sio urongo huu ni kweli mtu akikaribia kifo uwa rizki inafungwa pili kauli pia inafungwa tatu uwa yuko na aya sana kila ukimtazama hakuangalii vizury yeye anaangalia ukuta tu
Yes ukiona anaangalia ukutani maana yake anaona mengi sana ambayo ww huyaoni au waliomzunguka hawaoni lakn migonjwa mwenyew ndo anaona...malaika wa umauti anakuwa Yuko pale ilaww huwez kumwona.😢😢
Ni kweli mm mama yangu akiwa kitandani hosp niliondoka kidogo kupisha usafishaji wa ile sehemu aliyopo msafishaji kamop tu kuondoka pale narudi nakuta tayari ameshakufa
Dah! Laiti ningejua haya mapema Ile siku mdogo wangu anaondoka duniani ningekaa nae karibu muda wote, ningemkumbatia na kumbusu nakumbembeleza nakumuombea Dua nakumkumbusha ajiandae na safari yake salama...bahati mbaya sikua najua 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔 mwezi wa 10 tarehe 8 2024 sitakaa nisahau Ile siku pumzika Kwa amani mdogo wangu nisamehe nilipo kuumiza nisamehe nilipo kua sikuelewi.... nakupenda nakukumiss sana
Nikweli kabisa mume wang alikuw anaumw siku ambayo anatka kufa akatak maziw nikatoka kununua maziw nalud mung wang3 namkuta mume amefariki anamalizikia dah.nimelia sana dah tuombe mwisho mwema
Dalili zote hizi niliziona kwa Marehemu Mama yangu kabla hajafariki alinitaka nirudi Nyumbani nimsimamie Biashara zake hapo nilikwenda Chuo kufanya Sup na sikupanga kurudi hiyo siku nimeondoka saa 9 jioni usiku mzima alikuwa ananiulizia...nilimkuta anapumulia Mashine kitendo. Cha kumshika mkono huku nikilia haikupita nusu saa naye alifariki 😭😭...R.I.P MY MOM 🤱♥️
Hili halitaki mabishano liko wazi kua ni kweli ila binadamu nao ni wagumu mno maana wengine hubisha kwa kusema hi siku ya malipo wewe umeiona au wewe ndo mlipaji sasa kuna watu kila kitu ni ubishi tu na waamini wanaoamini wasioamini na wasubiri yawakute ndo watakumbuka km pia hawatobisha
Akili yako bado ni changa ndo maana umeandika hivyo….vyote ni kwel! Kwan kwenye hayo maelezo kuna mtu alisema yeye ndo anajua siku na masaa ya mtu kufa?acha ujuaji mwingi
RipMama kabla hajafaa alinipigia simu nikamuone dah nilikuwa nimefungwa na giza zitosikuweza kwenda kumuona baada ya siku mbili napigiwa simu mama yangu amekufa 😢😢😢😢😢
Hizo zote Ni dalili, Na Ni kweli kabisaa nyie mnao Seema Ni urongo, hamjawai uguza wagonjwa Na kabisa hamuelewi.tuulize Sisi ambao tumeuguza wapendwa wetu Na kuziona hizi dalili zote. Ndugu hongera Sana Kwa utafiti huo.na wanaokupinga, acha tuwasamehe Ni Kwa sababu hatuwaombei wakutane nayo, Ila wakija kutana nayo, watakubaliana nawe ama Na Sisi ama watatoroka coz Ni ukweli mtupu!!!!
Allahuma jialnii husnul khatma yaa rabbi tusamehe kwa yote tuliokosea na utujaalie qauli thabit inshaallah... Allahuma ajrnii mina nnar 😢😢 Allahuma inni audhubika min Adhabil kabri
Hapo dalilihizo zimemzingatia mtu ambae ni mgonjwa may be anaugulia nyumban au hocpitalin... Vip kuhus wale ambao wanafariki ghafla wanatambulika vip kua wanakaribia Umaut before,,?
Kuna baadhi ya binadamu akili zao sijui zipoje yan….Et” Hakuna ajuae zaidi Mungu “kwahiyo mnasema hivyo ili muonekane wacha Mungu sana au🤷🏼♂️ Hakuna anayejua siri ya kifo na hakuna aliyebisha kuhusu hilo,lakin likichozungumziwa hapa ni dalili!Hii elimu imekua adimu sana kwa hiki kizazi za sasa.
nikuongezee tu kuwa kunakuwa na kiu ya kifo mtu anaanza kuongea kifo mara kwa mara anasikia kiu ya kifo moyo wake huanza kutamka kufa au kikata tamaa ndio maana huanza kuita watu
Dalil ya kutaka kuonana na mtu anaempenda ni kwel marehem mke wang alinifuata hadi kazin hakuna cha maan alichokuja kuniambia isipokuw furaha tu alipofika nyumban tu umaut ukampata sitosahau hii mwaka 2022
Na jee kwa mtu anayekufa ghafla bila kuumwa au kwa ajari yoyote iwe ya gari moto kuangukiwa na kitu ni dalili zipi anazipata au ndg wa karibu ataziona ?
Allah nakuomba unijaalie mwisho mwema mm na ndug zangu na ww utakae soma commet hii🙏🙏🙏🙏🙏🙏
kwel kbx 😢😢😢😢😢😢
Mungu Tujalie mwisho mwema
Aamin
sio urongo huu ni kweli mtu akikaribia kifo uwa rizki inafungwa pili kauli pia inafungwa tatu uwa yuko na aya sana kila ukimtazama hakuangalii vizury yeye anaangalia ukuta tu
Nikweli ant mm naumwa nasina masiliano nadunia kabisa kiukweli
Umeongea ukweli nimeshuhudia mimi
Yes ukiona anaangalia ukutani maana yake anaona mengi sana ambayo ww huyaoni au waliomzunguka hawaoni lakn migonjwa mwenyew ndo anaona...malaika wa umauti anakuwa Yuko pale ilaww huwez kumwona.😢😢
Innalillah wainaillah raj'uun nimeliona hili pia😢
Hizo dalili zipo niliona shosh wakati akiugua
Shida heee mungu tusamee kwa kila kitu tunacho kitenda
Pole sana laamboya kwakitokwa na mama mzaz,,,, mungu amjaalie makaz mema ya pepo inshaalah
Kuna kaka yangu mhonjwa lakin leo amekataa kabisa kula tangu asubuhi kaomba soda tu
Huyo anakufa amini hvyo
Emwenyezi mungu tupe mwisho mwema
Mm xipo kitandani ila mapigo yangu ya moyo hyana muelekeo pumzi ndo km ulivoxema na kuxameh watu ndo kabx 😢😢😢
Utokufa Bali utaishi ili ushuhudie matendo ya MUNGU
Staghafiru sana kwa Allah ili akusamehe
Dah mungu warehem marehem ote wape kauli dhabiti 😢
dalili 8 zote zimetokea Kwa marehemu mama yangu kabla ya kufa tarehe 17.04.2022. Asante kwa ufafanuzi huu
Pole sana broh
Pole sana ndugu😢😢😢😢
Duu😢
Pole sn kbs 😢
Pole sana
Poleni
Neno la mungu linasema hakuna ajuae siku Wala saa
Siku wala saa ya kuja Mwana wa Adam
@@vicentsalum4884hawa wamekosa kaziyakufanya kifo nifumbo
kueli kabisa brother uko sahihi mungu akubarik
Niukweli kabisa,dalili zote dadangu alikuwa Nazi hizo
Yarabb atujaalie husnal hatma 🤲🤲🤲
Naungana nawe kaka
Ni kweli kabisa
Kati ya dalili hizi ni kweli nimeziona kwa mgojnwa niliyewahi kumuuguza .. MAREHEMU BIBI YNG... MUNGU AMSAMEH NA AMPE MALAZI YENYE FURAHA. AMYN.
Ammin
Babu yang kabla ya kufa alitaka sana kuonana mami kwa bahat mbaya nlikua mbal nl umia kusikia ali nihitaj sana kabla ya kifo chake
Allahu main a's aluka husnal alhatmah🙏🙏🙏
Mm kakaangu alinipigia sm akaniita niende nikasema ntakuja kesho akang'ang'ania sana niende nikasema kesho itapita masaa napigiw sm kafa
Mungu nijarilie mwisho mwema amen
Allah tujalie mwish mwema
😭😭😭😭woi mum rest in peace sikuwa najua iko hivi i wish ningeambia nakupenda😭😭😭naumia jamani😢
True kitu kingine uona watu waliokufa hapo zaman R.I.P Mama n 24\07\2023🙏🏼 dalilizote hizo tuliziona kumbeeeee😭😭😭😭💞
Allah atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
Oooh Allah naomba utujalie mwisho mwema.. amiin 🙏😢😟
MWENYEZI MUNGU anijalie mwisho mwema
Mungu tunaomba utujalie mwisho mwema
Nikweli kabisa niliziona hizi dalili kipindi tunamuuguza marehem baba 😭😭😭😭😭
Usitudanganye wew ushawa kufa ukarud hiyo tumuachie mungu mwenyew
😂😂😂😂
Sio muongo hata wanazuoni wanaeleza na mashehe
Siyo uongo ni kweli anayoyasema niliuguza dada yangu kanituma hapo nje mlangoni tuu kurudi hayupo kabisa
Ni kweli mm mama yangu akiwa kitandani hosp niliondoka kidogo kupisha usafishaji wa ile sehemu aliyopo msafishaji kamop tu kuondoka pale narudi nakuta tayari ameshakufa
Nikweri na hata yeye mwenyewe anajijua ira hasemi mpaka mungu amfungulie kutamka
Allh atupe mwisho mwema ila kifo anajua allh pekee
Kabisa
Kabisa
Dah! Laiti ningejua haya mapema Ile siku mdogo wangu anaondoka duniani ningekaa nae karibu muda wote, ningemkumbatia na kumbusu nakumbembeleza nakumuombea Dua nakumkumbusha ajiandae na safari yake salama...bahati mbaya sikua najua 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔 mwezi wa 10 tarehe 8 2024 sitakaa nisahau Ile siku pumzika Kwa amani mdogo wangu nisamehe nilipo kuumiza nisamehe nilipo kua sikuelewi.... nakupenda nakukumiss sana
Nikweli kabisa mume wang alikuw anaumw siku ambayo anatka kufa akatak maziw nikatoka kununua maziw nalud mung wang3 namkuta mume amefariki anamalizikia dah.nimelia sana dah tuombe mwisho mwema
AHSANTE Mungu maana sitakufa nitaishi ili nipate kuyathimulia matendo makuu yako MUNGU. AMEN
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 mmh makubwaaya kwamba hutokufa usituchekeshe jmn
Kwamba umewekwa msimulizi miaka buku wengine tufe aucyo
🤣🤣🤣Muombeeee mwenyezi mungu mwisho mwema tu maana kila nafsi Lazima itaonjaa umauti 😭😭
kweli kabisa kaka akika nimejifunza mambo mengi kutoka kwako
Eeh mungu tupe mwisho mwema
Asante kwa ufafa nuz huu
Haya naona kama yana ukwel 😢
Ngai 😢 nimestuka naogopa kulala
😂😂😂
Dalili zote hizi niliziona kwa Marehemu Mama yangu kabla hajafariki alinitaka nirudi Nyumbani nimsimamie Biashara zake hapo nilikwenda Chuo kufanya Sup na sikupanga kurudi hiyo siku nimeondoka saa 9 jioni usiku mzima alikuwa ananiulizia...nilimkuta anapumulia Mashine kitendo. Cha kumshika mkono huku nikilia haikupita nusu saa naye alifariki 😭😭...R.I.P MY MOM 🤱♥️
Pole😢
Pole deae😢😢
Hakuna ajuwae zaidi ya mungu
Inaniumiza sana iz story
Ila ni nzuri kwa ajili ya ukumbusho
Mungu pekee ndie anajua Siri ya mja wake lini atakufa ,lkn hakuna binadamu hajuaye.
Amen G bless u
Kaka angu mungu ndio anayejua
Naumia sana mama yangu alitaka sana kuonana na mimi lakini haikuwezekana😢 😢 MUNGU ailaze roho ya mama yangu mahali pema peponi
Mungu tupe mwisho mwema 😭😭😭😭💔😭
Aisee mungu atujakie
Nimtihanii napmba maisha kwema
Uwoii,,, nawanaoo kufa na ajali, tumuaxhie Mungu bhna
Hili halitaki mabishano liko wazi kua ni kweli ila binadamu nao ni wagumu mno maana wengine hubisha kwa kusema hi siku ya malipo wewe umeiona au wewe ndo mlipaji sasa kuna watu kila kitu ni ubishi tu na waamini wanaoamini wasioamini na wasubiri yawakute ndo watakumbuka km pia hawatobisha
Ndio wanasemaga anakuwa ja aibu au anakutuma kitu ndo anakufa
Watu sikuhizi wanakufa wala hawaumwii
Allah Akbar🙏🙏🙏
Kwl kbs mwanzo mwisho
Moyo hautoki roho ndio inatoka kakaake
Ni kwel kbsa na mm yalinikuta mgonjwa aliniagiza kitu kurud kashafarik so sad 😢😢😢😢😢😢
Kumbe dalili zenyewe zimebezi kwa wagonjwa tu?
Mama yang alitaman kuniona ila haikuwa rikiz 😢
Wacha kudandanya watu, hakuna ajuwaye ni mungu pekee ndiye anayejuwa siku na masaa!
Akili yako bado ni changa ndo maana umeandika hivyo….vyote ni kwel!
Kwan kwenye hayo maelezo kuna mtu alisema yeye ndo anajua siku na masaa ya mtu kufa?acha ujuaji mwingi
Nikweli msikatae mm naumwa najiona kabisa saw amini
Binadamu yoyote anajuw akiwa anakalibia kufaaa Kama anakufaa
Mama Angu Alikuwa Anawaona Waliotangulia mbele za Haki Rip mama😭😭
Kweli kabisa nliziona Dalili hizo zote kwa marehemu babayangu😢😢😢. ee wasamehe makosa Yao wazaziwangu n uwagazie nuru y milele n milele 10:21 10:21
Duh kwl kbs
RipMama kabla hajafaa alinipigia simu nikamuone dah nilikuwa nimefungwa na giza zitosikuweza kwenda kumuona baada ya siku mbili napigiwa simu mama yangu amekufa 😢😢😢😢😢
Xaxa mgonjwa ndo ako na hizo dalili nawale wanao kufa bila kuumwa nao hawana dalili?
Hizo zote Ni dalili, Na Ni kweli kabisaa nyie mnao Seema Ni urongo, hamjawai uguza wagonjwa Na kabisa hamuelewi.tuulize Sisi ambao tumeuguza wapendwa wetu Na kuziona hizi dalili zote. Ndugu hongera Sana Kwa utafiti huo.na wanaokupinga, acha tuwasamehe Ni Kwa sababu hatuwaombei wakutane nayo, Ila wakija kutana nayo, watakubaliana nawe ama Na Sisi ama watatoroka coz Ni ukweli mtupu!!!!
Niukweli kabisa
Hakuna mtu anaejua siri ya kifo zaid ya muumba pkeee acha kupotosha umma
Allahuma jialnii husnul khatma yaa rabbi tusamehe kwa yote tuliokosea na utujaalie qauli thabit inshaallah...
Allahuma ajrnii mina nnar 😢😢 Allahuma inni audhubika min Adhabil kabri
Na anaepat ajar akafa dalili yake nini.
Bibi yangu anaumwa hataki kula
Hapo dalilihizo zimemzingatia mtu ambae ni mgonjwa may be anaugulia nyumban au hocpitalin...
Vip kuhus wale ambao wanafariki ghafla wanatambulika vip kua wanakaribia Umaut before,,?
Cold extremities
True
KIFO NI FUMBO... VIPI WALE WALIOKUFA K/KOO
Kuna baadhi ya binadamu akili zao sijui zipoje yan….Et” Hakuna ajuae zaidi Mungu “kwahiyo mnasema hivyo ili muonekane wacha Mungu sana au🤷🏼♂️
Hakuna anayejua siri ya kifo na hakuna aliyebisha kuhusu hilo,lakin likichozungumziwa hapa ni dalili!Hii elimu imekua adimu sana kwa hiki kizazi za sasa.
Kukubali ni uongo km ingekuwa mtu anakaribia kufa sasa wale wanaokufa katik matendo sio wangefk pale achrni izo😢
😅😅😅
Mmh!!
nikuongezee tu kuwa kunakuwa na kiu ya kifo mtu anaanza kuongea kifo mara kwa mara anasikia kiu ya kifo moyo wake huanza kutamka kufa au kikata tamaa ndio maana huanza kuita watu
Na wale hupata anjali kwa gafla
😂😂ndoapo chacha
Hio ni kesi nyingine sasa yeye kwa leo kazungumzia wagonjwa tu
Jamani ningejua baba yangu alinipnyesha hizo falili lakini sikujua
Ww ulijuaje hayo,maana kifo ni siri mungu ameiweka hapo,
😂😢
😂😂
Mm najihisijasho kichwani navidole kufaganzi
Dalili iyooo
@@MirajiKhamis-f7bmmmmh kwamba dalili yakifo
Kifo hakina dalili
Nielezeeni na mimi
😢😢😢😢😢
Mmm.uwondiomwisho.wakuish.kwakweri
😂😂
😂😂
Tunafaa kusikiza Mara nyingine Hadi mwisho, ndio tu comment jameni, amesema dalili Wala hajasema saa ya mtu Ni saa ngapi tafadhali
Hakuna hajuwae kesho japo zipo 'mungu type mwisho mwema
Alikwambia nan
Baba
😂😂 Kaunda lakunda
Hiyo nisiri ya Mungu peke yake
Hakuna anae Juan cku yke
Dalil ya kutaka kuonana na mtu anaempenda ni kwel marehem mke wang alinifuata hadi kazin hakuna cha maan alichokuja kuniambia isipokuw furaha tu alipofika nyumban tu umaut ukampata sitosahau hii mwaka 2022
Pole Sana.
Ynwz kutokea yt hyo na mtu asife Allah ndio anajua siri y kifo....
Na jee kwa mtu anayekufa ghafla bila kuumwa au kwa ajari yoyote iwe ya gari moto kuangukiwa na kitu ni dalili zipi anazipata au ndg wa karibu ataziona ?
Cuale certeza que você tem?? Esses coisa que você sta falar?
Nn
Bora umuwmbie
Niambie bac eeee🥴
Wew sio mungu bwahna!
Kwan kasema yy Mungu???
Has not say is god
Tafutta story book zingne huko unakoenda utakosa watazamaji wakwanza mm
😂😂 kwamba unaogopa kufa
Usiogope kufa cha msingi tubu na umkubali Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako.
Kumbe dalili zenyewe zimebezi kwa wagonjwa tu?