Hata kama ana makosa ni aibu Kwa Mtu anayesema anamjua Mungu halafu anafanya hivyo kumbuka ukitenda mabaya Kwa Wazazi wako maisha Yako yatakuwa mafupi elewa machozi ya Wazazi wako yatazaa matunda mafanikio uliyo nayo yana mwisho ni aibu sana mzazi wako anaishi kwenye nyumba ya matope wewe unaishi ghorofani apandacho Mtu ndicho atakachovuna hata kama Mama amekosea anapaswa kusamehewa elewa usiposamehe nawewe Mungu hasikii maombi yako
Huyu nae karopoka sana jaribu kuskiza pande zote mbili au tatu maisha ya watu usijipe umuhimu sanaa wale ni ndugu na mama yao kawalea kwa taabu yani mzazi mmoja anaweza kulea watoto ata ishirini ila watoto ishirini hawawezi lea wazazi wawili
Mama hafananishwi na chochote Wala yeyote bro😢...nastikika sana aisee....Yan dah...mama hakosei mpaka hapo ulipo nikwasababu mama alkuweka akakulea mpaka ukawa na ubavu wa kuongea hvo
Kutoa sadaka ni fomula ya kufanyikiwa duniani na ni mfumo Mungu ameuweka. Ukitoa unapata . Issue ni unatoa kwa Imani gani. Ni tricks tu ndio maana wazungu wanatoa misaada na wanafanyikiwa.Kutoa ni formula kama ilivyo gravitational force.
Kweli kabisa minachojuwa ata biblia amesema muhwshimu baba Na mama yako ili uishimiaka mingi Na heri duniani Sio msaidie mama yako Na baba yako Maisha kila MTU apambane Na Hali yake Uyo Martha angekuwa ahana kitu wasingeongea chochote sijui wazazi wakibongo wakoje wazungu hawapeani naata akimpa anamkopesha baba yake Na mamayake nalazima urudishe tuache mentality ZA kijinga
Kuna utofauti kati Mama na ndugu! Usimlingashe mama mzazi na ndugu! Kwenye hii Dunia ndugu zako wako wengi sana! Hao wakikuudhi unaweza kuachananao! Lakini mamayako ( Mama chief G) ni mmoja tu Dunia nzima! MUHESHIMU MAMA
Unajuwa ela sio ya halali uwesi kuwasaidia wazazi wala ndungu yako kwanini mashariti ya ushirikina ila mwenye ela yalali awezi kumwacha ndungu kamwe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wewe naanza kuhisi kivhwani kuna matatizo,eti wazazi ndio wanatakiwa watulee ila sisi kuwalea wazazi tunafanya msaada hivi mpka umefika umri huo si wazazi walikulea kwanini na wao wanapokuwa watu wazima nguvu zimeisha huwalei eti kuwalea ni kufanya msaada tu kwao hivi unajuwa haki ya mtoto kwa wazazi wake??
Mnahoji mpuuzi wa namna hii mnategemea mpate maelezo ya maana, kuna kosa gan la kumfanya mama awe sio kitu kwako, kwa upande wng wazazi wng na ndugu tuliozaliwa pamoja hata kama kuna siku fulan walitaka kuniwekea sumu nife ila hawakufanikiwa siwez fikia huko kwa namna yoyote ile, so hakuna kosa la kukufanya eti uache kuwa msaada kwa wazazi, huyu jamaa ni kenge!
Matendo Ya Mitume 13 10 : Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka? 11 : Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe hautafanikiwa
Mama yangu hata angenikera ,angenung'unika ,angekaa kila siku kuniambia wewe unatakiwa ufanye ,nitafanyaaaaa , nimeona baraka kwenye maisha yangu kupitia wazazi wangu.walitaabika sana kwa ajili yangu ,waliteseka sana kwa ajili yangu ,hata angekuwaje kivuruge yaaani wa kwanza kwenye mafanikio yangu ni wazazi wangu , wewe endelea kuamini unavyotaka ila mimi kwa mama ambaye ndiye amebaki mtu asiniambie kitu. Woooooooi.
Wewe mbona kuelewa ni vigumu?? Watu wamakafara awawezi elewa Beatrice iyo ni ushuuda wala akuongea kwa sababu ya kuongea ila amefunguka tu don’t complain for no reason at all please Jesus help you
Nakumbuka sana maneno ya rais wetu. John pombe magufuli alivo sema mutanikumbuka kwemengi. Mana mtu kama huyu anapotosha jamii. Angekua ashasukumizwa ndani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
Big time Yani kwanza ule Sio ushuuda Yale nimalalamiko militegemea kuonaushuuda amemjuwa Mungu amuombee hatukukuwa na haja yakusikia matatizo Tena mbona ndiokama amempa shetani ushindi wakushangilia amewaweza Sasa maana uke niudhaifu
Hata kiwe na nini kwenye familia ila kama nikweli hatoi msaada kwa mama yake,Martha kwenye hili amefeli maana kwa mzazi wake kutokutoa mimba yake nakukubali kuilea inatosha kuwa nijambo kubwa sana
Hawa ni ma freemason ..freemason Naskia husaidii wasazi wko ila wengine nje wawasaidia huo ujinga siwezi fanya heri nioshe Choo ya warabu riziki yahalali
Acha uongo hata mama yako alie kukuza hadi umefika hapo tofautisha mama na rafiki unaonekana huna shukrani mama amekulea hadi hapo ushindwe kumsaidie umeongea pumba ongea lingune bora ukae kimya una roho mbaya.
Yesu alisema ndugu zangu ni wale wanaolishika na kuliishi neno la Mungu.
nakbal sana chief God love umeongea true kabsa siku zote.ndugu lawama na martha mungu yupo nae kikubwa anasaidia watu osiojiweza
Wewe pia una shida...mama ni mama
Exactly
Hayupo saw
We Mtu anaongelea kafara ati kafara inasaidia kupata Hela unahisi Ako na Akili timamu ati ana wafuasi nahisi ni illuminati huyu nae
Leo kwa mara ya kwanza chief godlove kaongea point ya msingi
kabisaa
Saan
Kbs
❤❤❤ukitaka kuisha kuwa busy na ndugu
Daaaa Nimekuelew San chf asiyokuelewa ni shda zake
Kutoka 20:12
Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
Una maana gn?
Amen
Asa heshima ni kuwapa hela
I think ujui maana ya heshima
Ndio tatizo la kutoelewa biblia
Umeongea yamaana sana barikiwa namm nimepita apo kwandugu zangu awanisalimii kisa umevunja laana
Kitu kingine sio watu wote wanainuliwa na Mungu,, wengine wanainuliwa na Shetani
Tofautisha mzazi(mama) na ndugu,Sijui unaelewa
Hata kama ana makosa ni aibu Kwa Mtu anayesema anamjua Mungu halafu anafanya hivyo kumbuka ukitenda mabaya Kwa Wazazi wako maisha Yako yatakuwa mafupi elewa machozi ya Wazazi wako yatazaa matunda mafanikio uliyo nayo yana mwisho ni aibu sana mzazi wako anaishi kwenye nyumba ya matope wewe unaishi ghorofani apandacho Mtu ndicho atakachovuna hata kama Mama amekosea anapaswa kusamehewa elewa usiposamehe nawewe Mungu hasikii maombi yako
WASHENZI MNAFAHAMIANA NA MNATETEANA BADO KUWAUA TU WAZAZI WENU.
Huyu nae karopoka sana jaribu kuskiza pande zote mbili au tatu maisha ya watu usijipe umuhimu sanaa wale ni ndugu na mama yao kawalea kwa taabu yani mzazi mmoja anaweza kulea watoto ata ishirini ila watoto ishirini hawawezi lea wazazi wawili
Mama yangu hatuko Sawa ila nikisikia chochote kumuhusu, najitoa sana, and I hope one day tutakuwa Sawa kwa kuvu za Mungu.
Msaidieni hao
Mtafute Mungu ili uwe na Amani,
Mama ni Muhimu
MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE AISEEE, I CAN'T EVEN IMAGINE.
Patana na mama yako
Jaribu kuweka mambo sawa na mama. I miss my mom. Rest in peace 🙏
Hongera ❤ umeongea pwenti
😂😂😂pwenti😂😂😂
Wewe mwenyewe upo hivyo! Illuminate group! Ovyoo una muda mfupi wa kutrend
Godlive ubarikiwe umeongea vizuri 🎉🎉🎉
Abarikiwe na nini!? Kwa hiyo mifano yake yakuuza nafsi!!!? Unamsikiliza kwakutumia akili au kwa hisia!!?
@@fridageorge2809kwani ww hapo unamsikiliza kwa kutumia miguu au
Kweli kabisa. Ameongea ukweli
Duh kauza utu?, nafsi? hii dunia tunapita jali utu wako na wa mwingine hiyo ndio maana halisi ya kuitwa binadam
Nakuelewa xan chief
Mama hafananishwi na chochote Wala yeyote bro😢...nastikika sana aisee....Yan dah...mama hakosei mpaka hapo ulipo nikwasababu mama alkuweka akakulea mpaka ukawa na ubavu wa kuongea hvo
This man is straight…ruler babaaaaaa shieeeee mule mule.
Kutoa sadaka ni fomula ya kufanyikiwa duniani na ni mfumo Mungu ameuweka. Ukitoa unapata . Issue ni unatoa kwa Imani gani. Ni tricks tu ndio maana wazungu wanatoa misaada na wanafanyikiwa.Kutoa ni formula kama ilivyo gravitational force.
Kaka ujumbe wako umenifungua zaidi. Nimekubali umetema nondo
We kuma kweli sio ndugu mama mzazi tofauti na kaka
we Dogo matusi y Nni jomba .chunga kinywa hcho unmtkna mtu ambae hkujui
Uyu hanaata Mia ndugu wanajilasi
Diuh mmh
Matusi yako tu inaonesha uyu jamaa yuko sahihi
@ajoseph31 😀😀😀🔥
I agree with you sir 100%
Hakika ume ongea ukwelli ❤❤
Jama yupo sahihii, mwenye akili ata muelewa vzr sn...
Sana hata mm nimemuelewa vizuri mm mwenyewe yamenikuta hayo family zinazinguwa hata hawa mama zetu ndio kabisa wanazinguwa wakiwa na mambo ya hajabu
@@zaitunijuma8710exactly
Kusema kweli ndugu saa zingine wana zingua hawana upendo unapo fanikiwa wanaona wivu
Tofautisha ndugu na mama lakini
Ni ndugu ila sio mama
Mama yako unaweza kusema ni ndugu
Mama sio ndugu
Mbona watu wanajitia ufahamu Yaaan watu wazungumzia mama sio ndugu
Kweli kabisa ni shida.
Kweli. Broo. Nakubali. Kwa. Hilo
Nadhani chief kaongea vizuri tusipangiane maisha,mungu katupa masaa 24 wote ni wajibu wa kila mtu kupambania ndoto zake chakarika usichague kazi.
Kweli kabisa minachojuwa ata biblia amesema muhwshimu baba Na mama yako ili uishimiaka mingi Na heri duniani Sio msaidie mama yako Na baba yako Maisha kila MTU apambane Na Hali yake Uyo Martha angekuwa ahana kitu wasingeongea chochote sijui wazazi wakibongo wakoje wazungu hawapeani naata akimpa anamkopesha baba yake Na mamayake nalazima urudishe tuache mentality ZA kijinga
Alafu ukute wakati huyo binti katembea na shemeji yake mama alimuunga mkono bado dada ana uchungu. Wmuache atarudi taratibu mambo ya ndg tunayajua
Fact
Uko sahihi ndugu wakat mwengine wazazi hutumia vibaya nafasi zao kwa watoto wao ila naamini matha ametumia busara sana kunyamaza @@hellendaniel3809
Kuna makahaba duniani kweli
Ujui unalo ongea kaka yangu
Huyu sifa TU Ndio zimemjaaa anatembelea kiki
Mzazi ni mzazi tu no matter what
Hili kweli pimbi. Unapinga vitubu vyamungu. Hujui wazazi nimungu wapili ama unajikuta wewe ndie mungu ety. Siku ikifa utajibu saivi. Waona kuongea rahisi 👍👍 .!😢
Ni kweli Kaka yangu umeongea pwenti❤❤❤
kauli za wenye hela husikilizwa sana kwa mungu hamna kitu
Hivi kuna kosa kubwa ambalo mama yako mzazi anastahilli kuadhibiwa na mwanae? Tumuogope Mungu pepo zetu ziko miguun mwa mama zetu
Ndo hapo huyu nae shetani, mama yako mzazi...kakoseaaa mwamba, akwedree zake
Huyu nae vipi jmn hajitambui huyuu
Sawa umeongea vizuri sana
Kuna utofauti kati Mama na ndugu! Usimlingashe mama mzazi na ndugu! Kwenye hii Dunia ndugu zako wako wengi sana! Hao wakikuudhi unaweza kuachananao! Lakini mamayako ( Mama chief G) ni mmoja tu Dunia nzima! MUHESHIMU MAMA
Shid Han uwelewa mzuri
Kaka leo umenifulahisha mnoooooo nikirudi tz nakupa zawadi nakwambia nimekupendaaaaaaaaaa bure bro i love you je t'aime beaucoup mon cœur
Ni kweli ndugu ni chanzo Cha matatizo
Mama Aliye nizaa Upuuzi Gani huu? Laana kubwa
Dah jamaa anapotosha uyuu Yani unawezaje kutokumsaidia mamayako kwakosa lipi?Acha kupotosha watu jamaa
Ndugu wengi wasenge sema siwez acha saidia mamangu aishi vizuri
Sawa huwezi kusaidia familia au ndugu ila sio mama yako mzazi laana na iwe juu yako kumsaliti mama yako mzazi
Mm huwa nakuelewa sana sana
Hiv huyu jamaa lakin zimo kweli au 😂😂😂 kichwa ki kubwa
Unajuwa ela sio ya halali uwesi kuwasaidia wazazi wala ndungu yako kwanini mashariti ya ushirikina ila mwenye ela yalali awezi kumwacha ndungu kamwe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nakubali bro.
Mama tayaei umemjali kwa kimpa gari. Umeshamjali.
Wewe chief unaweza kumlipa mzazi wako ghalama alizokughalamia je unaweza ukawalipa matunzo waliyokupa ACHA ujinga
True 💯
Tumwache MUNGU tuabudu mizimu, mamae wallahi 😅shindwa kwa jina la YESU
Nawakumbusha tu ndugu hawapendi mafanikio ya ndugu mwenzao speaking frm experience kbs
Kabisa hii nimeona kwa Mume wangu na ndugu zake na mwisho wa siku mpka wanaenda kumroga 😢
Mtihani kwakweli Pole sana @@RebeccaAndrew-dd4kj
@RebeccaAn 2:36😢drew-dd4kj
@@RebeccaAndrew-dd4kjwakiona comment hii na Wewe watakuroga😂😂😂
@@scorasticaclement6308 hata nawaogopa sasa
Mm ndio changa moto ninayo pitia ndugu wako na shida mingi
Naungana na wew saaana ila sio kwa mama mzazi !! Aiseee
Kesho filisika ugonjeka uone kama hao rafiki wataonekana penda ndugu na familia
Sasa mamaako ni ndugu😢
daaah yaan kumsaidia mama yako ni fadhila?,so sad😢
Acha maneno yashombo mama akosei
Nasema tena bro nimekuelewa sana daaaaaaa penda mno wewe yaaani naanza kukupenda sana waooooh tupate wapi mtu kama huyu mwenye Roho wa mungu
Jiunge nae mbon free tu unakosasa lak moja kwel ya kujiunga
Ukweli mchungu boss it's hard to swallow
Kuna riziki nyingine hazitoki kwa Mungu zinatoka kwa ibilisi. Neno la Mungu linasema "Asiyewajali wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiyeamini".
nakubaliana na wee kabsa
Wewe naanza kuhisi kivhwani kuna matatizo,eti wazazi ndio wanatakiwa watulee ila sisi kuwalea wazazi tunafanya msaada hivi mpka umefika umri huo si wazazi walikulea kwanini na wao wanapokuwa watu wazima nguvu zimeisha huwalei eti kuwalea ni kufanya msaada tu kwao hivi unajuwa haki ya mtoto kwa wazazi wake??
Fact ❤
HUYU NIMWANACHAMA MWENZAKE MARTHA SECRET SOCIETY HAWANA HURUMA HELA ZA LAANA HAZIFAI NDUGU ZANGU
Naona Ma-fremasonary mnateteana
Mwamba apo kakosea! Kuwalea wazazi ni JUKUMU la Kila mtoto duniani! Maana ilo jambo Lina Baraka kubwa sn kwa mungu!
Kufanikiwa kwa mpumbavu kutamwangamiza
Pesa za majini izo watu wanapewa masharinti usisaidye wazazi huo ni ushetwani...hakuna Kam mma jmn Kam unapata pesa tuwatunze uyu mbwaa hajitambui
Mama siyo ndugu yako kama kaka yako ao dada Yako... Eshimu mama
Mnahoji mpuuzi wa namna hii mnategemea mpate maelezo ya maana, kuna kosa gan la kumfanya mama awe sio kitu kwako, kwa upande wng wazazi wng na ndugu tuliozaliwa pamoja hata kama kuna siku fulan walitaka kuniwekea sumu nife ila hawakufanikiwa siwez fikia huko kwa namna yoyote ile, so hakuna kosa la kukufanya eti uache kuwa msaada kwa wazazi, huyu jamaa ni kenge!
Ponti nzuri sana
Walewale 😂😂😂😂
Matendo Ya Mitume 13
10 : Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?
11 : Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe hautafanikiwa
Brother umeongea ukweli
Mama yangu hata angenikera ,angenung'unika ,angekaa kila siku kuniambia wewe unatakiwa ufanye ,nitafanyaaaaa , nimeona baraka kwenye maisha yangu kupitia wazazi wangu.walitaabika sana kwa ajili yangu ,waliteseka sana kwa ajili yangu ,hata angekuwaje kivuruge yaaani wa kwanza kwenye mafanikio yangu ni wazazi wangu , wewe endelea kuamini unavyotaka ila mimi kwa mama ambaye ndiye amebaki mtu asiniambie kitu. Woooooooi.
@@neemamasimba2981 dadangu mzazi ni mzazi hata kama alikukosea atabaki kuwa mzazi wako na pia msamaha ni kila kitu usiposamehe hutasamehewa
Wewe mbona kuelewa ni vigumu?? Watu wamakafara awawezi elewa Beatrice iyo ni ushuuda wala akuongea kwa sababu ya kuongea ila amefunguka tu don’t complain for no reason at all please Jesus help you
Ushuhuda mambo ya familia come on acheni ulimbukeni
Noo so ushuhuda kama kuna tatizo sehem they need to solve inside
Ushuhuda yupi huyu jamaa yupo right kabisa kama muelewa
@ hebu fikiria je ulishaka wahi kusikia uyo dada Beatrice kuongea kuhusu familia yake? doesn’t easy the way people thinking about it.
@ you couldn’t understood bro how long did you heard Beatrice spoke about this family?
Hadi mama jamani? Nyie freemason mnapenda kusaidiana ujinga
Nakumbuka sana maneno ya rais wetu. John pombe magufuli alivo sema mutanikumbuka kwemengi. Mana mtu kama huyu anapotosha jamii. Angekua ashasukumizwa ndani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
Kwa kosa lipi?
Mathayo 10:36"Na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake!"
Hili jamaa jinga sana, sema Nini , nadhani huyu na Martha wako chama kimoja😂
Umeona eeh!!!
Beatrice alikua anashuhudia tu na wala hakuwa na malengo na makusudi mabaya Cha msingi hapa ni maombi kuombea familia hii na ukombozi
Pamoja sana mwanangu godlav
Huyu jamaa huaga fala sana, yan hua hafikirii ni kuropoka tu 🚮🚮🚮
Upande wa mama je?😊
True100
Ndugu zetu wakristo hivi mzazi mnamchukuliaje...
Nahisi hawajui nini maana ya mzazi
Uko sahihi sana chifu mimi mwenye yadhanikuta sana
Yalio ndani ya familia ya martha sisi atujui , beatrice ka feli
Big time Yani kwanza ule Sio ushuuda Yale nimalalamiko militegemea kuonaushuuda amemjuwa Mungu amuombee hatukukuwa na haja yakusikia matatizo Tena mbona ndiokama amempa shetani ushindi wakushangilia amewaweza Sasa maana uke niudhaifu
Hata kiwe na nini kwenye familia ila kama nikweli hatoi msaada kwa mama yake,Martha kwenye hili amefeli maana kwa mzazi wake kutokutoa mimba yake nakukubali kuilea inatosha kuwa nijambo kubwa sana
Huyo siz alikuwa anatoa testimony hakuwa na ubaya na.dadake
True majamii wanaumuza sanaa sio wote but majority wao
Kweli Kaka ndugu wanakela Sana pia namsifu matha azidi nyamanza munguwetu no wahaki
Aibu,mama ni mama
Godlove uko sahihi kabisa kwa wale yaliyotukuta na wale ambao hayajawakuta hawezi kukuelewa milele... 😮
Lazima umtete Martha kwasababu baba yenu ni mmoja!!
Hawa ni ma freemason ..freemason Naskia husaidii wasazi wko ila wengine nje wawasaidia huo ujinga siwezi fanya heri nioshe Choo ya warabu riziki yahalali
Sio ndugu ni mama mzazi elewa mama mzazi
Sio mama yake wameshare baba tu, alafu yeye mbona alitembea na shemeji yake!?em Tuache Martha aje aongee
Kumbuka pia sio kila mama ni mwema na amesima kama mama!soma biblia ilishasema!
Ulikuwepo?@@IvanMocha
@@NuruMfaume mama ni mama ata kama mgombane vip lakini ni mama yako kumbuka bila yeye usingekuepo
@@IvanMochawewe ulikuepo akilala na shem
Ni kweli haelewi kabisa
Yesu alishajitoa kafara ili kuukomboa ulimwengu. Hakuna kafara zaidi yake na hakuna mwenye nguvu zaidi yake.
Acha uongo hata mama yako alie kukuza hadi umefika hapo tofautisha mama na rafiki unaonekana huna shukrani mama amekulea hadi hapo ushindwe kumsaidie umeongea pumba ongea lingune bora ukae kimya una roho mbaya.
mama ni mama
❤❤❤❤❤❤
Waombee watu wa nyumbani kwako, waheshimu Baba na mama.