Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Bwana azidi kuwatumia, Nawatakia sabato njema watakatifu wote.
Mercy nakupenda, Barikiwa mana unanibariki sana nimefurahi kukuona tena
Bwana awabariki na Sabato njema kwa wote
Hongereni kwa kuboresha studio, muonekano mzuri
Mercye waooooo
Amina mtumishi
Nabarikiwa na kazi nzuri, jitahidini mfanye Jumatano ili watu wengi wasikilize kabla ya Jumamosi!
Nimependa hatimaye mwonekano mpya wa studio. Mungu azidi kuwabariki kwenye kipindi hiki. Nahisi 2025 inaendelea kuja na maboresho mengi zaidi
Amen
Barikiweni kwa kwa kipindiMercy nimefurahi kukuona tena kuongoza kipindi hiki wewe nguli hapa
Bwana awabariki kwa somo zuri, hakika nimebarikiwa na somo la juma hili.
Bwana azidi kuwatumia, Nawatakia sabato njema watakatifu wote.
Mercy nakupenda, Barikiwa mana unanibariki sana nimefurahi kukuona tena
Bwana awabariki na Sabato njema kwa wote
Hongereni kwa kuboresha studio, muonekano mzuri
Mercye waooooo
Amina mtumishi
Nabarikiwa na kazi nzuri, jitahidini mfanye Jumatano ili watu wengi wasikilize kabla ya Jumamosi!
Nimependa hatimaye mwonekano mpya wa studio. Mungu azidi kuwabariki kwenye kipindi hiki. Nahisi 2025 inaendelea kuja na maboresho mengi zaidi
Amen
Barikiweni kwa kwa kipindi
Mercy nimefurahi kukuona tena kuongoza kipindi hiki wewe nguli hapa