🔴LIVE_Bila Chenga AHMED ALLY Athibitisha AZIZ KI & FEI TOTO Kusajiliwa SIMBA | LIST Wanaotemwa Hii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 244

  • @SamsonMwakilima-fy9rx
    @SamsonMwakilima-fy9rx 14 дней назад +5

    Uko vizuri msemaji

  • @GardsonMwalukasa
    @GardsonMwalukasa 14 дней назад +3

    Semaji kuu Tz . Halina papalaaa

  • @user-rl8ez6rj2i
    @user-rl8ez6rj2i 7 дней назад

    Umetajaj daselama kam bib yang wew unajuw kuwaker ❤❤❤❤❤

  • @HassanFanda
    @HassanFanda 13 дней назад +2

    Hongera Ahmed Aly

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel 14 дней назад +2

    Kwa kuongea upooo sawa kaka mkubwa ila natumaini msimu ujao balaa

  • @nurdinkiroboto3366
    @nurdinkiroboto3366 14 дней назад +2

    Msemaji kz yake kusema ila haja kosea ametimiza wajibu wake.

  • @Babubangalyusa
    @Babubangalyusa 14 дней назад +1

    Acha kudanganya watu ww mtazitoa wap hela za kumsajil azz k?? Au fei toto??

  • @YunusuYekonia
    @YunusuYekonia 2 дня назад

    Love

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel 14 дней назад +2

    Ndio ivo ndg yangu msemaji 🔊🔊 wetu upo sawaaaa

    • @daudkhatib-qn5tr
      @daudkhatib-qn5tr 14 дней назад

      Yupo sawa ipii mbona nyie mnapenda kudanganywaa na huyu mpotoshaji

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 14 дней назад +2

    Uko vizuri hahaha

  • @MnyandwaMapeyo
    @MnyandwaMapeyo 14 дней назад +1

    ...mmh sisi atuongelei magali tuongelea mpila

  • @eatlawe
    @eatlawe 2 дня назад

    Magari siyo fahari ila toys tu! Akina Sadio Mane ndio wenye hela maana wanasaidia maendeleo na siyo kupanga Mbezi na kuendesha magari ghali! Waafrika tuna shida! Heri Samata amejenga msikiti badala ya magari ghali!

  • @FranksilvinJackson
    @FranksilvinJackson 7 дней назад

    Huo ni utapeli tu mnalipwa pesa nzuri hafu hamna mnachokifanya hata wew sikuelewi kabisaaaa Tambo nyingi mwishoe azam ndo kashaenda hivo

  • @Nuru-pz6zf
    @Nuru-pz6zf 12 дней назад +1

    Maneno mengiii wanasimba tunataka vitendo bhana

  • @IqramIqrampouledwardmvum-wf6od
    @IqramIqrampouledwardmvum-wf6od 2 дня назад

    Hivi jamani mwanaume unaanzaje kuongea kama shogaaaa huyu jamaa anatuletea sauti zile anapoliwa analia ndo anatuletea hapa😂😂😂😂😂

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 6 дней назад

    Huyu ndo anaewapoteza simba wameingia kwenye siasa badala ya kucheza mpira😂😂😂😂

  • @IlyasaJuma
    @IlyasaJuma 6 дней назад

    Nyie.pigeni.kerere.lakini.iposiku.tutapata.viongozi.wanaojuwa.wanasimba.tunaumiakiasigani.

  • @johndavid-rg3yl
    @johndavid-rg3yl 13 дней назад

    Mwamba anajua hadi anakera safi sana kipaj pasipo kutumia nguvu ya uongeaj.

  • @GIDSONMICHAEL
    @GIDSONMICHAEL 14 дней назад +2

    Semaji mahili sana🎉🎉🎉

  • @SimonSanga-lr4mp
    @SimonSanga-lr4mp 8 дней назад

    nakubar sana Hamed Aly

  • @harounmwinyi1291
    @harounmwinyi1291 12 дней назад +1

    Bro we nimchekeshaji

  • @DottontendelDottontendel
    @DottontendelDottontendel 11 дней назад

    Zman nilikuwa namkunbal kwasas hamna anasapoti ujinga nisawa nanyumba ya nyasi inaungua bado unajipa moyo moto utazima kwel hapo ndo anatuchosha kuongea anajua shinda ukwel nautendaj wake haujulii vizur sana

  • @rukayyaaliy9713
    @rukayyaaliy9713 7 дней назад

    Semaj la cuf sema baba tupo pamoja na weye

  • @user-rl8ez6rj2i
    @user-rl8ez6rj2i 7 дней назад

    Nilikuw na mawaz yangu nikawek band nikakutan na hii jaman daah wew unafaa kuw comedy

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 11 дней назад

    Jamaa anaongelea simba na yanga

  • @AliyOmar-pm5dq
    @AliyOmar-pm5dq 20 часов назад

    Ahmedi Aliy hujuwi kuongea kuhusu mpira ongea vitu tukuelewe

  • @user-pf6tl1jy8c
    @user-pf6tl1jy8c 12 дней назад

    Wejamaa noma sana da nimecheka mpaka basi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 7 дней назад

    Lakini shemeji wetu unatupa rahaa❤❤❤😁😁😁😁👍👍

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 14 дней назад +1

    Nguvu moja 🦁💪

  • @musamakuhana2200
    @musamakuhana2200 13 дней назад

    Huyu msemaji wa Simba maneno yake ndio yanayoichochea yanga kufanya usjiri Bora zaid na yanga itachukua back to back miaka 10 kombe la ligi

  • @user-mz1sf8kq7e
    @user-mz1sf8kq7e 8 дней назад

    inawauma kumbe tulieni mtaona kumbukeni kwa haruna

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 12 дней назад

    Aziz tuliwaambia mimsajili toka alivyokuja na asec , nyinyi mkamuona hafai mkaenda kumleta SAWADOGO, Na adebayo pia mliishia kuchekacheka nae na kupiga naw picha tuu

  • @mrtwo-b9056
    @mrtwo-b9056 6 дней назад

    Huyu chawa

  • @KhalidiNinga
    @KhalidiNinga 7 дней назад

    Sisi tunataka ushid maisha yao hayatuhusu

  • @user-rl6gl3kl5s
    @user-rl6gl3kl5s 12 дней назад

    Huyu jamaa nimuongo sisi Simba swala la azizi ki hatuwezi.hapa ndipo tunapoanza kudanganywa hili jamaa niliongo Sana Yani yanga wamuachie Aziz ki huu niuongo mwakani tukicheza tutateseka Kama hivi.huyu hafai kuwa msemaji wa Simba haongei Mambo yamaana.eti magari magari yawachezaji yanatusaidia Nini wakati nafasi yapili tunagombania Hadi tunaitwa tatu.katika wasemaji huyu kavamia kazi zawatu ana point yoyote.amuige Ally kamwe

  • @LikeAgley
    @LikeAgley 14 дней назад +2

    Unyama unyamani waambie

  • @user-rq8go6cf8l
    @user-rq8go6cf8l 14 дней назад +1

    Ww upewe tu ❤

  • @DONALDYOWAS-rr7tz
    @DONALDYOWAS-rr7tz 14 дней назад

    Simba nguvu moja

  • @AwaziHinda
    @AwaziHinda 14 дней назад

    Wao ndio wamekwenda kuishusha mtibwa yetu

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 12 дней назад

    Atapata Aibu siku Moja isiyo kuwa na jina ndani ya huu mwezi atajuuta sana mpuyangaji huyu

  • @MADEEMKAKATGB
    @MADEEMKAKATGB 8 дней назад

    Kweli hayo Mambo

  • @user-ix4ur1ug4s
    @user-ix4ur1ug4s 10 дней назад +1

    Mashabiki wa kweli ndio tunaopambania timu yetu na tunamuelewa jamaa ila Mashabiki muemko wafuata upepo ,

  • @GidioniNdanyoga
    @GidioniNdanyoga 11 дней назад

    Kiukwer simbo tushakula mikosi lisenge hili limebaki lichekeshaji tu so msemaji mwenye uchungu na tim yake

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d 11 дней назад

    We fala kweli wauze jengo kwa ajili ya kibu ananini hasa

  • @RajabumohamedTanzania
    @RajabumohamedTanzania 8 дней назад

    Endelea kuwapa donzi semaji❤🎉😅

  • @IlyasaJuma
    @IlyasaJuma 6 дней назад

    Huyujama.anatufanya.tumerara.

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 14 дней назад

    Wamsaji wampe namba ya nani?

  • @kubandafaridi699
    @kubandafaridi699 8 дней назад

    Unampenda azizi ki

  • @MadarakaMussa-xo5bs
    @MadarakaMussa-xo5bs 14 дней назад +1

    Aisee huy msemaji wanasimba mmepigwa kabs yaan hakuna point hata Moja ambay ameongea Ikaw ya ni point kubwa iv ukiongea tu kisoka kibu Denis iv anampira gan mkubwa au kweny tm ya yang atapat namb gan ya kucheza

  • @zenajailos3189
    @zenajailos3189 8 дней назад

    WANASIMBA KAZI MNAYO MSEMAJI KAMA MLIPA KAZI YA KUTANGAZA MAGARI YA WACHEZAJI HILO NALO NI JAMBO

  • @user-rl6gl3kl5s
    @user-rl6gl3kl5s 12 дней назад

    Yani badala yakuongea Mambo yamaana unaanza kuongelea magari ya kina kibu😅😅😅yanasaidia Nini Wana Simba huna poit yoyote yanga wanatanya vitendo acha kudanganya watu chawa mkubwa we wendio unapotosha watu

  • @allymchuma
    @allymchuma 14 дней назад

    Azz aende kwenye tatumzuka kweli Hamed we mweu

  • @PeterDaniel-fl3do
    @PeterDaniel-fl3do 12 дней назад

    Acha kutudanganya sisi sio watoto hatuna huwezi kununua azzk

  • @DevidiKits
    @DevidiKits 14 дней назад

    Mbona kama wana yanga mnatokwa na imani jamni niwkati wa kukosa wakati wa kupata wajaaa

  • @felistermorungu7976
    @felistermorungu7976 10 дней назад

    😂😂😂😂 semaji unawakera upande wa pili😂😂😂😂😂

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 11 дней назад

    Huyu MSEMAJI K8CHWA MAJI KABISA.. NAAMINI HATA YEYE ANAJUA HANA AKILI...

  • @MathiasBuhongo
    @MathiasBuhongo 11 дней назад

    Wewe ahamedi acha uongo na maneno yasio na maana

  • @jumasuleymani
    @jumasuleymani 12 дней назад

    1:45

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 13 дней назад

    Wanini hawoo,,, hatuwataki simba hawoo.. hawana chapa ya simba, wabakie na timu yao hiyo hiyo,,au watafute timu zinazowafaa

  • @jumasuleymani
    @jumasuleymani 12 дней назад

    3:08

  • @FransiscaElias
    @FransiscaElias 10 дней назад

    Huyu kaka kiboko hahahaha 😅😅😅

  • @user-kf1dl2gx3i
    @user-kf1dl2gx3i 13 дней назад

    Ww ni mbuzi ko wanaoongea kifaransa wanapitiana kwenye vitz???

  • @zakaria924
    @zakaria924 13 дней назад

    Ww ni kolo achana Simba ya wenyewe wanaohimili mazuri na mabaya

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 14 дней назад

    Mutaendelea kumuota mr mafunguo mpaka maji ya matakoni yatawatoka sio kwa azizi kee wetu tena sahau usiwadanganye wapuuz wenzako😊😊😊😅😊

  • @user-zs6qg7ql1i
    @user-zs6qg7ql1i 11 дней назад

    Una nuksi unaitia nuksi simba hujui kuongea bora manara

  • @hadijamsofe1123
    @hadijamsofe1123 12 дней назад

    Yani wenzake waliokaa nao hapo pia wanamcheka jmny duh huyu mwamba simba mmepotea

  • @GraceKimaro-rv2px
    @GraceKimaro-rv2px 2 дня назад

    Amhed ally achaga sifa Za kipumbavu

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 14 дней назад

    Mtajilaumu.wenyewe.viongozi.sio.na.wachezaji.sio.mnadanganya

  • @nelsonmbuya5565
    @nelsonmbuya5565 12 дней назад

    Sisi tunaweka picha ya chama na sio kipu

  • @IbrahimuKambona
    @IbrahimuKambona 12 дней назад

    Akuna mtu huyo chizi wa kupimwa hakili kabisa amkeni makolo

  • @AllyKajogoo-mi6cb
    @AllyKajogoo-mi6cb 10 дней назад

    Tand

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 12 дней назад

    Hapo madunduka mmefurahiii kuporojeka na ujinga wa semaji lenu msusi wa wa mke wa mo

  • @user-mz1sf8kq7e
    @user-mz1sf8kq7e 8 дней назад

    aibu mtapata ninyi siyo semaji letu

  • @ChbrahBoe
    @ChbrahBoe 14 дней назад

    Kubwa jinga hili jamaa maneno mengi vitendo tz fara sana🎉🎉

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 11 дней назад

    Uongo mwingi. Simwamini huyu jamaa. Huwa anatuangusha sana.

  • @AllyKajogoo-mi6cb
    @AllyKajogoo-mi6cb 10 дней назад

    Mshindi wa 3 huyoooo,,,,,-!!

  • @SixBatani
    @SixBatani 7 дней назад

    Wewe muongo sana

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 14 дней назад

    Hilo cheko😂😂😂😂😂ila kwa Aziz ki mkuu unatupiga

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 11 дней назад

    Nimechekaaaa daslamaaaaaaa dah semaj

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 14 дней назад

    Benk..ipi !!.bank zote zinawalinzi labda mkavunje kikoba huko mbagala unakoishi

  • @kassimmwawado7002
    @kassimmwawado7002 13 дней назад

    Mawazo ya kimaskini..kumiliki gari ndio mtu anakuwa tajiri! Upuuzi mtupu! 2:08

  • @fatumamtakyawa3612
    @fatumamtakyawa3612 13 дней назад

    Huyu kweli anavuta bangi

  • @ThomasMauna
    @ThomasMauna 12 дней назад

    Binge la semaji.

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 12 дней назад

    Wewe MBN hauna gari la kifahari acha UJINGA WEWE😅😅😅

  • @MkaliWagoka-bz6im
    @MkaliWagoka-bz6im 14 дней назад

    Msemaji mwenye GUNDUUUU

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 14 дней назад

    Ongea ukweli acha kutoa ulimi kama mmakonde alyeona nyama ya mtoto marehemu

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 14 дней назад

    Hivi mashabiki wa Simba ndiyo mnayoyataka hayo??

  • @pascaldominic2732
    @pascaldominic2732 13 дней назад

    Kwisha habari yake kaanza kujamba jamba,sera kwishaaaaaa......mashine yakuongea

  • @user-bi6bo2hh9o
    @user-bi6bo2hh9o 11 дней назад

    Twamtaka fei toto aje simba

  • @DottoMickison
    @DottoMickison 11 дней назад

    Hapo Simba hakuna wachezaji hawana hadhi ya kucheza timu kubwa kama ya simba

  • @user-tw3nn9pb1s
    @user-tw3nn9pb1s 13 дней назад

    kwa nn usem ivy bro

  • @GaddafiRashid
    @GaddafiRashid 4 дня назад

    Muongo uyujamaaaa😂😂😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 13 дней назад

    Usibane pua tunataka ubingwa

  • @johnmakindya5834
    @johnmakindya5834 14 дней назад

    Ili bwege kweli afu limbukeni wa magari hamna Akili humu

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 14 дней назад

    Hiv kweki ahmed unaweza fikiria yanga inaweza mchukia kibu impeleke wapi

  • @EmmanuelDaniel-tm9cw
    @EmmanuelDaniel-tm9cw 14 дней назад

    Ndo ulicho bakiza we bwabwa kweli kamwe atabaki kuwa mkuu wako uwe unaenda kuomba ushauri unatuboa

  • @NjileNgusa
    @NjileNgusa 12 дней назад

    ah msemaji uko vizur yaan unajitekenya af unacheka mwenyewe haaa

  • @DaudiLengai-ym5fx
    @DaudiLengai-ym5fx 8 дней назад

    Semaji la Africa

  • @selemwenda690
    @selemwenda690 14 дней назад

    Sasa leteni story mala sijui nn Kisha mtuletee wapiga manyanga

  • @oleoles9424
    @oleoles9424 12 дней назад

    Huna akili wewe,Kibu Yanga hana number,msimu unaisha na goli moja,Kii mlishindwa mkiwa wa moto leo mmefilisika mtaeza..? Achaga uongo Ahmed