huyu mtangazaji ipo siku atakuja kuchezea kwa watu wengine kala kamstahi sana aise labda sabab ya camera
Ww mtangazaj jifanye tu umemsahau kala pina hivyohivyo 😁
Toeni ajira watu kibao wana jua mtaani na wana uwezo, mambo ya kupeana peana nafasi ndo matatizo yake haya
Watangazaj wengine ni shida
Na kweli hii ndio interview gani?
pina uko juu sn kk nafurah kuona kikosi cha mizinga kinakuwa juu siku zt
Huyu Dem hajui hata hanachokiongea aisee
Kilichomsaidia huyu mtangazaji ni wa kike tu lkn vinginevyo alitakiwa alambwe makofi kwnm hajui ht anachokiuliza
She has bored questions alafu anaforce kujibiwa
Utapigwa mtangazaji
watangazaji muwe mnauliza maswali yenye akili mtakuja kupigwa namaswali yenu yaajabu,mtu kashakwambia kafikisha ujumbe ambayo ndio kazi yasanaa wewe bado unamng`ang`ania kwanini!!!!!.
Yani hako kadada ungekanasa kofi hakajui lolote hana maswali ya msingi usifanye interview ni hivyo vitoto