wasanii wengi wakifika ama kukaribia level ya huyu jamaa huwa wanaringa sana na kuongea na madharau sana....bt diamond anaongea kwa heshima sana....bigup from kenya
people punguzeni chuki hakuna mkamilifu kila binadamu ana mapungufu yake ila sheria na huruma na haki ya mtu apewe diemond platnamz mungu akubariki akupe nguvu na afya na muongozo kwenye kazi zako hakuna wataokupenda wote lazima kutakuwa na ambao hawakupendi pia piga kazi, kanyaga wote wenye kukusudia kuharibu jina lako kwa namna iyo iyo usimpe mtu nafasi ya kuongea .silence is the best answer to someone who doesn't value your words .
Ukiwa muislamu kama jina lako zuri sana linavyosomeka, ushauri wangu kwako achana na kushabikia mambo ya musiki maana ni ushetani na fata Dini yako.. Omba sana kwa Mungu kundi la WCB livunjike na hata kundi la Ali Kiba livunjike na wote watubie na waachane na Musiki maana wengi wao katika makundi yao ni Waislamu
moja ya kitu inanifanya nimkubali simba ni namna pia anavofanya wengine wapate chochote kupitia yeye.. swala La ajira ni changamoto namba moja timu yake inapata ugali kupitia yeye.. so biggup sssana kwake mazee
Km munaona hvyo tumuombe Mungu Diamond Na kuna kura kwa Diamond Nama Awards mpeni kura internet access utaona Nama Awards waambia Na wengine coz mtu mwenyewe roho km Diamond ni wacheche sna
i dont mean to be offtopic but does anyone know of a way to get back into an Instagram account..? I was stupid lost the password. I love any assistance you can give me
Maswali anayo uliza sio ya mtanyazi creative Wasafi media fanyieni tathmini kwenye engal ya baadhi ya waandishi kwenye mahojiano But other things is extraordinary love you guys
Diamond is an intelligent artist very selective with his words and really knows his part in the entertainment industry I urge all kimbelembele artist should copy this artist
Haina haja ya nyinyi kubishana yawezekana kila moja kaelewa kwa namna yake mwenyewe ...ila kamanisha kwamba haina haja ya kumnyima mawasiliano na watu wengine maana akimuwa kuchepuka kaamua tu .sijui kama na mm nimeelewa tofauti
For real Simba anamchango mkubwa Sana katika kuwatoa wasanii wengi Ila tu wamweshimu na wasimdharau Kwani yeye ndiye njia na mlango wa wao kutoka kimaisha.
@@benjamininyambaso5041 dah bro hatari sana yan wcb inatakia kubaki vile vile sio wengine waanze kutoka tena tuna pend wcb kwa asilimia kubwa kwa sababu wote weko pamoja
Naqubalii sana 🦁 kwa7bu ni msanii ambae anatakiwa kuigwa pia ni msanii ambaye anatoa ridhiki kwa kila mtu Kwhy kupitia yy watu weng wanapata ugali kupitia yeye
😂😂haiya konde boy for real umehama😂sawa tu lakini kumbuka rich mavoko alitoka wcb na hapo akasahaulika ...Tia bidii uvume zaidi....lakini simba ndo amefanya ukawa konde boy.....
wasanii wengi wakifika ama kukaribia level ya huyu jamaa huwa wanaringa sana na kuongea na madharau sana....bt diamond anaongea kwa heshima sana....bigup from kenya
Hatakufika kwenyewe hawafikagi ila2 dharau kibao
Ni Kwl kbs Kk....hao Wasanii wanaoringa Wanazingua kinomaa
Platinumz you never dissapoit... napenda unavyowajali na wengine. Nakukubali sana Siimbaaa!
ndio siri ya mafaanikio hiyo!
Mondi mungu azidi kukuinua zaidi na zaid coz unajibu maswali kwa respect kubwa xna 👏👏
Xna kaka we ndo mwanga wa wengine kwhyo achana nao wanao k2pia vijembe we piga kazi mungu atakulipa kwa ulio mfnyia Harmonize:respect u kaka
amen
Mungu akutunze uzdi kuwa salama na uzma. Piga kazi kama kawaida
Hongera sana mond umejua kuongea na hekima kajaliwa mungu hawe pamoja nawe katika kila jambo
🤙🖕
Mm huwa nagonga like kabla ya kuangalia 😂😂😂😂😂😂😂 mi cjui vp
this guy is smart..... inafanya whoever ana interview kuwa na morali wa kutaka kuendelea na interview...big up Platinumz
Aise
people punguzeni chuki hakuna mkamilifu kila binadamu ana mapungufu yake ila sheria na huruma na haki ya mtu apewe diemond platnamz mungu akubariki akupe nguvu na afya na muongozo kwenye kazi zako hakuna wataokupenda wote lazima kutakuwa na ambao hawakupendi pia piga kazi, kanyaga wote wenye kukusudia kuharibu jina lako kwa namna iyo iyo usimpe mtu nafasi ya kuongea .silence is the best answer to someone who doesn't value your words .
Ukiwa muislamu kama jina lako zuri sana linavyosomeka, ushauri wangu kwako achana na kushabikia mambo ya musiki maana ni ushetani na fata Dini yako.. Omba sana kwa Mungu kundi la WCB livunjike na hata kundi la Ali Kiba livunjike na wote watubie na waachane na Musiki maana wengi wao katika makundi yao ni Waislamu
Daaah nakubaliiii sanaah ktka interview za mondii huwagaaa najifunzaa mengii. Sanaaa
nakukubali sana diamondplatnum namimi ndotoyangu kubwa nishike mkono wako
Sister wa tanasha donna yuwakupa shemela pole kwa kuchoka kutafuta pesa za new kid 😂😂😂😍😍😍👍👍👏👏👏
Safi san chibu kwa kazi mzuri unauyo ifanya mungu akuzidishie 🙏🙏
Simbaaaaa uko fair hauna shida na mtu 👍👍👍👍
mmm si kweli
Mbosso naye huko😂😂😂😂😂ni siku akifa tu azikwe na picha yake,, mondi always the best nakupenda bure
Hahahaha
Diamond is very intelligent and straight to the point
yap thats true but he likes misunderstanding his team
WCB4LIFE, Simba is patient
Wcb harmonize muachani ajitafutiye mwenyewe sasa but asisahau alipotoka
moja ya kitu inanifanya nimkubali simba ni namna pia anavofanya wengine wapate chochote kupitia yeye.. swala La ajira ni changamoto namba moja timu yake inapata ugali kupitia yeye.. so biggup sssana kwake mazee
franco mwacha true say the dude is genius amesaidia upande Wa ajira aiseeee mtaani kugumu
Km munaona hvyo tumuombe Mungu Diamond Na kuna kura kwa Diamond Nama Awards mpeni kura internet access utaona Nama Awards waambia Na wengine coz mtu mwenyewe roho km Diamond ni wacheche sna
franco mwacha
franco mwacha
@@mayamohamad710 kweli umesema tumpigie kura na roo safi
I love what he said about relationship..
i dont mean to be offtopic but does anyone know of a way to get back into an Instagram account..?
I was stupid lost the password. I love any assistance you can give me
kama unampenda simba weka like hapo kwenye comment yangu
Ambao hawaja like mi naona ni wivu tuuuu
Maswali anayo uliza sio ya mtanyazi creative
Wasafi media fanyieni tathmini kwenye engal ya baadhi ya waandishi kwenye mahojiano
But other things is extraordinary love you guys
More bless up simba....
Daimond show kama zoooote vile salute 🙏🙏🙏
Diamond is an intelligent artist very selective with his words and really knows his part in the entertainment industry I urge all kimbelembele artist should copy this artist
siku zote napenda unavyojibu maswali. una heshima
WCB is a industry of entertainment
Simba oyeeeee wasafi for life majibumazuri,👏👏👏🌍💯🐯
naku elewa sana mondi una ongeya vizuri saana
Diamond keep it up,....don't feel low
diamond always is diamond
Nassib noma sana amei kuza tz..!!!
Keep it up mondiiiiiiiii.
Skupingi brother hauna malingo nakukubali sana Mzee Wa kazi
Sema harmonize kayumba
Did you hear that y'all if she wants to cheat she can cheat meaning he still cheats😂😂 this guy won't change for real who agrees😂😂😂
We hujui kiswahr,hana maana hiyo
@@glorykanje1391 ata wewe hujui swahili maana sijakuelewa😂
@@dailygossip9919 upon sahh hukumuelewa,na hujanielewa pia b'se u don't know it
@@glorykanje1391 nilimwelewa tena sana we hujamwelewa rewind it and listen vizuri😂😂😂😂
Haina haja ya nyinyi kubishana yawezekana kila moja kaelewa kwa namna yake mwenyewe ...ila kamanisha kwamba haina haja ya kumnyima mawasiliano na watu wengine maana akimuwa kuchepuka kaamua tu .sijui kama na mm nimeelewa tofauti
Nilishtuka na mada ila kumbe mambo mengine alhamdulillah
GHK TUBE REACTIONS kabisa
Konde hawezi msahau diamond ata umpe nn
Mmh mm jmn sina yakusema ni Diamond tuu Mungu amlinde Siku zote
😂😂😂😂 Harmonize rudi ukafanye wasafi Festival Usimtanie kaka DIA aKa SIMBA 🦁 ata kuzika kimya kimya muulize rich mavoko!
Eminem slim shady kweliiii
Ukweli mtupu
I agree❤
Eminem slim shady kweli
respect from Nairobi.
Kwaiyo saiv wcb wametoka harmonies na rich mavoko😎
@Judith Lazaro machangu.nyie ndo wazee wa kukoment bila kusikiliza kinachozungumzia
Wanadamu hawana shukrani .....harmonize akumbuke diamond alimtoa wapi????
Usiseme hivo hatujui shida iko wapi
Kweli ata kama kuwe na nn lazima ukumbuke alie kutoa gizani katika maisha
John Mike Mikesoni, tayari amelipa Harmonize he's clean now na surely wako vizuri fans njo mnasumbuka bure tu
Nice.... I like it
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
For real Simba anamchango mkubwa Sana katika kuwatoa wasanii wengi Ila tu wamweshimu na wasimdharau Kwani yeye ndiye njia na mlango wa wao kutoka kimaisha.
kwa njia halali si kuwainua wenzake bali ni kuwaangamiza.
Simba😍😍😍😍
Mature talk.
Like kwa wanao mkubal uyu mchizi 👆
Hapo kwa Tanasha umenibu vilivyo
He goes down like there is no tomorrow 😂😂😂😂😂
Uko sahihi na majibu yako... Ongera sana kwa ilo.... Simbaaaaaaaaaaaa.
huyu jama anatumia kilevi
Mko vzuri sana na nimependa majibu mazuri kwa maswali hayo bro
sauti ya babake kabisa,dudu la yuyu😂
🤣🤣🤣🤣🤣munanini lakini🤣🤣🤣
kabisa 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 hapa umeniua kabidaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
ESTHERlISA KAMAA 😂😂😂 true
😂😂😂
Good simbaaaaaaaaaaaaa
diamond Tafuta mda wa kupumzika kidogo unafanya kazi Sana mwili Umechoka unaonekana Hulali wajina
Diamond ana mafua😭😭😭😭😭😭.....duuuh I love simba
Simbaaa..!!! Hapo hamna shida
Kama unamkubali president Mr chibu dangote nipe SUBSCRIBE tujuane hapo
Mchkue Young Lunya 💪🏿
Kama kweli hamoniz anataka kuondoka WCB aondoke yu coz naona anampa mond stress sana jamaa adi kakonda kinoma
mondy Baki na msimamo uwowo
Jaman Simba tupe nafasi na sisi wasanii wachanga kweny tamasha mkija mikoan mtupe nafsi sisi wa mikon tuonyeshe kile tulichonacho inshallah
Kwa matendo yenu simba, jalibu kuqandisha tena kwa neema ya allaah
Why do all TZ reporters uses one mic
It's not one mic its just same type
Pole kwa homa
Kwa habari zote za wasanii kutoka East Africa mashariki nifuate @DonBravoTv
Nilikuwaga sikukubali ila nidhamu yako ya kujibu maswali kwangu imenifanya nimekuwa mshabiki wako hauna ushamba
Atimae Yanga imepatikana coz palikua hakuna wakupambana na motto wako simba. Mungu ndie ajuae kesho ya mtu acha aende
simba ndiyo nani haswa maisha ya mtu iko kwa mikono ya mola
Duh nyie mume nirusha roho kweli kusikia harmonize kutoka wcb yan sitaki hata atoke wcb ile family ibaki kua vile vile milele
mie hadi prexhaa
@@benjamininyambaso5041 dah bro hatari sana yan wcb inatakia kubaki vile vile sio wengine waanze kutoka tena tuna pend wcb kwa asilimia kubwa kwa sababu wote weko pamoja
Ni uzushi tu harmonize si mpumbavu hata yeye alipo hajawahi kufikiria hivyo
dah nimeshtukaje😅😅😅😅
@@thamiyuucute7098 😂😂😂😂hatar ni lazma ushtuke kama tu unapenda wcb
🦁 🦁 🦁 yeah!!!!!!😂👍👍👏👏
Maamaamaaah balaa zitooo
Naqubalii sana 🦁 kwa7bu ni msanii ambae anatakiwa kuigwa pia ni msanii ambaye anatoa ridhiki kwa kila mtu Kwhy kupitia yy watu weng wanapata ugali kupitia yeye
hebu ongezeni mic hiyo moja haitosh...inashangaza mnashare mic moja wakat festival inawap hela ya kutosha😂😂✅
Eneka
Nice simba
Diamond pLaTnumz.
Naqubal bro SIMBA
@regan beston😂😂😂😂😂😂fala sana ww
simbaaaaaaaa
Saf kwan harmonize ni nan wcb?
Utakachompendea Diamond anavyojibu waandish
Blz nakbl cn
Jus look at the way he act en his face... he seem 2 b in serious problems...
Drugs
Hi
The guy I behaving like a police, some silly questions.. Very unprofessional....
Harmonize amesaini team kibaaaaa
Sudiboy
Sexivideo
Harmonize kamsan kiba,maana kiba hana uwezo was kumsain harmonize
Big up sana Simbaaa
Pole kwa homa mondy
Et mtu akiamua kucheet ameamua tu,, mondi bwana
Kali mzaz
Umebarikiwa vipaj vingi kikiwemo na kujua kujielezea vzur
I hope hii si KIKI +254
am proud wid harmonize..bcz he us make a good decision to move from wasafi
😂😂haiya konde boy for real umehama😂sawa tu lakini kumbuka rich mavoko alitoka wcb na hapo akasahaulika ...Tia bidii uvume zaidi....lakini simba ndo amefanya ukawa konde boy.....
ni kipawa ndicho kilichomfanya
aitwe konde boy si simba kila mtu anatalanta yake
wcB4life🙏🏻
Diamond anapenda uwe msanii mkubwa ila hapend ummzid
Nawapenda WCB
WCB for Life😘😘
wapi next generation ni knde industry
Allah akupe Maisha marefu Chibuuu
Wcb 4life
yaaa
Ata hujauliza kuhusu harmonize
Mond kwani una homa?? Kama sauti yako sio shwari vile
Katoka kuimba uyo sauti lazima iwe ivo
Kutifua mavumbi
Hv itakua kwann ulewi sauti iko hivyo haya ametoka stage kuimba Na hv ss alali pia
Huyo ana chapa kazi tangu juzi
wasaf oyeeeee