𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 WA 𝗠𝗜𝗝𝗔𝗗𝗔𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗧𝗨

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 48

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 День назад

    Maneno mazuri sana. Hawa ndio Masheikh wetu WA Kisalafy twawapenda . Allah awahifadhi aaamin

  • @NMJAHsaid
    @NMJAHsaid 19 дней назад

    Huo ndio uamuzi bora umeuchukua sheikh Abdallah, hawa watu hawaitaki hakki na wanajua wanalofanya ni jambo hakuna kikubwa wanachokijua ni matusi ndio hoja zao. Haya ni madonda sheikh wangu.
    حفظك الله يا شيخ

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 19 дней назад

    Mashaallah sheikh ABDALLAH.CHAPA WAO SANAAA TENA HAWA WANASARA

  • @abuuamri
    @abuuamri 20 дней назад +4

    Ukiona unakoment utumbo jua imekugusa maashallah allah akuhifadhi sheikh wetu na daaw inachanja mbuga....

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  19 дней назад

      Amin Baarak Allah fiyk

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 дней назад

      Mie imenigusa Sana KUANZIA kichwa cha habari, Yaani Hana mda wa mjadala wa kihoja ila ana mda wa kuongelea jikoni!!!

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 19 дней назад

    barakallahu fik shekh humed pia nakumbuka shekh bachu alijaribu kufanya nao mjadala mara ghafla wakamzulia eti amekojoa. ni watu wanaopenda istizai sana katika mambo ya dini mara nyingi hawako Sirius katika dini lakini ajabu wao huona hivyo ndio sana

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 18 дней назад

    Huna uwezo wa mjadala wewe... Kazi yako matusi tu😅😅

  • @arifali3942
    @arifali3942 18 дней назад

    MAJIGAMBO TU UNA MUDA WA KUONGELEA WATU TU

    • @OmaryJuma-zd2nq
      @OmaryJuma-zd2nq 18 дней назад

      Soma kwanza kijn

    • @arifali3942
      @arifali3942 18 дней назад

      @OmaryJuma-zd2nq NIPO KATIK KUSOMA MZEE WANGU.JE KUNA JENGIN BAADA YA HILO ULILOLISEMA ?

    • @OmaryJuma-zd2nq
      @OmaryJuma-zd2nq 18 дней назад

      @arifali3942 Kisha acha hasadi nadhana mbaya kwani uislam. Unatukataza hivyo
      Pia ufahamu kilichoma ktk kifua chake.

    • @arifali3942
      @arifali3942 18 дней назад +1

      @OmaryJuma-zd2nq unaonekan hujielew kifuan hatujui lakin si tunamsikiq majigambo tunahukum Dhwahir ya nje na kile kinachonekan audio imejaa majigambo na kila audio ukisikilz yy ni kujadil wat wat sasa hasad ipo wap acha ushabiki katika din ndugu huu sio mpira

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 19 дней назад

    Hahahahah mbona kama kapaniki😂

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 20 дней назад

    Haya lengo letu sisi sio hao masheikh wa kighurafi, lengo letu sisi ni Hawa waumini waso jua kitu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 19 дней назад

      Waumini wasiojya kitu niwale wanaoamini BIDAAH ya Taksim TAWHEED.
      MTUME hakuwahi kuifundisha wala haijui.

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 19 дней назад

      @IsmailSanga wapi Kuna taqseem ya tawbah?...Yani we mpaka Leo hujaelewa maskini

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 19 дней назад

      @hassanmohamedlaizer569 Ambacho hakikufanywa na MTUME wala Swahaba kinaitwaje?

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 19 дней назад

      @@IsmailSanga ni bid'a lakini Quran na Hadith zinathibitisha tawheed 3 kama ilivyo thibitisha nguzo za swala, migawanyo ya subra, vigawanyo vya tawheed, na mengineyo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 19 дней назад

      @hassanmohamedlaizer569 Hua mnasema hakunaga bidaah nzuri zote ni haram inakuaje leo mnafuata bidaah!?
      Naomba nionyeshe hiyo aya iliosema TAWHEED imegawanyika mara tatu.

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 19 дней назад

    Tatizo sio mijadala Bali wanafunzi wanasambaza mawaidha yenu kwenye Magroup ya WhatsApp Kisha wanabanwa maswali wanashindwa kujibu, Kisha Mwalimu unaunganishwa ujibu maswali una left group mbiooooooo! Watu wakueleweje? 😂😂😂😂😂

  • @HamisiKacheche
    @HamisiKacheche 20 дней назад +2

    Mfano uliotoa hauendani na unachokizungumza kabisa,, halafu usisem kuwa huna muda wa mjadala na makhurafi sema tu nyie kundi zima ilimu yenu ndogo hamuwawezi watu watasawwufii,,, mnaogopa San lugha na fani nyingine mpo chini sana,,, ndio maan muasisi wenu baada ya kuona hilo ndio akawek kanuni musibishane wala kufanya mjadala na watu watasawwufii anajua kam ilimu yenu ipo chini kila siku mtashindwa,,,na Kam unabisha taka mjadala halafu tukuletee watu huko ulipo katika nchi yako,,,, halafu uone balaa la watu wa watasawwufii,,, Yaan Kam ww kweli ni Shekh kwenye kundi lako lakini ukija huku,,ni mweupe kam karatasi ya kombe tu,,

    • @HamisiKacheche
      @HamisiKacheche 20 дней назад

      Sio mda unao? Sem ilimu unayaoo?

    • @mishaalabdallah001
      @mishaalabdallah001 20 дней назад +2

      Elimu ya kukata viuno na mabega barabarani😂😂sio?.....Acha uzuzu changamka wewe huu c ushabiki wa Mpira...Fata haqqi sio Balagha na shirk za kuabudu makaburini.

    • @HamisiKacheche
      @HamisiKacheche 20 дней назад

      @@mishaalabdallah001 ww ulimuona Shekh gani wa kitasawwufi anakataa viun barabarani? Embu tutajie,, kisha unasema nifuate haqq sy balagha na shirk na kuabudu makaburi,,, kwamaan hiyo wale ambayo wanaosom ililmu ya balagha ni wapotevu na washirikna? Sas sikia ww nenda kaulize maan huna ilimu ww ya kwenda kununua kitabu,, nenda kaulize kitabu hikiكيف تتقن البلاغة mtunzi nani? Halafu huyo mtunzi ni Shekh wa upande gani? Na tunajua kwenye quran imetumika sana,,,pia nani uliye shuhudia kwa macho yako hayo anaabudia makaburi tutajie kwa majina yaan umewaona ukifika wakati wa swala wanaenda makaburini? Hatutaki shee kasema hapana kaburini utakuw pekee yako,,sas endapo utakapo simamishw mbele ya ALLAH toa ushahidi kina nani uliwaon wanaabudia makaburi utasema kina nani?

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 20 дней назад +1

      😂😂😂 mjadala hatutaki na tukifanya hamna la kusema enyi makhurafi na wewe kama waona masheikh zetu hawana elimu nenda kamuulize sheikh wako mudyr wa shamsia kamuulize abuu idiy kamuulize sheikh dedes wameuliza maswali wakajibiwa hoja zao kisha wakatolewa hoja na kuulizwa maswali mpaka leo hawana majibu kimyaa 😂

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 20 дней назад

      Labda elimu ya kukata viuno😁😁masufi elimu watoe wapi!??

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 19 дней назад

    Sema huna hoja usisema huweze kujadiliana nao kwasababu elim huna ni maneno ndo mengi

    • @OmaryJuma-zd2nq
      @OmaryJuma-zd2nq 18 дней назад

      We mwenye elimu yakumshinda shekh upo wapp?!!

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 18 дней назад

      @OmaryJuma-zd2nq kwahiyo unamuona anaelim sana hata Mungu kasema tujadiliane kwa wema yeye anasema hawezi kujadiliana na makhurafi niwazi dini haijui

    • @OmaryJuma-zd2nq
      @OmaryJuma-zd2nq 18 дней назад

      @YaziduIddy-u7p uyo shekh wako mwenyew hawezi kusema ilo unalo lisena wew
      Kua shekh hana elim
      Pia ata wew kama itakua muadilif nafsi Yako yakir kinyume nahayo unayo yasema.

    • @OmaryJuma-zd2nq
      @OmaryJuma-zd2nq 18 дней назад

      @YaziduIddy-u7p alaf kujadiliana kunapatikana kama ndani yake pata kua na natija nzur

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 18 дней назад

      @@OmaryJuma-zd2nq natija gani wakati nyie mnajiona mmeongoka kwahiyo hata upewe hoja za namna gani huwezi kufuata kwa mfano maulidi hata inb taymia kasema sio bidaa lakini kauli hiyo mnaificha na hamsemi

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 19 дней назад

    Nakweli usikubali kwasababu watakuuliza umetolea wapi taksim TAWHEED MTUME gani alifundisha,Huwezi toa jibu.

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 19 дней назад

      Kutosoma ni msiba mkubwa mno, na maulidi ni kigawanyo cha nini?

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 19 дней назад

      @NMJAHsaid Wahuni nyie kasomeni,Mnazusha mpaka kwenye AKIDA!.

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 18 дней назад

      @@IsmailSanga wahuni ndio dalili ya maulidi kusomwa?!?! Mumeweka matusi na ufidhuli mbele sababu ya kukosa hoja ya kujitetea.

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 19 дней назад

    Sasa hihi huwez kufanya mjala na wajinga sasa wataongea nini sahihi