MUSUKUMA ATEMA CHECHE BUNGENI, AMLIPUA MBUNGE MPINA, SPIKA TULIA AINGILIA KATI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 года назад +2

    Mpna ndo huwa anajipendekeza sanaa
    Hata wakati wamagufuli alijipendekeza Sana'a kwenye samaki

  • @kulishaandry5730
    @kulishaandry5730 2 года назад +1

    Msukuma tangu upewe PhD umekua na hoja ambazo hazituvutii, au kwa maana nyngne kutufanya darasa LA saba wenzio n vilaza ...usitupotoshe Ngosha

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 2 года назад +4

    Mvueni huo uproffesa uchwara wake kujikosha tu Sasa Mara mbili ndo mpk 2024 na ww umekuja kuwa hewa Sana na uproffesa wako wa mchongo saiv umekuaje sijui. mpina is right all time

  • @zachariaboniphace2964
    @zachariaboniphace2964 2 года назад +1

    Kumbe we nae ushakua msaliti pumba wew msukuma

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 года назад +3

    Musukuma unapoteza sifa. Mbunge Mpina yuko upande wa wananchi. Musukuma unayumba unaelejea kwa wapigaji. Unajiunga na watu kama Diallo wako kwenye siasa kwa matumbo yawo. Ukapoteza sifa.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Mpina yuko upande wa Sukuma gang! 😇Dr Msukuma yeye yuko upande wa Wananchi! 🤠Kwa hiyo, tunampa "credit" Msukuma, anatetea maslahi mapana ya Taifa na Wananchi wake kwa ujumla! 😃

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад

      @@j.c.maxima816 Musukuma ametingishwa ameanza kuzungumuza hovyo. Mpina sio Sukuma Ngang anasimamia haki ya Watanzania, kana kusimamia mali na haki za Watanzania ni kuwa sukuma gang basi let it be. Musukuma anakimbilia kwa wapigaji waliorudi madarakani, lack of confidence. Haki Watanzania Wwaoenda haki kwa wote wako upande wa Mpina, ni mbunge mwenye musimamo na sio kambale. Kama kura musukuma atapoteza. Hakuna watu wanao waunga mkono wahuni waliowatesa Watanzania wakati wa awamu ya nne ambawo Kwa sasa wamerudi.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Tusiwasemee Wananchi wake Msukuma! Nadhani wanamfahamu Mbunge wao, na kazi zake wanazijua kuliko sisi Watu wa social media! Chapa kazi Mhe, ukitenda haki, Mungu atasimama na wewe!

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад

      @@j.c.maxima816 ni mbunge mmojawapo aliyekuwa na musimamo. Ni mbunge wa Watanzania wote na sio watu wake. Akiwa bungeni anachokisema hakiwahusu watu wa area yake pekee bali ni Watanzania wote. Ninasema hivyo ni kwasababu ni mbunge ambaye alikuwa akisimama na kuwapa Watanzania hope. Asipoteze sifa zake na kuingia kwenye wabunge tunao wajuwa kama kambale kwa kuwa vigeugeu kwa manufaa yawo wenyewe. Wabunge kama hawo tunawajuwa.

  • @stanlaymanya687
    @stanlaymanya687 2 года назад +1

    Msukuma fala tu umechoka akili

  • @happygodmmary4265
    @happygodmmary4265 2 года назад +1

    Kumbe na ww ndumi la kuwili msukuma umechemka mbaya

  • @husseinabdulkadir684
    @husseinabdulkadir684 2 года назад +2

    pua pua pua mpina yupo right all time

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 2 года назад

    Wewe acha unafiki

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 года назад +1

    Msukuma kumbe mko na bifu nyambafu ww

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад

    Nazungumza mimi usiingie 18 .... DADEKI

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 года назад

    Spika uko vzr

  • @modeboytz
    @modeboytz 2 года назад

    Duuu! Watalamu walimdanganya waziri 😁😁

  • @sayijoseph9179
    @sayijoseph9179 2 года назад

    Msukuma na msukuma mwenzie jisameheni bule

  • @mussakasela1937
    @mussakasela1937 2 года назад +3

    Hakuna mtu mjinga Kama huyu msukuma,

  • @mlyambisipaul8399
    @mlyambisipaul8399 2 года назад +2

    Unaleta personal issues bungeni , msukuma umefeli

  • @leonardvyuma4584
    @leonardvyuma4584 2 года назад +1

    Kwaiyo kumbe bifulenu lanyinyi limfanye mpina asiongee? acheni mamboyenu

  • @salehewaziri8231
    @salehewaziri8231 2 года назад

    Waliokupa Udakitari naoziro

  • @nelsonmgaya8391
    @nelsonmgaya8391 2 года назад

    Mmmm! Huyu Msukuma naye ni mzee wa kujipendekeza!!

  • @sayijoseph9179
    @sayijoseph9179 2 года назад

    Nilizani wataungana kumbe mabifu Dah,,,,,,kueni marafiki basi mjenge taifa

  • @kikariantandi4833
    @kikariantandi4833 2 года назад

    Msukuma hatetei wana chi

  • @jumakapola419
    @jumakapola419 2 года назад

    Kanuni ya nini muacheni mtu aongee wewe

  • @deusrobart8181
    @deusrobart8181 2 года назад

    uyunae yumo