Point of correction.Afrika haina nchi inayoitwa Swaziland.Ilikuwepo kwa sasa hilo jina halipo tena Afrika,ila tuna Eswatini.Kuhusu vita kwao tu ndio hakuna vita,ila wanatuma vitani wanajeshi kwenda kuvamia mataifa ya ulimwengu wa tatu Kirumi ndio lugha gani hio?Inatofauti na kitaliani?au ?Na kilatini ni ipi?ila kazi nzuri sana.
Una masimulizi mazuri sana lakini tumia mji wa kibiashara siyo kifedha.
Nurcsh from Tanzania I you sure.
Zuerich ni mji wa kibiashara, mji wa kifedha ambapo kuna mabenki mengi na ofisi nyingi za mashirika ya kimataifa ni Geneva
Umenikumbusha mbali sana Dada -Thanks
Kipindi kizuri sana nafeel npo huko kumbe sijawai kanyagaa 😂😂
Shukrani sana😂🙏
Mimi ni wa kwanza ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ss kinyamwz kimakond na kz
Huuu
Kati kati ya swiss wanazungumza lukha ya twitch hio ndio lukha yao kisha kando kando ya mipaka ndio wanazungumza lukha za inchi ambazo zimepakana nazo
Shukrani sana saaana🙏
wewe muongo wanauchumi gani hata wawe matajir
Point of correction.Afrika haina nchi inayoitwa Swaziland.Ilikuwepo kwa sasa hilo jina halipo tena Afrika,ila tuna Eswatini.Kuhusu vita kwao tu ndio hakuna vita,ila wanatuma vitani wanajeshi kwenda kuvamia mataifa ya ulimwengu wa tatu
Kirumi ndio lugha gani hio?Inatofauti na kitaliani?au ?Na kilatini ni ipi?ila kazi nzuri sana.
Asante saaana saaaana🙏
@@Safiridunianamaureenkwedy10:27 10:32