USO KWA USO DIAMOND PLATINUMZ NA STEVE KAMCHANA ANGELA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2022
  • #diamondplatnumz #harmonize
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 522

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy Год назад +92

    LETENI HUYO MTOTO TUMSAINI BHANA, MNAMTESA. MWAMBWAAAAMWEEEEEEEEEEEEEEE, VIRANDAGE NYIEE

  • @caribbean9692
    @caribbean9692 Год назад +65

    Mi ndo wa kwanza naombeni likes hizo basi wadau

  • @stephenmuchiri5820
    @stephenmuchiri5820 Год назад +16

    Steve mweusi nakupa no.moja kwa comedy umetisha sana mwanangu..Big up..😂😂😂🙌🙌🙌

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 Год назад +31

    Mwana sheria mwehu sana 😀. Uko vizuri Steve

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Год назад +37

    Nacheka uyo Baba levo😂😂😂🔥🔥☑️☑️ embu nipeni like za uyo Baba levo🤣🤣

    • @Atu966
      @Atu966 Год назад

      Baba levo kauwa

    • @Atu966
      @Atu966 Год назад

      🤣🤣🤣

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +20

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anjela wa mchongo 🙌🏼 Aza boi chawa Kama chawa 🙌🏼 Steve mweusi respect Sana 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @godfreymartinegodfour7272
    @godfreymartinegodfour7272 Год назад +19

    This Man is so Special!!🔥🔥@Steve Mweusi👏👏👏🙌🙌🙌

  • @moureenwotubenelima9524
    @moureenwotubenelima9524 Год назад +81

    Diamond Ako wapi hapo 😂😂😂😂 naombä like jamani mkenya mm

  • @wakandatyganelsonofficiall6395
    @wakandatyganelsonofficiall6395 Год назад +27

    Keep up good work love from Rumonge Burundi Rumonge Burundi Rumonge Burundi Rumonge 🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤

  • @benardosedo
    @benardosedo Год назад +10

    Acha diamond amtengeneze anjella,nlikua mnamfunza kuvuta bangi Allah😍😍😍😍😁😁😁😁😁

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele Год назад +37

    Kwanziya Leho Mimi mweshimiwa wa Company Ya RUclips Na Amuwa kuwa shabiki Namba ONE (1) wa Steve mweusi

  • @mrkambale7356
    @mrkambale7356 Год назад +29

    Sema Steve unayeyusha mzeiya! Unajua kuuwa mkuu

  • @jccministry8629
    @jccministry8629 Год назад +16

    Yaani mmetisha asee kila mmoja ameplay part yake vizuri Big up sana👏👏😂😂👊

    • @twinyboy254
      @twinyboy254 Год назад +1

      Konde Mimi n shabiki wako ila sio kitu pw ulichomfanyia simba

    • @hamidahussein
      @hamidahussein Год назад

      Hahah karang za mia mbil

  • @malickshow_official2513
    @malickshow_official2513 Год назад +15

    Sisi wa kongomani muna tufunza conséquence yakuto saini katika label ya music,big up Steve mweusi

  • @salumabdu5415
    @salumabdu5415 Год назад +9

    Umetisha sana kaka sikuping

  • @lulumanyanya1697
    @lulumanyanya1697 Год назад +18

    HAHAHAHAHAHAHHA KAZI NZURI SANA KEEP IT UP @SteveMweusi

  • @danielwilliam5213
    @danielwilliam5213 6 месяцев назад +2

    Mimi Masai bana nampenda Steve sana daa 🙏🙏

  • @nivyimanafeliasedj
    @nivyimanafeliasedj 6 месяцев назад +4

    Burundi🇧🇮🇧🇮 tuko pamoja sanaaaa wekeni likes

  • @FreddyMwachuwi
    @FreddyMwachuwi 3 месяца назад +1

    Stivu uko powa uwe na mwakatobe inakuwa kama. Fainari

  • @hafsaramadaan9966
    @hafsaramadaan9966 Год назад +9

    Steve umewaweza big up sana

  • @MsafiriAmanimlambe
    @MsafiriAmanimlambe Месяц назад

    Iyi nimeipenda kweli tena uyu diamond amefanana na diamond wa 2015 kabisa

  • @DicksonJoseph-pe6ib
    @DicksonJoseph-pe6ib 9 месяцев назад +3

    Uko vizuri sana steve

  • @josefomoises9521
    @josefomoises9521 Год назад +3

    Nakupata kutoka msumbiji wilaya mweda mkoa wa Cabo Delgado,,,nakukubali sana

  • @emilylucas973
    @emilylucas973 Год назад +11

    Maake kwanza apo nichekee 😂😂😂😂😂 sem aloigza kam Baba levo all in all ameweza😂😂🔥

  • @amanpieli9422
    @amanpieli9422 Год назад +19

    Sema anjela atajisikia vibaya hii act ya huyu dada ni kumkosea heshima binadam mwenzunu steve hapa umeboronga

    • @labannyboy5333
      @labannyboy5333 Год назад

      Naijua iyo diamond mnamuwezea wapi nyie ila msiwe napupa cheo chake nakuja kulicy mmi

    • @labannyboy5333
      @labannyboy5333 Год назад

      Sura iyo mmeikopi wadanganye maboya

    • @labannyboy5333
      @labannyboy5333 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ommymkali8293
      @ommymkali8293 10 месяцев назад

      Hiinikomedituu

    • @ommymkali8293
      @ommymkali8293 10 месяцев назад

      Ss.skomedi

  • @FredChaki-jb8zj
    @FredChaki-jb8zj Год назад +2

    Baba level anaweza sana

  • @user-uw8zy9zv5p
    @user-uw8zy9zv5p 6 месяцев назад +1

    Jamani nikama sijamwona vizuri huyo diamond,,,lakini nimependa 😂❤❤

  • @user-oh9on3vd2u
    @user-oh9on3vd2u 2 месяца назад +1

    Huyo mondi wamchongo anajilamba sana mdomo apunguze

  • @miburoaaron1804
    @miburoaaron1804 Год назад +4

    Kazi nzuri

  • @christopherpablo3676
    @christopherpablo3676 Год назад +2

    Nakubali sana

  • @SPECIALLYRICSSONGS1
    @SPECIALLYRICSSONGS1 Год назад +6

    Nimekuku Bali sana Steve mweusi

  • @sarahissa5796
    @sarahissa5796 Год назад +2

    Nyieeeee 😂😂😂😂😂🙌🙌😂😂😂😂😂 nimechekaaaaaa sanaaaa,,,,hyo Mondi jmniiiii

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 Год назад +13

    😃😃😃Anjeella jamani anageuka geuka tu

  • @ntemiroanga.2842
    @ntemiroanga.2842 Год назад +5

    Anjela hakupenda kwa na mtaatiza miguuni wala haakupenda kwa mweusi. Mamba ya mwili acheni

  • @mrkambale7356
    @mrkambale7356 Год назад +4

    Huu ugomvi wa MAWE Steve.

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 Год назад +1

    Nakuona mwanetu kutoka lugoba high school mwaka 2015 mpk 2017

  • @bestfriendokitokapalata6137
    @bestfriendokitokapalata6137 Год назад +23

    🤣🤣🤣🤣 kweli Steve wewe ni moto eti mwaka hauto kishwa kabla baba levo haja olewa

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 8 месяцев назад +3

    Jamani' Baba levo na Diamond🤣🤣🤣🤣

  • @AllComediesTv
    @AllComediesTv Год назад +5

    😂😂🤣bro ww ni simba wa comedy Tanzania 🤣😂😂

  • @annavicter4326
    @annavicter4326 Год назад +12

    Uyo anjela kalipukiwa na bomu la uso🤣🤣🤣🤣🤣🤣🌚🌚🌚🌚🌚

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Год назад +5

    😂😂😂😂😂😂ila baba levo bwana umeupiga mwingi so kwa kanda mbili izo ulovaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nelsonhirwa7997
    @nelsonhirwa7997 Год назад +26

    😂😂😂😂 Eti Angella kachukuwa karanga za Mia mbili

  • @user-yu4tt8hx6q
    @user-yu4tt8hx6q 6 месяцев назад +2

    Hamna cha diamond hapo wala cha nini.❤nipo kenya

  • @HimidKombo-di6yt
    @HimidKombo-di6yt 11 месяцев назад +2

    Hahahahahah nakubal Sana kazi Yako mwamba Steve

  • @KalebuMwanginda
    @KalebuMwanginda Год назад +3

    Nakubali bro

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 Год назад +1

    Waah steve wee n mwisho aki😂😂😂😂😂

  • @armaxboy4703
    @armaxboy4703 Год назад +2

    Makini🔥🔥

  • @user-ui4qy5jz9z
    @user-ui4qy5jz9z 8 месяцев назад +1

    Steve yaani una kipaji naomba like yako mm mkenya😊

  • @BIGSTAROGTZ
    @BIGSTAROGTZ 5 месяцев назад +2

    Nice🎉🎉

  • @MillycentSidi-ij7rr
    @MillycentSidi-ij7rr 8 месяцев назад +1

    Jamani steve big up broo

  • @BadmanCobra-qm6wh
    @BadmanCobra-qm6wh 2 месяца назад +1

    Kaliii sana ,,,,,steve

  • @rich_wasparner9233
    @rich_wasparner9233 Год назад +7

    Hahahah mtt mzuri anjela

  • @michaelzaranada1716
    @michaelzaranada1716 Год назад +11

    Ahhh🤣🤣🤣steve you so funny

  • @majidisalumu3260
    @majidisalumu3260 8 месяцев назад +4

    Yani Stivu Napendaga Sana Namna Unavyoongea Na Kutoa Mimacho😂 Aisee We Ni Hatar Sana Mwanangu

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 7 месяцев назад +1

    Baba levo😂😂 ameuwa😂

  • @bahlaoman6467
    @bahlaoman6467 Год назад +5

    Uyu Kaka aloecti kama Diamond wamefanana

    • @Halimamaere
      @Halimamaere Год назад

      😂😂😂😂kidogo niamini n yeye

  • @user-zj3hm8wm5f
    @user-zj3hm8wm5f 3 месяца назад

    Daimond mwenye haongeii 😂😂😂😂❤❤❤❤ Steven bana

  • @user-ns3wz2cr2e
    @user-ns3wz2cr2e 6 месяцев назад +1

    Nimecheka sana eti eimesimama kama munara rimondi😂😂😂😂😂Steve kwahayo masharti anatisha😂😂

  • @user-ft2dv1go4r
    @user-ft2dv1go4r 3 месяца назад

    Sijapenda!

  • @CHALIWAKWALEOFFICIAL
    @CHALIWAKWALEOFFICIAL Год назад +4

    Ati sidiria😂😂😂😂🤣🤣🤣Steve we ni moto

  • @danielirichard1133
    @danielirichard1133 День назад

    Very job

  • @dullyhaleem6962
    @dullyhaleem6962 Год назад +4

    Mambo ya mwili yaachie mwili Kmmmmke 🤣🤣

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Год назад +8

    Nimecheka aliposema aliazima elf7 kwenda kwenye sherehe 😂😂😂🤣🤣😅😅😅

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 8 месяцев назад

    Uyu ni diamond kweli

  • @kandapcomedy7943
    @kandapcomedy7943 7 месяцев назад

    Wow baada ya nyimbo ya kibubu katupiga bonne la commedy

  • @michaelgarama1206
    @michaelgarama1206 Год назад +5

    Lakini mbone Steve Platnumz haongee lkn tunatka aongee hta japo kidogo 2🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @phoebena4ty
    @phoebena4ty Год назад +5

    Hapo kwanza ni cheke 🤣🤣🤣🤣😅😅

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 Год назад

    Mmetishaa.mbayaaaa

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph8982 Год назад +2

    Steve kiboko kwa kweli anakipaji kikubwa cha sanaa ya uigizaji

  • @user-ho5oo2yu6j
    @user-ho5oo2yu6j 2 месяца назад

    Steve katisha bna❤

  • @hopechoirtwinfallsidaho3760
    @hopechoirtwinfallsidaho3760 Год назад +1

    Hahaha 😂😂😂🤣 mna chekesha kibisa 👍💯

  • @user-bs1rz7op9r
    @user-bs1rz7op9r Год назад +2

    Anapenda karanga sana 😂😂😂😂😂

  • @anthonythadeo563
    @anthonythadeo563 4 месяца назад

    Naomba namba ya daimondi ninashinaye sana

  • @user-qy8hw1yn5d
    @user-qy8hw1yn5d 2 месяца назад

    mwanang onger bab💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @ednahmwasyoghe7376
    @ednahmwasyoghe7376 Год назад +8

    Steve unaweza aisee mpaka maji ya mia tano 🤣🤣🤣

  • @SaidDuma-ff5we
    @SaidDuma-ff5we 8 месяцев назад

    Umetisha San mwamba

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 Год назад +2

    Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani hiyo kali

  • @jaliamartinz
    @jaliamartinz Год назад +1

    Steve uko no 1 kabisa

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 Год назад +2

    Dunia imesha 😀😀

  • @jalaramutv7742
    @jalaramutv7742 Год назад

    Mmepiga madongo ya moja kwa moja sio profesional..

  • @user-fz7nr3tv9v
    @user-fz7nr3tv9v 7 месяцев назад

    Uyu diamond ana mdomo pana sana kuliko uyo mwingine

  • @mbinvestments3447
    @mbinvestments3447 6 месяцев назад

    Baba level kajitaidi sana

  • @Terminatorbatogwantama0416
    @Terminatorbatogwantama0416 5 месяцев назад

    Mambo ya mguu msiweke plz

  • @MaikoGeofrey-nt4uc
    @MaikoGeofrey-nt4uc Месяц назад

    Hahaaa poch Nene APA stivu unatisha Mzee babas?

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj Год назад +1

    Hahahahaha kama yeye ani

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 Год назад +3

    🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩sutuve wewe

  • @saoudandagano146
    @saoudandagano146 8 месяцев назад +1

    Makubwa😂😂😂Angela atalipa moja kwa moja🤣🤣

  • @allympika7312
    @allympika7312 Год назад +1

    Tisha sana steve mweus

  • @Ladyzay875
    @Ladyzay875 5 месяцев назад

    Kifungu kilichosomwa ya rabbi😅

  • @muhsenali9467
    @muhsenali9467 Год назад +4

    😂😂😂😂😂anjela kachukua karanga ya 200 Steve unaweza bro

  • @veronikapanga7455
    @veronikapanga7455 Год назад +1

    Ama kweli dunian watu wawili

  • @damasmshingo3500
    @damasmshingo3500 Год назад

    Duuu huyoo mond kavaa shanga shingoni haaa.

  • @user-mf5ob7vj7t
    @user-mf5ob7vj7t 6 месяцев назад

    Hivyo ni kweli

  • @vincentnyabuto4605
    @vincentnyabuto4605 6 месяцев назад +1

    Kameweza🥰🥰

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity Год назад

    😂😂😂😂 huyo babalevo 😂😂😂🙌🙌

  • @lonkenny
    @lonkenny Год назад +3

    SUBSCRIBE HAPA KUNA CONNECTION BAADAE NAIPOST😄😄

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 Год назад +6

    Jamani kali yaleyale nacheka kama mazuri vile 🤣🤣🤣

  • @muckymaccode134
    @muckymaccode134 Год назад +1

    Dah 😁😁😁😁

  • @oswaldntelanya2793
    @oswaldntelanya2793 Год назад +6

    jamaa kama mondi au ni kaka yake'🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌

  • @sylvestersylvester6010
    @sylvestersylvester6010 Год назад +1

    Ila wanawake weupe siku wakija kuwa weusi tutakimbiana