Good teachings but house is not liability! Ukinunua nyumba yako unasave kodi za mwenye nyumba ambazo kwa mwaka zinatambulika kama expense kwenye hesabu yako
Unatufundisha Mambo mengi Sana Kaka amosi mwijonge Mimi binafsi nakufatilia Sana spoken words zako kiukweri Nakuombea mwenyezi Mungu akujalie baraka tele
Ni sahihi kabisa. Kwani elimu rasmi ya darasani haifundishi kupambana na maisha au kutafuta pesa. Bali hufundisha au kuandaa watu kuajiriwa. Ndiyo maana wengi tuliowaacha darasa la saba leo hii wanaweza kumudu maisha bila majina yao kuwa kwenye payroll.
Sema Nini Mo's.. watu wengi kama wazazi wetu.. huwa hawapendi kusikia mtoto anamiliki pesa.. Hii tunaita age_excusitis..kutoka kwenye kitabu kinachoitwa "the magic of think big_na_david Schwartz" - Anasema age excusitis..maana yake..mtu anadhani umri wake haumruhusu ku_fanya KAZI.. Anatolea mfano Kwa vijana, wazazi na wazee.. Soma vizuri..utaelewa..maana aliyosema Amos,..ni hakika..yapooo 📃✍🏾 Yaani maana yake
Since 2019, nilikujua kupitia ile MOYO WA MTU MSITU na MWAMBIE MWANAO, umenibadilisha mno. Ahsante sana Mwalimu.
Nimekuwa nikibadilika siku hadi siku toka nifahamu mafunzo yako.... Jazakallahu khaira mwalimu
Barikiwa Sana mi Ni mchungaji Niko Mbeya kuna wakati masomo Yako nafundishaga kanisani Mungu akupe Maisha marefu barikiwa
Somo zuri sana mwl itabidi nikutafute popote ulipo ubarikiwe sana
Samahani mwalimu mimi Niko congo nataka tuzumuze
Amosi mwijonge uko vizuri sana nakufatulia sana since day one.... naomba unijbu japo wapili kuview
Asante sana Charles kwa kunifuatilia since day one.Mungu akubariki sana ndugu
Your brother...uko vzur mungu akubariki....unafungua mawazo ya wengi..me mwenywe unani shape everyday...mungu akubariki
Good teachings but house is not liability!
Ukinunua nyumba yako unasave kodi za mwenye nyumba ambazo kwa mwaka zinatambulika kama expense kwenye hesabu yako
nakupenda sana Amos Mwijonge kwa maneno yako ya busara na umefanya nimejifundisha mengi
Ni mgodi unaotembea.. We need more people like him in the world
mimi hapa nasubri kuanza soon
Nakukubali baba hakika we ni mwalimu wa maisha unagusa hisia za jamii kubwa
Mafunzo safi sanaa🙏
Soma usomavyo mwisho nikutafuta pesa🙏
Unatufundisha Mambo mengi Sana Kaka amosi mwijonge Mimi binafsi nakufatilia Sana spoken words zako kiukweri Nakuombea mwenyezi Mungu akujalie baraka tele
Shukrani Mwalimu kwa kutujaza maarifa na kutupanua mitazamo yetu
mm nimemuelewa lakn, hapo kwenye kupanua umekosea bhn
Ni bora kusikiliza kuliko kuzungumza
@Amos Mwijonge ni mwalimu🙏
Kwli mwali 🇮🇷☑️ asnt sn ndio maan nfika kwenye hii nchi. Napamban Inshllah mungu yp nami.
Nakukubar saaana kaka kazi zako ni nzr saana pia zinafungua bongo saana, Hongera Mungu akupe maisha mareef zaidi
Great thinker
Daaah hii kitu imenifungua saaanaaa brother
Kwa kweli napata mafundisho mazuri kwako mwalimu
Nimekuelewa Sana bro! Ubarikiwe
Nakuelew san daima
huongopi mkuu big up
Ubarikiwe sana kaka Amos Mwijonge...tuko pamoja
Amen
Ni sahihi kabisa. Kwani elimu rasmi ya darasani haifundishi kupambana na maisha au kutafuta pesa. Bali hufundisha au kuandaa watu kuajiriwa. Ndiyo maana wengi tuliowaacha darasa la saba leo hii wanaweza kumudu maisha bila majina yao kuwa kwenye payroll.
Somo zuri sana
Ubarikiwe Mr Amosi
Asante sana
Shukrani sana mwalimu
Nice iget u broo
Hapo umenena Mwalimu.
Asante kwa elimu
sina chakukupa zaid yakukuombea maisha malefu❤kulike🌹nakucomment🥀
Ulichokizungumza ni Cha msingi sana kaka
Mwalimu uko choose gani
Nimekuelewa kaka mkubwa🙏🙏
Dah nimekuelewa sana broo
Asante
Awesome brother keep going brother
Thanks ✌️
Mwal.amos hongera lakini kwa sisi vijana bado kuna changamoto ya kutofikia malengo yetu je unatusaidiaje kufanikisha malengo yetu
Sema Nini Mo's.. watu wengi kama wazazi wetu.. huwa hawapendi kusikia mtoto anamiliki pesa..
Hii tunaita age_excusitis..kutoka kwenye kitabu kinachoitwa "the magic of think big_na_david Schwartz" -
Anasema age excusitis..maana yake..mtu anadhani umri wake haumruhusu ku_fanya KAZI..
Anatolea mfano Kwa vijana, wazazi na wazee..
Soma vizuri..utaelewa..maana aliyosema Amos,..ni hakika..yapooo 📃✍🏾
Yaani maana yake
Kwann videos zako zinagoma ku download?
Kaka we mwalimu WA walimu
Teacher ov teachers
Cool bro
nmesoma kitu
Nashkuru
Asante kwa masomo
Maisha ni elimu tosha
Nakubal sana
Asante
Kaka unamadinisana mungu akubalik🤝🤝
Amen
Una uwezo mkubwa sana wa akiri na kuweza kupambanua mambo
Amen
Unamafundsh mazul san.
Kwamba unatuambia elimu sio kitu maana kwa ujumbe wako yaonesha wazi kuwa upo against na elimu
Safi xn qaqa
Safi✊
Safi sana
Good idea but we need title of same books 📚 please???
Specially about same things we don't learn at school
Am gonna bring it don't bother
🔥
💪💪💪🙏🙏
✅
greaty
❤️❤️❤️❤️
Nakubal
Asante
Logic
Mwal wang
Cbc
Nakubl Kaz yakoo mwijonge
Nakubal