👏🏼👏🏼👏🏼This is fantastic interview, wealthy information from successful people. I wish they can work with us that live in London too. Fantastic presentation from you Giantman!.SNS to the world!!! 🎉🎉🎉
Jambo lakusema kwamba shule awafundishi Personal Finance ni uwongo mahana Financial Advisors kwas asilimiya 99% wana fundishwa shule. Nime someya corporate finance lakini najuwa ngisi gani yaku locate fund na ku build wealth.
Hii ndiyo mindset inayowafanya watu wengi kuto break the glass ceiling and become successfull, Let me ask you, unaponunua bima ya gari toka kwa agent, ni wewe unamlipa agent au company ndiyo inayomlipa agent. This is mindset ya kwamba wewe unaponunua product eti ndiyo mimi ninalipwa. We are educating people na kama utaona uingie wewe mwenyewe sokoni kununua product ambayo unafikiri umeielewa ni vizuri kwako, lakini ukitaka mtu ambaye takuonyesha njia, kulingana na financial status yako wewe, sisi tupo. I get paid from the companies by sending them business just like your car, your mortgage insurance agent, your 401k financial advisor etc.
Nakubali sana ndugu yangu jana men
Great one👏
👏🏼👏🏼👏🏼This is fantastic interview, wealthy information from successful people. I wish they can work with us that live in London too. Fantastic presentation from you Giantman!.SNS to the world!!! 🎉🎉🎉
❤❤❤ Asante Mrembo for your endless support my lil sister
Nafuatilia nikiwa Mombasa
I like this Giant🙌🙌🙌
Jambo lakusema kwamba shule awafundishi Personal Finance ni uwongo mahana Financial Advisors kwas asilimiya 99% wana fundishwa shule. Nime someya corporate finance lakini najuwa ngisi gani yaku locate fund na ku build wealth.
Wants email Hawa charge watu je wanapata commission kwa kumwelekeza mtu ambaye atanunua hiyo product lazima wawe wakweli
Hii ndiyo mindset inayowafanya watu wengi kuto break the glass ceiling and become successfull, Let me ask you, unaponunua bima ya gari toka kwa agent, ni wewe unamlipa agent au company ndiyo inayomlipa agent. This is mindset ya kwamba wewe unaponunua product eti ndiyo mimi ninalipwa. We are educating people na kama utaona uingie wewe mwenyewe sokoni kununua product ambayo unafikiri umeielewa ni vizuri kwako, lakini ukitaka mtu ambaye takuonyesha njia, kulingana na financial status yako wewe, sisi tupo. I get paid from the companies by sending them business just like your car, your mortgage insurance agent, your 401k financial advisor etc.
ILI DARASA NIMELIPENDA SANA MOJA YA ELIM AMBAYO WATU WENGI HATUNA MJE NAYO TENA
nafuatilia hapa lkn sipati hiyo elimu ila naijua biashara yenu kuwa mnafanya nn
Nitawatafuta guys
Karibu Mary