Это видео недоступно.
Сожалеем об этом.

MASKANI | Gumzo au mazungumzo? (Part 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 июл 2024
  • #CitizenTV #CitizenDigital

Комментарии • 38

  • @robertamoko2898
    @robertamoko2898 Месяц назад +3

    GenZs thank you for stopping Zakayo from selling out our sovereignty to enrich himself. He was making deals with IMF, NATO, UAE, World Bank & EuroBonds. Kenya is so rich doesn't need foreign loans.

  • @musimamonziga4967
    @musimamonziga4967 28 дней назад

    ❤😂❤😮😮😮gen z kaa ngangariiiii amen 💖💖💖💖💖💖😮😮😮😮😮😮🎉🎉amen

  • @musimamonziga4967
    @musimamonziga4967 28 дней назад

    ❤😂🎉🎉🎉🎉we kenyanssss we will voteeee for h E kalonzo musyokaaaa in 2o27 year rrrr for presidential candidate electionsssss in gods willllll he will succeed and penetrateeee in the name 😂🎉😢😮😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉of the name Jesus Christ amen 💖💖💖💖💖😢😮😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉amen

  • @Stephen12.
    @Stephen12. Месяц назад +2

    Sasa kama opulence & extravagance na extra-judicial killings ni vitu za kukaa chini kuongea???????

  • @husseinndaro8931
    @husseinndaro8931 29 дней назад

    Asalam alaykum serikali ya kenya.mtaongea mengi,lamsingi ni kuounguza bei ya vyakula,vijana kupata ajira,punguza bei ya chakula,nakupea TU mwezi Mmoja utaniambia shukran.

  • @user-sr4qq8qi6p
    @user-sr4qq8qi6p 28 дней назад

    Yeye atoke kwa uongozi sio kazi tu

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs Месяц назад +2

    Wakenyas should stop 🛑 given anybody money if he/ she needs anything thing in officers of government, first Kenyans should to learn that and currapution will be end 😮

  • @DavidMessi-h9c
    @DavidMessi-h9c 24 дня назад

    limtu Kama Hilo uliliita kufanyanini hakili zake zimemalinzwa nanyule, nacikio Kila mtu atapata kanzi.

  • @georgeobungu6153
    @georgeobungu6153 Месяц назад

    There can't be dialogue without accountability. Gen-Zs plz make sure all leaders are held accountable whether in government or opposition. And Gen-Zs thank you for succeeding where we failed as your parents.

  • @abdikadirgaleef3966
    @abdikadirgaleef3966 Месяц назад

    The only problems we have is western policy

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Месяц назад +1

    Hiyo haiwezikani kwa kua yeye ruto ndio wakwanza kuuwa na kuiba hibi mwivi atamshika mwizi yeye aende tu

  • @user-tn3ux3ve8f
    @user-tn3ux3ve8f Месяц назад +1

    Gen Z dont Dialogue No.Since 1990 what has happened NOTHING

  • @432155ful
    @432155ful Месяц назад

    Kangwanja ni mwandani wa ruto na hasikii na haelewi matakwa ya Gen z.Yeye kama mwalimu alihusika sana kuwapeleka genz kwa ruto na sasa hana huruma kwa genz. Genz hawataki mazungumzo hoja zao kubwa ni kutimiziwa na kutekelezewa matakwa yao.

    • @yJe461
      @yJe461 Месяц назад

      Bibi yake ni Security Advisor wa Ruto, Amb.(Dr.) Monicah Juma. So serikali iko kwa kitanda yake

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 Месяц назад +1

    Hii kiburi ya wanasiyasa ni vile mishahara yao iko juu hiyo ndio inawapa kiburi

    • @musimamonziga4967
      @musimamonziga4967 28 дней назад

      ❤😂🎉😂😂😂😂😂we kenyansssss we will voteeee for h E kalonzo musyokaaaa in 2o27 year rrrr for presidential candidate electionsssss in gods willllll he will succeed and penetrateeee in the😢😢😢😢😢😢😢😢 of name 😂 Jesus 😂😂 Jesus Christ amen 💖😢😮😢❤❤❤❤amen

  • @marrymakoi1588
    @marrymakoi1588 Месяц назад

    Kama Serekali haina rasilimali za kutosha yeye Raisi afanyeje

  • @IsraelDavid-w8m
    @IsraelDavid-w8m 28 дней назад

    Muhubiri 3.1 5

  • @arnoldadeya
    @arnoldadeya Месяц назад +2

    we have had dialogue since 90s with no tangible results nkt

  • @jameskaranja3244
    @jameskaranja3244 29 дней назад

    Mimi ningeongezea kwaba kama Kuna yeyote amepatikana kwa mauwaji ahukumiwe

  • @johnmithika9887
    @johnmithika9887 Месяц назад

    Na NADCO ilienda wapi baada ya maongezi dhahiri?? Ilikuwa ni kupoteza nuda tu

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 Месяц назад +1

    Kufuta CAS hyo yataka mazumzo

  • @user-wo1de2ub3j
    @user-wo1de2ub3j Месяц назад

    Rais na wandani wake hawakuliona hili? Usipoziba ufa utajenga ukuta. Haya kazi kwao Rais pamoja na wandani wake.

  • @rchardkerema8312
    @rchardkerema8312 Месяц назад

    All arguments here are legitimate! However, giving the president too much pressure will only derail his agenda even more.

    • @isaacochola1389
      @isaacochola1389 Месяц назад

      nonsense

    • @SalimSimwenyi
      @SalimSimwenyi Месяц назад

      You're elected to solve problem not make noise. If one is unable to deliver resign there many people who can perform those duties without any problem. Ruto is unfit to Kenyan president. Very incompetent

    • @luckydaniel8396
      @luckydaniel8396 Месяц назад

      If the kitchen is too hot you get out

    • @user-tj8ho5hy2b
      @user-tj8ho5hy2b Месяц назад

      No one is pressuring the prezy,he had time to deliver. What he's being asked is,quit.

  • @uri2243
    @uri2243 Месяц назад

    Why should we have a dialogue and yet they know what the people are asking for???Ni wafanye kazi tuone SI kuongea tu...They are just acting with force and arrogance... Are we being Colonized again???

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 Месяц назад

    Hatutaki mazumzo kutii amri ya koti hakutaki mazungumzo

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs Месяц назад

    My questions is if lawyers comes out to make government decisions how to do this how to do economy I wodder why they didn't apply those jobs all to be in elections roll to be members of parliament?

  • @MollisMulier
    @MollisMulier Месяц назад

    Mwizi atanyoshaje kidole kwa mwizi mwenzake?

  • @baloz8974
    @baloz8974 Месяц назад

    Ruto tatizo lake anajiona kama ni master of the chase kucheza na akili za watu kama alivyocheza wakati wa uchaguzi aangali upepo unaendaje akaufuata Genz ni wengi wao ni wasomi na sio watu wakudharau mambo kila jamabo wanalotaka lazima watu wawajibike