AHMED ALLY Amaliza UTATA Hatma Ya INONGA & SAIDOO SIMBA | List Nzima Wachezaji Wanaoachwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 май 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 7

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 Месяц назад +3

    Simba Nguvu Moja. ❤Semaji la CAF 🎉

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 24 дня назад +1

    Chama wakwamza aondoke ndio anahalibu simba na wachezaji wengine kama inonga hawa wote waondoke tena mapema sana

  • @AnamfaumeAnna-kh4kd
    @AnamfaumeAnna-kh4kd Месяц назад

    Fred abaki bado anatupambania sana simba ❤❤❤❤

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw Месяц назад

    Hawa wachezaji wa dirisha dogo labda Babakar Sar tu wengine watoke

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 Месяц назад +1

    Unatudanganya sana ubingwa kwa akina Fredy,saidoo ila kumbuka unapoteza umaarufu wako kwa mashabiki wenyekujitambua licha ya kupewa hizo zawadi,washauri sana viongozi kufanya usajili kweli,pia punguza sifa zinazopindukia kwani unawabebesha mzigo mkubwa wachezaji halafu wanapoteza kuhiamini

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Месяц назад

    Fuledi maiko Bado siyo mchezaji wa kuchezea simba naye aka tafute changa moto sehemu nyingine

  • @MajaliwaMkurungu-we1pw
    @MajaliwaMkurungu-we1pw Месяц назад

    Maiko aende tu tunataka9 yenye uhakika