LULU DIVA: TUMEOMBANA MSAMAHA NA LAVALAVA/NIMEPENDA/HAMISA KATISHA/NGOMA KALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 июл 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 116

  • @leydeblo7763
    @leydeblo7763 2 года назад +1

    Beautifully ldy

  • @officialno.1394
    @officialno.1394 2 года назад +7

    Soo fantastic

  • @brigidmua2548
    @brigidmua2548 2 года назад +2

    Gorgeous 😍...

  • @alisonm3700
    @alisonm3700 2 года назад +2

    Huyu Lulu Diva hana adabu, anazungumuziwa na anatazama simu

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 2 года назад +4

    Beautifully lady🥰🥰

  • @phlavianchixx
    @phlavianchixx Год назад

    Amazing 💞💞🤛🤜

  • @alawithebestconcept231
    @alawithebestconcept231 2 года назад

    Iike her talking so much . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @johnonesmo7978
    @johnonesmo7978 2 года назад +1

    Cool

  • @japhetinezkombosafari4955
    @japhetinezkombosafari4955 2 года назад +2

    Awesome💖

  • @marcosshangai9321
    @marcosshangai9321 2 года назад

    Pole sana lulu mapenz ya mungu jikaze usikate tamaaa yot nimaisha ty

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 года назад +15

    Sema ilikuwa kiki usione haya tushazoweya upumbavu wenu

  • @rockyjuniour9514
    @rockyjuniour9514 2 года назад +5

    Dah,kwa kweli yanayoonekana hayawezakani yamekuja kuwezekana...After that long Luluduva kuletewa maua na lavalava akimuomba msamaha na mkana amekuja kamkubali mwishowe

  • @officialgoldenboy4560
    @officialgoldenboy4560 2 года назад +1

    Nomaa

  • @ommydaprince6559
    @ommydaprince6559 2 года назад +2

    💞

  • @muniramohammed2328
    @muniramohammed2328 2 года назад +32

    Hiyo nguo ya lulu diva yafanana na hiyo lebo ya wasafi 😂

  • @amourdelicieuse2961
    @amourdelicieuse2961 2 года назад +9

    Huyu diva Lulu ni mchamba sana tena mhongoo munafki astahili interview ni mbushi vitu vyote kakataaa

  • @issamvugusi514
    @issamvugusi514 2 года назад +5

    Kazur kiasi yake lavalava piga mzigo huo mpaka upate mtoto

  • @Milele
    @Milele 2 года назад +2

    Is the interviewer Diamond Platinumz’s young brother????

  • @shaniamgunda7838
    @shaniamgunda7838 2 года назад

    Nakupenda kwasababu mbili moja wajina wa mwanangu Pili kwasababu unampenda mama yako

  • @kilapotvmedia3616
    @kilapotvmedia3616 2 года назад

    Mmhh kaz ipo apo oo

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 2 года назад +5

    Intervju zake ni mbaya. Anajibu kwakujiona

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 2 года назад +5

    What I believe good music doesn't need Kiki ukifanya mziki mzuri utapenya tu sio lazma ujinga mob you Tanzanian artists need to grow up

  • @stephanoedouardkinoissalva4388
    @stephanoedouardkinoissalva4388 2 года назад

    @lulu diva kubali ni Kiki bongo one day is one, siku ulimwengu itawahelewa muta miss those views

  • @alberthighland6768
    @alberthighland6768 2 года назад +5

    hakuna kitu apo, kiki zinatafutwa kwakwel

  • @generallylee1166
    @generallylee1166 2 года назад +3

    Divvana

  • @issakinono9124
    @issakinono9124 2 года назад +8

    Dah jamaa unamuhoji mpaka anajiogopa😅😅😅

  • @kulway4669
    @kulway4669 2 года назад

    Hii

  • @ramakimolo125
    @ramakimolo125 2 года назад +2

    Gigy ni kikiiiii ita gigy apaaa kiki ake imeendaaa😁

  • @walaaabdallah3236
    @walaaabdallah3236 2 года назад +4

    Ndio ayatuhusu ila ukileta vitu kwenye mitandao basi inatuhusu sana nanilazima tujue yanayoendela

  • @theproces
    @theproces 2 года назад +7

    Inasomeka kama bayo sio bio kama bio

  • @zakiaabou5087
    @zakiaabou5087 2 года назад

    Nakupenda sana lulu diva mwaaaaa

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 года назад +1

    Kazuri mwaya

  • @rukiaabdallah1132
    @rukiaabdallah1132 2 года назад +10

    Nasubir hiyo one week kuona imefikaaa million 😂😂

  • @nolaskodreckkarinyotroni6475
    @nolaskodreckkarinyotroni6475 2 года назад +7

    Kkkkkkkkkkkkkkkkikkiikkki ni kiki kkkkkkkkkkkkkkkkkkk nikiki

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 2 года назад +6

    Huna lolote unajiliza eti oo sitaki kumuona Mara oo tusimwongelee huyo mtu pumbavu kumbe ilikuwa kiki nilisema toka kwako hawa itakuwa kiki kumbe kweli ngoma yenyewe mbovu imechina Kama ka mlenda

    • @jaycollection0266
      @jaycollection0266 2 года назад

      Waliomban msamaha pale pale studio yakaisha ndo maan hajasema chochote

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 2 года назад

      @@jaycollection0266kiki ile bwana wee watu walikuwa wamevaa hadi sare

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 2 года назад

      Tukikasirika tunasemaga ivo ooh staki.kumuona after same few minutes tunasahau c ni nyinyi ndo mmetuzoesha kutubembeleza

    • @maymbeyu5458
      @maymbeyu5458 2 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mohamedkasim2
    @Mohamedkasim2 2 года назад +15

    Ilikuwa ni kiki SEMA ukwel na cio kiki tu ni unafki wa afya na mazingira

  • @khayriyamussa4323
    @khayriyamussa4323 2 года назад

    Lulu nakupenda lkn hzo sugu fichia japo kwa foundation napowder🥰

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 2 года назад +1

    Lulu diva vidole vyeusi tofauti na uso

  • @lizsam9996
    @lizsam9996 2 года назад +2

    Nyie mnapenda Kiki... Nyokoooo msituchoshe nktttt😠😠

    • @lizsam9996
      @lizsam9996 2 года назад

      Chefuuuu mnatuchoshaa khaa😠ebuuuu mtseeeeew

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 2 года назад +2

    Samahani imebuma

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 2 года назад +1

    🔥🔥🔥

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 2 года назад +4

    Sema mchaga unazingu achana na mambo ya ABDUL sema lavalava ndio umahalufu wake. eboo

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 2 года назад +16

    Interview za huyu manzi mi hua sizielewag kabsa,,, kabishi kabishi tuu.

    • @geremanusnorobertgeremanus9554
      @geremanusnorobertgeremanus9554 2 года назад +1

      😀😀😀😀😀

    • @elizabethsakina2306
      @elizabethsakina2306 2 года назад +2

      Umeuwa eti kabishi kabishi tuu 🤣😂😂🤣🤣😂😂

    • @celinekenedy870
      @celinekenedy870 2 года назад +1

      @@elizabethsakina2306😂😂 Eeh mummy cjui kanakubali interview za nn wakat kanajua waandishi wanauliza yote.

    • @ckukuu8404
      @ckukuu8404 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣Kabishibishi

  • @ashanjeri539
    @ashanjeri539 2 года назад

    Lulu diva ukona maringo unachosha

  • @ibrahimismail713
    @ibrahimismail713 2 года назад +6

    Kiki haikufanikiwa.Wimbo mbovu ajabu!

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 2 года назад

    Sasa anahojiwa uku ana chat?🙄

  • @mbarakabdallah9772
    @mbarakabdallah9772 2 года назад +12

    Kiki tu na ngoma haijafika hata laki saba😂😂😂

    • @Blue-vk5ce
      @Blue-vk5ce 2 года назад

      Yep ngoma mbovu, video mbovu

    • @nouriatydavilla2354
      @nouriatydavilla2354 2 года назад

      Hawajuwi ku fanya kiki niwa shaba wa muzik sijuwi jisi lavalava haja ondolewa WCB haiko ana fanya kazi ana shidwa na zuchu mtoto wa juzi tu lavalava afukuzwe

    • @raelnyawera825
      @raelnyawera825 2 года назад

      Hahahaha 🤣🤣🤣

  • @djemimechochi
    @djemimechochi 2 года назад +6

    Stop lieyng.

  • @jasminbeno6203
    @jasminbeno6203 2 года назад

    Lulu msumbufu Sana

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 2 года назад +3

    🤣🤣🤣Comments nachekaa 😂😂😂

  • @janemapoz6360
    @janemapoz6360 2 года назад

    Lulu cream imekusaliti

  • @janemapoz6360
    @janemapoz6360 2 года назад

    Sura nzito

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 года назад +4

    🤭

  • @daddyakimana8586
    @daddyakimana8586 2 года назад

    police sirens

  • @salmazaidalabrawi3723
    @salmazaidalabrawi3723 2 года назад

    Kiki tuu hizo za kishamba

  • @officialmahdi8827
    @officialmahdi8827 2 года назад +6

    Kiki kwa piki piki

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 2 года назад +2

    Île ilikua kiki tu

  • @christianlifestyle4658
    @christianlifestyle4658 2 года назад +1

    Nime ona

  • @fatumahassan1371
    @fatumahassan1371 2 года назад

    Sura akina kuvaa akijui nachikuta😏😏

  • @ukhtyashachannel5505
    @ukhtyashachannel5505 2 года назад +1

    Lava lava hujapata demu apa

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 года назад +7

    Ujinga tu kiki za kijinga kweli kumbe kilikuwa kijimbo chenyewe kabayaa sana

  • @lizychris4776
    @lizychris4776 2 года назад +1

    Mchaga ni mnafiki anaangalia mikono ya lulu kijanja hizo Sugu🤣🤣🤣

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 2 года назад

    Mmetumwa kumchafua konde kwa nguvu zote/jamaa anatongoza kuonyesha uanaume wake ila nadhani nyinyi mlitaka awe shoga kama baadhi ya jamaa zenu wa upande huo

  • @seedclassic2455
    @seedclassic2455 2 года назад

    Divanna tumekuzoe sana,uliamua bila kiki ngoma haitembei,ama kweli bila kiki au stater pikipiki haisongi.cha kwanza haufai kwenye interview maana asilimia kubwa ya maswali unabananga mtoto weee.....,kingine umemvuruga mtoto wa watu mpaka kwa wasafi hatambi tena mpaka sasa pesa haijarudi🤭,hizo nyokonyoko zimezidi na bado laki saba views bado,umejitabilia mwenyewe cjui ivi karibuni itagonga milioni acha tuone kama litawezekana.

  • @leonaidinarugemalila2385
    @leonaidinarugemalila2385 2 года назад

    Unalinga sn

  • @ukhtyashachannel5505
    @ukhtyashachannel5505 2 года назад

    Sii mmaindi uyu demu mbay ila anajikuta kama keki

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 2 года назад +1

    Bila konde mambo hayaendi

  • @ibrapablo5429
    @ibrapablo5429 2 года назад

    Napenda mziki wko we diva huo lava mteme tu

  • @rukiasalum5671
    @rukiasalum5671 2 года назад +3

    Mimi niliwaambia mbona watu wanagombana wakiwa ndani ya sare bongo jamani tumewachoka Leo anashindwa sasa hata lakujitete eti siyo kiki kimbe ni kuku 🤣🤣🤣

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 года назад

    Kwa hiyo mlipanga mkaombeane msamaa mbele ya media au ni nini

  • @laizakimalokileli8560
    @laizakimalokileli8560 2 года назад +1

    😂😂😂😂😂

  • @christinealuoch39
    @christinealuoch39 2 года назад +2

    mna udhi wewe na lavalava

  • @benmichael2456
    @benmichael2456 2 года назад +1

    😂😂😂SAA lavalava anafeli wap

  • @livingstonekonana4503
    @livingstonekonana4503 2 года назад +1

    Ilkuwa kiki hiyo

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 2 года назад +1

    Kwani sio huyu ndio alisema anataka mahari 500 milion au ?

    • @walaaabdallah3236
      @walaaabdallah3236 2 года назад

      Siyo yeye yule anaitwa diva uyo anaitwa lulu diva

    • @esauedison8136
      @esauedison8136 2 года назад

      Hamna huyu msanii yule ni mtangazaji

  • @laizakimalokileli8560
    @laizakimalokileli8560 2 года назад

    niushampa👎👎