Haki tangu nimekuwa mpaka nimefika hapa,,,sijawahi kulia kwaajili ya limwanaume,,,,,uwiiii mimi pesa ikipotea au ikiisha mfukoni au biashara haziendi ndio nalia ila sio ujinga huu,,,ila pole sana Sada
Mmmh kama mlikosa mwendlezo hapo mngesubr tu mishapata ndo mnatoa hii ep ila so hvi, mnarudia ya nyuma dak zote ndo nn sasa hatujapendaa jman baadh yetu
Mapenzi banaa aaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kasalimie jaman ila ndewa amenogewa mpaka wamuacha sadaa daaah
Ndewa jiadae
Leo naomba like sjawai omba
Jamani ime nitoa machozii😢dewa huna hurumaaa basi hata mdanganye
Poleee sana da sada 😢😢😢
Mapenzi shikamoo tupende wazazi wetu na pesa tyu
Sada poleee sana nina imani utakuwa SAWA lkn Ndewa chamoto utakiona
Waka Waka mungu awape maisha marefu maan sio Kwa hiz rah
Jamani Sada pole sana 😭😭😭
Yani sada hapo umejua kucheza mama yani umefanya kama umeachwa kweli 🎉🎉🎉🎉🎉
Ikovizuri 🎉🎉🎉🎉🎉
malipo ni hapa hapa wacha tuone Kama bibi atamuuwa ndewa ama kai
Bibi sasa unaanza na ndewa au kai sasa ushauri anza na ndewa
Daaah mapenzi yanauma jamanii😭😭😭😭😭😭
Ndewa ni muhuni Yani Kila mwanamke kapita naye du!
waah sada na chiko wq house girl wanapgwa matukio kwli kwliii ....ndewq chuma chko kimotonii😅😅
Sada 😢😢😢😢💔💔
This part has make me happy 😂😂😂😂😂😂😂we mbuzi😂😂😂😂😂but this grandma😂😂😂😂😂😂
Dah! kweli mapenzi sumu, sada amejiuwa
Chikamo 🎉🎉🎉🎉 mapenzi🎉🎉🎉😂😂😂😂
Mapenzi shikamoo 😂😅 mpaka kujiua jamaniiiii pole sana bibi sada🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nimeifeel km n mm vile ndewa sio poa lkn 😢
Ila bibi sada jamani 🤣🤣☹️☹️🤣ndewa mbuzi kai atakuwa ng'ombe😂😂😂😂😂😂
masikini sada😢😢😢
😂😂😂😂😂maskini sadaaa
Nawapongeza kwa kazi NZURI big up
Bibi malizana na ndewa kwanza then Kai badae
Duuuuuuha
🎉🎉🎉❤❤
Mapenzi ni sawa na mchezo wa kupokezana kijiti😂😂
Mama p ❤
Jamani ndewa si poa haki kwani hujui mapezi vle yanauma sasa pole😂😂😂😂
Haki tangu nimekuwa mpaka nimefika hapa,,,sijawahi kulia kwaajili ya limwanaume,,,,,uwiiii mimi pesa ikipotea au ikiisha mfukoni au biashara haziendi ndio nalia ila sio ujinga huu,,,ila pole sana Sada
😢
@@ndewatv😂😂😂
Unaroho ngumu kama mimi
@@ndewatv usilie bhana
@@EvaKimario-tv2mw umeniiga wewe juzi siulikuwa unalia
Shikamoo 😂😂 mapenzi 😢
Mungu wangu. Aya mapenzi😢
😂😂😂ndewa bibi anamuita muzi
😂
Weee mbuzi😂😂😂Tna umeyakanyaga ndewa😂😂😂
Ila ndewa umewavuruga jmn
😊
Zuri sana inamafuzo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤
Sada Hadi hamuendani na ndewa so tulia
😂😢
😂😂😂Kbs
Hujawah kuumizwa nd man unasema hvyo hv we mpenz wako mnaendana au amekuonea huruma tu
Katika kitu siwezi kuthubutu ni kujiuwa kisa mapenzi we ugali ulivyo mtamu mungu ninusuru
Wasema pole pole, ugali mtamu maisha mazuri haya japo tutayaacha ila kwa siku ya Mungu sio kujiua,aku!
@@aishaomar2287 yaan sithubutu mungu anichukue Kwa njia nyingine
Jamani huyu ndewa amezidi
😢
Daaaah kaz nzuri sana Big up 😜
Ndewa subiri kifo chako
Nimewai jamani❤❤ kazi nzuri wanawakawaka
Heee ndewaaa umeyakanyaga ole wako sada akifa
Woiyee sada 😢😢😢
Shetani wa mguu mmoja tena unao ning'inia😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Nan sasa
@@Pili-n3l ndewa
Haki sada bora angefanya revenge jamani😢
Ila mm sjiui kwa ajili ya mtu
Hivi ujasiri wakukulia mapenzi mnaukutaga wapi?
Kwan ndewa Ana nin jaman
😊
Haya bibi utamuuwa ndewa au kai
Bibi sada sijui utaanza na yupi 😂Kai au ndewa
😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza Leo,kazi nzuriii
Hakuna kitu inauma km hii kuachw na mtu ingali hujajipanga Jamani mapenz yanauma nyie kuliko maumiv ya leba nishaachwa mara 5
Mmmh pole sana m najua maumivu ya kusalitiwa ila si ya kuachwaa
uuu pole
Mapenzi yanauma sana kheri niyasikie kwa jirani lkini co mm
Usikie tu kwa mwenzako kwa kweli
Bibi zada pole sana
😢😢😢𝐌𝐚𝐬𝐤𝐢𝐧 𝐬𝐚𝐝𝐚😢😢😢𝐩𝐨𝐥𝐞
Sipoa jamani 😢😢😢😢
Mmmh,msichereweshe jamn
🎉🎉
Akuna kitu nachukia kuona mkiremind vitu za nyuma Hadi muda unadonga Bure ,amjafanya kitu kabisa , imeisha mkirefressh walai😢😢😢
Umeonae
Ila kumbukumbu si wameact fresh coz hatukuziona,au n mm sielewi?
Jman Sada pole
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
SadA jamani 😂😂😂😂😂
Mmmh kama mlikosa mwendlezo hapo mngesubr tu mishapata ndo mnatoa hii ep ila so hvi, mnarudia ya nyuma dak zote ndo nn sasa hatujapendaa jman baadh yetu
Kwani Ndewa Ako Na Kitombwi Cha Vipi Kila Demu Anamshobokeya😂😂😂😂
Na Ssa Kapata Ya Kushika Ya Beby Magiiii Watajiuwa Wengi 2
Mapenzi shikamoo
Kwanini una kata tama
❤❤❤
Marahaba😂
𝐊𝐮𝐦𝐛𝐮𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐳𝐨 𝐦𝐩𝐢𝐠𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚😂😂😂𝐬𝐚𝐦𝐛𝐚𝐫𝐚𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚❤❤❤❤❤𝐧𝐝𝐞𝐰𝐚 𝐮𝐥𝐢𝐦𝐩𝐚 𝐧𝐧 𝐬𝐚𝐝𝐚😅😅😅😅𝐡𝐞𝐡𝐞𝐡𝐞😂😂😂𝐚𝐚𝐚𝐚𝐡
Hizo kumbukumbu nazichukia sana
@@EveKaari-r7r 😂😂😂😂𝐩𝐨𝐥𝐞 𝐧𝐚𝐳𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐚𝐳𝐦𝐚 𝐮𝐰𝐞 𝐧𝐚𝐳𝐨😂😂😂
Sada pole
❤❤❤❤😂
Sada poleee sana nina imani utakuwa SAWA lkn Ndewa chamoto utakiona
😂😂😂😂huu mchezo autaji hasira
malipo ni hapa hapa wacha tuone Kama bibi atamuuwa ndewa ama kai
Sada pole
Sada pole