SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024
  • Mungu akiingia agano na wewe, mtu akijaribu kupambana na wewe anakua anapambana na Mungu.
    Uko happ una-survive ni kwasababu Mungu aliweka agano na wewe.
    Mungu akikuambia toa sadaka na akakuambia mpaka kiasi cha kutoa, usifikiri Mungu anakua na SHIDA na sadaka yako, Kuna kitu ANAKITAFUTA.
    Agano la Mungu na Abraham ndilo lililowatoa Israel utumwani, NEEMA aliyokua anatembea nayo Musa ilikua ni kwasababu ya agano.
    Unapopata nafasi ya kutoa sadaka TOA, unapopata nafasi ya kuweka agano na Mungu kwa njia ya sadaka ichukulie kwa UMAKINI.
    Mungu ni mwaminifu na siku zote analitimiza neno lake.
    #PastorSunbella#Sadaka#Agano

Комментарии • 26

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @PatrickMwakai
    @PatrickMwakai 3 месяца назад

    Amen Amen God bless this ministry

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi Год назад +1

    Babaangu wa kiroho 🙏🙏🙌Mungu akubariki sana

  • @NelsonMboya
    @NelsonMboya Год назад +1

    Thank you, Pastor Sunabella, You are such a Blessing to this Generation . Mungu azidi kukubariki Mtumishi..

  • @hannahmanu8642
    @hannahmanu8642 Год назад

    Thank you God I know you fulfil your promise in my life..... You promise I will 4get my shame of my youth that is the time lord remember your promise in Jesus name amen

  • @happynessmoshi6487
    @happynessmoshi6487 Год назад

    Mungu ni mwaminifu sana

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 3 года назад +1

    usifanye uadui na mwenye Agano ogopa sana

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 3 года назад +1

    Hakika Jiulize je upo kama ulivyo kwa sababu gani? mshukuru Mungu na usijinasibu kwa hali uliyo nayo bali huwezi jua yupo anayekuombea yupo aliyeyeweka agano. mshukuru Mungu
    asante mtumishi

  • @MatronaPaul-de5kd
    @MatronaPaul-de5kd Год назад

    Mungu nifundishe juu ya sadaka ya agano. Mimi na uzao wa Tumbo langu

  • @mkamantale6491
    @mkamantale6491 3 года назад +1

    NIMEKUELEWA SANA PASTOR MUNGU AWE PAMOJA NAWE

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 2 года назад

    Mungu wa mbinguni asante kwa mtumishi wako huyu umbariki umpe maisha mema na mazuri ahudumie kanisa zaidi

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 года назад

    Agano lako likatimie kwangu Mungu kwa neno la mtumishi wako

  • @elizabethfatuma9053
    @elizabethfatuma9053 9 месяцев назад

    Amen Baba Barikiwa Sanaa

  • @johnmwanganda491
    @johnmwanganda491 Год назад

    Amen, hakika ipo nguvu katika agano

  • @joshuatai40
    @joshuatai40 3 года назад +1

    Hakika MUNGU anakutumia 🔥🔥🔥🔥

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 года назад

    Mungu Mwaminifu somo hili nmerudia kusikiza sijachelewa Amani ya BWANA ikae na mtumishi wake Amen

  • @marymwalyema9820
    @marymwalyema9820 3 года назад

    Haleluyaaaaaaaaaaaaa jamaniiiiii hili kweli ni neno la Mungu ambalo halijachakachuliwa Mungu tusaidieeeeee

  • @ntulisuzan897
    @ntulisuzan897 Год назад

    Hallelujah 🙏

  • @salumsaid4456
    @salumsaid4456 Год назад

    Barikiwa sana

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 2 года назад

    Mungu ni mwaminifu, Amen 🙏🙏🙏

  • @fatumadaud6273
    @fatumadaud6273 2 года назад

    Thank you pastor 😭🙏🙏

  • @jaqueeen1
    @jaqueeen1 3 года назад

    Ni muhimu kusikiliza several time hili neno 😗

  • @jaqueeen1
    @jaqueeen1 3 года назад

    Just at a right time I needed this thank you

  • @fostinenangila1680
    @fostinenangila1680 7 месяцев назад

    Umesema ukweli, kwanza dhabiu ya kuvunja madhabau si mchezo, attacks huwa nyingi sana.

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 года назад

    Asee for my business nafanyaje nataka nifanye agano ktk hili

  • @jenifadenis7321
    @jenifadenis7321 Год назад

    Muwe muna taja na kitabu na mistali