Dogo amechomoka mbaya. Kikubwa akaze na maisha magumu aliyopitia ayachukulie kama somo litakalo mfanya akaze zaidi. Ngoma nzuri sana imetubamba wengi. Hongera sana Harmonize
nimependa umeongea vizuli historia Yako mungu huwa analipa hapahapa duniani kumbe ule wimbo wako wa matatizo umeimba maisha ulio yapitia hongera sana kaza buti utazidi kufika mbali mdogo Wangu nawalio kufanyia ubaya wataona aibu bgp
Hongera Harmonize, umepitia mengi na ni ya kujifunza kwa vijana wengine. Hongera Millard Ayo utuwekee part 2 na zingine ili tufahamu zaidi hatua zake. Ni mwanamuziki mzuri. Big up zaidi kwa WCB
Am here after 2022 jweli 6yrs back it was true brotherhood wakati harmonize alikili diamond aliminspire na sasa inadhihirisha baada ya mtu kushikwa mkono unajimazaa
All ze best harmonize... Utafika mbali sn kwa nilivoona majibu yako... Wimbo ni mzuri sn angekuwa mwingine hapo angekuwa ameshaanza ujivuni wakubinua midomo na vtu km hvy...
personally I didn't know about this dude not until I came across this interview . The song Aiyolo is a hit I've been playing it since , it had a touching message that we as human being faces on a daily basis. Especially when you are a man yet you can't afford to impress your own woman's lust. He's life story , his hustle really he his a hustler. Big up Harmonize and to Millard Ayo for the great work ya doing . Cheers 🙌🙉
Niliposikia wimbo wake wa 'kidonda_changu' nilishangaa kusikia biti zilizofanana na wimbo wa Q Chila wa ,for you' lakini kupitia mahojiano haya nimeelewa kwa nini ipo vile. Ni dogo mchenshi sana na naamini atafika mbali kwa tasnia hii ya muziki.
Unapo mtukana mond fikiriya iyi historiya Yako ao njo youtube uione iyi interview yakwako njo umutusi mond,atakama mond anaweza akawa na kasoro zake Ila kakutowa mbali
2023 and am still come here to watch,,,,this story is inspirational
Dogo amechomoka mbaya. Kikubwa akaze na maisha magumu aliyopitia ayachukulie kama somo litakalo mfanya akaze zaidi. Ngoma nzuri sana imetubamba wengi. Hongera sana Harmonize
2023
Konde kawa namba 1
2019 nimekuja kuichek tena maan hii historia imenigusa san tuende pamoja.
Daaah maisha ni safari
Leo hii ni 2020 harmonize ni moja wa mastaa wa 3 wa mziki bongo
Konde boy
Kwel maisha ni safar na kifo ni Konyagi Sasa hv Hamo upo juu Konde Boy Hongera Sanaa
nimependa umeongea vizuli historia Yako mungu huwa analipa hapahapa duniani
kumbe ule wimbo wako wa matatizo umeimba maisha ulio yapitia hongera sana kaza buti utazidi kufika mbali mdogo Wangu nawalio kufanyia ubaya wataona aibu bgp
Kaka
Hatimaye anamiliki lebo.
Jamanii nani ana rudia kuangalia hii interview, November 2021? Harmonize leo ka sahau yooote haya. Duniani tenda wema nenda zako.😃😃😃
hongere.sana Harmonize kiukweli nyimbo zako Aiyola na Kidonda changu zimegusa hisia zangu sana.....waitn for part 2
Tuliokuja kuangalia hii interview baada ya #YUDA kutoka WCB tuonane..
Kelele
Naamini umeskia interview yake pia Ile ya airport jinsi alivo treat
hongera kjana.......kwa hatua uliofkia mungu akupe nguvu na moyo wa kuendelea kujituma
Hongera Harmonize, umepitia mengi na ni ya kujifunza kwa vijana wengine. Hongera Millard Ayo utuwekee part 2 na zingine ili tufahamu zaidi hatua zake. Ni mwanamuziki mzuri. Big up zaidi kwa WCB
Am here after 2022 jweli 6yrs back it was true brotherhood wakati harmonize alikili diamond aliminspire na sasa inadhihirisha baada ya mtu kushikwa mkono unajimazaa
Watu wanatakiwa kuiona hii interview. 2021.
dah hustling ya ukwel kaka story yko inatoa machoz na mtaan kuna watu weng wenye kipaj ispokuwa kupataline ndo ishu big up wimbo wako mpya pia ni mzur
2023 still here !JESHI,!TEMBO!KONDEBOY💪💪💪 NEVER GIVE UP!
Daaah 2023 hii nmeiangalia sana hii video ila daah hi duniaa
All ze best harmonize... Utafika mbali sn kwa nilivoona majibu yako... Wimbo ni mzuri sn angekuwa mwingine hapo angekuwa ameshaanza ujivuni wakubinua midomo na vtu km hvy...
Kweli bwana Leo Yuko mbali mno
huyu jamaa ana speech nzuri sana....dah big up homie
Jamaa Mkali sana Big Up WCB!!
personally I didn't know about this dude not until I came across this interview . The song Aiyolo is a hit I've been playing it since , it had a touching message that we as human being faces on a daily basis. Especially when you are a man yet you can't afford to impress your own woman's lust. He's life story , his hustle really he his a hustler. Big up Harmonize and to Millard Ayo for the great work ya doing . Cheers 🙌🙉
Nmechek sahv dogo anakosa heshima 2023 hapa
Waaaaah kumbe kiwa star sio mchezo 😭😭😭😭😭
Asante kwa killa video una post kwenye youtube inani furaisha sana usicoke ku post video ukicoka ni taliya, killa siku nakuombea kwa mungu
Sasa 2024 Konde is among the big three ❤❤❤😂😂😂
2023 September tuonane hapa ....Ila Leo hii unamtukana Diamond kisa mafnikio broh kumbuka ulikotoka
❤❤❤jeshiii
Best interview
my brother from another mother 👏👏👏👏👏👌
Love u
I call him, obedient and attentive student.I wish I knew Swahili well atleast i sing his songs
nice work boys..love di boy anajielewa so sweety
I like this really Tanzanian humility life story.
Harmonize ina reflect na msimamo wako na maisha ndivyo yanavyotka young Bro keep the good guts,,,, Harmonize!
brilliantly!
Keep the good guts
proud of you......Millardayo keep rocking bro
Niliposikia wimbo wake wa 'kidonda_changu' nilishangaa kusikia biti zilizofanana na wimbo wa Q Chila wa ,for you' lakini kupitia mahojiano haya nimeelewa kwa nini ipo vile. Ni dogo mchenshi sana na naamini atafika mbali kwa tasnia hii ya muziki.
Gonga like kwa wale 2023
im watch this on 24 th november 2020 who else😓
nyimbo nzuri sana kaza
Traduction de AIYOLA please
Tunaoangalia 2023 gong like hp
Well💯💯💯
Duh !katoka mbali kweli maisha siyo rahis lazima upande na kushuka .Subra pia ni muhimu.
@millard ayo please upload part 2 of harmonize's interview
its awsome im waiting for the 2nd part
Hongera
great work @millard
Gonga like kama umerejea baada ya konde gang
Leo hii umekengeuka sana. Mkumbuke diamond alikokutoa
So Proud Of Him.....
pamoja sana
No. Comment noma sana
good singer
Passion!
safi sana Shem lake
harmonize my age ment,, l love your music
jamani eeh uyu jamaa no nomadic xanaaa respect kwako
Baada ya miaka 4 anamwita mshamba
Yuda kama yuda akimsifia nasib 😂😂😂
Hamna Cha yuda hapa pia ni vizuri yy kayanzishe maisha yake
Mm n shabiki wako mkubwa kutoka 254 kenya
Gonga like 2024
Mmh 94 march 😮😮😮
Pole kwa yote kaka yngu
saaafi (story nzuri)
Pole sana Dar It xo painfull
big up bro wish you all the best
2023 2juane na likes 🇶🇦
millard ayo is the best amenifanya niwe fan ya harmonize
Mchumari
Ahahahahahaaa kumbe kabla ya kukutana na mond ulirecord na collable wapi 2020
Jeshiiii
Huwezi kuamini kuwa huyu ndiye anayekohoa kwenye nyimbo zake ama kweli tunatoka mbali
big up god bless ufke mbl zaid
Allah Akbaru Wasini munatoka mbali nyinyi kimaisha
mildayo uko sawa
Unapo mtukana mond fikiriya iyi historiya Yako ao njo youtube uione iyi interview yakwako njo umutusi mond,atakama mond anaweza akawa na kasoro zake Ila kakutowa mbali
kazi nzuri
juliana Raymond uache udwanzi
go go go go broh unawez mpaka bac ni bidii zako 2 pamoja na nidhamu kazin utafika mbali chid kaza boot. mungu akucmamie, aameen!
Millard Ayo part 2 iwapi? long time bro
part 2 please
Im the first watcher hehehe
nimekupenda sana wang
❤
nice kp it up
part2 plz millard
Ila mbona kwenye wimbo wa mwenyew amesema amezaliwa 94 March 15
Yeah, ,Konde Boy
waooooh nice
marry temba
Nice song
Leo unataka upinzani nae duuuh
nkukubali Rashid
cant find part 2 of this interview aaarrrgh helllllp
2023
God bless you Radjabu
awesome
Duuuu jamaa Leo hii anaongea sana jodo yani
Ati yuda yuda hamna Cha yuda hapa bwana ni vizuri kila mtu kuyanzisha maisha yake au ww Yesu 🙄
mudi mnyamaa kaz unayo ufukuzwi
fanana sana na Enock Bella wa yamoto band(Mkubwa na wanawe)
part II iko wapi?
Nawapata salama kutoka Brazil.. Makao makuu dogo ametoka
kaza ndo uanaume
Ayo tv