- Видео 504
- Просмотров 564 980
Sabri Zamil Almendhry
Канада
Добавлен 9 июл 2015
Kazi yetu ni kukusogezea mafunzo sahihi, kukumbusha na kukuletea majawabu kutoka kwenye vinywa vya masheikh wetu. Hapa ni Elimu kwa dalili القران الكريم والسنة ومنهج الصحيح هي منهج السلف الصالح Subscribe now!
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗬𝗘𝗠𝗘𝗡 𝗞𝗨𝗩𝗨𝗡𝗝𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔𝗠 𝗟𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗞𝗛𝗔𝗟𝗔𝗦𝗪𝗔
𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗬𝗘𝗠𝗘𝗡 𝗞𝗨𝗩𝗨𝗡𝗝𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔𝗠 𝗟𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗞𝗛𝗔𝗟𝗔𝗦𝗪𝗔
Просмотров: 267
Видео
𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔𝗟𝗢𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
Просмотров 1732 часа назад
𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔𝗟𝗢𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 WA 𝗠𝗜𝗝𝗔𝗗𝗔𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗧𝗨
Просмотров 9932 часа назад
𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨 𝗔 WA 𝗠𝗜𝗝𝗔 𝗔𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨 𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗧𝗨
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗗𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨
Просмотров 2182 часа назад
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡 𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨
𝗠𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗦𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗧𝗨 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗥𝗜𝗬𝗔𝗗𝗛
Просмотров 1,4 тыс.7 часов назад
𝗠𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗦𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗧𝗨 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗥𝗜𝗬𝗔 𝗛
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗛𝗥𝗜𝗥 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔
Просмотров 8099 часов назад
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗛𝗥𝗜𝗥 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝟭𝟬 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗔𝗠𝗔 𝗧𝗢𝗕𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗧𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗞𝗨𝗪𝗘𝗣𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔
Просмотров 24514 часов назад
𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝟭𝟬 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗔𝗠𝗔 𝗧𝗢𝗕𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗧𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗞𝗨𝗪𝗘𝗣𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗛𝗜𝗠 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗔𝗟𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗘𝗗𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗠𝗧𝗨𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 ABUU OMAR 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗧𝗨𝗟𝗜𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔
Просмотров 3,8 тыс.14 часов назад
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗛𝗜𝗠 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗔𝗟𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗘 𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗠𝗧𝗨𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 ABUU OMAR 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗧𝗨𝗟𝗜𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔
𝗠𝗔𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗬𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗢𝗧𝗛𝗠𝗔𝗡 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔
Просмотров 31016 часов назад
𝗠𝗔𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗬𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗢𝗧𝗛𝗠𝗔𝗡 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗨𝗡𝗜𝗔
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗪𝗜𝗧𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗦𝗜𝗝𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜
Просмотров 63116 часов назад
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗪𝗜𝗧𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗦𝗜𝗝 𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜
𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗠𝗔𝗦𝗦 𝗠𝗦𝗜𝗝𝗘 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗘𝗚𝗢 𝗛𝗨𝗨
Просмотров 41219 часов назад
𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗠𝗔𝗦𝗦 𝗠𝗦𝗜𝗝𝗘 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗘𝗚𝗢 𝗛𝗨𝗨
𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗡𝗔𝗘 𝗘𝗧𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗢𝗥𝗜𝗚𝗜𝗡𝗔𝗟 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔𝗢 𝗨𝗠𝗘𝗢𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗔𝗡𝗜
Просмотров 41619 часов назад
𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗡𝗔𝗘 𝗘𝗧𝗜 𝗡 𝗜𝗢 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗢𝗥𝗜𝗚𝗜𝗡𝗔𝗟 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔𝗢 𝗨𝗠𝗘𝗢𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗔𝗡𝗜
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
Просмотров 29721 час назад
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗗𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔𝗗𝗔𝗔𝗗𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
Просмотров 22314 дней назад
𝗥𝗔 𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜 𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔 𝗔𝗔 𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜
Просмотров 32021 день назад
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔 𝗜
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡𝗗𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
Просмотров 35921 день назад
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡 𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨 𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡 𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
Просмотров 1,1 тыс.21 день назад
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
Просмотров 51621 день назад
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡 𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
Просмотров 55621 день назад
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
Просмотров 47021 день назад
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
Просмотров 26021 день назад
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗘𝗣𝗢𝗡𝗜 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗔𝗥𝗤𝗔𝗠 𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗨𝗗 حفظه الله
Просмотров 24921 день назад
𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗘𝗣𝗢𝗡𝗜 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗔𝗥𝗤𝗔𝗠 𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗨 حفظه الله
𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜, 𝗨𝗡𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛? 𝗝𝗘, 𝗡𝗔𝗬𝗘𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗞𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔?
Просмотров 16921 день назад
𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜, 𝗨𝗡𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡 𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛? 𝗝𝗘, 𝗡𝗔𝗬𝗘𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗞𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗔?
𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗜𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗢𝗡𝗜 𝟵𝟬𝟬 𝗨𝗞𝗜𝗠𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗔
Просмотров 26121 день назад
𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗜 𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗢𝗡𝗜 𝟵𝟬𝟬 𝗨𝗞𝗜𝗠𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗔
𝗨𝗞𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗜𝗖𝗛𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜? 𝗨𝗡𝗔𝗔𝗡𝗚𝗔𝗟𝗜𝗔 𝗜𝗡𝗚𝗥𝗘𝗗𝗜𝗘𝗡𝗧𝗦? 𝗝𝗨𝗜𝗖𝗘 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗨𝗡𝗨𝗔 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔?
Просмотров 30521 день назад
𝗨𝗞𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗜𝗖𝗛𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜? 𝗨𝗡𝗔𝗔𝗡𝗚𝗔𝗟𝗜𝗔 𝗜𝗡𝗚𝗥𝗘 𝗜𝗘𝗡𝗧𝗦? 𝗝𝗨𝗜𝗖𝗘 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗨𝗡𝗨𝗔 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔?
𝗨𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗠𝗞𝗘 𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗠𝗨𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗜𝗡𝗦𝗛𝗔𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
Просмотров 32 тыс.21 день назад
𝗨𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗠𝗞𝗘 𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗠𝗨𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗜𝗡𝗦𝗛𝗔𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
𝗔𝗗𝗔𝗕𝗨 𝟰 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗢 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗜
Просмотров 1,1 тыс.21 день назад
𝗔 𝗔𝗕𝗨 𝟰 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗢 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗜
𝗦𝗜𝗢 𝗜𝗠𝗔𝗠 𝗠𝗨𝗝𝗔𝗗𝗜𝗗 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗥𝗔𝗕𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗗’𝗔𝗔
Просмотров 45721 день назад
𝗦𝗜𝗢 𝗜𝗠𝗔𝗠 𝗠𝗨𝗝𝗔 𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗥𝗔𝗕𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜 ’𝗔𝗔
𝗭𝗜𝗧𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗦𝗔𝗗𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢
Просмотров 18221 день назад
𝗭𝗜𝗧𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢
𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗗𝗢𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜
Просмотров 27521 день назад
𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗢𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜
Huna uwezo wa mjadala wewe... Kazi yako matusi tu😅😅
Alhamdulillah
Sasa hihi huwez kufanya mjala na wajinga sasa wataongea nini sahihi
Naam
barakallahu fik shekh humed pia nakumbuka shekh bachu alijaribu kufanya nao mjadala mara ghafla wakamzulia eti amekojoa. ni watu wanaopenda istizai sana katika mambo ya dini mara nyingi hawako Sirius katika dini lakini ajabu wao huona hivyo ndio sana
Huo ndio uamuzi bora umeuchukua sheikh Abdallah, hawa watu hawaitaki hakki na wanajua wanalofanya ni jambo hakuna kikubwa wanachokijua ni matusi ndio hoja zao. Haya ni madonda sheikh wangu. حفظك الله يا شيخ
Tatizo sio mijadala Bali wanafunzi wanasambaza mawaidha yenu kwenye Magroup ya WhatsApp Kisha wanabanwa maswali wanashindwa kujibu, Kisha Mwalimu unaunganishwa ujibu maswali una left group mbiooooooo! Watu wakueleweje? 😂😂😂😂😂
Assalam aleykum.Sheikh.Abdallah naomba unibainishiye hii sujud shukri wakati uko mchezoni.Mathalan umefunga bao katika mchezo wa kandanda ukasujudu.Hii yafaa?
Mashaallah sheikh ABDALLAH.CHAPA WAO SANAAA TENA HAWA WANASARA
Nakweli usikubali kwasababu watakuuliza umetolea wapi taksim TAWHEED MTUME gani alifundisha,Huwezi toa jibu.
Kutosoma ni msiba mkubwa mno, na maulidi ni kigawanyo cha nini?
@NMJAHsaid Wahuni nyie kasomeni,Mnazusha mpaka kwenye AKIDA!.
Hahahahah mbona kama kapaniki😂
Sema huna hoja usisema huweze kujadiliana nao kwasababu elim huna ni maneno ndo mengi
Haya lengo letu sisi sio hao masheikh wa kighurafi, lengo letu sisi ni Hawa waumini waso jua kitu
Waumini wasiojya kitu niwale wanaoamini BIDAAH ya Taksim TAWHEED. MTUME hakuwahi kuifundisha wala haijui.
@IsmailSanga wapi Kuna taqseem ya tawbah?...Yani we mpaka Leo hujaelewa maskini
@hassanmohamedlaizer569 Ambacho hakikufanywa na MTUME wala Swahaba kinaitwaje?
@@IsmailSanga ni bid'a lakini Quran na Hadith zinathibitisha tawheed 3 kama ilivyo thibitisha nguzo za swala, migawanyo ya subra, vigawanyo vya tawheed, na mengineyo
@hassanmohamedlaizer569 Hua mnasema hakunaga bidaah nzuri zote ni haram inakuaje leo mnafuata bidaah!? Naomba nionyeshe hiyo aya iliosema TAWHEED imegawanyika mara tatu.
HahahahahahahAaaaa inaonekana mwisho wa usalafi hauko mbali wao na mabwana zao ambao waliwasomesha kiarabu pasipo kuwasomesha uislamu na misingi yake. Tumuache Aendelee kupata muadhara wa kielimu inaonekana ni mtupuuuu huyu jamaa asie FAA kuwaongoza watu kielimu tunamjomba kama hizbu-utahariri wa Kenya anawakimbia tunamkaribisha zanzibar tujee tumpe somo la Aqida na vipi aqida huthibitiswa . Ili achee ujinga ambao maulamaa miaka mingi walisha Maliza majibu yake haya anayo yazungumza kama Allah atamueka siku akija kujua dini atalia kwa udhalili.
Ukiona unakoment utumbo jua imekugusa maashallah allah akuhifadhi sheikh wetu na daaw inachanja mbuga....
Amin Baarak Allah fiyk
Mfano uliotoa hauendani na unachokizungumza kabisa,, halafu usisem kuwa huna muda wa mjadala na makhurafi sema tu nyie kundi zima ilimu yenu ndogo hamuwawezi watu watasawwufii,,, mnaogopa San lugha na fani nyingine mpo chini sana,,, ndio maan muasisi wenu baada ya kuona hilo ndio akawek kanuni musibishane wala kufanya mjadala na watu watasawwufii anajua kam ilimu yenu ipo chini kila siku mtashindwa,,,na Kam unabisha taka mjadala halafu tukuletee watu huko ulipo katika nchi yako,,,, halafu uone balaa la watu wa watasawwufii,,, Yaan Kam ww kweli ni Shekh kwenye kundi lako lakini ukija huku,,ni mweupe kam karatasi ya kombe tu,,
Sio mda unao? Sem ilimu unayaoo?
Elimu ya kukata viuno na mabega barabarani😂😂sio?.....Acha uzuzu changamka wewe huu c ushabiki wa Mpira...Fata haqqi sio Balagha na shirk za kuabudu makaburini.
@@mishaalabdallah001 ww ulimuona Shekh gani wa kitasawwufi anakataa viun barabarani? Embu tutajie,, kisha unasema nifuate haqq sy balagha na shirk na kuabudu makaburi,,, kwamaan hiyo wale ambayo wanaosom ililmu ya balagha ni wapotevu na washirikna? Sas sikia ww nenda kaulize maan huna ilimu ww ya kwenda kununua kitabu,, nenda kaulize kitabu hikiكيف تتقن البلاغة mtunzi nani? Halafu huyo mtunzi ni Shekh wa upande gani? Na tunajua kwenye quran imetumika sana,,,pia nani uliye shuhudia kwa macho yako hayo anaabudia makaburi tutajie kwa majina yaan umewaona ukifika wakati wa swala wanaenda makaburini? Hatutaki shee kasema hapana kaburini utakuw pekee yako,,sas endapo utakapo simamishw mbele ya ALLAH toa ushahidi kina nani uliwaon wanaabudia makaburi utasema kina nani?
😂😂😂 mjadala hatutaki na tukifanya hamna la kusema enyi makhurafi na wewe kama waona masheikh zetu hawana elimu nenda kamuulize sheikh wako mudyr wa shamsia kamuulize abuu idiy kamuulize sheikh dedes wameuliza maswali wakajibiwa hoja zao kisha wakatolewa hoja na kuulizwa maswali mpaka leo hawana majibu kimyaa 😂
Labda elimu ya kukata viuno😁😁masufi elimu watoe wapi!??
Allah akubarik shaykh na akuhifadhi
Amin, Allah akubariki na wewe pia
Mpaka sasa ni mzuka bado.
Huyu sheikh ni mzushi sana,hem lete basi ushahidi wa unachosema basi,sub haanallah,anguko kubwa na masheikh hili
Da'awa Salafia ni Nuru
Baarak Allah fiyk
Wewe mzushi mkubwa Hzb inaharamisha kuwepo adhabu ya Kaburi? na hata Hilo Aahad umeelewa vibaya ila twajua mkokazini
Hawa Masalafy ni ktk Viumbe waovu kuliko kina Abujahali kwa kuwa Abujahali twamjua ila Hawa twawaona ni wetu ila Kirusi na ni hatari sana.Pia mara nyingi twawaomba mnakasha na wao mbona mnakimbia?
Jazaakallah khyra, Allah amhifadh shekhe wetu, Naomb darsa nzima itumwe jmn maan naona kama inaendlea
Amin Baarak Allah fiyk
Salafy mnanichafua nafsi. Wewe Sheikh Mzushi
sheikh #humud kama kweli wewe sio sehemu ya mayahudi tunaomba mpinge bosi wako anakataa hadithi ahaad sio tu kwenye aqida bali mpaka kwenye sheria na hukmu za kawaida ruclips.net/video/v6dnXCOyOz4/видео.html
#Saud yapinga hadithi Aaaahaad je #MASALAFY watakataa riyali zake na kumwita mutazila? ushaidi huuu ruclips.net/video/v6dnXCOyOz4/видео.html
kama kweli Humud anashida na dini mwambie asikilize bosi wake MBS anavyo kataa kabaisa hadithi Aaahaad je na yeye ni mu,utazila ? na kama na yeye ni mu,tazila basi akatae misaada na posho kutoka Saud kwa kiongozi wa Mu,tazila ruclips.net/video/CpPOdnpLz5M/видео.html
kumbe Humud hana akili kabisa hajui namna ya kuthibiti hadithi na namna ya kusomesha hadithi eti mtume kamtuma swahaba mmoja akasomeshe aqida ina mana hujui kinacho zungumzwa? bana ya vipi haidthi ili thubutu kwa namna gani kutoka kwa mtume na vipi ilisambaa (kufukisha) Humud nyie ndio mnatumiwa na makafiri wazi bila kificho Saud mdhamini wenu wa da,awa ana shirikiana wazi na mayahudi na sasa anateka kuweka ubalozi wa Israel
mfadhili wenu MBS anasema anapinga hadithi ahaad na atahakikisha anabadilisha misimamo ya uislamu na nyote mmekubali hilo
nyie salafy mmejificha kwenye neno tauhid lakini nyie ndio maadui wa tauhiid leo mnahalisha kuwatii makafiri wanao tawala kwa kufuru ni wazi nyie ni sehemu ya kulinda ukafiri
Salafy ni mayahudi hakuna asiye jua ; nyie mmeunga mkono mayahudi kuuwa waislamu wa Gaza nyie ni mayahidi bila kificho
nauliza sheikh km umelala ukachukuliwa roho yako usingizini utaskia uchungu wa maut ?
Ukiwa umelala roho yako ikatolewa upo usingizini haupati maumiv ya sacraatul mauti
ALLAH atupe mwisho mwema
Amin
Allahumma Amiyn 🤲
Baarakanllah fiyk wajazakumnllah. Khairay
حفظ الله شيخنا مقبل الله يغفر له ويرحمه
آمين بارك الله فيك
Allah amuweke pepon shekh Mukbel AlWade
Amin Baarak Allah fiyk
Kweli Allah amuhifadhi shekh Yahya Hajuri na wafuwasi wake
Amin Baarak Allah fiyk
Duh unafki juu ya unafki, We mwenyewe hizbi, afu waita wenzio hizbi.
ww hajawirah inavo oneshaa
ما شاء الله....
بارك الله فيك
Barakallah
Amin Wafiyk baarak Allah
Mmoja mvutaji bangi nilimpeleka madrasa baada ya siku tatu akashikwa avuta madrasa nikapigiwa simu ikabidi nimpeleke khuruuj kwa sasa Alhamdullilah aendelea na Ilmu yake shilingi ikiwa kwenye tope hata ukaiyosha na ntungi mzima haisafishiki lakini itoe kwenye mazingira yake iyoshe na glass moja itasafishika
Na waumini wa kiume nawaumini wa kike baadhi yao juu yawwngine wanaamrishana mema wanakatazana mabaya hii ayah ni Aaam si khaasw
MashaALLAH
Baarak Allah fiyk
MashaALLAH
Baarak Allah fiyk
BARAKA ALLAH LAKUM. MANHAJ SALAFIYUN NDIYO UISLAMU HALISI ALLAH ANAYORIDHIA. NI WAJIBU KULAZIMIANA NA HAKI
Amin Wafiykum Baarak Allah
HUYU SHEIKH ANAPOROJA TU HANA UHAKIKA NA ANACHOKISEMA . MWENZA MUSSA KIZA ASEM TABLIGH HAWAN KHERY HATA MOJA YY HUYU SEMBE ASEM KHERY WANAYO
Ina maana Omar bin khatwab na Abubakar walikuwa na maarifa juu ya uongozi wa uislamu kuliko Mtume maana yy alishindwa kuchagua khalifa mpaka anakufa 😂
Huyu jamaa ni mudallis Mskilizeni ktk radd yake kwa sheikh sameer mudir wa shamsul maarif Kassim Mafuta alidai kuwa : Wakafiri wote wanaakibali tauhid (rububiyya) lspokuwa firauni . Leo kabadilisha : akadae eti Baadhi ya makafiri wanaamini tauhid rububiyya .. Hii inaonesha namna gan uyu jamaa ni mrongo ...
Ishaallah
Baarak Allah fiyk
Jaamaa kibisa ndo nini