Hongera sana Rashid kwa kutuletea habari zinazofurahisha mioyo yetu Wazanzibari. Tunapenda kuona maendeleo ya vitu pamoja na ustawi mzuri wa hali za kimaisha za wanachi wote. Allah azidi kumjaalia kheri raisi wetu DR HUSSEIN ALI MWINYI. AMEEN🙏
Wengi wao wazanzibari washazowea kudanganwa Mwinyi Zanzibar ameibadilisha na hao hao wanaobisha ndio watakao kuja kupiga picha maeneo mazuri kukuelewa muhimu sana
Ni maendeleo tunayoyaitaji kwa nchi yetu siyo tunayaona kwa nchi nyingine. Japo baada ya haya tunaomba taa zaidi na kamera zitakazo mlika uvunjifu wa sheria barabarani ili kupunguza usumbufu wa tarafiki
Nyie wote si hamtaki mji kujengwa Mwinyi anata Zanzibar yote akibadilishe ila nyie ninasikiliza porojo la wizi la ACT.lengo lau kukaa madarakani na kuiba Tu kama wale kina sheni na Amani.macho hamuna basi mpaka akili pia
dk Husseein hongera sannaa upo vizuri
Hongera sana Rashid kwa kutuletea habari zinazofurahisha mioyo yetu Wazanzibari. Tunapenda kuona maendeleo ya vitu pamoja na ustawi mzuri wa hali za kimaisha za wanachi wote. Allah azidi kumjaalia kheri raisi wetu DR HUSSEIN ALI MWINYI. AMEEN🙏
Mnganganieni vizuri kiongozi mliokua nae,hongera sana, maana hamumjui,ajae
Wengi wao wazanzibari washazowea kudanganwa Mwinyi Zanzibar ameibadilisha na hao hao wanaobisha ndio watakao kuja kupiga picha maeneo mazuri kukuelewa muhimu sana
Hongera sana mheshimiwa
Hongera Sana Rais Mwinyi
Go go go MWINYI🙌🏼🙌🏼
Kwa nin barabara ya bububu kiyongozi ni shida viyongoz kubwa sana
Ni maendeleo tunayoyaitaji kwa nchi yetu siyo tunayaona kwa nchi nyingine. Japo baada ya haya tunaomba taa zaidi na kamera zitakazo mlika uvunjifu wa sheria barabarani ili kupunguza usumbufu wa tarafiki
Pemba jamani mbna haijatajwa hapa
Barabara ya Fuoni Chunga tafadhali
Sasa jamani ya bububu kwanini msianzie bububu polisi 👮 mpaka hapo ulipo sema kinazini bank 🏦 kwanini muamzie mtoni?au mnaogopa fidia itakua kubwa?
Lazma zimalize hizi za mjini ndio ije bububu
Itajengwa kwa mujibu wa kauli ya raisi
Chake mkoani mumeiyona????
Pemba hajazitaja Bara Bara lkn iyo pia imo kwenye mradi
Nyie wote si hamtaki mji kujengwa Mwinyi anata Zanzibar yote akibadilishe ila nyie ninasikiliza porojo la wizi la ACT.lengo lau kukaa madarakani na kuiba Tu kama wale kina sheni na Amani.macho hamuna basi mpaka akili pia
@@hajiabdalla5772 huna akili wewe Wala hujielewi unaongea tu ukuma
@@hajiabdalla5772
Unakusudia nini
@@hajiabdalla5772
Nani hataki nchi ijengwe
Suala la kuboresha bara bara zanzibar nampongeza raisi ni suala zuri sana ila mbona wanabiresha tu hawaongezi upana ni ule ule ???
Mm nilitarajia utamhoji wakat yako njiani anakagua barabara kumbe yupo oficini
Yaani mmeacha barabara sumbufu kama BUBUBU
Raisi ashajibu kua iyo pia imo
Ile tunataka kuweka tram(mabasi ya umeme yatakayotumia njia yake pekee)
Muheshimiwa mbona kama lami ziko zaifu kweli ubora upo kweli musikae mahofisini tu kakaguweni na ubora