KAZINI KUNA KAZI | wachawi wa Kisabato

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 254

  • @bilid4128
    @bilid4128 3 месяца назад +23

    😂😂😂 nilishawahi kukuona kwenye Makambi 😅😅😅

  • @Phinias-em5pv
    @Phinias-em5pv 2 месяца назад +4

    Hawa niwa Injilist Mungu Awabariki sana Amen

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 2 месяца назад +6

    Kimbe Azaboi ni singer mzuri

  • @fredkyeyo
    @fredkyeyo 3 месяца назад +54

    Hawa wachawi au wainjilisti 😂😂😂😂
    Hawa Bado kubatizwa tu waanze kuhudhuria Shule ya Sabato😊

  • @pr.peterthefactministry5772
    @pr.peterthefactministry5772 3 месяца назад +16

    Vijana pongezi content imekaa poa Sana dulla na wenzako kazi njema sana nimeipenda sana 😅 Bwana awabariki sana

  • @willeyclever8591
    @willeyclever8591 3 месяца назад +10

    Lugha za bibilia
    Ubongo"bongo"
    Ulimi "ndimi"
    👍👍👍👍👍👍

  • @Breikingg1
    @Breikingg1 3 месяца назад +8

    😅😅😅😂Aiseee mmetiaha menikumbusha maisha ya nyumbani kwa mzee wangu 😂😂

  • @mpegwamakama7331
    @mpegwamakama7331 2 месяца назад +11

    Sikuplan kwenda church kesho ilaaaa naendaaa 😂😂😂😂

  • @officialmbwaki-tz
    @officialmbwaki-tz Месяц назад +1

    Tx na mwenzako mnatutaka nini wasbato😂😂😂😂❤❤

  • @johnbahame1023
    @johnbahame1023 2 месяца назад +7

    Haya mashkaji 🤣🤣🤣 yamepatia kila kitu

  • @MussaMabala
    @MussaMabala 3 месяца назад +9

    Mna uhakika Aza boy syo msabato 😂

  • @japhsam_simulator
    @japhsam_simulator 3 месяца назад +3

    hii ya leo tam nimeipenda ni zaid ya comedy ni shule kbs

  • @yohanaj4
    @yohanaj4 2 месяца назад +8

    Wamefanya uinjilist japo MUNGU awabariki saana

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi 3 месяца назад +50

    Leo WASABATO tumefikwa na Txdulla 😂😂😂😂😂

    • @RenaldaKindoli
      @RenaldaKindoli 2 месяца назад

      Hahahah...aki tumefikiwa

    • @ReganFaustine
      @ReganFaustine 2 месяца назад +3

      Ahhaahhaha wasabato tujuane hapa 😅😅

  • @_maky26
    @_maky26 2 месяца назад +4

    Sabato njema wachawi😮

  • @adventistcreativetz
    @adventistcreativetz 3 месяца назад +122

    KAMA UNAAMINI SABATO NDIO SIKU SAHIHI YA KUABUDU LIKE HAPA😀

  • @komboitembe9672
    @komboitembe9672 3 месяца назад +10

    Yaan nyie waking mmenikumbusha mbali unaamshwa saa kami kanafuatia kawimbo hako😂😂😂😂

  • @fredrickernestnyagwisi6486
    @fredrickernestnyagwisi6486 3 месяца назад +36

    Sabato njemaa watu wa Mungu❤😊

  • @Caleb_baluhya
    @Caleb_baluhya 3 месяца назад +20

    Bwana asubh kucha 😂 wimbo wangu pendwa sana

    • @obediboniface4530
      @obediboniface4530 3 месяца назад

      Oya uu wimbo nimeuimba leo mida ya saa 10 alfajiri nilikuwa namalizia supervision y DD drilling night shift 😅😅

    • @massatujeli3158
      @massatujeli3158 2 месяца назад

      wimbo namba ngapi

    • @gdanny044
      @gdanny044 2 месяца назад

      Hv mnauhakika azaboy sio msabato😅😂😂

    • @dickrackstephen
      @dickrackstephen 2 месяца назад

      Makambi asubuhi😅

  • @Blackwolfg5y
    @Blackwolfg5y 3 месяца назад +3

    😂😂😂ila wachawi wa leo wametisha sana🎉🎉🎉

  • @GidioniBhalomenya
    @GidioniBhalomenya 2 месяца назад +6

    Dula acha upuuzi utatuua huku punguza mwanangu

  • @EnockNuhu
    @EnockNuhu 2 месяца назад +1

    Hahahahaaa ety ila ww unachezea laana, saut nzuri hiyo alaf unawanga

  • @magutukemwita9293
    @magutukemwita9293 3 месяца назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂hawa jamaa wanaweza kukuua na vituko vyao

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 3 месяца назад +3

    Ila dula apa hafiti kama yule kaka mwingine nampenda sana yani

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 месяца назад +6

    Kwa hiyo ata waganga wanawesa fanya mkutano kwa jumba chako na usiamke 😮 epu ombeni sana wapendwa 😂😂😂

  • @HelbertJonathan
    @HelbertJonathan День назад

    Hahhaah kaka unajua sana 😂😂

  • @benToyi
    @benToyi Месяц назад

    HAhahah unaimba sana wew unajitafutia laana hahahaha

  • @djniakhan8976
    @djniakhan8976 3 месяца назад +30

    mimi pia ni MSABATO mwenzenu nimepata kaujumbe kazuri
    vijana wengi wakiondoka kwao wakianza kijitegemea wanamwacha MUNGU

  • @mikaszacharia7986
    @mikaszacharia7986 2 месяца назад +1

    😅😅😅😅😅 haha leo tumefikiwa sasa 😂

  • @abbaskayanda976
    @abbaskayanda976 3 месяца назад +2

    Hawa Jamaa Wamewaz a Mbali sanaa

  • @IshakaMakame-ln8re
    @IshakaMakame-ln8re 2 месяца назад +5

    Wachawi wamezidiwa kete Kuna mchawi mkuu alichomoza kichwa nyuma ya kitanda na awakumuona😂😂😅😅😂😮😂😮😂😮😂😢😂😢

  • @FrancoLyuvale-zg6dn
    @FrancoLyuvale-zg6dn 2 месяца назад +2

    hhhhhhh aaaaah hii nouma aase, sabato njema wapendwa

  • @JackMart-l9p
    @JackMart-l9p 3 месяца назад +15

    Wamevuviwa na roho mtakatifu😂

  • @MasanjangwesaJiganga
    @MasanjangwesaJiganga 2 месяца назад

    Khatari kweli 😂😂😂😂 Ila ujumbe mzuri

  • @DicksonMsangawale
    @DicksonMsangawale 3 месяца назад +3

    Huu uchawi ndo tuupeleke Sumbawanga utanoga sana 😂😂😂😂😂

  • @priscamsetti2315
    @priscamsetti2315 2 месяца назад +1

    Hawa kukikucha hapo wataanza na kesha la asubuhi😂😂😂😂

  • @joe_l-n3o
    @joe_l-n3o 3 месяца назад +2

    This combination is fire😂😂

  • @Jamila_1996
    @Jamila_1996 2 месяца назад +1

    Wapi Hombolo Dodoma🎉🎉🎉

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 3 месяца назад +3

    Kuna siku nimeona Aza boy na Lesoni😅😅😅

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 2 месяца назад

    Nitakuja kua wachawi kweli nyiny fanyeni uhuni Tu na masihara yenu

  • @KambaleMagherya-hs1td
    @KambaleMagherya-hs1td 3 месяца назад +1

    Kkkkkkkk akumbe wote ni wasabato kama mimi😂😂😂

  • @PerfectJbo03
    @PerfectJbo03 2 месяца назад +3

    😂😂😂 LEO WASABATO TUMESHIKWA 😂😂😂😂😂😂😂

    • @LUCKDRE
      @LUCKDRE 2 месяца назад

      SABATO NJEMA KWA KWELI

  • @MARYAMSHABAN-l5w
    @MARYAMSHABAN-l5w 2 месяца назад

    Wachawi wanashauliana Nini fanyeni kilichowaleta😂😂

  • @NehemiaKabialo
    @NehemiaKabialo 3 месяца назад +2

    Wasabato tumefurahi 😂😂

  • @princeismailsnr291
    @princeismailsnr291 3 месяца назад +1

    Hahaha😂😂
    Ety Mbongo zetu,ndimi zetu!!

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian 3 месяца назад +6

    Jmoss Kanisani wote

  • @afyanarahatv
    @afyanarahatv Месяц назад

    Ongereni

  • @JackMart-l9p
    @JackMart-l9p 3 месяца назад +3

    Tukaoge kisimani Jordan 😂. Hawa wote mtoni kubatizwa😂

  • @mikaszacharia7986
    @mikaszacharia7986 2 месяца назад +1

    Yan hii syo comedy hii ni injili

  • @BarackSolomon
    @BarackSolomon 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ilaaaaaaa DULAAAAAHHHHHHJJJJ EM MSINIVUNJE MBAVUUUU

  • @rowland_skipper
    @rowland_skipper 2 месяца назад +1

    Oa wauni wa Hombolo chuo cha serikali za mtaa mmetajwa huku wauni wameishi sana.😂😹

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 месяца назад +1

    Wachawi wanaimba pambio😂

  • @obediboniface4530
    @obediboniface4530 3 месяца назад +1

    You made my day Isack

  • @emmanuelrobert1216
    @emmanuelrobert1216 2 месяца назад

    😂😂😂 Mungu awabariki sanaaaa

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 2 месяца назад +1

    Uniform zetu tanzania nzima 😂

  • @shemayamatende2296
    @shemayamatende2296 Месяц назад

    Proudly Sda

  • @Vinnymusic1
    @Vinnymusic1 3 месяца назад +53

    Wanao mkubali txdull like 1000 apa

  • @susananjalika7056
    @susananjalika7056 Месяц назад

    Amen Amen

  • @junessalama9129
    @junessalama9129 Месяц назад

    Happy Sabbath!

  • @nehemiahbalinga4786
    @nehemiahbalinga4786 2 месяца назад

    😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Leo nmecheka kifara

  • @JoramAbdallha-jp2or
    @JoramAbdallha-jp2or 3 месяца назад +1

    Oyaaa mtatuvunja mbavu wazeee

  • @OFICEREVENT
    @OFICEREVENT 3 месяца назад +2

    Ila mpimbwe na dulla bando mmejua kumaliza bando langu kama wapumbavu😂😂😂

  • @ALLSPORTSPREDICTIOS
    @ALLSPORTSPREDICTIOS 2 месяца назад

    Mmetisha😂

  • @yadugobz8214
    @yadugobz8214 3 месяца назад

    😂😂😂 kazi nzuri abdallah

  • @jonasmziba3081
    @jonasmziba3081 3 месяца назад

    😂😂😂Nimewapenda buree

  • @FestoKambona-h3j
    @FestoKambona-h3j 2 месяца назад

    Jamaa kajisahau sana

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 месяца назад +1

    Mnanikumbusha mbali sana enzi za uhai wa baba yangu.

  • @MaryamSafi-vm6or
    @MaryamSafi-vm6or 2 месяца назад +2

    Wasabato 😂😂😂

  • @Bar-ngayo2024
    @Bar-ngayo2024 2 месяца назад +2

    Mmenikumbusha mbali,ila mbarikiwe maana Kuna kitu mmewakumbusha watu,mbarikiwe.

  • @iluiotyhghjfg
    @iluiotyhghjfg 3 месяца назад

    4:25 mchawi kitambaa cheupe alishafungua kabat achukue mafutaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mpegwamakama7331
    @mpegwamakama7331 2 месяца назад +1

    Wasabato leo tumefikiwa

  • @patrickmpangala3098
    @patrickmpangala3098 3 месяца назад +5

    Kuna siku nitaamka na FURAHA Kuna siku nitaamka na HUZUNI Kuna siku SITAAMKA KABISA😭😭😭😭

  • @Djdizzotzm
    @Djdizzotzm 3 месяца назад +3

    Indaabaaa🎉🎉😂

  • @magigemwita9880
    @magigemwita9880 3 месяца назад

    Eres un gran guerrero😂😂😂😂😂

  • @philipocharles8507
    @philipocharles8507 2 месяца назад

    Na mlikua mnakambika😅😅

  • @jalimashauli6974
    @jalimashauli6974 2 месяца назад

    😂😂😂😂 mmeua sana

  • @michaelmpangala636
    @michaelmpangala636 3 месяца назад

    Li tx dullah kama vile sio muislamuuu 😂😂😂

  • @kingmawese
    @kingmawese 2 месяца назад

    Mungu ni mwema

  • @gilliarddanstan168
    @gilliarddanstan168 3 месяца назад

    Hii nimependa Sana

  • @NamikBBoy
    @NamikBBoy Месяц назад

    Hayo mafuta hapo ....😂

  • @DulaManywele
    @DulaManywele 2 месяца назад +1

    Yani hawa jamaa akili zao zinafanana wachawi na huyo walienda kumuwangia

  • @NtygaMuaney01
    @NtygaMuaney01 2 месяца назад +1

    Kaka dula❤🇲🇿💗💯

  • @neemakuja953
    @neemakuja953 2 месяца назад

    Amen🙏🙏🙏

  • @mokiridaniel6795
    @mokiridaniel6795 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂leo mmetisha

  • @LUCKDRE
    @LUCKDRE 2 месяца назад

    LESONI YA LEO IMEELEWEKA VIZURI ❤❤

  • @DenisKamasho-p7g
    @DenisKamasho-p7g 3 месяца назад +1

    Uchawi ni sayansi

  • @Mwanahawamwaka
    @Mwanahawamwaka 3 месяца назад +2

    Kak dulla nakukubalali san una baya

  • @SamwelSamGO-rw3lu
    @SamwelSamGO-rw3lu 2 месяца назад

    😂 huyo wakuwangiwa leo ana kismart

  • @JumanneDastan
    @JumanneDastan 3 месяца назад

    😅 Hawa wachawi hawana Adabu wanamnanga Mungu🤣🤣🤣

  • @jemimajerome3971
    @jemimajerome3971 3 месяца назад

    Aza anasauti nzuri

  • @BeeLee_Media
    @BeeLee_Media 3 месяца назад

    😂😂😂😂mmetisha saana wadau😂😂😂

  • @nuruamry
    @nuruamry 3 месяца назад

    😂😂😂 mna zingua 😂😂😂

  • @LUCKDRE
    @LUCKDRE 2 месяца назад +1

    SABATO NJEMA HASA YA LEO

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv 2 месяца назад

    Ila chama kama chama

  • @josephatbenedictor
    @josephatbenedictor 3 месяца назад

    😂😂 nimecheka kama mpumbavu

  • @peterjs33
    @peterjs33 2 месяца назад

    Nimecheka kifala😂😂😂

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 3 месяца назад

    Jamaa akajikuta anapga stor na wachawi😂

  • @sheyowilliam992
    @sheyowilliam992 3 месяца назад +3

    Azaboi mbona umetembea na code za SDA kabsa 😂😂😂😂😂😂

  • @Yougobeforeme
    @Yougobeforeme 2 месяца назад +2

    Mathayo 12:30 Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.

  • @AlbertKishiwa
    @AlbertKishiwa 3 месяца назад

    Noma sana