WATAKAO NI RADDI WATA RADDIWA NA WANAFUNZI WANGU SHEIKH SAMEER SIDIK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 98

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb 6 дней назад +4

    Allah amtunze Sheikh wetu,tuzidi kustafidi

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 7 дней назад +3

    Shekhe nimekuelewa saaana😂😂😂
    بارك الله فيك

  • @HasaniJuma-ew2kw
    @HasaniJuma-ew2kw 7 дней назад +4

    Elimu ni tamu sana sheikh letu sameer

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 дня назад +1

    Mziwanda mjuaji sanaaa

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 7 дней назад +2

    Leo umetulia sana sheikh samir

  • @IbrahimuSaid-z7e
    @IbrahimuSaid-z7e 8 дней назад +5

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu
    Natumaini ni wazima walimu zangu.
    Hii mijadala nimeipenda hapa ndipo kisima cha Elimu na Hekma tunachota Elimu na Hekma.
    Allah waongoze zaidi na zaidi na sisi tupate faida zaidi na zaidi.

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 7 дней назад

      Hakuna walim hapa isipokuwa ni wanamichezo wa yanga ña simba na waeneza bidaa

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 5 дней назад +1

      @@azizisulay6005 Kabisa mjaahili2 hapo wamekutana

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 4 дня назад

      ​@@AlmasAbdallah-r3g saw waaxhen mashekh zetu

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 7 дней назад +3

    Allaah awaongoze mutoke wote kwenye usifi muingie kwenye njia ya sawa alokuwa nayo mtume na swahaba zake

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 6 дней назад

      Njia ya sawa ni kujiita salafi?

    • @RamadhaniHuseni-k4t
      @RamadhaniHuseni-k4t 6 дней назад +1

      Hahahaa mtume alikua kwenye njia ipi. Na ili uwe mwislamu inatakiwa iwe vipi naomba jibu.

    • @allymtito8117
      @allymtito8117 6 дней назад +1

      @RamadhaniHuseni-k4t yakitabu na suna kwa ufahamu wa maswahaba,

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 6 дней назад

      @@allymtito8117 kwani hapo wanafuata ufahamu wa nani

    • @abdulsakibu
      @abdulsakibu 6 дней назад +1

      Wewe ambae umenyooka una athari ipi ktk dini kuliko hawa walopotea lkn wanajuhudi kuwapa watu nasaha? Lkn pia naamin hao hapo ni mashekhe kwahyo uwe na adabu ht kidogo unless shskhe wako alikukuza hvyo japo siamini katika hili

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 7 дней назад +3

    Allah amhifadhi Sheikh Sameer

  • @khalidimuridi5958
    @khalidimuridi5958 7 дней назад +1

    Allah atutuenzie na kutuelekeza Dini inshaallah Kheir

  • @citygraphics6670
    @citygraphics6670 5 дней назад +2

    Comment yako italetwa mbele ya Allah ewe nduu yangu mwislam chunga sana!

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 6 дней назад +1

    HAPO UMEMTUKUZA SHEIKH MUHAMMAD BAKARI AU UMEMTWENZA

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 5 дней назад +2

    Basi unaposema masufi watoke kwenye usufi unatakiwa iwaelekeze wapi waende

  • @Claudius-sm4rg
    @Claudius-sm4rg 6 дней назад +1

    Mwambieni SUFI MWENZENU YUSSUF DIWANI
    NDIO ANAONGOZA KWA MATUSI.

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 5 дней назад +2

    Hhhhhhh kila ukimsikiliza bwana sameer unagundua kua anamruddi sheikh qasim mafuta lkn sio moja kwa moja😂

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 4 дня назад +1

      Mpe heshim yak huy ni sheikh habeeb

  • @iddikayombe166
    @iddikayombe166 6 дней назад +1

    Yusuf diwani ni tatizo kubwa katika dini ni mwenye matusi kwa ufikishaji wake

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 6 дней назад +1

    Masheikh ubwabwa ,

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 4 дня назад +1

      Mashaallah wew umekamikik shekhe safii kabisa

  • @NurdinSaidi-v1u
    @NurdinSaidi-v1u 4 дня назад +1

    Hao ndio masufi wanafiki wa zama hizi

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 6 дней назад +1

    MASUF HAKUNA VIJANA WANAOJUA NDIO MAANA WANAJIBU MASHEKHE TU

  • @HemedSerious
    @HemedSerious День назад

    Sheikh misifa yupo kazini😂😂😂

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 6 дней назад

    Mnapigwa raddi kwa sababu ya ilm mnayotoa inapotoa

  • @abuuahmadalathary620
    @abuuahmadalathary620 7 дней назад +1

    Shekh anogopa ssna raddi
    Na ktk hekma pia kutomjibu kila anaesema

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 7 дней назад

    Hakuna watu wanaogop mijadar kama mawahabi wakija mwisho nkukojoa tu mawahabi waropoke mitandaoni ila wasitshi nikashi wat kunya

  • @AsiaJuma-q3u
    @AsiaJuma-q3u 7 дней назад

    Alihamdulilahi daawa salafiya inaeleweka allah atuogoze kwa pamoj

  • @EdhaOmar-jd6os
    @EdhaOmar-jd6os 4 дня назад +1

    masufi kabla ya kusomeshwa wafunzwa adabu ndio hawapendi kujbujibu ila wenzetu hfunzwakukosa adabu kabla masomo

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 7 дней назад +1

    Masheikh wetu mnatukera sna mnapoutanga mpira na ilihali mnajua wtu walivyohrbika ktk mambo ya mpira hasa ww sheikh mziwanda na sheikh Walid cjui tunaelekea wpi?

    • @muhidinmarussu972
      @muhidinmarussu972 7 дней назад

      soma ndugu wewe ni sawa kichaa hata ukielekezwa kiasi hutoelewa zaid ya kukimbilia kwene jalala

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 4 дня назад

      Kwan mutwlaq ni haram kutaja hilo kaka

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 4 дня назад

      @harithkhan25 hpna hujanielewa na Wala ckusema kw ubya ttzo watu wpo bzy sna ktk mora kliko ibada so kw masheikh km Hawa wanapotaja mpira kw uzr ktk kongamano kubwa bc wafuac wanazd kuufwttlia mpra klo kibada na wakitgmea dalili au mashiko kutoka kw masheikh kw kauli km hizi ni Bora htkm masheikh wpo ktk mapenz ya mpira ibaki ktk nafc zao na c kutoa mapenzi Yao ya mpira ktk jamii cz wao wameahajipta ktk dini lkn Kuna wafuac weng sna Bdo ktk dini wataelewa vbya

  • @nassor6333
    @nassor6333 3 дня назад

    😂😂😂mkutano wa panya nani atamfunga paka kengele. Dawa salafiya inasonga mbele

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 6 дней назад

    Isije ikawa mkutano wa panya nani atamfunga paka kengele

  • @HdMshighaty
    @HdMshighaty 7 дней назад

    maswari.hamin.unzuri.hata.kidogo.kila.kitu.mwakosoa.na.mumesom.kwa.msufi

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 7 дней назад

    Maneno yote meupe hayana hata faida hata moja

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 6 дней назад

    MASUFI TUSOMEN ACHEN KUWAPIGISHA WATU MADUFU TU BILA KUSOMA NDIO MAANA UNAONA BACHU MMOJA MASUFI 1000 NA MPAKA WANASAIDIANA NA WAKENYA LAKIN BADO MASUFI HOI

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 5 дней назад

      Kwani ubishi ndio elimu???
      Unadhani mbishi hata ukimkusanyia watu mia anakubali kuwa amepotoka?

    • @IbraFareed
      @IbraFareed День назад

      ‎ما معنى غريب في الحديث؟
      ‎ما الاعراب:تحقق صدقه؟
      ‎ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟
      ‎ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟

  • @AwessAbbass
    @AwessAbbass 7 дней назад

    Sasa mbon wapo wenyew hawapo mchanganyiko? Kwa namna hiyo suluhisho haliwez patikana.

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 7 дней назад

    Elimu zero kiburi majisifu na Bidaa nyingi hamna bali uongo

  • @ShafighuShabani
    @ShafighuShabani 7 дней назад

    Hakuna elimu hapo nikueneza nakutangaza bidagha zao tu

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 7 дней назад +1

      Kaa chini usomeshwe malundo ya elimu.

    • @darajanida
      @darajanida 7 дней назад +1

      wewe unajuwa bidaa

  • @HdMshighaty
    @HdMshighaty 7 дней назад

    nyie.maneno.yap.mazuri.kwene.,maswari.kukosoa.tu.na.mumesom.huku.kwa.ahawaha.masufi

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 7 дней назад +6

    HAKUNA WATU WANAOGOPA RADD KAMA MASUFI 🤣🤣

    • @darajanida
      @darajanida 7 дней назад +2

      kwan.mawahabi mnarad kiyugan huwa mimi naona.mwaporoja tu

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 7 дней назад +1

      @darajanida nenda shule ya msingi kajifunze kiswahili kwanza 🤣

    • @darajanida
      @darajanida 7 дней назад

      @@jumanneissa8226 mimi simtu.wa mipasho mopasho tunawachia nyinyi mawahabi hapa ni hoja tu

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 7 дней назад +1

      Nyie mawahabi mtihan

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 7 дней назад

      @@AlhajiMswaki-de3kb hata firaun anamaneno kama yako Alhamdulillah

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 7 дней назад

    utachapwa tu ukipotosha hao wanafunzi wako hawazingatiwi pia usiogope radd ukiwa unakusudia haq jibu hoja ki elimu sasa ikiwa umechapwa ww mwalimu kuu vip umsimamishe mbumbu wako

    • @darajanida
      @darajanida 7 дней назад +1

      mbona kasim mafuta anasema sikila mtu anaeongea mitandaon ajibiwe kuonyesha kuwa kila mtu na darajalake haiwezekan mtu.nfano kama shekh samir kujibizana ba abuu musi kiza.au jamada hawa kina jamad watajinuzana na akina shekh abdulmajid na wengineo shekh samir silevo yao

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 7 дней назад +1

      @darajanida 😂😂 kwanza jifunze kuandika kiswahili vizur ndo ww miongoni mwa wasiojibiwa sasa unaandika nini hivyo tu hueleweki hebu isome vizur sms yako kama hujui kuandika record saut 🤣

    • @darajanida
      @darajanida 7 дней назад

      @@jumanneissa8226 mimi kwanza sija kuwambia unijibu ni kiherehere chako tu haya mambo hamuyawez bora mukae kimya kuliko.kuongea kila mukiongea ndio mwazidi kujizalilisha

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 7 дней назад

      AKHY SIKU ZOTE MANENO YA NAYOKUSUDIWA BATWIL HUWA MTU WAKE ANAJIGONGA GONGA , MARA KILA MMOJA ANAJIBIWA NA MWENYE DARAJA LAKE , MARA ASIYEMJIBU KILA ALIYEKOSEA AKAWA ANASUBIRI FULANI AONGEE NDO AJIBU HIYO NI ALAMA YA KUTOKUWA NA IKHLASW.
      LAKINI ELEWENI KITU KIMOJA , UKIZISOMA QUR ANI KWA MAZINGATIO UTAKUTA ALLAH ANAWATAJA VINARA WA BATWILI ILI KILA ALIYE CHINI YAO AWAIDHIKE NA AONYEKE , KWA MFN ALLAH AMEMTAJA QARUN KUNAKO UFEDHULI WAKE KATIKA MALI , SIO KWAMBA WATU WENYE UJINGA KAMA WAKE HAWAKUWEPO LKN ALLAH AMEMTAJA YEYE KWA ULE UMAARUFU WAKE ILI KILA ATAYESIKIA MAONYO DHIDI YAKE AWAIDHIKE NA AONYEKE NA HIZO TABIA , KADHALIKA FIR'AUNA NA MFN WAO ,
      PIA ALHAMDULILLAHI SISI AHLUSSUNNA TUMEFUNZWA ADABU SIO KILA SHEKH TWAMPARAMIA BALI KILA MTU APEWA NAFASI YAKE KWA MUJIBU WA ELIMU NA UMRI WAKE NDO MAANA UNAKUTA RUDUUD ZINQZOENDELEA ZINATOKA KWA WATU WANAOENDANA KUJIBIZANA GHAALIBAN ILA IKIBIDI KUFANYA HIVYO NA HAKUNA NAMNA .
      HILO PIA NYINYI NI MASHAHIDI LKN NI ILE KUTANGULIZA CHUKI BINAFSI
      والله الموفق ​@@darajanida

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 4 дня назад

      Huwez mchapa na watu wake tupo ila si hajab