Wabunge walivyotamani Kitwanga aongezewe dakika za kuchangia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 91

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 Год назад

    Very brilliant guy.. Kitwanga you are the best ever. Walikutumbua kwa hila mtu wangu.

  • @ibrahimbrown9015
    @ibrahimbrown9015 6 лет назад +12

    Yupo vizuri sana aisee.
    Ila nina wasiwasi huyu jamaa alitumbuliwa aliponzwa na sura yake imekaa kama amekunywa pombe muda wote.

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 6 лет назад +2

    Mbunge wetu wa Misungwi, Wapiga kura Wake Tunajua Kizungu, Nakukumbusha Tu, Dk Shika, Makonda Na Ngwajima Came from #Misugwi Mwanza

  • @frankmalema5350
    @frankmalema5350 4 года назад

    Pongezi kwako kitwanga ni kama urudishwe katika uwaziri kikubwa usiingie umekunywa bungeni your perfect father

  • @hamzasaidi3055
    @hamzasaidi3055 4 года назад

    Jamaa yuko vizuri sana utafikir sio wa Chama

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 6 лет назад +1

    Bangi Bwana Hadi raha Kuna tme Wabunge Mnatuongezea Cku Zakwishi Kwa Kucheka Umetisha Kitwanga

  • @luganojacob
    @luganojacob 4 года назад

    Nimeona nguvu ya tungi inavyofanya kazi big up

  • @issazakaria9704
    @issazakaria9704 4 года назад +1

    Ktwanga is a great person sikumjua awali

  • @mohamedliwassa2208
    @mohamedliwassa2208 6 лет назад +3

    Kitwanga natamani uwe mbunge wangu maana unasema ukweli kabisa wanaokubeza hawajui thamani yako ila upo vizuri

  • @neemathomas4754
    @neemathomas4754 6 лет назад

    safi kitwanga wambie hao luvuma tungezalisha Umeme wa maji na makaa ya mawe ingeku angalau kW 10000 ili tuuze nchi jirani msumbiji ,Malawi, Zambia

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 года назад

    Watu wanaopata nafasi kutoka misungwi, Ni Motooooooo

  • @escober6347
    @escober6347 6 лет назад

    Huyu mbunge anaongea point tupu wazungu wameendelea kwa kutumia umeme wa makaa ya mawe na umeme wa maji ila wanatudanganya eti itaharibu hali ya hewa mbona wao wanatumia alafu mafuriko tunapata sisi shwain....

  • @sonkosolembasimba821
    @sonkosolembasimba821 3 года назад

    Wanangu WA mwanza maisha marefu kwenu

  • @hamzasaidi3055
    @hamzasaidi3055 4 года назад

    Tumuombee aendelee bunge lijalo jembe hili postive thinking

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 6 лет назад +4

    Safiiii sanaaa mh kitwangaa semaaa

  • @tongenimnzava8252
    @tongenimnzava8252 6 лет назад

    Mbunge Kitwanga,kwa kusema huna pesa ni umaskini mkubwa,Napenda kauli hii lazima ujiongezee kwa sababu akili zetu zinachaji,pesa ipo nyingi,tuache kulalamika?

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 6 лет назад +5

    Mzee Wa Tungi nakukubali ila punguza Vyombo vizito.!

    • @fanuelmasatu2103
      @fanuelmasatu2103 6 лет назад +1

      Wilson Challange hahaha baba hadi huku ? Umenichekesha sana challax

    • @wilsonchallange4420
      @wilsonchallange4420 6 лет назад

      Mzee Baba si unamwona Chapombe anavyoshuka Mistari.!?

  • @omarinhomoudy
    @omarinhomoudy 6 лет назад

    Aah kuna sehemu kaongea point..

  • @reubenpaulomabula6098
    @reubenpaulomabula6098 4 года назад

    Saf sana Mhe Kitwanga

  • @EdwinOmegaodhis
    @EdwinOmegaodhis 6 лет назад +8

    Huyu jamaa yuko sobber kweli? He looks totally drunk ila ana mawazo chanya mno

    • @helderman2000
      @helderman2000 6 лет назад

      Edwin Omega mkuu kuna aina ya watu they only make sense when they are drunk..ndio sampuli ya wakina kitwanga. Hata mwalimu wangu wa hisabati primary alikua hivyo..anakuja darasani yupo tungi anafundisha vizuri kweli. Katikati ya mwezi mshahara umekauka anakuja darasani sober tulikua hata hatumuelewi.

  • @happymerry8735
    @happymerry8735 6 лет назад

    upon sahihi sana ingawa wanakuita mlevi.

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 лет назад +2

    Aya bhna. #tanzania ya Aman

  • @shinjekazimily4107
    @shinjekazimily4107 4 года назад

    Mh ndio maana ulitumbuliwa pengine kwa ukweli wako.
    Maana wewe sio wa ndioooo

  • @calvinkitaly7935
    @calvinkitaly7935 6 лет назад +2

    Mungu wangu tusaidie hao ndio viongoz wetu tuliowachagua wenyewe.

    • @lancewilder6037
      @lancewilder6037 3 года назад

      You all prolly dont care but does anybody know of a tool to log back into an Instagram account..?
      I was dumb lost the login password. I appreciate any help you can offer me!

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 года назад

    Huyu jamaa ni mjuaji sana sema pombe tu ndio kikwazo kwake

  • @rummyfrank6800
    @rummyfrank6800 6 лет назад

    Mh anatumia ada kingerezA

  • @juliusmapunda4982
    @juliusmapunda4982 6 лет назад +5

    Kitwanga Premium Lager.

    • @NewMan-ei9cf
      @NewMan-ei9cf 6 лет назад

      Julius Mapunda ahsante

    • @NewMan-ei9cf
      @NewMan-ei9cf 6 лет назад

      Julius Mapunda tafadhali kunywa uridhike.

    • @essaujulius1874
      @essaujulius1874 4 года назад

      mtani mapunda your so funny 😂😂😂

  • @avax5717
    @avax5717 6 лет назад +2

    Tuache kulalamika kwa kweli, kwanza ulalamishi ukizid unakuwa ujinga

  • @edycato
    @edycato 4 года назад

    Akili nyingi

  • @malubalojohn1232
    @malubalojohn1232 6 лет назад +3

    Uko vzr mubaba

  • @sebamrope7691
    @sebamrope7691 6 лет назад

    kwani ile ges ya mtwara haitoshi au mnatengeneza mirad ya upigaji

  • @jumaathumani9732
    @jumaathumani9732 4 года назад

    Kizungu kikavu Kama changu

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 6 лет назад

    Jamaa yupo tungi! Balaa

  • @emanuelgavile7474
    @emanuelgavile7474 4 года назад +1

    S mlevi ila ndo alivyoo

  • @adellallan2777
    @adellallan2777 6 лет назад

    huyu jamaa alikua Tungi sababu ukimskliza clip za hoja zake zingine mbona anaongea vizuri hakuna kusukuhema

  • @ezranelson2619
    @ezranelson2619 6 лет назад

    good i like it

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 6 лет назад +2

    mhe kitwanga kwani c ulikuwa kwenye hiyo wizara ya nishati mbona hukufanya hayo? we ni msanii.

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 6 лет назад +1

    Stress za uwaziri ..... Chapombe

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 6 лет назад +1

    #ilo kot LA suti Cjui LA babu yke

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 2 года назад

    huyu jamaa ana akili sana

  • @NewMan-ei9cf
    @NewMan-ei9cf 6 лет назад

    Vipi mzee, umependeza tena nini

  • @patrickmogella5737
    @patrickmogella5737 6 лет назад +1

    Kichwa hicho na mzalendo wa kwe.

  • @gidionerasto2046
    @gidionerasto2046 6 лет назад +1

    Wape kabisa

  • @rajabmnyimwa3126
    @rajabmnyimwa3126 6 лет назад +1

    kitwangwa amezitwanga

  • @joshuamshana5874
    @joshuamshana5874 4 года назад

    Kitwanga Ameongea nondo 🥂

  • @jovinarybwoma7307
    @jovinarybwoma7307 6 лет назад +1

    Safi kabisa

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 6 лет назад

    Tutumie na nyuklia tuache ujinga

  • @onesmomvungi4701
    @onesmomvungi4701 5 лет назад

    Kaxi ipo keelikweli. Hapa kazi tu.mbele kwa mbele...

  • @TifahD
    @TifahD 6 лет назад +1

    Kala vyake uyu jamaaa

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 6 лет назад +1

    MKIWA NA UPUNGUFU WA MAWAZO TUPO # KITWANGA 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ibrahimbrown9015
    @ibrahimbrown9015 6 лет назад +2

    Sijawahi kuelewa hawa wabunge wanaoshangilia huwaga wanashangilia nn. Au kuna watu hapo ndani wapo kwa kazi ya kushangilia tu!

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 лет назад +1

    Kitwanga ameogea ukweli.

  • @alicepoul1224
    @alicepoul1224 6 лет назад +1

    noma sana

  • @rummyfrank6800
    @rummyfrank6800 6 лет назад

    Huyu sio mlev ndio alivyo

  • @mnazaretinemi4203
    @mnazaretinemi4203 4 года назад

    Jiwe la kisomi

  • @hezronngulwa9250
    @hezronngulwa9250 6 лет назад

    Nmekuelewa sana mzee baba inatakiwa tuthink tuthnk ila wasio kuelewa nahc hawathnk ndio mana wanaropka rpoka

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 6 лет назад

    Yap kitwanga nakuelewa sana

  • @frankp.alkado2938
    @frankp.alkado2938 6 лет назад

    Saf sana

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 6 лет назад +1

    Hajakula vile vitu vyake huyu?

  • @innojoel
    @innojoel 6 лет назад +2

    hajalawe kweli hyu jmaaa😂😂😂

  • @jumaharuna9899
    @jumaharuna9899 6 лет назад +1

    Amelitahid

  • @lucasolobiis7614
    @lucasolobiis7614 6 лет назад

    Huyu totally alilewa akaja hapa

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 лет назад +2

    Kitwanga sisi tuliokuchagua hatujui kizungu na unatuwakilisha kwa kizungu tukueleweje? Unawafurahisha wabunge we zako sio unaowawakilisha. Hata Rais wetu hope deli kuongea English kwenye mikutano yake hata nje ya nchi,kwani kiingereza! Hueleweki kwa wasikilizaji waliokuchagua na hawajui English.

    • @amandusmark3060
      @amandusmark3060 6 лет назад +1

      Hujui kingeleza aafu unasema English, Hope,. Angalia contect, Acha uchawi.

    • @petermasele4686
      @petermasele4686 6 лет назад

      Thomas Nyarusanda hujui kizungu ndiyo nn xaxa

    • @thomasnyarusanda2608
      @thomasnyarusanda2608 6 лет назад

      Acha malumbano, jenga hoja. Sijui kizungu,mbunge anaongea kizungu na Kiswahili,nielewe nini!

    • @fadhilisaid8878
      @fadhilisaid8878 6 лет назад

      huyu jamaa ulevi sijui ataacha lini

  • @josephjila957
    @josephjila957 6 лет назад

    Kitwanga umeamua kufungua baada kutolewa kwenye uwaziri

  • @samsonyemmanuel5160
    @samsonyemmanuel5160 4 года назад

    Wape wape hao wenzio wajinga kweli

  • @badrajohn5221
    @badrajohn5221 6 лет назад +1

    Mlevi huyu... Anazingua

    • @ukweli255
      @ukweli255 6 лет назад

      Badra John ila wealevu walitaka aongezewe mda..sema huyu mzee alishajua watu wanajua yy n drunker sasa anapitia mle mle ili awape cha kuongea ..kizur hamna mwenye uwezo wa kumvua ubunge

  • @benardmunna9194
    @benardmunna9194 6 лет назад +1

    😂😂😂😂

  • @BESTTV1LIVE
    @BESTTV1LIVE 6 лет назад

    upuuzi mtupu

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад +1

    😆😆😆

  • @saigonchiwanga9987
    @saigonchiwanga9987 6 лет назад +1

    Zero brain from zero political party