06. Raddi ya kielimu: Kubatilisha vitimbi vya Shafi dhidi ya Masheikh wakisalafi | Kikao cha Nne

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 14

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Vijan hawa ni Waovu Sana Vijan Hwana Jitihda yoyte katika kuendeleza Dini
    Vijan wamesoma vitabu viwili
    Vijan hawa Wanathubut kuwatusi Masheikh Waliolingani Sunna Kabla hata
    Mabosi zao Walikuw Wakipiga Matwari ,Walikuw Masufi Wahuni
    Hii leo masheikh waliondao vikwazo Hivo leo Munawaita Wango Allah Atahukumu Juu yenu Vijan waovu

  • @katan671
    @katan671 Месяц назад

    Hiyo Markaz Kariakoo inajulikana sasa kuwa ni kituo cha Uhizb.

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад +1

    Jambo Jengine Ambalo Limenishangaza kuwa
    Umechukia Kitendo Cha Shafee Kumtwani Sheikh AbdullMuhsin Albaad Albdary
    Lkn Mda Huo wee Unamtwani Sheikh Muhammad Al imam Na kumwita kwa Ikhwani Almusleemena
    Wakti Sheikh Muhammad Al imam anatzkia Nying San Na Amepewa Udhuru Mpak Na
    Sheikh Rabee Al madkhli pia Amempa Udhuru huyu
    unaemwita Ikhwani
    Je Sheikh Rabee Amempa Udhuru Ikhwani ,
    Je Sheikh Suleiman Aruheiyll Amempa Udhuru Ikhwani ?
    Je Sheikh Fauzaan Amempa Udhuru Ikhwani ?
    Na kuna Masheikh Wengi Tu Wa kisalaf wamempa Udhuru hyo Unaemwita Ikhwani
    Kwli we ni swawafiqah

    • @AhmednurHussein-m2s
      @AhmednurHussein-m2s Месяц назад

      Sio swawafiqa jashili wew unarukiarukia tu inasemwa swa'afiqah na ni kina nyinyi wala sio masalafiy

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      @AhmednurHussein-m2s nimerukia nini Pia kuna Maswali hapo nimeyaeka Naomba majawabu

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      ​@@AhmednurHussein-m2sNataka Munifahm Ndugu zanguni
      Hyu Akhy amekchukia Sana Kitendo cha Sheikh Shafee Kumtwani Sheikh AbdullMuhsin Albaad lkn cha Kushangaza yey mwenywe Anawatwanii Maulama wengi tu ,
      Amemtwaani Sheikh Muhammad Al imam kwa Kumwita Ikhwani Almusleemena ,Amemtwaani Sheikh Yahya Alhajuri kwa Kumwita kigagaraz cha Dammaji ,
      Hawa hapa ni Baadhi ya Maulama Ambao wamempa Udhuru Sheikh Muhammad Al imam ,ambao yeye anasema kuwa Ni Ikhwani
      sas Jee Hawa Maulama Wamempa Udhuru Ikhwaniii Almuselema ,?
      Je huku si kuwatwanii Maulamaa hawa Wakubwa ,ambao Wamempa Udhuru Sheikh Muhammad Al imam .
      1. Sheikh Abdull Muhsin Alaabd Amempa Udhuru ,je Sheikh Amempa Udhuru Ikhwani ,na akongezea kuwa Watu wande wakachukue elimu kwa Sheikh Muhammad Al imam
      2.Aallim Sheikh Swaleh Aluhaiydaan aliyekuwa mwyekiti wa Hayatul kibarua. Naye pia alimpa Udhuru ,je Sheikh alimpa Udhuru Ikhwani ?
      3.Aalim Sheikh Swaleh Ibnu Saad Asuhayym amabaye ni Raisi wa Kuliyya Sharia ,Madina
      Je hyu Aalim alimpa Udhuru Ikhwani ?
      4.Na Maulamaa Wote wa YEMEN walimpa Udhuru Sheikh Muhammad Al imam Jee hwakujua kuwa hyu Ni Ikhwani ? au maulama hawa wametufanyia khiyyan na Wwe ndiye Mkweli ,Maulama wote Hao wamekosea na Wee ndio Upatie Ewe Kifaranga Cha Hadadiyyah
      Maulama Wa YEMEN walimpa Udhuru Sheikh Muhammad Al imam
      5.Aalim Muhammad AbdullWahab Alwaswaab
      6.Aalim Muhammad Asomaliy
      7.Aaalim Othman Assalimy
      8.Sheikh AbdullAziz Yahya Alburaiyy
      9.Sheikh AbdullRahman Al Adany.
      Ho ni Badhi Tu Maulama Waliompa Udhuru Sheikh Muhammad Al Imam wala hwakuthubut Kumtuhumu kwa Uikhwani Wee Kifaranga Cha Kihadadiy Unawezaje Kumtwani huyu Ullamaa ,
      Allah Atazid kuwafedhesha nyinyi Masawafiqah

  • @RamadhaniMohamedi-r2k
    @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад +2

    Ohoo saiz jamaa nimemuelewa...kumbe lengo lake ni kufitinisha baina ya mashaykh akina shafii na mashaykh wengine wa kisalafi, ili wawaone kina shafi ni wachafu, Mcheni Allah jamaa
    Na ndio maana kila aliyekuwa anaonekana anaukaribu na kina Shafii walikuwa wanamtahadharisha
    Kumbuka pale Abuu Ahmad alipompigia simu shaykh Jafar kutaka msaada wa namna ya kusajiri wanafunz wa nje alijibiwa kuwa tatizo yupo na shafii na akidu, mpaka atarajaa
    Kumbuka pia shaykh abuu mussah kiza alipgiwa simu na kuambiwa tunakuona uko na shafii, sisi huku mwanza tushamtenga shafii, eh jamaa mbona mna vitmbi hivyo, saiz mnataka muwagombanishe na mashaykh wote mpaka na wanachuoni..
    Hili litawatafuna Mcheni Allah,,kumbuka Allah akiwadhalilisha hakuna atakaewaheshimu, mtadhalilika na tunaona dalili mshaanza kudhalilika, mpaka mahzb wanakuchapen sasa, muna kadhia nying za ajabu ajabu.

    • @katan671
      @katan671 Месяц назад

      Hao ni wahuni kama wahuni wengine

    • @abuunufaysah5328
      @abuunufaysah5328 Месяц назад

      ​Mpeni nasaha Bwana shafiy na ndugu yake akidu waache jazba kuiharibu da'awa​ kwa sababu hata vurugu la Morogoro chanzo ni Akidu,nawajua vizuri hawa ndugu wawili,wamche Allah na wajitafakari kwa kina, wameharibu da'awa Morogoro saa hizi wanapambana kuiharibu Tanzania nzima kwa sura ya mapenzi ya daa'wah@@katan671

  • @RamadhaniMohamedi-r2k
    @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад

    Halafu Shafi hajamtwani Mwanachuon,, jamaa hajaelewa, shaykh alikuwa anazungumzia utofaut wa wanafunz katika kuelewa na ndpo akasema kuwa wanafunz wanaweza kukaa kwa shaykh mmoja lakin mwingine akatoka hajaelewa kitu.. Huyu jamaa ana talbs za ajabu..

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Yaani Hamuridhik katika Qadhiya zenu Mpka Mumtaje SheSheikh Salim Allah amuhifadhi na vitimbi vyenu
    Yaani Hamujamuo Mfano Mbaya Wa Uongo Mpak Mumtje Sheikh Salim Allah atamlipia Juu hili