Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tunaomuelewa huyu tukutane hapa👍👍👍
Umenikumbusha mbali sana amos nilikuwa shulen mara jamaangu akaanza kuimba music ilikuwa ndotoya kuimba alioenda sana kuimba ila mwalimu alipo mwona alimpa adhabu kali sana jambo ambalo halikunikidhisha 🤝
Kama wewe ni mfatiliaji wa Mambo ya Amos gonga like apa
Yap kaka tuko .
Nakukubari Sana Amos, wewe ndio chakula, Cha Ubongo wangu katika FALSAFA zako Mungu Akulinde..
Ahh bro mungu akupe umri mrefu uendelee ku2 elimisha ahsante kwa kugusa maisha yang
Amen
Napenda sana kazi zako kaka Amosi! Barikiwa sana
asiye jua haya mwambie atambue haya....sikila line man ni mkweli ila rifarii nde mwamuzi.
Gundua kipaji chako, kifanyie kazi kisha ukiendeleze,, shukrani sana mwalimu Amosi mwijonge
Ufunuo mzuri mno; kichocheo mufti kwa kila atakaye kupiga hatua.
Mwajonge wew ni fund big up nimependa hzo ngoma zako
Mashairi yako nayapenda fan mkubwa kutoka Kenya
Kazi yako nzuri Sana Kaka Amos
Usipojua nn cha kufanya maisha yatakuchagulia nn cha kufanya .i get yu broh
Asante sana
Nakubali bro ahsanteh ushauri mzuri huu
Amos Mwijonge .kwa kweli bro mwenyezi mungu azidi kukubariki maana najifunza mengi sana kupitia kwako,, thnkx much again to you braza###
Shukrani sana mwalimu Amos kwa masomo yako yanisaidia sana maishani mwangu mwenyezi mungu azidi kukuongoza mashizani mwako.
Big up brother Amos mwijonge, na kuelewa sana.
Brother Mwenyez Mungu akubarik akuzidishie maarifa zaid ili jamii izid kuelewa kupitia ww. Big up my Brother
Give me some sun shine give me some rain give me another chance i wanna grow up once again
Yah
unajitahidi kutujuza braza tuko pamoja sana asanteee👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👏👏👏👏
Napenda sana haya mambo hayana ubigwa
Kama unamuelewa #amoss_mwijonge weka like apa tujuane na tuendelee kujifunza
Kaka Amos somo lako lna nfany ncikat tamaa npamban.
Machoz yamenitoka, hakika ninabadirika kupitia ww. Ahsante Mwalimu
Co peke yako 2po wengi nahic kam ww.
Asante sana kama unabadilika
Napenda kazi yako kaka kutoka Kenya Nairobi
Asante sana,salamu zao Nairobi
Mwalimu Amosi mwijonge,, ahsante sana, I wish one day nije nionane na wewe, una mengi sana kwenye ubongo wako.
Mungu akupe maisha marefu
Nakukubali kaka Tupo pamoja katika ujenzi wa fikra
Heshima kwako bro
Ujumbe mzuri kaka, asante kwa elim unazotupatia yamebadilisha maisha yangu, ubarikiwe
Tunashukuru kwa chakula cha akili bro amos
Asante kwa kushukuru
Czani kama ypo anae mfikia amos kwa sasa
Elim imeua kipaji changu cha uchoraji,,now nmekuwa mwalim kama jamii itakavyo sioni faida hata kdg its better nicngesomaga.
Bado una muda sana wa kuishi maisha yako,chukua hatua
dakitari mwenye ndoto za kuwa mwanamuziki, am 24 hopeful sijachelewa kuanza upya kaka amos. Nipe jua nime mvua, nipe nafasi nyingine nataka tena kukua
Hakika hujachelewa
Nimependa hekima zako. Mungu akubariki kwa kazi nzuri. Vijana tu washindwe wenyewe kuona madini haya!
👍
Yuko vizurii huyu kaka
Waaaah umenisaidia saana
Naji vunia kuitwa amosi asante wajina langu
Asante pia
Wewe ni zaidi ya tunu,nafarijika sana kuyaonja na kuyaishi mapishi yako ya kifasihi,umekuwa kurunzi ktk maisha yangu,mola akuzidishie kila uchao.
Kibaji dunia hii ya sasa zaa ingine zi muhimu.
Nakuelewa sana kiongoz, endelea kutupa vitu.
Asante kwa kunielewa
Kazi nzur brother
Asante
Kabsa mwalimu, I like it alot
Thanx
nakufatilia sana..Mengi najifunza sana...Mwalimu ila najitfuta kwenye udakitar
JITAFUTE kwa herufi kibwa😂😂
Jitafute ✊✊💪🔥
Ujue purpose yako
Heshima kwako Mwalimu Amos
Nashukuru
Je ni Kwa namna Gan kutambua talanta yako
Darasa darasani . big up mwalimu
Exactly Amosi , See you at the top.
Kenya 🇰🇪🇰🇪 we love you
Kaz nzuri kaka
Nakubali pmoja sana big up
Sawa kabisa brother
Pamoja
👏👏unaniinspire Sana🙏
Hakika unanifunza yalio mema kila siku 🙏💪❤️
Mtu makini mwl amos
Naam!
Kazi nzuri kaka maisha marefu
Hujambo Ba.Mkubwa,huyu hapa ni Mmoja wa mashabiki wako toka Nairobi Kenya.Unafanya kazi nzuri.Heko.Endelea kuielimisha jamii.
Asante sana,wasalimie Nairobi
Mwalimu, hakika wewe umefungua talanta yako...
Hakika
Unajua bro Mungu akuweke
Amen,,
nimekubali ngoja nikajitafute
Asante sana,kajitafute
Wew ni bora na unajumbe mzuri
Bro unatuacha mda mrefu sana bro
mambo mazuri hayahitaji kukurupuka kaka
Kweli kabisa najifunza mengi kupitia kwako
Asante kwamafunzo Mungu abariki kazi ya talanta yako
@ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @
Xina budi kusema Asante kwa somo bro
Safi sana brother
Uko vzur sana
Wapili kucomment, I appreciate u kak yng. Pa1 katika ujenz wa fikra.
kweli mwalimu hakiri ni wewe tu kufanya
Mawaidha 💕🔥🙏
yamenifaa maneno kuntu sana kaka
kazi nzuri mkuutafadhali tembelea uurasa huu kwa mashairi zaidi ya kiswahili
Nakubali Sana Kaka!!
nashuru sana amos broo
Ukweli kabisa aiseee....yaani hata sauti inavutia kuendelea kuisikiliza. Naamini wewe ulishaijua talanta yako
Brother Sina cha kukupa bt nakuombea kwa Mungu akuzidishie zaid🙏🙏
Genius...Amos
we jamaa unawazaga nini asee
Maisha
As u talk to me brow.. Still ur king of wisdom
Vipaji tunavyo ila mpaka ukakisomee pesa ndio shida
Kupanga ni kuchagua
Siyo siri you are such a true inspiration
Kaka nakubali kazi yako
Shuklan sana mwalim
Nakubali kaka
nkubal kaka amos
Natamani niwe kalibu nawe mualimu
Nimekuelewa sana
Pamoja kaka
Wewe ni mtu saf san kak
shukran kaka take care na corona hii
Ushauri mzuri
Sita sahau msemo wa shamba la urithi loyol village hotel
Well done master
God bless you kaka
Real 🔥🔥🔥
Nakubali sana
Saf brother
Shukurani sana
Kaka akulinde mungu
Amina
I like it
Perfect!
Tunaomuelewa huyu tukutane hapa👍👍👍
Umenikumbusha mbali sana amos nilikuwa shulen mara jamaangu akaanza kuimba music ilikuwa ndotoya kuimba alioenda sana kuimba ila mwalimu alipo mwona alimpa adhabu kali sana jambo ambalo halikunikidhisha 🤝
Kama wewe ni mfatiliaji wa Mambo ya Amos gonga like apa
Yap kaka tuko .
Nakukubari Sana Amos, wewe ndio chakula, Cha Ubongo wangu katika FALSAFA zako Mungu Akulinde..
Ahh bro mungu akupe umri mrefu uendelee ku2 elimisha ahsante kwa kugusa maisha yang
Amen
Napenda sana kazi zako kaka Amosi! Barikiwa sana
asiye jua haya mwambie atambue haya....sikila line man ni mkweli ila rifarii nde mwamuzi.
Gundua kipaji chako, kifanyie kazi kisha ukiendeleze,, shukrani sana mwalimu Amosi mwijonge
Ufunuo mzuri mno; kichocheo mufti kwa kila atakaye kupiga hatua.
Mwajonge wew ni fund big up nimependa hzo ngoma zako
Mashairi yako nayapenda fan mkubwa kutoka Kenya
Kazi yako nzuri Sana Kaka Amos
Usipojua nn cha kufanya maisha yatakuchagulia nn cha kufanya .i get yu broh
Asante sana
Nakubali bro ahsanteh ushauri mzuri huu
Asante sana
Amos Mwijonge .kwa kweli bro mwenyezi mungu azidi kukubariki maana najifunza mengi sana kupitia kwako,, thnkx much again to you braza###
Shukrani sana mwalimu Amos kwa masomo yako yanisaidia sana maishani mwangu mwenyezi mungu azidi kukuongoza mashizani mwako.
Asante sana
Big up brother Amos mwijonge, na kuelewa sana.
Asante sana
Brother Mwenyez Mungu akubarik akuzidishie maarifa zaid ili jamii izid kuelewa kupitia ww. Big up my Brother
Asante sana
Give me some sun shine give me some rain give me another chance i wanna grow up once again
Yah
unajitahidi kutujuza braza tuko pamoja sana asanteee👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👏👏👏👏
Asante sana
Napenda sana haya mambo hayana ubigwa
Kama unamuelewa #amoss_mwijonge weka like apa tujuane na tuendelee kujifunza
Kaka Amos somo lako lna nfany ncikat tamaa npamban.
Machoz yamenitoka, hakika ninabadirika kupitia ww. Ahsante Mwalimu
Co peke yako 2po wengi nahic kam ww.
Asante sana kama unabadilika
Napenda kazi yako kaka kutoka Kenya Nairobi
Asante sana,salamu zao Nairobi
Mwalimu Amosi mwijonge,, ahsante sana, I wish one day nije nionane na wewe, una mengi sana kwenye ubongo wako.
Mungu akupe maisha marefu
Nakukubali kaka
Tupo pamoja katika ujenzi wa fikra
Heshima kwako bro
Asante sana
Ujumbe mzuri kaka, asante kwa elim unazotupatia yamebadilisha maisha yangu, ubarikiwe
Tunashukuru kwa chakula cha akili bro amos
Asante kwa kushukuru
Czani kama ypo anae mfikia amos kwa sasa
Elim imeua kipaji changu cha uchoraji,,now nmekuwa mwalim kama jamii itakavyo sioni faida hata kdg its better nicngesomaga.
Bado una muda sana wa kuishi maisha yako,chukua hatua
dakitari mwenye ndoto za kuwa mwanamuziki, am 24 hopeful sijachelewa kuanza upya kaka amos. Nipe jua nime mvua, nipe nafasi nyingine nataka tena kukua
Hakika hujachelewa
Nimependa hekima zako. Mungu akubariki kwa kazi nzuri. Vijana tu washindwe wenyewe kuona madini haya!
👍
Yuko vizurii huyu kaka
Waaaah umenisaidia saana
Naji vunia kuitwa amosi asante wajina langu
Asante pia
Wewe ni zaidi ya tunu,nafarijika sana kuyaonja na kuyaishi mapishi yako ya kifasihi,umekuwa kurunzi ktk maisha yangu,mola akuzidishie kila uchao.
Asante sana
Kibaji dunia hii ya sasa zaa ingine zi muhimu.
Nakuelewa sana kiongoz, endelea kutupa vitu.
Asante kwa kunielewa
Kazi nzur brother
Asante
Kabsa mwalimu, I like it alot
Thanx
nakufatilia sana..Mengi najifunza sana...Mwalimu ila najitfuta kwenye udakitar
JITAFUTE kwa herufi kibwa😂😂
Jitafute ✊✊💪🔥
Ujue purpose yako
Heshima kwako Mwalimu Amos
Nashukuru
Je ni Kwa namna Gan kutambua talanta yako
Darasa darasani . big up mwalimu
Thanx
Exactly Amosi , See you at the top.
Kenya 🇰🇪🇰🇪 we love you
Kaz nzuri kaka
Nakubali pmoja sana big up
Sawa kabisa brother
Pamoja
👏👏unaniinspire Sana🙏
Hakika unanifunza yalio mema kila siku 🙏💪❤️
Pamoja
Mtu makini mwl amos
Naam!
Kazi nzuri kaka maisha marefu
Hujambo Ba.Mkubwa,huyu hapa ni Mmoja wa mashabiki wako toka Nairobi Kenya.Unafanya kazi nzuri.Heko.Endelea kuielimisha jamii.
Asante sana,wasalimie Nairobi
Mwalimu, hakika wewe umefungua talanta yako...
Hakika
Unajua bro Mungu akuweke
Amen,,
nimekubali ngoja nikajitafute
Asante sana,kajitafute
Wew ni bora na unajumbe mzuri
Bro unatuacha mda mrefu sana bro
mambo mazuri hayahitaji kukurupuka kaka
Kweli kabisa najifunza mengi kupitia kwako
Hakika
Asante sana
Asante kwamafunzo
Mungu abariki kazi ya talanta yako
@ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @ gmail @
Xina budi kusema Asante kwa somo bro
Safi sana brother
Uko vzur sana
Asante sana
Wapili kucomment, I appreciate u kak yng. Pa1 katika ujenz wa fikra.
kweli mwalimu hakiri ni wewe tu kufanya
Mawaidha 💕🔥🙏
yamenifaa maneno kuntu sana kaka
kazi nzuri mkuu
tafadhali tembelea uurasa huu kwa mashairi zaidi ya kiswahili
Nakubali Sana Kaka!!
Asante sana
nashuru sana amos broo
Asante sana
Ukweli kabisa aiseee....yaani hata sauti inavutia kuendelea kuisikiliza.
Naamini wewe ulishaijua talanta yako