Lady JayDee - Historia (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2020
  • #Historia #LadyJayDee
    Lady Jaydee.
    You Can Now Download | Stream | Share Lady Jaydee Music WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: | Itunes, BoomPlay, Mkito, Deezer, Audiomack, Mdundo, Tidal, Amazon Music, Spotify, Pandora. LINK: ffm.to/ladyjaydee
    +For More Information Booking Lady JayDee :
    FOR BOOKINGS: judyjaydee@yahoo.com📩
    Follow Lady Jaydee on:
    / jidejaydee
    / jidejaydee
    / ladyjaydee
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 71

  • @mariamgedi2694
    @mariamgedi2694 Месяц назад +8

    Mko wapi wa 2024 unakubaline kuwa historia

  • @samsonSydney
    @samsonSydney Месяц назад +11

    Who is watching the song in 2024

  • @happinessjulius9230
    @happinessjulius9230 6 месяцев назад +11

    Waliokuja baada ya clip ya afande kurudia ...gonga like😅

  • @fatoma-go2su
    @fatoma-go2su Год назад +18

    Mpo wenzangu 2023 usikubali kuwa history kabla siku Yako hajafika best song

  • @user-hk8ox6iz5v
    @user-hk8ox6iz5v 3 месяца назад +7

    march 24 tujueane kwa like

  • @annasengenge4285
    @annasengenge4285 Месяц назад

    Lady Jaycee babangu alikuwa anakuiubali nyimbo Yako ikiimbwa hataki mtu aongee Mpka uishe Asante Jide

  • @dominickmwale6308
    @dominickmwale6308 4 года назад +9

    Nimepata somo. Uishi milele lady jay dee uzid kutuelemisha

  • @leonidacedavid2121
    @leonidacedavid2121 6 месяцев назад +5

    Video ya afande imenileta huku,ahsante sana afande

  • @eliampagike6262
    @eliampagike6262 6 месяцев назад +11

    Tuliokuja hapa baada ya afande tujuane😊

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад +5

    Kwa hakika historia yako itakuwa ni mazuri au mabaya uliyofikia. 👍

  • @jacksonrobi2643
    @jacksonrobi2643 4 года назад +12

    Straight to my archives. I'll be listening to this my entire life

  • @samkiria450
    @samkiria450 6 месяцев назад +5

    Afande katukumbisha hii kitu 🔥🙌

  • @albert-kkitwenga4889
    @albert-kkitwenga4889 2 месяца назад

    So conscious a song. So soothing a melody. Ah! Loved it then, love it now.

  • @rushboyofficial
    @rushboyofficial Год назад +4

    Your songs should be taught in schools Jide,,Much love for you🖤♥️🙏🙌🕯️

  • @ramsonpaul9110
    @ramsonpaul9110 4 года назад +6

    Dada wewe ni bora sana nice song❤💗

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 8 месяцев назад +1

    Dadang Nakupenda saaana....Nkipata pesa ntatamani uimbe kwa birthday yang hata cku moja .... This is my dream inshallah it will going to be true Amen

  • @joskimmaro1556
    @joskimmaro1556 4 года назад +2

    Huyu ndi malkia wa bongo fleva💪💪💪

  • @bwanamisosi2558
    @bwanamisosi2558 2 года назад +2

    Hili nalo nimeliona katika maisha .

  • @mcmeja2615
    @mcmeja2615 11 месяцев назад +2

    Wewe dada ukiimba mm nanunua cd najua hukoseagi

  • @RioIpo
    @RioIpo Год назад +3

    Naisikiliza daily... asante Judith kwa ujumbe mzuri

  • @barakabundala5941
    @barakabundala5941 6 месяцев назад

    Oyaaaa! Disemba 6, 2023. Sikubali kuwa historia.

  • @officialmwabambatv1350
    @officialmwabambatv1350 Год назад +1

    Commando jide napenda sana kulisikiliza song zako kama hii hostoria ni 🔥 inaishi milele

  • @henriettenkuba3240
    @henriettenkuba3240 6 месяцев назад +1

    Nimekuja hapa baada ya afande kuimba huu wimbo😅😅😅😅

  • @user-hp4tm7lp2q
    @user-hp4tm7lp2q 6 месяцев назад +1

    Kuazia mwakani 2024 sitaki kuhistoria this is my dream

  • @musyokanzilu9459
    @musyokanzilu9459 4 года назад +2

    Lady jaydee mungu akusaindie

  • @tangataunyake3948
    @tangataunyake3948 3 года назад +2

    Hakika utaacha historia kwa jumbe hizi,, Asante 🙏

  • @mauricemadilugerson5933
    @mauricemadilugerson5933 7 месяцев назад +1

    Tupo NGANGARI hatujakubali mpaka hapa kuwa HISTOIRIA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @rashidsaid1191
    @rashidsaid1191 6 месяцев назад +1

    Big up sana Commando Jide wishing u all the best, SALUTE to Afande

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 4 месяца назад

    ctaki leo kuwa historia Nataka kesho iwe historia....nataka I niache historia itakapofika kuwa historia

  • @kiragapatrick279
    @kiragapatrick279 5 месяцев назад +1

    Afande

  • @godihkibe5728
    @godihkibe5728 3 года назад +1

    Jidee commandoo una mpinzani lov u mmhaaaaaa

  • @zuwenazuwena7764
    @zuwenazuwena7764 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤

  • @RidhiwaniShikeli-du6nv
    @RidhiwaniShikeli-du6nv 9 месяцев назад

    Kweli dada unajua kuimba nyimbo zako zitadumu milele

  • @MaryMelkiori199
    @MaryMelkiori199 Месяц назад

    2024

  • @remijomtenga5685
    @remijomtenga5685 4 года назад +3

    Lesson done and msg delivered.

  • @AbubakariMtitu
    @AbubakariMtitu Месяц назад

    Ase acha nitengeneze life bata zipooogoo tu imagine shisha zipogo tangu zamni dahhhhh

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 6 месяцев назад

    Siwezi kukubali kuwa historia

  • @michaelmbwilo-jw8hp
    @michaelmbwilo-jw8hp 6 месяцев назад

    Afande brought me here ✅

  • @user-kf5ot1sl2i
    @user-kf5ot1sl2i 9 месяцев назад +1

    I love

  • @cosmasmpwage2576
    @cosmasmpwage2576 3 года назад +1

    .. ahsante kwa ujumbe dada

  • @ndojes711
    @ndojes711 Год назад +3

    Good message ❤❤

  • @samtindi
    @samtindi 5 месяцев назад

    Golden voice

  • @MamchoMafunguo-bl7zq
    @MamchoMafunguo-bl7zq 9 месяцев назад +1

    Nice song

  • @puritylihavi3188
    @puritylihavi3188 2 года назад +2

    Like it

  • @obbytheteng9389
    @obbytheteng9389 2 года назад

    Hii nyimbo jide bado inaishii mpaka leo

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 6 месяцев назад

    Big up sana afande kwakutuleta huku

  • @isayabendera3034
    @isayabendera3034 Год назад +1

    my favorite song

  • @samtindi
    @samtindi 5 месяцев назад

    uishi miaka mingi

  • @atanasshirima8623
    @atanasshirima8623 6 месяцев назад

    H-kiparu 🎉

  • @barikishayo7743
    @barikishayo7743 6 месяцев назад +2

    Nimekuja kusikiliza hili jimbo baada ya Afande kutukumbusha😂😂😂

  • @ramadhaniwilondja5886
    @ramadhaniwilondja5886 3 года назад +1

    🙏🙏

  • @hardfreygodfrey3163
    @hardfreygodfrey3163 6 месяцев назад

    Kumbe shisha ipo toka kitamboo

    • @malikally2253
      @malikally2253 Месяц назад

      Mbona zilikuwepo miaka mingi tangu 90's hapa tz ila miaka hiyo walikua wanatumia waarabu tu ,ila hii video ya jay dee kipindi hicho pale nyumbani lounge zilikuwepo tukienda pale simewekwa kwa nje sehem ya kuvuta .

  • @jumasaid8892
    @jumasaid8892 4 года назад

    Hakika huu wimbo uliotendea haki unafundisha

  • @ScardySangah
    @ScardySangah 5 месяцев назад

    Mliokuja hapa baada ya kumsikiliza afande tujuane

  • @jacquelinematlou8727
    @jacquelinematlou8727 Месяц назад

    walokuja baada ya msiba kuangalia

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 Месяц назад

    Whoelse is here 2024

  • @husseinmakame12
    @husseinmakame12 11 месяцев назад +1

    hata mm siitaji kua historiya

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 года назад

    😍😍😍

  • @avithmutafungwa3711
    @avithmutafungwa3711 6 месяцев назад +2

    Nani karudi baada ya video ya Afande,😂

  • @magdalenakansimba8947
    @magdalenakansimba8947 11 месяцев назад +1

    🤍🤍

  • @soamesphares
    @soamesphares 6 месяцев назад

    Nimeangalia hii video ghafla nimepata kiu ya bia...🤕

  • @AbubakariMtitu
    @AbubakariMtitu Месяц назад

    Ase acha nitengeneze life bata zipooogoo tu imagine shisha zipogo tangu zamni dahhhhh

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 месяцев назад

    2024

  • @AbubakariMtitu
    @AbubakariMtitu Месяц назад

    Ase acha nitengeneze life bata zipooogoo tu imagine shisha zipogo tangu zamni dahhhhh