SIKILIZA! TANZANIA HAKUJAWAHI KUTOKEA KIONGOZI KAMA LISSU!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024

Комментарии • 20

  • @paschalmagai751
    @paschalmagai751 Месяц назад +5

    To be honest Mh. Tundu Lissu ni mtu sahihi sana kwa Tanzania ya leo na endapo tutampa support na akaweza kuwa our next president, ninaimani kubwa sana huyu jamaa atafanya mapinduzi makubwa sana nchi hii economically, politically and socially.

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x Месяц назад +4

    Mungu akubariki lisu

  • @kinandajumanne
    @kinandajumanne Месяц назад +3

    Lisu ni jasili sana!!! Mungu amjalie atuvushe kwenye madai ya Kariba mpya

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg Месяц назад +3

    Lisu mungu akulinde

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz Месяц назад +4

    Lisu ni mtu Bora sanaa

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 Месяц назад +4

    Alichokichagua mungu kuishi mwanadamu hana uwezo nacho, Lisu mpango wa mungu

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Месяц назад +2

    Ni kweli kulinga na matatizo anayopitia lisu anaupendo wa watu wote masikini na tajili wote anawapambania ndiomana wanaopambania matumbo Yao hawampendi iwe miajona au buku tuchange ili apate usafiri

  • @StephanJimmy-uj7rw
    @StephanJimmy-uj7rw Месяц назад +3

    Huyu mtu nmemtafakari kaletwa na mungu

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 Месяц назад +1

    Ni kweli kumtia moyo Tundu Lissu ktk kazi yake ya kuwaamsha na kuwaelimisha Watanzania ni jambo jema. Moyo mkubwa alionao wa kujitolea kwa ajili ya wengine ni sifa adhimu na jamii lazima iithamini sana ili wajitokeze watu wengi wa aina hii na nchi yetu itafaidika sana.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Месяц назад +3

    HALAFU BAADAE BAADA YA UCHAGUZI WA 2019 NA 2020 WAKATAKA KUMKAMATA TENA AKAOKOLEWA NA UBALOZI WA ALIPOKUWA ANAPATIWA MATIBABU 😮😮DAH JAMANII HATA KAMA

  • @user-el1eh6xn6w
    @user-el1eh6xn6w Месяц назад

    Uko sahihi Oleshangai lissu wa kututetewa kama MUNGU mwenyewe anavyo mtetea

  • @deborahlagila6351
    @deborahlagila6351 Месяц назад +1

    Msione ajabu biblia lnjili ya Yohana Yesu alipomfufua Razaro mafarisayo wakaanxa kumtafuta ili wamuue tena

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад

    Mungu amlinde na kumpa maisha marefu .japo watanganyika wengi tumerogwa na ccm wamekuwa wajinga na mamuma wamekuwa machawa wala hawajuwi hatima ya vizazi vyo wako kwa ajili ya matumbo yao ya muda mfupi pumbavu sana

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 Месяц назад

    Kikika namkubali mheshimiwa tundu lisu

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 Месяц назад +2

    Kwa Upande Wangu Mhe. Lissu Ni zaidi ya Baadhi ya Viongozi Wa Kiroho (DINI).
    Mhe. Lissu ni Jasiri
    Mhe. Lissu ni Mtu mwenye Msimamo.
    Ana Kitu Cha Kipekee sana.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Месяц назад

    Lissu angekuwa mtu mwingine angishaunga juhudi. Fedha chafu kazigundua harufu na akasema tuwe macho, na ukweli wapo watu 28 wameshahamia ccm. Wananchi tuwe wazalendo , fedha zisipoteze utu wa mtu.

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg Месяц назад +1

    Lisu mungu akulinde

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg Месяц назад +1

    Lisu mungu akulinde