01. Raddi ya kielimu: Kubatilisha vitimbi vya Shafi dhidi ya Masheikh wakisalafi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 42

  • @katan671
    @katan671 Месяц назад +1

    Markaz Kariakoo washajulikana sasa kwa UHUNI.
    Shafiy Anawatandika vizuri sana.

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Wew kasuku ndie usiye julikana kwenye saha ya dawa tuna mhimidi Allah shekhe shafi anabainisha mapote mbali mbali mahizibi mfano wako

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Bila shaka huyu ni katika walee wadudu

  • @Mashobe
    @Mashobe Месяц назад +1

    🤝💯

  • @omarabdullah-k8j
    @omarabdullah-k8j Месяц назад +1

    hapana din hapa ni mitiha. tu alio tutahin Allah akatika zama hizi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Месяц назад +1

    Duhhhhhh daawa salafia imepatwa na mtihani mkubwa
    Markaz omar wanaiharibu daawa
    kwa maslahi yao ya kutaka vyeo
    Mashekh wenyewe kwa wenyewe hawapatani
    Mizozo tuuuuuuu
    Dahhh

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Huna lolote unatafuta kiki huna jipya ewe kasuku nawe kagombee chama si munacho ewe kasuku mropokaji unawabidii wenzako eti hadadiya wew ndiye hadadiya namba moja bila shaka

  • @husseinsalehe6506
    @husseinsalehe6506 Месяц назад +1

    Ni masikitiko saana kuona Dini imekuwa yakuradiana baina ya waislamu kwa waislam,watu wametoka kabisa kwenye malengo ya Dini,hivi sasa kijana akisoma kidogo anafikiria njia nyepesi ya kupata umaarufu ni kutafuta mtu wake wa kumradi.Watu wamejaa Ria,Kibri na Ujbu.Tumieni ilmu kidogo mnayopata kufikisha Daawa kwa hikma na uadilifu bila jazba.

  • @AbusufyaanKhalfaan
    @AbusufyaanKhalfaan Месяц назад +1

    Mshakuwa wanachama

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب Месяц назад +1

    Mwanzo umekuja na mkwara wa muqaddima kweli ila yanayo semwa yamo mnaharibu manhaj watu wa omar mbona tunawajua mda mrefu t

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Ushashiba zako mikate mikavu unatupigia kelele ewe mgombea kasuku usiye na mbawa ata ufahamiki kwenye saha ya dawa unapalamia mambo makubwa kuwa na adabu basi usiwabidiishe watu kisa unatafuta tumbo lako kujaza Mali za batwili ewe kasuku

  • @RamadhaniMohamedi-r2k
    @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад +3

    Unazungumza kwa jazba sana, halafu unazungumza wenzako vitu ambavyo wewe vinakuhusu, unaposema shaykh shafii hajulikan ila kwenye fitna, ukwel sisi tumeulizana kuhusu wewe, yan hatukujui, maana katika mashaykh na maduat tunaowajua ukwel naapa kwa Allah mimi wewe sikujui ..halafu unasema shaykh shafii kwanini asingewafuata maduat au kuwapigia simu kuwauliza, mbona wewe hujamfuata shafii au kumpgia simu ukamwambia hayo.. Acha Jazba akh.. Hii kadhia ni kubwa hukutakiwa kuzungumza wewe,, wewe ulitakiwa ukae kimya kabisa, kuna ambao wanastahili kuzungumzia kadhia hii.. Kuwa mpole acha hii kadhia iongolewe na wanaostahiri.

    • @ManhajOnlineTV2022
      @ManhajOnlineTV2022  Месяц назад +1

      Usikose muendelezo wa Majlisi zijazo - Baarakallahu fiika

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад +1

      Hizi nasaha kampe shekhe wako kadhaabu Shafi kasuku wa mwanza..
      Kumbe mnaumia sana wafuasi wa kasuku?? Akisemwa shekhe wenu?? Hhhhhh tulieni daawa iingie...
      Kama kadhia ni kubwa mwambia shekhe wako awaachie wakubwa au na yeye anastahili kuongea?
      Mwambie awapigie simu wagombea wampe khabari, halafu anajidai amesoma hadithi hadithi ndio upuuzi ukapokee kwa mgombea

    • @RamadhaniMohamedi-r2k
      @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад

      @@Daifar100 unaoneka umekalia ushabik akh,, hii dini wala usipende sana mambo ya ushabiki, sisi tunafatilia hii kadhia na tunasikiliza hoja na tunajua upande gan mpaka sasa una hoja za kweli na upande gani kinyume chake, wala hatuna ushabiki.

    • @abdulrahmanbaraza9149
      @abdulrahmanbaraza9149 Месяц назад +1

      Shafii ana tabia mbaya sana ndo alifukuzwa msikiti aliokuwa huko mwanza, shahada moja inakasumbua kasuku wa mwanza hehehe na bado.

    • @RamadhaniMohamedi-r2k
      @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад

      @@abdulrahmanbaraza9149 tatizo wengi wetu hii dini tunaiendea kwa ushabiki ndio maana,, ni wachache sana wanaomcha Allah na wanaofatilia mambo kwa haqq.. Na katika kadhia hii wengi wa watu hawaijui vzuri bali kila mtu amtetea shaykh wake anayempenda.. Ila kuna upande mmoja unatumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kuwa wao wapo katika haqq na wale wengine si lolote.. Tizama mashaykh wakubwa tunaowajua wapo kimya mpaka sasa .. Nasaha za shaykh abuu Hashiim alizotoa Masjid Omar na Taaliq ya shaykh abuu ihsan Mnape aliyoitoa Omar juzjuz ukifatilia utagundua kitu, ila wengi wetu hatufatilii vzur ila ni kwa ushabiki tu.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Месяц назад

    Maswaaaafiqaaa allah kawatia adhabu
    Kila siku wanagombana na kutahadharishana
    Na bado

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 Месяц назад +1

    Mashaa Allāh

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 Месяц назад +1

    Radd ya kielm???😂😂

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p Месяц назад

    Ajamanisha kuwa yeye anajulikana kupta shafiy kueni makini kama uyu mzunguzaji nawe awemakini

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Ayo mambo waachie wanao sitahiki kuzungumza sio ww kasuku unataka kugombea nn kasuku kwaiyo hiyo kampeni au vipi ww umemuita mwenzako kasuku kwenye bango lako hasa kasuku ni wasfu mdhuli nawe ni kasuku mlopokaji mpiga mayowe mjin

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Vumilia kijana

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      Kuwa na Subra na tumuombe Allah, aiondoe hii Fitnah kwa sabab itawagawa masalafy makundi makundi na wataanza kutoana katika Sunnah badala wangekaa na kusuluhisha!
      Ila Shafiy awe anajitahid nayeye kuwa na Subra, akisikia kitu awe anawasiliana na ndugu zake kwanza badala ya kuwashambulia mtandaoni. Hii ingeleta unafuu kdg, mana saiv hali ya hewa ya usalafy imechafuka kama ilivyokuw kipindi kile kweny Fitnah ya Morogoro! 😢

  • @AminerAlly
    @AminerAlly Месяц назад +1

    Uyu kasuku katokea wapi anaropoka tu hapa ewe mwanachama huna kazi ya kufanya unapalamia mambo usiyo ya weza

  • @abasishayo3232
    @abasishayo3232 Месяц назад +1

    Hii yote tatizo sio dini ....!!! Tatizo ni kugombania vyeo,matajiri n.k......!!!!

  • @Daifar100
    @Daifar100 Месяц назад

    Baraka llahu fiika

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w Месяц назад

    Kundi jipya la kisslaf mwisho wake umekaribia ni uhuni tu hakuna shekh hata moja ni branch za mayahudi na makafir kuja kutuhatinia dini yetu. Kwani kabla ya kuja wao . Dini ilikua na heshima na adabu na Mashekh wakiheshimia na wakikaa pamoja . Hata kama walikhtilafiana katika mitazamo . Ila adabu ilikua Hali y juu

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w Месяц назад +1

    Hakuna dini hapo ni uhuni tu . Vikundi vya ovyooo kabisa . Wametumwa mayahudi muje mutuhatinie dini lakini tunasema hatukubali

    • @ManhajOnlineTV2022
      @ManhajOnlineTV2022  Месяц назад +1

      Usikose muendelezo wa Majaalis zijazo

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 Месяц назад

      Namwomba Allah maneno haya yako na masufi wenzako,ayahudhurishe siku ya qiama