sheikh Walidy Nasomba ilee darsa ya swalat ghala nabii Utusomee naomba siku ukitoa na mimi nitumie niipate kwa swalt ghala nabii iitwayo Swalat Mdhwariyaa naombaa utusome au utuambie kitabu gani yapatikanaaa na swalaty ile nyingine Allahu maswalii ghla siri asirarii Bisimillah Rahmn Rahim Nahitajii Kujijuaa na hio Mwalim swalat za nabii nazijua kupitia wew ukisoma au ukitaja swala fulan hatujui Vitabu mwalim shukran sn Allah akuzidishiee Umri Mara tayinii Wenye Manufaa kwa Dunia yako na Akhera yako Maalim wetu tunakupenda kwa Ajili ya Allah
Subhanallah yamenipata. Imebidi niache kazi ya kushona nguo kwa ajili ya mtu wangu wa familia kusema wajishonea nguo nzuri mwenyewe tu😢😢😢 😢😢😢 ikawa naharibu nguo zote kila nikikata nguo.
Dua ilioko mwisho wa darsa na maana yake .nilipokosea naomba mnirekebishe. Shukran kwa darsa allah akuzidishe kheri Sheikh Walid. Rabbanâ-nfa’nâ bimâ ‘allamtanâ - Mola wetu tupe manufaa kwa tuliyojifunza Rabbi ‘allimnâl-ladzî yanfa’unâ - Mola wetu tupe elimu yenye manufaa Rabbi faqqihnâ wa faqqih ahlanâ - Mola tupe sisi na familia zetu hikima. Wa qarabâtin lanâ fî dîninâ - na jamaa zetu katika Dini yetu. Ma’a ahlil quthri unthaa wa dhakar - pamoja na wakazi wa eneo (nchi) wanawake na wanaume Rabbi waffiqnâ wawaffiqhum limâ - Mola wetu tuongoze sisi na wao (familia, jamaa, ahl quthr) Tartadhwî qawlân wa fi’lân karamâ - kwa kitu ambacho Unakitoa maneno na matendo mema Warzuqil kulli halâlân dâ-imân - tupe rizqi zote halali milele Wa akhillâ-a atqiyâ-a ‘ulamâ - na utupambe kwa uchamungu wa ‘Ulamaa Nahdha bil khayri wa nukfâ kulla sharr - Na tubarikiwe kwa wema na kinga dhidi ya kila baya Rabbanâ aslih lanâ kulla sh-shu-ûn - Mola wetu tupe wema katika kila jambo. Wa aqirra birridhwa minkal ‘uyûn - Utupe utulivu wa mioyo yetu kwa upendo wako, Waqdhwi ‘annâ rabbanâ kullad-duyûn - Utufanyie wepesi Mola wetu katika kulipa kila deni Qabla an ta’tiyana ruslul manûn - Kabla hawajatujia Mitume wa mauti (Malaika wa mauti), Waghfir wastur anta akram man Satar - na Utughufirie na Utufunike (dhambi zetu na aibu zetu), hakika Wewe ni Msitiri Mtukufu. Wa Swalatullahi taghshal Mustafa - Neema na Baraka za Allah ziwe juu ya Mtume Muhammad SAW) Man ilâl haqqi da’ânâ wal wafâ - ambaye anakaribisha/anawaita watu kwa ukweli na ukamilifu Bil kitâbin fîhi linnâsi shifâ - kwa kitabu cha Qur’an ambamo ndani yake kuna uponyaji kwa wanadamu Wa ‘alâl âlil kiramish-shurafâ? - na juu ya familia yake tukufu na yenye heshima, Wa ‘alâswahabil maswabîhil ghuror - Na masahaba wote ambao ni taa za gharar (hii sehemu sikuielewa vizuri anae jua anijuze)
Sheikh wangu darsa ya leo ulotoa ni kubwa sana na lenye mazingatio. Umeongea neno zito japo wapo watasikia vibaya ni akina mama wengi baadhi yao wachawi na ukarogwa na mwanamke ni kweli kabisa. Allah akuhifadhi na kila lenye shari na wew.
You all prolly dont give a damn but does anybody know a way to get back into an Instagram account..? I somehow forgot my password. I love any help you can offer me!
Kweli shekhe kijicho kipo! Kuna mtu alisifia handbag iliharibika zipu! Nikaipeleka kwa fundi ! Siku nimeemda kuichukua niliweka kwenye mfuko wa Rambo nilikuwa nagombania daladala ya Twangoma ule mkoba ukaibiwa ! Hasadi zipo na kijicho kipo! Shukran shekhe kwa mawaidha mazuri,
mtume mtukufu (s.a.w) hakurogwa na mashambulizi makali kama hayo hayajawahi kumfikia . wanaosema mtume mtukufu (s.a.w) alirogwa walikuwa makafiri na si waislamu wale ndani ya kuran Karim Allah taala ananukuu maneno ya makafiri juu ya mtume wake mtukufu"makafiri wanasema wewe (Muhammad) ni mtu uliyerogwa" kauli hii ni ya makafiri kusema mtume alirogwa .
@@swabrianwar1020 kumbuka kuwa he was a muttaq ,mtume mtukufu alikuwa mchamungu .Nguvu za Giza hazikuwahi kumdhuru hata kidogo.Mungu ni mlinzi wa Manabii .Ukisema mtume alirogwa (auzubillah ),una mshushia heshima na halikdhalika unaingia katika Shirki kubwa .
@@swabrianwar1020 maandishi matakatifu ya Mungu mwenye shani ya juu kabisa yanasema "Hudanlil muttaqiin"(surah al Baqarah)-yaani Qur'aan ni mwongozo kwa Muttaq(wachamungu). Hazrat Aisha ,mke wa mtukufu mtume alipoulizwa kuhusu khulka za mtume aliwaambia masahaba kuwa yeye (mtume ) khulka zake zilikuwa ni Quraan" wachawi hawana nguvu kwa watu watawa wala watumishi halisi wa Allah
Alhamdulillah nimepata dawa yakumnasua swaiba wangu nilikua na kuku kiasi aliwasifu kwa mshangao kuwa ni weng mpaka sasa ninao watano tuu kwa muda wa weak 1
😀😀😀😀😀 ni cheka sana sheikh wangu hata mimi nitamswalia mtu wangu anakijicho nimuwopoe. Jee kwa mfano akiwa macho naweza mfanyia? Ningepata namba yako nungeshukuru sana
🗣️MashaAllah sheikh I love his teaching he is such a good teacher🙌🙌May Allah bless us all🤲🤲
SUBHANALLAH...ALLAH atuepushe na kila la shari inshaAllah..
Khataar sanaa..masha Allah sheikh walid Allah akuhifadhi
May Allah bless u always. Jazakallahul kheir ya sheikh.
Maashaallah Sheikh Allaah akupe umri mrefu tuweze kujifunza zaidi Inshaallah
sheikh Walidy Nasomba ilee darsa ya swalat ghala nabii Utusomee naomba siku ukitoa na mimi nitumie niipate kwa swalt ghala nabii iitwayo Swalat Mdhwariyaa naombaa utusome au utuambie kitabu gani yapatikanaaa na swalaty ile nyingine Allahu maswalii ghla siri asirarii Bisimillah Rahmn Rahim
Nahitajii Kujijuaa na hio Mwalim swalat za nabii nazijua kupitia wew ukisoma au ukitaja swala fulan hatujui Vitabu mwalim shukran sn Allah akuzidishiee Umri Mara tayinii Wenye Manufaa kwa Dunia yako na Akhera yako Maalim wetu tunakupenda kwa Ajili ya Allah
Barakallah fekum sheikh walid na darsa tv team
Shukran shekh Allah akuzidishie kheri
Subhanallah yamenipata. Imebidi niache kazi ya kushona nguo kwa ajili ya mtu wangu wa familia kusema wajishonea nguo nzuri mwenyewe tu😢😢😢 😢😢😢 ikawa naharibu nguo zote kila nikikata nguo.
Mashallah Darsa nzuri... Yule yeyote ambae Ata unlike hii Darsa uyo atakua ndio Hao wachawi Darsa imemgusa
Dua ilioko mwisho wa darsa na maana yake .nilipokosea naomba mnirekebishe. Shukran kwa darsa allah akuzidishe kheri Sheikh Walid.
Rabbanâ-nfa’nâ bimâ ‘allamtanâ - Mola wetu tupe manufaa kwa tuliyojifunza
Rabbi ‘allimnâl-ladzî yanfa’unâ - Mola wetu tupe elimu yenye manufaa
Rabbi faqqihnâ wa faqqih ahlanâ - Mola tupe sisi na familia zetu hikima.
Wa qarabâtin lanâ fî dîninâ - na jamaa zetu katika Dini yetu.
Ma’a ahlil quthri unthaa wa dhakar - pamoja na wakazi wa eneo (nchi) wanawake na wanaume
Rabbi waffiqnâ wawaffiqhum limâ - Mola wetu tuongoze sisi na wao (familia, jamaa, ahl quthr)
Tartadhwî qawlân wa fi’lân karamâ - kwa kitu ambacho Unakitoa maneno na matendo mema
Warzuqil kulli halâlân dâ-imân - tupe rizqi zote halali milele
Wa akhillâ-a atqiyâ-a ‘ulamâ - na utupambe kwa uchamungu wa ‘Ulamaa
Nahdha bil khayri wa nukfâ kulla sharr - Na tubarikiwe kwa wema na kinga dhidi ya kila baya
Rabbanâ aslih lanâ kulla sh-shu-ûn - Mola wetu tupe wema katika kila jambo.
Wa aqirra birridhwa minkal ‘uyûn - Utupe utulivu wa mioyo yetu kwa upendo wako,
Waqdhwi ‘annâ rabbanâ kullad-duyûn - Utufanyie wepesi Mola wetu katika kulipa kila deni
Qabla an ta’tiyana ruslul manûn - Kabla hawajatujia Mitume wa mauti (Malaika wa mauti),
Waghfir wastur anta akram man Satar - na Utughufirie na Utufunike (dhambi zetu na aibu zetu), hakika Wewe ni Msitiri Mtukufu.
Wa Swalatullahi taghshal Mustafa - Neema na Baraka za Allah ziwe juu ya Mtume Muhammad SAW)
Man ilâl haqqi da’ânâ wal wafâ - ambaye anakaribisha/anawaita watu kwa ukweli na ukamilifu
Bil kitâbin fîhi linnâsi shifâ - kwa kitabu cha Qur’an ambamo ndani yake kuna uponyaji kwa wanadamu
Wa ‘alâl âlil kiramish-shurafâ? - na juu ya familia yake tukufu na yenye heshima,
Wa ‘alâswahabil maswabîhil ghuror - Na masahaba wote ambao ni taa za gharar (hii sehemu sikuielewa vizuri anae jua anijuze)
Mashaalla tabarakalla shekhe wetu Allah akuzidishie akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
Sheikh wangu darsa ya leo ulotoa ni kubwa sana na lenye mazingatio. Umeongea neno zito japo wapo watasikia vibaya ni akina mama wengi baadhi yao wachawi na ukarogwa na mwanamke ni kweli kabisa. Allah akuhifadhi na kila lenye shari na wew.
You all prolly dont give a damn but does anybody know a way to get back into an Instagram account..?
I somehow forgot my password. I love any help you can offer me!
Maa shaa Allah hiyo dua ya mwisho imenikumbush mbali mno
Mashkura, Mwenyez Mungu akujazie baraka Sheikh Waliid kuanzia ww had familia yako.....
Shukran habib walid. Baraka Allahu fiikum
Masha Allah sheikh m/mungu akujalie mwisho mwema
Jazakallah kheir
jazaaka llahu kheiry.
shukran shekhe WALID
Aslm alkm ww..
Masha Allah!!! Jazakallah kheir 🙏
shukran sn Sheikh kwa darsaaa zako
Allah akujaze kheri
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Subhanallllah
Sheikh InshaAllah Allah akuongezee... Amiin.
😂😂 Jazaka llahu khayran Sheikh.
Shukraan sana sheikh Walid
Jazaakallahu khairan Sheikh
Sheikh Walid mungu akupe maisha malefu yenye kheri inshallaah
Alhmdulilah alla kulhal
Mashallah kwadua
Kweli shekhe kijicho kipo! Kuna mtu alisifia handbag iliharibika zipu! Nikaipeleka kwa fundi ! Siku nimeemda kuichukua niliweka kwenye mfuko wa Rambo nilikuwa nagombania daladala ya Twangoma ule mkoba ukaibiwa ! Hasadi zipo na kijicho kipo! Shukran shekhe kwa mawaidha mazuri,
A alayqum . shekh nauliza ivi mtume alirogwa
Asante
Shukran Kwa ukumbusho
Assalamu Alaykum. Shukraaaan kwa darsa zako mpya.
W.salaam aafwan
Afwan
Mashaaallh 😂😂
dua inayosomwa mwishi ipi
mtume mtukufu (s.a.w) hakurogwa na mashambulizi makali kama hayo hayajawahi kumfikia .
wanaosema mtume mtukufu (s.a.w) alirogwa walikuwa makafiri na si waislamu wale ndani ya kuran Karim Allah taala ananukuu maneno ya makafiri juu ya mtume wake mtukufu"makafiri wanasema wewe (Muhammad) ni mtu uliyerogwa" kauli hii ni ya makafiri kusema mtume alirogwa .
@@richardndoshi6477ilkuwa katika itikadi za makhawarij kuchukua aya za kuwashambulia makafiri kuwabandik nazo waislamu
@@swabrianwar1020 kumbuka kuwa he was a muttaq ,mtume mtukufu alikuwa mchamungu .Nguvu za Giza hazikuwahi kumdhuru hata kidogo.Mungu ni mlinzi wa Manabii .Ukisema mtume alirogwa (auzubillah ),una mshushia heshima na halikdhalika unaingia katika Shirki kubwa .
@@swabrianwar1020 maandishi matakatifu ya Mungu mwenye shani ya juu kabisa yanasema "Hudanlil muttaqiin"(surah al Baqarah)-yaani Qur'aan ni mwongozo kwa Muttaq(wachamungu).
Hazrat Aisha ,mke wa mtukufu mtume alipoulizwa kuhusu khulka za mtume aliwaambia masahaba kuwa yeye (mtume ) khulka zake zilikuwa ni Quraan"
wachawi hawana nguvu kwa watu watawa wala watumishi halisi wa Allah
Kiumbe bora nabiwetu
Sheiikh,surat falaq imeshuka makkah na tukio la kurogwa Mtume limetokea Madina
Iko siku niliambiwa neema hayidumu
Tusiojua swala ya maiti jamani
Alhamdulillah nimepata dawa yakumnasua swaiba wangu nilikua na kuku kiasi aliwasifu kwa mshangao kuwa ni weng mpaka sasa ninao watano tuu kwa muda wa weak 1
Dohh
@@DarsaTV. kijicho kipo na mwenyewe hajijui kabisaaaa kikubwa kuwanasua ukijua
Darsa nzuri lakini watu kidogo sana, ni ajabu kwa msikiti kama kuwa na watu kidogo.
😀😀😀😀😀 ni cheka sana sheikh wangu hata mimi nitamswalia mtu wangu anakijicho nimuwopoe. Jee kwa mfano akiwa macho naweza mfanyia? Ningepata namba yako nungeshukuru sana
+255715190068
Pole na mafuwa
Hakuna kitu kibaya kama ushirikina mbaya sana
Shukraan sana sheikh Walid