Alikiba nakuomba sana uifantie rimix ngoma yako ya HADITHI. Lile goma kila nikilisikiliza nahisi umeliimba leo. Ikiwezekana muweke CHIDI BENZI au KHALI GRAPHY wa Kenya au msanii wa rap wa nje ya TZ 🙌🙌🙌
Nyie GLOBAL naomba mmfanyie interview Ali Kiba mmwambie aifanyie Rimix ile ngoma yake ya HADITHI amshilikishe Khaligraphy wa Kenya na CHEED BENZI. Ngoma itakuwa ya moto balaa
Hapa Ali kiba katulia sana bonge la Wimbo kwa sisi watu wa zanzibar tunapenda Wimbo kama huu hauna mambo mengi na sauti kali sana ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️
Wakati watu wengi wametega masikio yao kusikiliza amapiano King umekuja na genre ingine kabisa.. Lakini hii ngoma yalaiti ingetoka February mwezi wa mapenzi ingekaa namba moja Hadi mwezi wa nne on trending... Kazi nzuri king.. nilimiss kusikia this type of melody kutoka kwako... Bless you❤
Yalaiti ningejua mapema..
.........daaaah +254 hapa Linapigwa pwani Fm sahiiii. iko juu
Leo Niko hapa kabixa kwenye Siku yetu kama unamwamini Mfalme wetu King Kiba usipite bila kugonga likes hapa 🐐👑 Tanzanite 🇹🇿
Alikiba nakuomba sana uifantie rimix ngoma yako ya HADITHI. Lile goma kila nikilisikiliza nahisi umeliimba leo. Ikiwezekana muweke CHIDI BENZI au KHALI GRAPHY wa Kenya au msanii wa rap wa nje ya TZ 🙌🙌🙌
Shabiki wa ukweli wa king iii ngoma ni kali sana brand ni A.A.S kutoka mwanza tumekuja kuku support mfalme wa mziki Tz
Wapi Alikiba fundi ✅✌️
🤴 king kama king hii imeendaa ❤❤❤
Music mzuri hauumizi masikio
Music unaosikilizika ukapenda kuendelea kusikiliza ndo huu sasa
Please hat like 5 tu na nipate kwa udhamini wa #Kingkiba
Kama una uhakika hii ngoma ya Mfalme 👑 itakuwa kali ya kufungia mwaka gonga like hapo chin 👇
Akuna nyimbo apo kaluke na na miso misondo
miso misondo ndo nn?
Nimetabasamu na kucheka kbsa🎉🎉🎉
Kwa kishindo tenah sanah😊kingkiba
King kiba kuchukuwa 🎉 Yako
Anajua huyu jamaa sema2 ajitahid2 wasanii wake awapromote nguvu itumike kubwa❤
Tumeshilikiana kuisubirii hii kazi mfalmee
Dah wacha 2pende mzik mzuri.🔥🔥
Nimefika nimechelewa kiba to the 🌎
Yaani mwaka huu Teamkiba full raha..magoma makali makali🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧💥
King kiba unaweza sana 🇲🇿🇲🇿
Kiba mputaa kiboko ya mabishoo town
E mungu king kama king kiba wewe hau tabirika kabisa wala kuzoweleka yani unabadilika siku hadi siku kabisa wewe ni mwalimu ❤❤❤❤💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
yalaiti tulioweng tunaelewa iz mambo
Chomoa betri zote king😅💯🔥
Nimeisikiliza studio ngoma Kali sana hii
Tupe kidogo bas😁😁😁😁😁😁
Alikiba Tayari hii nyimbo ishafika kisiwani na upokeaje ni mkubwa sana zanzibar, Mfalme alikiba💔❤💗💖💔❤💖💗
Tunaopenda huu wimbo comment hapa 🤗
Karibu ni vunjike miguu😂😂😂🎉❤ acha nisubir
Kama unamkubali king Kiba Ni Full Package ❤❤ 🤴 wa mziki EStar Africa nipeli like 100 zita tosha
Kaka unatisha
Kaka king 🤴😂😂😂 untisha mno
Kaka Mkubwa unaweza zahi❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupa Mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu ndiyo King Kiba sasa 🎧 ❤
Ni Mmoja TU Tanzania na baadaye ntakua Mimi
@@Ivanmtanzania😂😂😂😂😂
@@zanurashabani2230 mbn unacheka Tena jamn
Nyie GLOBAL naomba mmfanyie interview Ali Kiba mmwambie aifanyie Rimix ile ngoma yake ya HADITHI amshilikishe Khaligraphy wa Kenya na CHEED BENZI. Ngoma itakuwa ya moto balaa
Hadi nyie😅😅😅
Mashabiki tumkubali2 uyu jamaa n mkali am from Kenya
Hiii ngomaaa ni fungaaaa ya mwakaaaa.......hakuna ngoma itafika hii.....2023 best song
King tupo pamoja nawe #Classic Elie❤️❤️❤️❤️
👆👆👆Kabla dude la king haijafika wanangu tuanze na hili Kwanza Mimi ni moja ya familia👇👇👇
Watalala kwenye kuti kavu
Sijawahi kuwa shabiki wa alikiba but this song change my mind.beautiful music 🎉
Maaashaa'Allah kiba ulichelewa sana kufanya hizi ladha
Achia kk fast bado linaish
Yakufunga mwaka wapi like zangu❤❤
King👐
unyama mwingi sanaaaaaaaaaaaa
👑 and malkia wa Taarabu ...Mziki mzur sana Big up🔥
Mashabiki wa alikiba tujuane apa 😂😂😂😂 msikanyage tu comment yangu 😅
😂😂
❤❤❤
Mfalume wetu King kiba ♥️
Hili jiwe ni zito mno ❤❤
ruclips.net/video/obCBW2Nb3FI/видео.htmlsi=PKsxyz9GpON4YxhM
Hapa Ali kiba katulia sana bonge la Wimbo kwa sisi watu wa zanzibar tunapenda Wimbo kama huu hauna mambo mengi na sauti kali sana ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️
King🎉🎉Nasubiri sana🎉🎉❤
Mungu azidi kuku zidishia natamani mungu anipe mutoto akiume nimpe jinalako
Tunao rudia zaidi ya mara moja tujuane moree 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante kwa kuulinda muziki wa TANZANIA fanya nyingi kama hizi uache msingi kwa up coming
Yaani Mzee ukienda one to two weeks ujatoa wimbo tu 😂 waga naona kha miaka ishirini sasa ukirudi tunaona kha ulikuwa umepotea miaka kumii 🤣
wakwanza kbsa apa naombeni like zenu hapa🔥🔥☄️ mashabiki wa king👑 apa
Yalaiti kweli ujawai koseaaaaa mfalme
Da poa sana mzki mzuli da mungu mjalie King 👑 kiba
Hakuna baya hapa wakali wa wili big up king 👑 na mama Sabah sauti zilio enda shule.... love from Mombasa Kenya 🇰🇪
Subirini nikatafute mpenzi kisha nimdedicatie hili nyimbo maana daaaah😍hii ni motrooooooo🔥🔥🔥
KIBA UTATUUWA WENGINE TWAUGUA MAHABA ❤🔥🔥
❤ Aaaaa utaniua
GEM!
Here we go for King press like if you love this song
Lete vitu king❤
Sijaisikia lakini ni moto sana....
Kiba ametishaa unyamwezi mwingi sanaaaaaa❤❤❤❤
Imani
Huu mwaka hili dubwasha (yalaiti) limeumaliza ni 🔥🔥🔥🔥🔥 utatuuua kiba
❤❤❤ ngoma tamuuu like zenu
Kume kusha kwetu kings miusique amukeni jamani 🎉🎉🎉🦹♀️🦹♀️
Nakubali ihi ngoma kama unamukubali kings usikose kuni like 🎉🎉
jamani uku kumekucha mfalume anaachia goma
Mfalme ni mmoja tu @Officialalikiba🔥, Unstoppable
Ahsante sana king Kiba. Nimekubali ngoma mpya kali mno ndani yupo malkia Sabah hatar
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aaasanteeee nahuuuku pia tupoo ulipo tupoo mwalimu wa huu mziki💯💯💯💯 hantariii nanusu boss ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏💪💪💪💪
Siku zote Mimi ni shabiki namba wa king Kiba 🔥🔥🔥
Unaweza sana King sauti yako inaweza okoa watu kwenye mafuriko ya hanang
😂😂😂😂😂
Dondosha king👑
Mwamba umetisha kinoma iyoo hapo umeniimbia mm
Naomba lank za kutosha tafadhali 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Aiseeee ngoma kali wanangu
Nyimbo tamu,jinsi inavyosisimua mwili,yaani imetulia na iko na mpangilio wa vina na sauti. Hii ndio nyimbo bora❤
King
Kazi Nzurii Mashallah
King Kiba
MFalme Wa Bongo Flavour Ni mmojaa
Watu Wenye Flavour Zao
Throne is still for u
King kama king🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ali na sabaha salum vipenzi vya watu wa Mombasa napenda mziki wenu sanaaa🎉
Wakati watu wengi wametega masikio yao kusikiliza amapiano
King umekuja na genre ingine kabisa..
Lakini hii ngoma yalaiti ingetoka February mwezi wa mapenzi ingekaa namba moja Hadi mwezi wa nne on trending...
Kazi nzuri king.. nilimiss kusikia this type of melody kutoka kwako...
Bless you❤
King Kiba hapa umemaliza bana, OG Kiba with a taste of modernism. 🔥 🔥 🔥 🇰🇪 🇰🇪
King
MTOTO WA MAMA KIBA FROM KARIAKOO TANZANIA 🇹🇿
Nipo hapa kwaajili ya king goma la mwaka ndio Hilo sasa
Leo taarabu umeamua king
Nyimbo sio yake
Mmmh mama wewe MashaALLAH your sweet sound never get old plus The king wow❤❤❤
Bro hujawahi kosea allah anijalie niwe kama wewe ameen
Nyimbo nazo zipenda mimi❤❤
Hii ngoma ya watu wazima tu ❤❤❤❤❤
Huyu sio king of Pop "Alikurupuka kusema ivyo" Huyu ni KING👑 OF MUSIC🎶
Duuuh mfalme ni mfalme tu
Hii nyimbo kalii mpk nmeiona fupi
Hii ngoma itaishi vizazì na vizazi i fill goosebumps Ali Kiba nakupenda sna ❤ from Kenya
Nakubali big bro kiba,from USA 🇺🇸 nipeni like jameni 🔥💪
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=imxsESSIwEv83eTo
Msiki tam jamani wangapi tupo repeat mode mpaka Sasa..👍🔥🔥
Mfalme wetu mwamba sanaaaa
Mfalme wetu wa muziki
King kama king 👑 ufalume ni wako baba ❤
KING KING❤❤❤❤Tunafurahia MZIKI kenya tunaziomba zinyeshe kama mvua
I like it
Amina rabbi amina mm Kwako hali Sina
Umenizidi hekima me nasitirika..
Kiba we mwamba sio wa sayari hii 🔥🔥🔥🔥🔥