Khutba nzuri...Shukran...ILA shk Walid naona umekosea...kdg...Juj wa Majuj HAWAPO MAENEO YA UTURUKI......Na Allah anajua zaidi. Naomba pia muangalie yutube uchunguzi ya maeneo yapo...and Allah knows Best.
Hakuna asokosea ila Allah. Mm cjui lkn km ameteleza ubinadamu umeshika nafac yk. Allah atuongoze st kupitia ma sheikh zetu akiwemo kipenzi cha wengi kwa ajili ya Allah
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Sheh Walid mungu akujalie pepo nzuri
Nampenda uyu shekhe kwa ajili ya Allah 🙏🥰
Mashaallah shekhe walidi allah akujaze kher nyingi zaidi.
Sheikh Allah umri mkubwa na fasaha ili uzidi kutuwaidh, Allah akupe pepo ya daraja Bora.
Ameen.
shekhe walid alhad omari ١لله akujalie swiha njema tuendelee kunufaika na elimu yako
Hali ya ndoa ya zamani yasikitisha saaanaaa.Allah ametupenda sannaaaa Alhamdulillah kwa sheria alotuekea kutupa haki nyingi tu sana. ALHAMDULILLAH.
Sheikh WALID, ALLAH akuzidishie umri mrefu ili tuzidi faïdika na darsa zako. Hata sisi wa islamu wa Congo tunakupenda sana kwa ajili ya ALLAH. ❤
Nimekuelewa sheikh walid
Wallah nakupenda shekhe walid,Allah akujaalie pepo iwe nimakazi yako,niwe nackiliza ivi ivi mawaidha yako,nikuone livè kesho peponi
Mungu akuzidishie Umri Mrefu ili iendeleee kufanya Kazi ya Mungu najua ALLAHstalifsnya Hilo Aminaaa
Nakuoenda sanaaa
Aamin
Amiin yaa Rabbal Ng'aalamiin kwa Sote pia Allah atujaalie tuwe miongon mwa waja wake wema Amiin 🤲
Allahummah ameen
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
MashaAllah darsa Tamu sana
Masha Allah,Allah akuifadh shekh
Mashallah
Mawaidha yako shekh yananitoa machozi ya furaha shekh inshaallah mungu akujaalie pepo yenye daraja kubwa
Salaam Aleikum. Shukran kutumiminia elimu. Mmungu akuhifadhi ku share nasi bahari ya elimu Mmungu aliyokujaza kifuani. Alhamdulillahi.
Mwenyezi mungu akuzidishie maisha malefu
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Tabarakallah❤
Hahahhahahaha i love u so much Sheikh Walid
ALHAMDULILLAH,ALLÀAH AKUREHEMU,NAKUSILIZA KUTOKA IRINGA,MAASHALLAH
Maasha Allah Sheikh Walid.💯👍
Swallalah Allayhi Wasalam
Jazzakumllah Khery
Mashallah shekh napenda mawaidha yko
Jazaakallah khayrii shekh
Maashaaallah shekhe kila la kheri
Mw/Mungu.akulipe kher sheikh
Baaraka Allah feeha, Allah akuzidishie kheri na akufungulie mambo yako ustadh
Allah akujaalie kheri
❤
Jazzakhallahu kheir fii dunia wal akhera
hiyo ndoa ya mwanamke mmoja kuvamiwa na wanaume 40 hiyo sio kabisa bora iliondoka huo ni ukatili
❤❤❤❤
Jazakallah
Mwenyez mungu akuongezee umri tuendelee kufaidika
Maashaala tabaraka lah
Baaraka llahu fiika
Allah akuzidishie kheri sheikh letu..tunufaike na kufaidika na darsa zako. Ameen
Ameen
Aslm alyk shehe nakupata vizuri nipo mascut oman
Nakukubali sana
Aamin
Shukran sana
😍🤩🤩
Khutba nzuri...Shukran...ILA shk Walid naona umekosea...kdg...Juj wa Majuj HAWAPO MAENEO YA UTURUKI......Na Allah anajua zaidi.
Naomba pia muangalie yutube uchunguzi ya maeneo yapo...and Allah knows Best.
Hakuna asokosea ila Allah. Mm cjui lkn km ameteleza ubinadamu umeshika nafac yk. Allah atuongoze st kupitia ma sheikh zetu akiwemo kipenzi cha wengi kwa ajili ya Allah
Indeed
Allhamdulillah sheikh walid. Allah akulipe kwa mafunzo unayotoa. Utoe namba zako. Tunapokwama tukuulize.
Kweli tuna masuala mengi kwa kweli
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Ahsant
Shekhe mi nashida na ww pia mafundisho yako ni dawa kwangu naomba msaada wako
Sheikh habari yako/nina shida na matatizo ya kidunia naitaji namba yako tuwasiliane
Sheikh wetu Walid hapo naona ametamka yakhruju nnasu lakini hakuna alokosoa,nadhani usahihi wa ayya inakua Yawmaidhin yasduru nnasu
Hakuna aliyekosoa kwa sababu si Kila kosa lakosolewa kwani mengine ni bahati mbaya - hakukusudia
Shekhe toa hata namba yakoo au mwenye nayo anipe
Issa siyo JESUS Christ ni watu wa wili tofauti kabisaa..huyo Issa hakuna mtu amewahi kumuona
HAPA SHEKH ANANICHANGANYA ADAMU AMEISHI MIAKA 1.000 NUHU MIAKA 950 . SASA SHEKH TUSOMESHE TUELEWE . NINA SUBIRI JIBU .
NINA KUOMBA JIBU SHEKH
Jazzajalla kheir sheikh walid
Salma albarwami jazakallahu lkheir shekh waliid mungu atustiri kwa ndoa hizo za zamani
Wata ngano zako ww hhhhhhhh mmmh hhhhh umesoma wapi hiyo ww
Title misleading.
❤