Anita na slim hawana kosa,kosa ni la wazazi hata ningekuwa mimi ningeendelea tu kumpenda mume wangu Kwa sababu nilikuwa sijui Kam ni kaka yangu,ila kubwa ningeendelea kumuomba mungu ailinde ndoa yangu pamoja na watoto wangu❤❤❤❤
Ni ngumu sana kumeza wallah Bora hta wawegukua mabinamu lkn kwa kua Wana familia mungu mwenywe ndie ajue mm nigetaka ushauri wa viogozi wa dini pia niwekwe sawa kifikra pia Yani madakatar wa ushauri hilo jambo ni kubwa sana akil yaweza lipuka haswa kwa cc watoto wa kike inaumiza sana makosa ya wazazi wetu inakua adhabu kwetu pole maisha yaendelee
Katika simulizi zako zote anko jay hii imenigusa sana na imenipa funzo kubwa ❤Ubarikiwe anko jay ni Mimi mshabiki wako Emerance kutoka usa nakupenda sana pia na kukubali sana
Kwanza nikushukuru ankoj watu wanaweza kusema hii NI simulizi tu haya yapo naninawashukuru hao watoto kwa ujasiri wao kwa ssb halikuwa kosa lao NI kosa la wazazi wao God bless you ankoj from zambia
Siwezi kuendelea nae kamwe,siwezi jaman,hata iweje...lkn pia inatufunza kusikiliza usia wa wazazi...laiti Anita angeshika usia wa mama yake kwa kutojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa mambo yangekua rahisi tu...na hata Kama sawa mama ake asingekwenda kwenye harusi Mungu angefanya tu muujiza kwa kuwa Anita angekua kaonesha uaminifu wakutokutana kimapenzi kabla ya ndoa.Tujifunze.
Finally ❤❤❤❤, makosa n wazazi,, mm kwangu mm naona sasa yashaamwagika n kukubali tu n kujaribu kuenda mbele though mapenzi yatakuwa n mawazo endapo mtu ukumbuka
SubhanaLLah ni mtihan mzito ajab, kweli wazazi walifanya makosa sana tumejifunza na kuelimika sana. Hata hivyo story hii imenikumbusha wazazi wetu wa mwanzo yaani Adam Alaihi Salaam na mama yetu Hawa kwa kuwa walikuwa ndio wanaadamu wa mwanzo kabisa kuumbwa na kuwa katika hii dunia na walikuwa wakizaa pacha wa kike na WA kiume asubuhi na jioni so ALLah The ALMighty akawaamuru mtoto wa asubuhi WA kiume amuoe mtoto wa kike wa jioni kwa ufupi tu hapo ndipo vita vya Habil na Kabil zilianza. Lisa mwala Simulizi zako huwa ni moto🔥wa kuotea mbali halafu Msimulizi na Anko Jay Wacha tu hayasemeki otherwise shukran sana kwenu nyote
Asante sana Anko J na dda Lisa Mwala jwa smlz tamu nawaoenda sana 2❤❤❤ ngekuwa mm ata siachan na bwana ngu kwan makosa ni ya wazaz na maji yakushamwaika ayazolek kuamanisha lishakuwa tayar
Hii simulizi ina mafunzo mazuri sana jamani na inaskitisha na inaogopesha....ingekuwa mimi tungeachana Nikahama mji na watoto tukakata mawasiliano kabsaa na baba watoto maana kuendelea na ndugu yangu tena kwa mama ni ngumu ....kwa maelewano lakini

Waooo ngoj tumskilize dada yet Anita anasemaj ❤❤❤
Ni ngumu sana kumeza wallah Bora hta wawegukua mabinamu lkn kwa kua Wana familia mungu mwenywe ndie ajue mm nigetaka ushauri wa viogozi wa dini pia niwekwe sawa kifikra pia Yani madakatar wa ushauri hilo jambo ni kubwa sana akil yaweza lipuka haswa kwa cc watoto wa kike inaumiza sana makosa ya wazazi wetu inakua adhabu kwetu pole maisha yaendelee
Ningechukua maamuzi magumu niendelee na mpz wangu
Kama una mpenda ank jay gonga like
Jamn wazaz mnapaswa kutokuficha vitu kwa watoto maana ni hatar baadae
bebeenen today haveme know if this to year we can talk
Katika simulizi zako zote anko jay hii imenigusa sana na imenipa funzo kubwa ❤Ubarikiwe anko jay ni Mimi mshabiki wako Emerance kutoka usa nakupenda sana pia na kukubali sana
Ahsante sana 🙏🤝 kwa sapot unayo nipatia
🎉❤
Uuuiiii nyieeee❤❤❤❤ this sound always make me go crazy.Anita wish you all the best❣💖💖
Big lesson learned amazing voice love it ❤❤❤❤
Ongeren Anita na bwanako Mungu azdi kuwapa furaha katika mausha yenu
Hongera dada anita kwa uamuzi wako na msimamo mamaa pamoja na mumeo Mungu awabariki na aitunze familia yenu lkn hao wazazi walifanya makosa sana isay
Jamani nimechelewa miee haya huyu ANITA kafanyanini ankojay nasikiliza ili nijuwe halafu nijifunze kitu🥰🥰🥰
Anko j unajuanga kutufurahisha kweli🙏🙏🤣🙏🙏🙏🙏
Kwanza nikushukuru ankoj watu wanaweza kusema hii NI simulizi tu haya yapo naninawashukuru hao watoto kwa ujasiri wao kwa ssb halikuwa kosa lao NI kosa la wazazi wao God bless you ankoj from zambia
Siachani naye tena sikubari ni kulaviana tu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂chezea mapenzi nakupa big up ankoj.
Jaman hisimulizi ni tamu jaman na ime nifundisha vingi sana asante Anko jay na kipenz changu lisa mwallah mungu awabaliki.❤💙💚
Asante mwandishi wetu mahiri sana Lisa mwala na msimuliaji wetu kipenzi cha wasikilizaji wake wa kike na wa kiume wakubwa na wadogo Anko j
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃mbio mbio nawahi simulizi ❤❤❤❤
Sichezi mbali na kazi zako ase, zimenifungua akili na mawazo❤
Apa tunakumbushwa vikao vya familia nakoo zetu jamani haya yapo kweli 🤔🤔🤔 Asante Anko jay na madame Lissa kutukumbusha
Nam Ning kubal kuolew nae man namimi hap ndug Zang upand wababa siw jui🫢🫢😁😁🤣🤣🤣🤣
Anita ame amuwa vizuri sana nampongeza kwa maamuzi yake ❤ 🎉
Mama anita ndochanzo chamatatizo
Ndoa ni ngumu ila maamuz ya ndoa ni ya mume na mke as long as Kuna upendo mambo mengine yapo tu❤❤❤
Mmmh my brother ankojay hata ningekuwa mm ningebaki ktk ndoa yangu maana sio kosa langu my dear brother
Siwezi kuendelea nae kamwe,siwezi jaman,hata iweje...lkn pia inatufunza kusikiliza usia wa wazazi...laiti Anita angeshika usia wa mama yake kwa kutojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa mambo yangekua rahisi tu...na hata Kama sawa mama ake asingekwenda kwenye harusi Mungu angefanya tu muujiza kwa kuwa Anita angekua kaonesha uaminifu wakutokutana kimapenzi kabla ya ndoa.Tujifunze.
Safi sanaaa makosa yalifanywa nawazazi so watoto hawapaswi kupata adhabu
Makose ni ya wazazi.Slim na Anita waendelee na maisha yao. Shukran kwa simulizi hii. Natumai imewafumbua macho watu wengi.
Finally ❤❤❤❤, makosa n wazazi,, mm kwangu mm naona sasa yashaamwagika n kukubali tu n kujaribu kuenda mbele though mapenzi yatakuwa n mawazo endapo mtu ukumbuka
Upendo wa kweli huo kabisa wa toto wa zuri
SubhanaLLah ni mtihan mzito ajab, kweli wazazi walifanya makosa sana tumejifunza na kuelimika sana. Hata hivyo story hii imenikumbusha wazazi wetu wa mwanzo yaani Adam Alaihi Salaam na mama yetu Hawa kwa kuwa walikuwa ndio wanaadamu wa mwanzo kabisa kuumbwa na kuwa katika hii dunia na walikuwa wakizaa pacha wa kike na WA kiume asubuhi na jioni so ALLah The ALMighty akawaamuru mtoto wa asubuhi WA kiume amuoe mtoto wa kike wa jioni kwa ufupi tu hapo ndipo vita vya Habil na Kabil zilianza. Lisa mwala Simulizi zako huwa ni moto🔥wa kuotea mbali halafu Msimulizi na Anko Jay Wacha tu hayasemeki otherwise shukran sana kwenu nyote
Ww ndy umesem nn mbon ujaelewek
❤
Kiukweli ata mm cjamuelewa uyu
Hahahaa,,🤣🤣❤❤unamwambia enuka mke wangu achana na awa wazee
😂😂😂 umefanya nicheke kwa sauti
Hatari fire Ankojay 😊Much Love❤🎉
Okay nimekuwa wa mwsh leo but tuendelee 🥰🥰🥰🥰 love you anko jay kea kuelimisha jamii
Heleeeelllooooo guys Now it's New stroy 💗💗💗🥰🥰🥰🥰 Anko l want go to church let's listen this letter seee you next time ❤❤❤❤
Baba nakubali ♥️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante jamani nimeipenda. Runge wachana tu tukalea watoto
Anko unajua unajua tena
Simulizi nzuri yenye mafunzo .......mmmh ...seriously maoni yangu, hata mm ningeendelea tuu ..mmmh ,mapenzi yanauma vibaya 😂😂😂na hata sijui kwanini😂
Ahsante sana Anko jay kwa kitu kipya ❤
Shukran sana Anko Jay uzidishiwe baraka,kuna mafunzo tele
Thanks Anko Jay hakika unatumaliza na simulizi zako zuri na sauti yako ❤❤ ❤😂
Najifunza kupitia wew maana katika mapenzi sikuwahi jua mambo ya bi shuuu❤❤❤😅😅😅
Adi bili leo unamkumbusha bi bishuuu🤣🤣😂🤣
Mambo ya bi Shuu kweli ni motomoto
Ila anko Jay wewe unajua sauti yako Ni balaaa ubarikiwe
Hata kama dhambi zako ni nyekudu kama damu yesu Hana Safi she kabisa. Huskimbiliye kujihuwa hutapotea hutaona mungu
Thanks anko jay kwa simulizi yako tamu ❤❤❤
Huu mjengo unaleta mafundisho ya kila namna ktk maisha,asante saaaana kwa mtunzi wetu na msimuliaji wetu matata sana anko j
Aahaaaa!!!!Anita😋😋👍🎧🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwangu mm uncle jj kwakua tayari nimezanae nisingekubari kumwacha me wangu
Tumachi janihi ilawako na.msimamo maishayae.ndele.shuklan..anko..❤❤❤❤
Daah hongeren kak na dad mung aidumish ndoa yen
Ni ngumu sana kumeza wallah
katk smuliz zote yaleo ...imenigusa mnooo ...thanks anc jay
Asante sana Anko J na dda Lisa Mwala jwa smlz tamu nawaoenda sana 2❤❤❤ ngekuwa mm ata siachan na bwana ngu kwan makosa ni ya wazaz na maji yakushamwaika ayazolek kuamanisha lishakuwa tayar
Oooh shukran san kwa simulizi nzur...na ya kuhuzunish pia 😢😢...Allah akujalie nguvu ya kusimulia zaidi ya iyo 🤲🤲
Ninge achana nae tu kwakua din hairuhusu japo na mpenda sana na vile binadam tumeumbwa na sahau ningesahau ishallah
Natulia kuzikiza kazi nzuri Anko jay nakubali sana ❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana kwa upande wangu ninge handelea na kaka tu
Shukran anko J mie sina jibu lingenifika ndio ningejua la kufanya ila ni mtihani mkubwa huu ❤❤❤
Naingiwa na ujasiri sasa wakufanya jambo katika maisha haya, asante anko
Simachi maana nikimuacha walimwengu watanisemanga vibaya heri uwamuzi mzuri wao mziri huwo walioufanya haowawili
Duu hiyo Kali kweli hata kama ni mimi simuachi piya 🫣 inanuma kweli wow thanks Anko Jay simulizi nzuri kwele na ni tamu kweli
Dah tuyasike tu kwenye storry za anko jay usiombe yakukute aisee.asante kwa simulizi za mafunzo❤
Kabisa 😂😂😂😂
Kweli usiombe yakukute
Bora tuachane tuleee tu watoto 😢ila siwezi kumvulia nguo tena 😭bora hata tusingeambia km sisi ni ndugu ,,ila inauma sana aiseee ngumu kumeza bhana😊
😂😂😂😂umvulie nguo mara ngapi wakati keshaona kila Siri jamani😂😂😂😂😂
@@avelinabaluhya2804 kaona ni kweli ila nilikua sijajua kama ni kakaangu 🤣🤣🤣🤣
Me mwenyewe ntaendelea ku enjoy mapenz yangu kwakweli staki ata kusikia ❤ makosa ni ya kwao wazazi ..keep it up anko jay.
Wa kwanza mie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰👀
Anko J barikiwa tunajifunza mengi Ila kwahili kunaumuhumu wakuwa muwazi jaman
Kma ni mm pia ningetwaa uamuzi kma huo wa Anita.tena ukizingatia hyo ni first luv wke.aa weh! Udugu ukaepembeni.
😄😄😄😄🙌
Hhhhhhh real
Umeona ee
Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo ningekua mimi ningeacha tuendelee mke mme aina jinsi.
Napenda sna simlizi zko unasimlizi tam
Asante sana anko Jay kwa simulizi, umenipa ujasiri anko Mungu akupe maicha marefu
Ishatokea nabaki na mme wang wazazi watajua wenyew
❤ your simulizi Anita nakuoenda ni mimi kutoka Kenya
Sorry nakupenda
Mmm jamani mapenzi nimazito Anita pole tens nakupa ongera kwaujasiri kutoka Zambia
Inatufundisha wazazi kiukwel 😢😢
Dah simulz nzur Sanaa be blessed speaker
Daaah kwel ni mtian San bt ni makosa ya wazazi
Shukurani san ❤❤❤
Mmm balaaa ila hii Tania ya kutelekeza watoto haifai kabisa
Weendelee na ndoa Yao tu
Mungu akubariki sana 🙏 kwa kazi nzuri, elimu tosha ya inazidi University ukweli 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
Simulizi ni nzur sanaa
Daah hiii ni ngumu kumezaa mimi bora kuachna AFu watoto wakikua tunasemq wazazi went warifarik kwa ajari 😢😢japo daah
We ni fala
Hujakutana na nguvu ya mapenzi bado
Big lesson learned. Love it ❤❤
Hat watt wana makox wangewjulixh wazz wao kabl ya kufanya mapenz
Asante Sana anko tunajifunza sana 3:45
Jamani narudi acha nisikilize kwanza
Hiii simulizi kweli tamu jamani hata hivyo yalio tokea haikua makosa Yao hata ningekua mm ningeendelea kula tunda tuuu😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Ni Sahihi wabarikiwe tunaomba e9 10 11 yaani weka fuluiuiuu
Poleni kwa magumu mliyo yapitaa sisi wasikilzaj nasi tumejifunza kitu namshkurh slimu kwa msimami wake
Alaaaa🤭🤭🤭
Hii simulizi pambe anko wakuache maika mia
❤❤❤❤❤Ankoj mapesa tunakupenda xn walai
Waah Anita haya wadau twende nalo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ANT. LISA. ANKO. JEY. NAWAPENDA. SANA. STORY. NZURI. SANAAAAA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 NAWAPENDA. SANAAAA. INAFUNZA. SANA❤❤❤🇮🇹🇹🇿🍒🔥🔥
Mh apa tumejifunza kitu aseeeee
Hata mimi singekubali tuachana kama mbaya mbaya kifo tu
Nguvu ya mapenzi
Nimeipenda sana
Tuchukue somo la kuwasaidia wanetu,makosa ya wazazi maumivu kwa watoto
Chungu kutafun ngumu kutema mweeeeeeeee
Na ngumu saaana kumeza
Asante Anko kwa simulizi mpya be blessed ❤
Mpe hi Lissa mwalla Mafunuo yakawe mengi katika fahamu zake ❤🙏
Makosa sio yenu makosa ya wazee 😢😢😢😢
anko j mm ningechagua kumpenda mke wangu tu maana makosa sio yetu
Umeonae
Nguvu ya mapenzi
Nakupend
Hii simulizi ina mafunzo mazuri sana jamani na inaskitisha na inaogopesha....ingekuwa mimi tungeachana Nikahama mji na watoto tukakata mawasiliano kabsaa na baba watoto maana kuendelea na ndugu yangu tena kwa mama ni ngumu ....kwa maelewano lakini
Hujakutana na nguvu ya mapenz