Ya Allah tujalie imani katika nyoyo zetu kama waliotutangulia angalawoo tupate nusu ili tunusulike na Adhabu zako ya Allah tusamehe waja wako Sisi na vizazi vyetu ya Allah wewe nimenye kurehem mola wangu Allah Akbar
Masha Allah Allah tupe nasie uwelewa Kama ulivyo wapa mashekhe elimu nasi tuweze kuelimisha kwani roho inaniuma sijui kitu Allah nifungue Mami unipe Mambo mazuri
01:59:12 MTU MWENYE KUMLIPIA NDUGU YAKE DENI... MTU MWENYE KUMFATILIA SHIDA ZAKE NDUGU YAKE NI BORA KULIKO ITKAF MIAKA 10 NDANI YA MSIKITI WA MTUME SAW
Sheik Othman Ma'alim ni katika MaSheikh wazuri sana tatizo lake kubwa ndio hilo kama ataongea masaa matatu basi mawili yote atakuwa nje ya mada akiongea nusu saa dakika 20 atakuwa nje ya mada na yasiyohusiana na mada huyaelezea zaidi na akirudi kwenye mada huelezea juu juu sana. Mara chache huwa ana-stiki kwenye mada isipokuwa mara nyingi hutoka kabisa kwenye mada. Allah kamjaalia kujua vitu vingi sana Maa shaa Allah lakini mtihani wake ndio huo hawezagi kabisa ku-concentrate kwenye mada japo anasimulia visa vyenye faida tunashukuru japo kwa hilo ila tu ni ngumu sana umsikilize huyu Sheikh halafu upate faida ya mada uliyokusudia direct haiwezekani.
Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra nimesikiliz kisa mpk mwisho... Yaa rabbi tufishe tukiwa waislam tukakutane peponi pmj na Mtume wetu Muhamadu na swahaba zake wote amiin mola akubariki shekh Othman uhibukii fiy llah kathiyra... mawaidh yenye mazingatio ahsante Sana.. nimejifunza meng alhamndulillah mola atujaalie tuwe wenye kuyafanyia kazi amiin yaarabbali ghalamiina
Mashallah Allah akuhifadh masheikh wetu woie kwa kutupa darsa.. Asante
MashaAllah tabarakkallah, shukran sana sheikh,Allah akujalie afya njema na umri wenye kher uzidi kutufunza 🤲🤲
Alhamdulilah hua sichoki kimskiliza shekhe osman maalim Allah akupe kila lenye kheri akujaalie wewe pamoja nasi mwisho mwema
Ya Allah tujalie imani katika nyoyo zetu kama waliotutangulia angalawoo tupate nusu ili tunusulike na Adhabu zako ya Allah tusamehe waja wako Sisi na vizazi vyetu ya Allah wewe nimenye kurehem mola wangu Allah Akbar
😊 7:25
Amina 🤲
Mungu akupe umri mrefu❤❤❤❤❤
Maashallah Allah amzidishie shekh wetu
mashaa Allah zvp mmefanya zaid ya vizuri
Masha Allah Allah tupe nasie uwelewa Kama ulivyo wapa mashekhe elimu nasi tuweze kuelimisha kwani roho inaniuma sijui kitu Allah nifungue Mami unipe Mambo mazuri
Allah akubaarik kwa nahasa Zako Sheikh wetu mpendwa❤
Mungu akupe mwisho mwema ostadh
Allah akbar mungu atujaalie mwisho uliokuwa mwema na tukiwa waislaam inshaallah na awaweke meshekh wetu ili waendelee kutupa darsa ameen 🙏
Jazakallahu their sheikh Osman
❤❤❤ Allah ukupe mwisho mwema all so Muslim
Amina 🤲
Mashallaah jazakhallaah kheri
❤❤❤❤mashah
Nakupa mkono wa hongera sheikh Uthman Maalim
Allah atupe mwisho mwema amiina
Amiina 🤲
Yaa rabbanaa nakuomba upenguvu uislamu natupenguvu waislamu namjaalie kheri sheikhe uthmaan maalim
Ameen ya Rabb
Ameen
Amin
G x
Amin
Mashalla Allah ❤❤❤
hongera kuwako ustad😍🥰💯
Jazzaka llah khair
Hongera shekhe
Maa shaa ALLAH 🇰🇪 💚💚💚
Mashaallah
Ya Allah tujalie kheri zako tutakase nyoyo zetu tuwe miongoni mwa wenyewe kusameewa madhambi yetu yarabil alamin
MashaAllah
Mashaallah ❤
Allaah atujaalie iwe miongin mwa kushikamana na dini ytu
Allah akbar Maah challah ❤❤❤
Upanga in lazima ustaz
Maaashaallah
Ewe Mola wetu iwokowe dini yako na waliyo ku amini wote waghufiriye !
Aminñ
Allahu Aqbar
Mungu muweke shekhar wetu taupe dawa
Ya Kareem tujalie wajawako na kauli nzuri na matendo mazuri katika hii dunia utunusuru na Moto wa jahanamu na utujalie katika Pepo ya Firdausi
Tunaomba mwisho mwema ya rabi
❤❤
Ndio maana tanganyika imeidhoofisha zanzibar 😢kiuchumi
😢.
Duh huyo balaa nayeye kaenda kujipanga foleni
01:59:12 MTU MWENYE KUMLIPIA NDUGU YAKE DENI... MTU MWENYE KUMFATILIA SHIDA ZAKE NDUGU YAKE NI BORA KULIKO ITKAF MIAKA 10 NDANI YA MSIKITI WA MTUME SAW
l jee wajua fadhla za kuketi itikaf ndani ya msikiti wa Masjidi nnabawi?
@@ashrafkhamis1051 NAOMBA NIFAHAMISHE NDUGU
🎉
Ewe mwenyezimung tujalie sisi wajaa wako
Mbona umetoka kwenye mada yako kusu vita va badiri
Kuwa subra 😊
Hayakuhusu, Sheikh ndiye mwenye anajuwa ginsi iko anatufundisha.
Sheik Othman Ma'alim ni katika MaSheikh wazuri sana tatizo lake kubwa ndio hilo kama ataongea masaa matatu basi mawili yote atakuwa nje ya mada akiongea nusu saa dakika 20 atakuwa nje ya mada na yasiyohusiana na mada huyaelezea zaidi na akirudi kwenye mada huelezea juu juu sana. Mara chache huwa ana-stiki kwenye mada isipokuwa mara nyingi hutoka kabisa kwenye mada. Allah kamjaalia kujua vitu vingi sana Maa shaa Allah lakini mtihani wake ndio huo hawezagi kabisa ku-concentrate kwenye mada japo anasimulia visa vyenye faida tunashukuru japo kwa hilo ila tu ni ngumu sana umsikilize huyu Sheikh halafu upate faida ya mada uliyokusudia direct haiwezekani.
Wekafir hayskuhusu kwenda zoko motonkamsikilize mchungaj wak anae kupeleka moto wevp
Hajatok inje ya mada anajarbu kutueleze ki undani ilituweze kuelewa zaidi
Good teachings but so much one ended bollocks..demeaning other religions doesn't give islam any authority or supremacy in humanity.
Reality 😂😊
Mashaallah ❤❤
Maashallah
MashaAllah
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Mashallah
MashaAllah
Mashaallah