TIMIZA NDOTO VIDEO OFFICIAL VISUAL PASCHAL CASSIAN
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- 0766998994WIMBO HUU NI SEHEM YA MAPITO YANGU AMBAYO NIME YA PITA NIKIWA KAMA MTUMISHI LAKINI NAAMINI INAFIKA SEHEM HATUNA NJIA NYINGINE ZAIDI YA KUMTUMAINIA MUNGU HIVYO NAAMINI
KUNA WATU WANA PITIA MAPITO MAGUM HIVYO HAKUNA AWEZAE KUJIOKOA MWENYEWE NI KUMWAMBIA MUNGU AINGILIE KATI KATIKA KILA TUOMBALO ATUTIMIZIE HAJA ZA MYOYO YETU MUNGU AWAKUMBUKE WOTE MNAO PITIA MAGUM MUNGU AWARE HAJA YA MYO YENU
Hii nyimboo nzuri sana ,,,hakika utaielewa kama ulishawahi pitia magumu ,,hakika inafariji❤❤❤ nasubr like za pongezi kwa mwimbaji
Nimekupa like zangu❤❤❤❤❤
Amina
Kweli kabisaaa ❤
@DenGospels
Nimeelekezwa huku na tiktok...wapi likes za mtumishi wa mungu
Wooo! How a wonderful 🎵 the voice is amazing 👏 keep up I like it. Mungu atakutimizia kwa sababu unatii sheria zake. Kizuri hakiitaji haraka.
We mtumishi u wimbo sio mawazo yako ila nimungu mwenyewe alitaka useme na dunia nataman kuliya 😭😭 bada yakusikiliza wimbo huu umenifanya nisogee msalaban mungu akubaliki Sana ASANTE YESU NITIE NGUVU 🔥🔥🔥🔥
Waooooh timiza napenda kukuhubili sana yesu wangu bila woga watu wakujue na sio kukujua tu na wajue ulicho waitia baba mwema haya ni maombi yangu
From Kenya man of God be blessed with wonderfully songs keep it up ❤
eishi mtumishi ww n moto kubwa mda sio mda mazuri yanazidi kuja tu nasemaje tangu nianze kukujua hadi sasa hujawaikosea uko fire ww n moto mkubwa na mungu yupo nawe lazima ndoto zako na zangu hapa mungu azitimize
❤❤
Hakika hata mm namuelewa sana
Mungu hutoa kwa wakati wake usipozimia moyo ewe ulie mteule wa Mungu,, tusichoke kuomba na kumuamini huyu alie mkuu kuliko kitu chochote.. Asante Mungu kwakua unasikia maombi ya watu wako ameni...
Huu wimbo ni mzuri na umengusa moyo Wangu
Mungu timiza ndoto zangu. Ingawa Kuna ugumu lakn nakuamini ww MUNGU. Utatimiza. Nakuamini
timiza ndoto zangu 🥲 eeeeh Mungu 🙏
Timiza ndoto zangu ee mungu wangu badilisha maisha yangu ninaomba baba 🙏🙏
Mungu ni mwaminifu atatimiza ndoto zetu 🙏🙏🙇🙇 Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako ni nzuri sanaa Mungu akutendee mema maishaini mwako bila kutusahau na sisi
Nashukuru sana dadaagu mdogo Mungu atukumbuke. Ubarikiwe kwa kutii. Ubofye kengele tu ndio nyimbo nzuri na Neno la kweli ulipate hapa
Finally 🧎🧎🧎🧎 very powerful song timiza Jehovah naomba
I love all your music, and I believe you have a strong and spiritual message for the world . Please try to translate it into English .God bless you my brother.
in shortly of song his prayer is God to fulfill his Dreams its a powerful message to every heavy heart that crying to God to fulfill there dreams🙏🙏🙏
Ee Mungu timiza ndoto zangu, Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa wimbo huu.
TikTok imenileta hapa kusikiza wimbo
Walai hata mimi aki hii wimbo inatujenga sana kwa sisi tunao Lia na kuomba mungu
Nimeomba miaka mingi nipate mke timiza Ee Bwana
Amen
Hata mmi mungu timiza haki nipate mume niomba miaka mingi mungu sikia kilio changu
Wao nyimbo nzuri Sana, nimebarikiwa Sana moyoni mwangu, mtumishi wa Mungu pascal cassian Mungu azidi ku kubariki pia na ku kupeleka viwango vya juu zaidi. Steven kutokea South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🙏🙏🙏🙏💪
Na Mimi nitatimiziwa naamini kabisa✋
TikTok brought me here🙏🙏🙏Mungu timiza ndoto zangu🙏🙏be blessed Brother Pascal
mungu akubariki wimbo nzuri sana.
Powerful message amen 🙏 timiza ndoto zetu Mungu wetu
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu,nyimbo unazo imba zinatutia nguvu
Nyimbo nxur nimefurahi moyoni mwangu,na nimeona mkono wa bwana yesu. Bwana asifiwe
Mungu hakutimizie doto zako nimependa sana nyimbo zako natamani na Mimi niwe kama wew
mungu ayilinde hunduma yako umalizee salama good job 💓🇿🇲
Dear God l am asking you to fulfil my dream
Ubalikiwe cassiano kwa nyimbo nzuri 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
❤ may God you abundantly huwa nabarikiwa sana na nyimbo utumishiwenu kwa Mungu.
Hayaaaa nimaombiii yanguuuu babangu timiza ndoto ndoto zangu penda sana hii
Amen 🙏🙌 hallelujah good job Sir
Eee mwenyezi mungu niokoe
Huelewi
Woi wimbi wenye faraja
Unatigisha moyo wangu
Mungu bless you
This song every morning is my password God bless you my brother
Amina Amina ihi nyimbo imenibariki sana naomba Mungu atimize ndoto zangu ubarikiwe
Mungu timiza ndoto zangu .Mungu atimize ndoto zako❤❤❤❤❤
Watching this at 4:23 mungu timiza ndoto zangu aki nimechokaaaa😢😢😢😢😢💔💔💔💔baba timiza
Baba timiza ndoto zangu kutoka TikTok hadi hapa huu wimbo umeniguza❤❤❤❤❤❤
Mungu atimize ndoto zetu🎉
Amen 🙏🙏 umbarikiwe mutumishi Pascal cassian
Ata pia mimi ninani imani mungu atatimiza ndo zangu barikiwa sana my brother
❤, napenda mno mafundisho Yako ubarikiwe sana
Amen Mungu atimize ndoto zangu ❤❤
Naomba Bwana wetu Yesu Kristo Anifunguliye milango ya Uchumi ili nimtolee
So wonderful, may Almighty God fulfill our dreams, God is faithful
Welcome my brother Njagi thank so much may our heavenly Father richly bless you in abundance.
@@MGALILAYABillionaire Amen 🙏 amen may bless you
Good song..nyimbo kama hzi ndyo zinapea mtu nguvu ata kama hajaokoka..akisikia anaokoka
I love this song alot be blessed man of God🙏🙏🙏🙏😊
😢😢😢 pia mimi MUNGU timiza ndoto zangu.amen
Apostle Mathew am blessed with the song from Kenya I invite to Kenya
From tiktok this song is powerful messege be blessed man of God 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
MUNGU timiza ndoto zete. Amin 🙏
Amen🙏Mungu mtakatifu akutimizie ndoto yako ili watoto wetu wapone kwa kuwafu ndisha misingi mizuri😭ambayo inawasaidia kumjua Mungu wa kweli🙏
Kwa mapenzi yako Mungu naomba, utimize ndoto zangu na kuokoa maisha yangu ili wanaonitegemea wasiangaike kamwe.
Wimbo mzuriiii mtumishi Mungu akubariki kwa kututia moyo🙏
Yesu alisema jihadharini na manabii wa uongo nihawa wanaopotosha neno la mungu Leo mungu Yuko kwenyendizi biblia inasema mtaweka mikono juu ya wagonjwa watapata afya lazima wasemwe
Kubeba ndizi kuna maanisha ni nabii wa uongo??? Omba uelewa wa kiungu dadaagu zawadi ili uelewe ndizi inaashiri nini kwa huu wimbo.
Utapona. wakati utasahau ya kale mungu aanze mwazo mpya na ww
Umebarikiwa Kipaji kaka 🎉
Mungu atimize ndoto zetu
Mungu timiza ndoto zangu
Timiza ndoto zangu Mungu nisibaki nilipo
Vile umevaaa ndivyo waimbaji WA injili wanafaa kuvaaa, your blessed May God timiza ndoto zetu
Which verse says so?😅
Amen Amen Padscal nasikiliza u tube natokea Mkoa wa Pwani Njia Nne Visiga Madafu naelekea Mbezi Kwa Magufuli Dar
Asante Mungu Kwa huu wimbo💕💕💕💕💕💕💕💕💞💞💞💞💞💞🙏💯✅
Mungu unaemtumikia na akutimizie ndoto zako katikaJina la Yesu. Akuponye na kukua wa kufanana nae. TUNAMWAMINI ATAFANYA KWAKO.
Timiza baba timiza. I want to come and testify again here dear Lord
Baba timiza ndoto zangu Mungu wangu 🙏 🙏 Be blessed Servant of God 🙏
Va de l'avant Homme de Dieu et que la Grâce de L' éternel te comble❤
Barikiwa MTUMISHI kwa nyimbo NZURI yenye UJUMBE MZITO!
Nyimbo nzuri sana hii kak mkubwa 🎉
Ee mungu timiza ndoto zangu mungu umbaliki mwinjilist
ubarikiwe kwa huduma yako mpendwa🎉
Baba katika jina la Yesu timiza ndoto zangu nakuomba baba
Hata nami timiza ndoto zangu.barikiwa sana Mtumishi
Hakika nyimbo zako huwa zinanijenga sana mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
mtumishi ucfe moyo unakitu cha tofauti sana tangu ulipo imba ona wanavyokuabudu atari ogopaaaaa
Mungu azidi kuinuliwa kwako na kizazi chako kwa uimbaji wako
The song should be above 1M views already
Thus son has blessed me more 🙏 🙌 😌
Baba sikia kilio changu na maombi yangu timiza ndoto zangu 🙏🙏🙏🙏🙏God you said in the book of Isaiah 60:22 At the right time you will make it happen
Mungu asikiagi HATA ukimwita kwa sabàbu hasikii kamwe na hata Huta kutananae😂😂😂 upuzii TU
You've high sign of mediocrity kwani ww ni shetani ama? Bna una wivu
Sikio la Mungu liko kuwasikiliza ambao wanaongozwa na roho wake. Bali kama unaongozwa na mwili hakusikii. Hivyo basi ukifa kwa mambo ya dunia hii, (ya mwilini Mungu anakusikiliza na kukujibu wasiwasi hajajificha mpaka sasa anaoneka kwa wale wanaoongozwa na roho. Anasema nitafute kwa bidii na utanipata. Nduguyangu sio wewe bali ni kile kilitupwa ndani yako ndio kinaongea. Ukikiri Yesu ni Bwana na kutembea kwa shauri lake basi utamuona kabisa kwa kila jambo.
Hukumu inakuhusu unamdhihaki mtumishi wa mungu mpuuz wewe laana iwe juu yako maisha yako yote
Amen Mtumishi Mungu akuwekee ULINZI DHIDI ya muovu shetani na kundi lake 🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi ndoto zangu niwe na biashara yangu mzuri pia niwe na mwanamke mzuri mwenye heshima
A blessed song. Inatuliza Moyo 🙏🙏🙏
Waebrania 12:14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo Utakatifu ambalo hakuna mtu atakayemuona Mungu asipokuwa nao
Nyimbo inauwepo sana. Barikiwa baba🙌🙌
Mungu hata nipitie magumu zaidi nipe nguvu na neema zaidi ili nitimize ndoto yangu....bariki uzao, bariki marafiki, na kila mtu anaye soma hii comment....
Wote wanao pitia shida Mungu awakumbuke awe kibali zaidi
Mchungaji barikiwa sana......kutoka Kenya 🇰🇪 😍 ❤
Ubarikiwe sana kwa uinjilishaji huu !! Eeee Mungu baba Naomba Timiza ndoto zangu... mpito ni meeeengi sana.. Timiza Baba ndoto zangu na watoto wangu...🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hallelujah 🙌 Amen Amen MUNGU wangu 2025😢😢😢😢😢nipokea ndoto yangu mm MUNGU mtoto wako 😭😭😭😭😭🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️
Kweli, bila uwepo wa MWENYEZI MUNGU kuishi naogopa!! Utahesabiwa haki Mtumishi tukumbushe Toba.
Kuna video inaitwa prophet suddenly....it related to this masterpiece...maranatha
Mungu akupe nguvu ya kuyashinda majaribu na yote unayoyapitia
Nyimbo nzur sana ,hongera kaka MUNGU akutie nguvu uwe na mwisho mwema
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu🎉
Mungu hakubaliki sana hatimizize ndoto zako
Barikiwa baba
This song have become my breakfast, my lunch and my dinner. Where are you my people? It's new to my ears every moment.
Mungu timiza ndoto zangu nipate vitega uchumi amina naamin ipo siku
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Hallelujah.Baba timiza Doto zangu🙏🙏
😢😢 😢 amen barikiwa kaka
Timiza ndoto zangu Mungu 🙏🙏🙏