MSHIKE SHIKE - PART 02

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 249

  • @Asiaabdull
    @Asiaabdull 20 дней назад +23

    Happy New Year wapenzi wasikilizaji wa simulizi za Anko Jay mapesa🎇🎆tuliouna mwaka salama tumshkuru munga man Kuna waliotaka kukuona lakn mungu akawapenda zaidi wakauone mwaka kwenye makazi yao ya milele Amin 🙏🙏

  • @JujuShabani
    @JujuShabani 20 дней назад +12

    Mungu asante kwa kutukutanisha tena ankojay na wapenzi wa ankojay

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 20 дней назад +13

    Allihamdulillah siku mpya na mwaka mpya❤❤ uwe ni wenye mafanikio kwetu

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 20 дней назад +13

    Asante anko jay 🪑🪑 kheri ya mwaka mpya nyote 🤝🤝 family anko jey 🪑🪑 tuko pamoja kwanye mwendelezo 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @cherry_athuman
    @cherry_athuman 20 дней назад +14

    Ankoo my beibiii❤heri ya mwaka mpya tuule usitule ili uendelee kutup burudan na simulz zko amiin🥰😍

  • @Ntihebuwayotaty-t1s
    @Ntihebuwayotaty-t1s 20 дней назад +14

    Bonne année à tous les membre d' Anko jay nakutakieni kheir ya mwaka mpyaa nyote mashabiki wenzangu nawapenda mnoooo

  • @Sofiajackson_123
    @Sofiajackson_123 20 дней назад +13

    Happy New Year's 0:48 Asante mungu ❤💐💥💥 mwaka mpya na mambo mapya🎉😂

  • @alyerungaantoinnet7851
    @alyerungaantoinnet7851 20 дней назад +10

    Jamani nimewai Leo❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 20 дней назад +7

    Amin Amin inshaaAllah kheri ya mwaka mpya Ankojay

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 20 дней назад +16

    Happy new year wanafamilia wenzangu na hongera ankojay na wadau wote kwa kuvuka mwaka 2024 salama na kuingia mwaka 2025 salama na zaid hongera ankojay kwa kua daddy ❤❤❤❤❤❤❤ me hapa nasubir mwaliko wa harusi nije kumuona my wii 😂😂😂😂😂

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 20 дней назад +12

    HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA ANKOOO BARIKIWA XN KIPENZI CHE2 ❤❤

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 20 дней назад +7

    Wow finally mshikemshike inatutumbuiza mwaka mpya❤❤❤ shukran Ankojay

  • @JujuShabani
    @JujuShabani 20 дней назад +13

    Jamani wa kwanza leo 😂😂😂😂🎉nipeni like zangu

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 20 дней назад +6

    Heri ya mwaka mpya ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlliceDamaso
    @AlliceDamaso 20 дней назад +12

    Woyooooooooooo😂 jamaniiiiii ni mtu wa5 leo jomoniiiiii like kwanguuuu!
    Happy new year guys 🎉🎉🎉🎉

  • @zaitunrashid287
    @zaitunrashid287 20 дней назад +6

    nimewah ila kuna wt wanawahi zaidi❤❤❤

  • @Lilian-k4s
    @Lilian-k4s 20 дней назад +11

    ❤❤❤❤❤ jukua hiyo bro

  • @ShamsiaHussein-c3n
    @ShamsiaHussein-c3n 20 дней назад +12

    Happy new year anko ❤

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 20 дней назад +9

    No 2 mieeeee

  • @MagdalenaMbingi-py1hr
    @MagdalenaMbingi-py1hr 20 дней назад +10

    Wakwanza katika mwaka nipeni maua 🎉

  • @samychance
    @samychance 20 дней назад +4

    Amiin anko mungu ajaalie kwetu sote🙏

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 20 дней назад +10

    Yayaya Leo wa 35 like zenu ❤mwaka mpya nyiote tena na Ankojay wetu Ahsante 🙏 acha ni 🪑🎧

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 20 дней назад +4

    No 1 mieee❤❤❤

  • @mathadeuth604
    @mathadeuth604 20 дней назад +11

    Amen 🎉🎉🎉

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 20 дней назад +16

    ❤❤No10 wauuuh Ankojy asante kwazawadi hii🙏🎤 Napia Tuseme Asante kwa MUNGU wetu ametuvusha lasama 🙏 tunaomba baraka zake mwaka uwe wa mafanikio kwetu sote🤲❣️💖💖💖

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 20 дней назад +3

      @@TeklaNdekeja ♥️♥️♥️🎉🎉🙋

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 20 дней назад +3

      Amen❤❤

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 20 дней назад +3

      Happy new year kipenz naona umewahi leo mwka mpya umeunza vzr ❤❤❤❤

    • @ZaiZainabu-o4p
      @ZaiZainabu-o4p 20 дней назад +4

      Happy new year Teckla injoy simulizi my❤❤😂

    • @DolphineNyanchoka
      @DolphineNyanchoka 20 дней назад +4

      Happy new year 🎉 ✨️ 💛

  • @eunicemitsanze8643
    @eunicemitsanze8643 20 дней назад +8

    Aamiin insha'Allah

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 20 дней назад +7

    Wa kwanza Leo ankojay happy new year ❤

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 20 дней назад +8

    Alhamdulillah kwa kuona mwaka mwingine sana nawapenda wanafamilia muwe na mwaka mwenye furaha na mafanikio mema 2:00 ❤❤❤❤😊

  • @DivineKavira-e7b
    @DivineKavira-e7b 20 дней назад +8

    Yaaani leo nime wayiiii mi mototo mupotevu khaaaaaaa ila kwa yote n1 sema asante 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Aminuhaminah
    @Aminuhaminah 20 дней назад +9

    Watano leo jamn😂😂😂😂

  • @NurahMummy
    @NurahMummy 20 дней назад +8

    Allahuma ameen 🙏 you too my dear #Anko Jay ,, Allah atufanyie wepesi ndani yake n baraka tele huu mwaka,, Man jadda w jadda ,, Kila zito tutalipita bihidhin llah n kufaulu....❤❤❤❤

  • @Fatmamakame-q5w
    @Fatmamakame-q5w 20 дней назад +7

    Asante mungu kwa kuvuka mwaka salama 🙏🙏

  • @HaithamAmeir
    @HaithamAmeir 20 дней назад +12

    Jamanii nimewah naomba laki zenu 😢😢😢

  • @Hajramohammed-t5f
    @Hajramohammed-t5f 20 дней назад +5

    Alhamdulillah kwakwely kwa kutupa uhai mpaka sasa sis na king 👑 wetu anko jay 🔥 ni ule ule twende mbelee ankooooo❤❤❤

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 20 дней назад +9

    Mambo ya tarehe 1 , 2025 happy new 2025 anko J na mashabiki zako wote🎉🎉

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 20 дней назад +6

    Happy new year vipenz wa anko jay leo tumeanza mwka pmoja natumai sote tulianza mwka pmja na tumemaliz pmja japo wengne pengne hawakuumaliz ila tuwaombee wote waliotangulia na waliokuw wagonjwa mungu awasameh makosa yao na awape uzima 🙏🤲❤❤❤

    • @BintalyB
      @BintalyB 20 дней назад

      🤲🤲❤️❤️

  • @DannieVagheni
    @DannieVagheni 20 дней назад +8

    Nimesahau emmy

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 20 дней назад +11

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 20 дней назад +1

      Nakwako pia ndugu💞💞🎂

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 20 дней назад +10

    Hlw anko happy New year to you 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LydiahGatitu
    @LydiahGatitu 20 дней назад +9

    Happy new year my family 🎉🎉🎉🎉 mue na mwaka mpya wenye baraka tere🎉🎉anko maua yako hio 🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️❤️ listen

  • @ITIKAGIDEON
    @ITIKAGIDEON 19 дней назад +2

    Nilijua tu stori ya huyu ya babu ya mungu mengi itakuwa kama ya yule mzee nitakufa lini wa malaika mweusi

  • @رحيمةتنزانيا
    @رحيمةتنزانيا 20 дней назад +3

    Jmn kwan hakuna kulala😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @TheDn-m2r
    @TheDn-m2r 20 дней назад +3

    Anko jay congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 20 дней назад +3

    Asante kaka, listening from Kenya much love

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 20 дней назад +4

    Aaah😂😂 kweli kuna mshike huyoooo 😂nilikua nishaisahau i say,thenks doctor wa simulizi Anko.J ❤❤❤❤ happy new year brow

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 20 дней назад +8

    Hery ya mwaka mpyaa ankojy mungu ni mwema jamani katufikisha na mwaka huu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @irne2926
    @irne2926 20 дней назад +2

    ❤❤❤❤aymen anko Tua Omb mungu atusidie atugeuze Wapa

  • @kiswahili_kitukuzwe
    @kiswahili_kitukuzwe 20 дней назад +5

    Samahani Anko jay, tafadhali ongeza juhudi utuletee simulizi nyingi za upelelezi, umalaya hatutaki mwaka huu, punguza zile simulizi za kimalaya na kimbeam ea

  • @MwanakitiAlly
    @MwanakitiAlly 16 дней назад +1

    Yani storry moja kwa 3 ni nzur sana

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 20 дней назад +27

    Leo nimewai naomb laki zenu

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 20 дней назад +2

    Kweli asante mungu tumefika sote mwaka mpya huu tupo pamoja anko jey we2 😂😂

  • @usterbae
    @usterbae 20 дней назад +5

    HAPPY NEW YEAR GUYS Ahsante ankojay kwa simulizi nzuri may God bless you🙏❤🥰 we love so much❤❤

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 20 дней назад +1

      Happy new year to you dear❤🎉🎉🎉

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 20 дней назад +8

    🎉🎉🎉🎉

  • @LilianJoseph-e1t
    @LilianJoseph-e1t 20 дней назад +4

    Jaman tumeanza mwaka na mshikeshike sio mchezo gonga like hapo kama unampenda kazi za anko jay🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ happy new year anko jay family

  • @judithminyoso429
    @judithminyoso429 20 дней назад +3

    Heri ya mwaka mpya wapendwa hakika ni neema tuu sio nguvu zetu wala akili yetu, kwa wenyewe tumewezeshwa na neema hii na kusikiliza anko Jay simulizi mshike mshike mungu awabariki sana anko maua yako hii hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 happy new year all😊

  • @JoselinePhilimon
    @JoselinePhilimon 20 дней назад +2

    Happy new year Anko J na wadauwote hakika Mungu ni mwema

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 20 дней назад +2

    Ambee hakika tumefungua mwaka vizur kwa kutupa utama.. Hongera anko jay kwa kuvuka mwaka tunakupenda sana mungu akupe maisha marefu sana❤❤

  • @YasintaHongela
    @YasintaHongela 20 дней назад +2

    Hakika ankoj mshikemshike na mwaka mpya Mungu akubariki wanafamilia

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 20 дней назад +10

    Haya jamani nawatakiyeni herí yamwaka 2025 pamoja nafamilia zenu team strong 🇴🇲🇴🇲

  • @FatmaMohammedAliphan
    @FatmaMohammedAliphan 20 дней назад +5

    😢kher ya mwaka mpya family ya Anko j 🎉🎉🎉 nawapenda ote Shukuran nyingi kwa Anko jey 🎉🎉🎉 unatufurahisha 😂

  • @JaneSanga-b4i
    @JaneSanga-b4i 20 дней назад +12

    Lik zangu wap😂😂😂 pig kerere na mwak mpya

  • @salmakim557
    @salmakim557 20 дней назад +11

    Salaam za mwaka mpya 2025 familia ya Anko Jay 🎉. Tuendelee kumpa support Kipenzi chetu Anko Jay kwa kazi nzuri

  • @FlorenceGithinji-x2c
    @FlorenceGithinji-x2c 20 дней назад +4

    Happy new year Wana similizi wa Ankoj niombeeni Niko kitandani mgojwa

  • @rizikih6898
    @rizikih6898 20 дней назад +3

    Allahmndulillah nashukuru mungu

  • @NancyKahindi-t2v
    @NancyKahindi-t2v 20 дней назад +3

    Happy New year wapenzi WA anko j ❤❤

  • @RukiaIma
    @RukiaIma 20 дней назад +3

    Shukurn Ankojey wetu forever ❤❤❤🎉

  • @AvelinaYohana
    @AvelinaYohana 17 дней назад +1

    Yaan hizo simulizi zimekua mpenz kwanza aiseee single raha🎉🎉😂😂😂

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 20 дней назад +3

    MUNGU AZIDI KUTULIDA WOTE 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 18 дней назад +1

    😮😮😮😮 ndoiyo mungu atu lindesote❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Zina-t5j
    @Zina-t5j 20 дней назад +2

    Wadau wa anko jay mungu ni mwema mwaka wengine tena tuko hapa pmoja hapa happy New year 2025 to all ankojay fans❤🎉🎉🎉🎉

  • @RosehalubhaHalubha-nu3sv
    @RosehalubhaHalubha-nu3sv 20 дней назад +3

    Happy new year anko jey family glory be to God

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 20 дней назад +1

    Mbambambaaaaa😅😅😅😅 woyo

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 20 дней назад +3

    Happy 🎉🎉new year 🎉🥳 Kwa wote shabiki wa ankojay ukawe mwaka wa mafanikio na baraka kwenu,tuseme asante mungu Kwa kutuvukisha salama 2025. Much love from 🇹🇿🇶🇦♥️🔥

    • @OmAn-y2h
      @OmAn-y2h 20 дней назад +1

      Amina sote pia

    • @qaltumsaid3095
      @qaltumsaid3095 20 дней назад

      @@OmAn-y2h amiin yarrab shukran 🤲📿

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 20 дней назад +4

    Happy new year ancojey tushkur mung alietufikisha salama mimi nawewe tunaesoma comment hii amin💚💚💚🎉🎉🎉❤

  • @Grace-l3r
    @Grace-l3r 20 дней назад +4

    Happy new year 🎉❤❤

  • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
    @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 20 дней назад +5

    ❤❤❤❤❤❤

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 20 дней назад +3

    Happy new yr Anko J nakutukia Heri uendelee kutuburudisha ❤❤

  • @NadraSuleiman-k5w
    @NadraSuleiman-k5w 20 дней назад +3

    Mshike mshike nguo kuchanika😂😂

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 20 дней назад +5

    Happy new year to you all ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 19 дней назад +1

    Asante ankojai mungu akupe nguvu ❤❤ happy new yrs

  • @SaraA-r8w
    @SaraA-r8w 20 дней назад +2

    Asante ankojay wetu heri ya mwaka mpya tunakupenda sana Kwa kutuletea simulizi nzuri ❤❤

  • @JoyceClement-d7b
    @JoyceClement-d7b 19 дней назад +1

    Kwer kabsa anko jay yatupasa kumshukuru sana allah mana kuna weng walitaman kuiona 2025 lkn hawakufanikiwa ss n akna nan ata tusmpe sifa na utukufu MUNGU wet kwa kutpa zawad hii ya uhai happy new year wapendwa

  • @HappyDabuya
    @HappyDabuya 20 дней назад +7

    Jamn watu mnashida RUclips 😅😅😅😅😅 duuh heri ya mwaka mpya

  • @aminah9557
    @aminah9557 20 дней назад +2

    Happy new year to all members of this group of Anko J Mungu azidi kutupigania 🙏🙏🙏🙏

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 20 дней назад +2

    Mambo c hayo anko Jay
    Happy new year to you🎉🎉

  • @IsackMabena
    @IsackMabena 20 дней назад +2

    Happy new year wishes for a friend anko jay

  • @gagabossladygaga-ko2mv
    @gagabossladygaga-ko2mv 20 дней назад +3

    Happy new year followers of anko jay 🎉🎉🎉

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 20 дней назад +1

    Ahsante ❤anko Jay simulizi

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 20 дней назад +3

    😂😂😂😂😂ata kama ni kupewa mzigo usiwai kubali kuenda kwa nyumba ya mwanamke kipeana mapenzi😂huogopi kufa jamani

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 19 дней назад

    Anko jay jikoni huku via kula vateketea jamani kwa simulizi tamu classic work but very nice we a waiting part 3 Anko ❤❤❤❤❤❤❤❤❤💯💯💯💯 flowers 💐 for Aliy mbeto big blow ❤

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 20 дней назад +3

    Ooooooh it's the new year guys we meet again, happy new year family ❤.

  • @AyshaTanzania-b2s
    @AyshaTanzania-b2s 20 дней назад +1

    Asante ankojay mwaka tumeaza nasimulizi mungu akujalie sana❤❤❤❤

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 20 дней назад

    Heri ya mwaka mpya anko umeuonaje🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @AishaKhamiss-hg5xl
    @AishaKhamiss-hg5xl 20 дней назад +1

    Kheri ya mwaka mpya vipenz vya anko j mavoice❤ anko j mafwedha😜😂 nawapenda wote 🥰😍😘

  • @MaryamOthman-i5y
    @MaryamOthman-i5y 20 дней назад +3

    Happy new year Ankojay ❤❤❤❤

  • @SalhaAbdi
    @SalhaAbdi 20 дней назад +3

    Nyie jmn hua hamlali??yani kajua nitakua wakwanza kumbe wamwisho😢ila anko j na❤

  • @NadzuwaAmina
    @NadzuwaAmina 20 дней назад

    Heri ya mwaka mpyaa mashabiki wenzangu ❤❤❤❤

  • @AshuuMpole
    @AshuuMpole 20 дней назад +1

    Alahamdhulilahi namshukru Mungu nimeona siku hii ya Leo na nasikiza hii simulizi ya Anko Jay

  • @AshuuMpole
    @AshuuMpole 20 дней назад

    Part 3 please 🇰🇪 wallahi roho yadunda hapa Wallahi Mwenyezi MUNGU azidishie sivo munavo ni burudisha😊

  • @sandrahakizimana9646
    @sandrahakizimana9646 20 дней назад +2

    Happy new year ankojey ❤❤