03. Raddi ya kielimu: Kubatilisha vitimbi vya Shafi dhidi ya Masheikh wakisalafi | Kikao cha Pili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 16

  • @Daifar100
    @Daifar100 Месяц назад

    Endelea kubainisha Akhi usirudi nyuma....Allah akuhifadh

  • @NurdinSaad-j7b
    @NurdinSaad-j7b Месяц назад

    Watoe hoja mashekh

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 Месяц назад +1

    We kijana mbona unazungumza kwa jazba hivyo si ilikuwa tu ujibu hoja me naona we ndio unazidi kuingia chaka na sidhani kama utajibiwa maana inaonekana umekaririshwa hoja uchwala

  • @RamadhaniMohamedi-r2k
    @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад +2

    Mnatumalizia mb zetu tu,, hatuoni hoja yoyote isipokua kupayuka tu... Hoja hazijajibiwa kuanzia suala ya Jai, kusafirisha mabint wa kisalafi, kutoa wanafunz kwenda kupiga kura n.k.. Audio tatu ila maneno yanajirudia.. Mcheni Allah

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Subir sauti ziishe halafu ndio useme hamjajibiwa!!!! Sauti hii kama umeisikiliza mzungumzaji ameibanja shubuha ya Shafi kusema Mashekh wa omar wamewachanganya wanafunzi na mahizbi wa Jai...
      Huo ni uongo na hilo ndio alilolizungumza huy bwana katika sauti yake,, usitake katika sauti moja ajibu kila kitu, mambo hayaendi hivyo, kila kitu kinajibiwa peke yake ili watu wajue njama za Shafi, hakuna kuchanganya kadhia moja katika sauti moja, muache ni mzungumzaji ajimwage mpaka amalize, ikiwa amefika mwisho ndio tuje kuhukumu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      ​@@Daifar100 Naam! Baarakallahu fiyk

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      Kuwa mpole Akhy usibebwe na Fitnah... Makundi ya kihizbi yanazidi kuongezeka tu na huu ni mtihani kwetu!
      Mimi namuomba Allah hizi tofauti zao ziishe kabla hawajaanza kuhizibishana... Sema Shafiy kwanini huwa anasikika kipindi cha vurugu tu???!!! Yani kila vurugu utakuta yeye ndo muhusika mkuu???!!! Kwann kabla ya kuwaradd masalafy wenzake asijadiliane nao kwanza secretly???!!!
      Kama kweny swala la kupiga kura, kaja kutafuta ushahidi baada ya kuwa ashawaradd masjid omary tayar kuwa ni wanachama! Kwann asingewapigia simu wao kwanza kuwauliza????!!!!
      NDO MANA MAGOMVI HUWA YANATOKEA.... KWAKWEL HUU NI MTIHANI MKUBWA SANA HASA KWETU WANAFUNZI WADOGO, MANA TUNASHINDWA HATA TUSHIKE WAPI YAN😢😢😢

    • @RamadhaniMohamedi-r2k
      @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад +1

      @Daifar100 mzozo wa jai sio kuchanganyika wanafunzi wa omar na mahzib wa Jai, hoja ni wanafunzi wa Omar kuchangia damu kupitia taasisi ya kihizb na hakukuwa na haja hiyo, huko ni kuwatia nguvu nguvu mahzb. Mlipoletewa hoja hyo mwanzo mkasema Jai sio taasisi ya kihizb ni kikundi cha kijamii ,Awamu nnas, baadae mkakubali kuwa ni watu wa bidaa ila mkasema kulikua na dharura ya kuchangia damu, mkadaiwa mlete hoja dharura gani hyo ambayo imefanya mshirikiane na Jai, mnatapatapa tu,
      Et saiz mnaruka hoja mnakuja na jambo lingine kabisa mcheni Allah,,

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      @RamadhaniMohamedi-r2k Kwahyo mtu akitaka kuwachangia damu wagonjwa inabidi asipitie kwa JAI???!!! Na vipi kama madaktari ndo wanaotembea na JAI, how watu wataweza kuchangia damu???!!!
      Halafu isitoshe mimi sioni kama hili ndo jambo ambalo laweza kuwagawa masalafy. Kwanini Shafiy asingekaa nao kwanza kulijadili hili? Kwann huwa anakuwa mwepesi wa kuwashambulia masalafy wenzake? huon akiendelea hvo atagombanisha watu wengi?
      It's very wonderful eti masalafy leo wanagombana na kutengana kisa tu KUWACHANGIA DAMU JAI...!!! Hayo yalikuw mambo ya kuzungumza tu yakaisha with no any misunderstanding!

  • @MgumumbayaBalaaziito
    @MgumumbayaBalaaziito Месяц назад

    Shafii ana matatz

  • @hashimukillenja9377
    @hashimukillenja9377 Месяц назад

    Tutumieni audio whatsApp kurahisisha kama afanyavyo Shaafiy anawafikia watu wengi zaidi

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 Месяц назад +1

    Sasa masheikh si wapo kwanini wasibainishe

  • @AbusufyaanKhalfaan
    @AbusufyaanKhalfaan Месяц назад +2

    Humja jibu hoja zilizoko mezani
    Ni matusitu na twaan kuayuka kwingi.
    Kuhusu Jai
    Wanachama wa ccm
    Ku
    Kusafirisha mabint wa watu
    Mnafanya haidaa ili watoke kwenye lengo
    Wamekutuma majhuul
    ulietoka mtawastwa kuibukia thanaw

  • @yusufhote
    @yusufhote Месяц назад

    Huu ni mtihani din imevamiwa na wajinga hii nikama alivyosema mtume kuwa ni alama za qiyama