Kiungiza TV
Kiungiza TV
  • Видео 508
  • Просмотров 451 701

Видео

DUA WANAZOZIOMBA WACHIMBA MAKABURI YA KISUTU NA WAUZA SANDA. SHEIKH OTHMAN KHAMISI
Просмотров 36728 дней назад
DUA WANAZOZIOMBA WACHIMBA MAKABURI YA KISUTU NA WAUZA SANDA. SHEIKH OTHMAN KHAMISI
HAKUNA DALILI YAKUWA MAULID NI BID'A. SHEIKH RAJABU KIUNGIZA
Просмотров 26628 дней назад
HAKUNA DALILI YAKUWA MAULID NI BID'A. SHEIKH RAJABU KIUNGIZA
QUR'AN TAJWEED
Просмотров 3028 дней назад
QUR'AN TAJWEED
UKITAKA KUWA KAMA SHEIKH SAMEER FUATA NJIA ALIZOPITA. SHEIKH ISSA KWEZI SHEIK WA MKOA WA SIMIYU
Просмотров 301Месяц назад
UKITAKA KUWA KAMA SHEIKH SAMEER FUATA NJIA ALIZOPITA. SHEIKH ISSA KWEZI SHEIK WA MKOA WA SIMIYU
TOFAUTI YA KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SAYYID JAFAR SAGAFU
Просмотров 173Месяц назад
TOFAUTI YA KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SAYYID JAFAR SAGAFU
IPI SIRI YA KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SHEIKH OTHMAN KHAMISI
Просмотров 122Месяц назад
IPI SIRI YA KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SHEIKH OTHMAN KHAMISI
IBRAHIM MACHACHARI ALIVYO ILIZA HADHARA KWA QUR'AN TAJWEED
Просмотров 315Месяц назад
IBRAHIM MACHACHARI ALIVYO ILIZA HADHARA KWA QUR'AN TAJWEED
SHAABAN MITIGO ALIVYO FUNGUA KONGAMANO KWA QUR'AN SHINYANGA
Просмотров 124Месяц назад
SHAABAN MITIGO ALIVYO FUNGUA KONGAMANO KWA QUR'AN SHINYANGA
MADHARA WALIOPATA WANAWAKE KUTOMPENDA NA KUMFUATA MTUME MUHAMMAD SHEIKH OTHMAN KHAMISI
Просмотров 117Месяц назад
MADHARA WALIOPATA WANAWAKE KUTOMPENDA NA KUMFUATA MTUME MUHAMMAD SHEIKH OTHMAN KHAMISI
KILA MADHEHEBU WASWALI KATKA MISIKITI YAO ILI TUHESHIMIANE. SHEIKH HAMID MASOUD JONGO
Просмотров 1,4 тыс.Месяц назад
KILA MADHEHEBU WASWALI KATKA MISIKITI YAO ILI TUHESHIMIANE. SHEIKH HAMID MASOUD JONGO
MADA'I WA ZAMA HIZI WAMEKOSA UCHAMUNGU WANA JUA KUTUKANA SHEIKH HASSAN CHIZENGA
Просмотров 538Месяц назад
MADA'I WA ZAMA HIZI WAMEKOSA UCHAMUNGU WANA JUA KUTUKANA SHEIKH HASSAN CHIZENGA
KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SAYYID JAFAR BIN SAYYID MUHAMMAD AL BEIDH
Просмотров 365Месяц назад
KUMPENDA MTUME NA KUMFUATA SAYYID JAFAR BIN SAYYID MUHAMMAD AL BEIDH
MAULID YALIKUWEPO ZAMA ZA MTUME TUSIWAKUBALIWE MAWAHABI. SHEIKH HASSAN SAID CHIZENGA
Просмотров 2,4 тыс.Месяц назад
MAULID YALIKUWEPO ZAMA ZA MTUME TUSIWAKUBALIWE MAWAHABI. SHEIKH HASSAN SAID CHIZENGA
IKHTILAFU ZILIKUWEPO ZAMA ZA MTUME TUVUMILIANE WAISILAMU. SHEIKH ALLY MBWERA
Просмотров 424Месяц назад
IKHTILAFU ZILIKUWEPO ZAMA ZA MTUME TUVUMILIANE WAISILAMU. SHEIKH ALLY MBWERA
DUA 5 ZINAZOJIBIWA KWA ISTIGHFARI SHEIKH HASSAN KIBURWA
Просмотров 122Месяц назад
DUA 5 ZINAZOJIBIWA KWA ISTIGHFARI SHEIKH HASSAN KIBURWA
TUWACHE KULA HARAMU DUA ZETU ZIJIBIWE SHEIKH OTHMAN KHAMISI
Просмотров 353Месяц назад
TUWACHE KULA HARAMU DUA ZETU ZIJIBIWE SHEIKH OTHMAN KHAMISI
HII NDIO QUR'AN TAJWEED ILIYOWALIZA MASHEIKH HADHARA YA MAULID BUSWELU - MWANZA
Просмотров 784Месяц назад
HII NDIO QUR'AN TAJWEED ILIYOWALIZA MASHEIKH HADHARA YA MAULID BUSWELU - MWANZA
KUIPIGIA QUR'AN KELELE IKISOMWA NI UKAFIRI WA KISHIA TUSIUIGE. SHEIKH SAMEER SIDIK
Просмотров 3,2 тыс.Месяц назад
KUIPIGIA QUR'AN KELELE IKISOMWA NI UKAFIRI WA KISHIA TUSIUIGE. SHEIKH SAMEER SIDIK
MAWAHABI WANAUGUA UFAHAMU WAMAKOSA SHEIKH RAJAB KIUNGIZA
Просмотров 706Месяц назад
MAWAHABI WANAUGUA UFAHAMU WAMAKOSA SHEIKH RAJAB KIUNGIZA
WAOWAJIWA SASA WANONGOZA KUTELEKEZA FAMILIA. SHEIKH SAMEER SIDIK
Просмотров 75Месяц назад
WAOWAJIWA SASA WANONGOZA KUTELEKEZA FAMILIA. SHEIKH SAMEER SIDIK
MADA'I WASASA ELIMUYAO NI MATUSI SHEIKH HUZUDIN ALWY
Просмотров 1 тыс.Месяц назад
MADA'I WASASA ELIMUYAO NI MATUSI SHEIKH HUZUDIN ALWY
MADHARA YA FITNA SHEIKH ABUBARI BIN OTHMAN
Просмотров 96Месяц назад
MADHARA YA FITNA SHEIKH ABUBARI BIN OTHMAN
MAWAHABI NDIO WALIOANZISHA BID'A YA MAULID SHEIKH SAID MAKAMBA
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
MAWAHABI NDIO WALIOANZISHA BID'A YA MAULID SHEIKH SAID MAKAMBA
WATAKAO NI RADDI WATA RADDIWA NA WANAFUNZI WANGU SHEIKH SAMEER SIDIK
Просмотров 12 тыс.Месяц назад
WATAKAO NI RADDI WATA RADDIWA NA WANAFUNZI WANGU SHEIKH SAMEER SIDIK
UKITAKA KUWA SHEIKH KUWA NA TABIA 3 HIZI SHEIKH ALLY MWERA
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
UKITAKA KUWA SHEIKH KUWA NA TABIA 3 HIZI SHEIKH ALLY MWERA
KUTUKANA NDANI YA DINI INAFAA AU HAIFAI SHEIKH WALEED OMAR KAWAMBWA
Просмотров 10 тыс.Месяц назад
KUTUKANA NDANI YA DINI INAFAA AU HAIFAI SHEIKH WALEED OMAR KAWAMBWA
HUKUMU YA MNYAMA ALIYE INGILIWA NA BINADAMU SHEIKH MUHARAM MZIWANDA
Просмотров 7 тыс.Месяц назад
HUKUMU YA MNYAMA ALIYE INGILIWA NA BINADAMU SHEIKH MUHARAM MZIWANDA
IPI NJIA SAHIHI YA KUFANYA DA'WAH KWA SASA SHEIKH OTHMAN KHAMISI
Просмотров 4,4 тыс.Месяц назад
IPI NJIA SAHIHI YA KUFANYA DA'WAH KWA SASA SHEIKH OTHMAN KHAMISI
HEKIMA YA KULINGANIA DA'WAH KWA MADA'I WA SASA SAYYID JAFAR BIN MUHAMMAD ALBEIDH
Просмотров 2,1 тыс.Месяц назад
HEKIMA YA KULINGANIA DA'WAH KWA MADA'I WA SASA SAYYID JAFAR BIN MUHAMMAD ALBEIDH

Комментарии

  • @AminaRashidi-n1l
    @AminaRashidi-n1l День назад

    Mashallah shehe wetu mziwanda

  • @mohamedchande813
    @mohamedchande813 День назад

    Mashallah, darasa zuri sana ili

  • @AminaRashidi-n1l
    @AminaRashidi-n1l 2 дня назад

    Shuklani Sana amiin amii

  • @selemansalum
    @selemansalum 6 дней назад

    Masha'allah

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb 7 дней назад

    Allah amrehem Sheikh wetu.tunafaika sana kwa Elimu yake

  • @mohamedjuma1084
    @mohamedjuma1084 8 дней назад

    Ma Shaa Allah👏

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 8 дней назад

    Shee samir hajasem hayo, ulie post views sio wa kutafut hivyo😂 unataka kuwa maarufu

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 9 дней назад

    Mzee aongoza ulimwengu mzima kwa upumbavu.

  • @yasiinmtiniko3050
    @yasiinmtiniko3050 9 дней назад

    Ukiambiwa Elimu Ni Bahar Hii Ndo Bahar Yenyewe.

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 10 дней назад

    Huyu si NDO YULE ASIEJUA TAWHEED ......HALAFU MAKURAFI YANAMUITA MUDIR....HAJUI SURAT FATIHA SAMEER ....KHURAFI JISUFI

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w 13 дней назад

    Sheikh chizenga basi unantoa machozi

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 17 дней назад

    Umeongea kama wazee 100

  • @ZagazagaTanga
    @ZagazagaTanga 25 дней назад

    Shekhe tabia inabadilika ila khulka haibadiliki khulka inaendana na moyo wamtu na tabia inaendana na binaadam mtume anaadhimishwa hakuna swala la kumpenda swala ni mtii mtume izudin hutetewi wewe shatif watu wanatetea usharif na hishma ya usharif

  • @RaghibJulaybibi
    @RaghibJulaybibi 25 дней назад

    Hata aibu haoni

  • @KassimSaary-q5r
    @KassimSaary-q5r 25 дней назад

    Huna hoja kabisa hujasoma kabisa labda pilau, ukatuni mtupu, nenda maskani ukatoe hiyo tarab yako, ukatuni mtupu, au ni kichuzi wa haj kipepo bure penyless

  • @KassimSaary-q5r
    @KassimSaary-q5r 25 дней назад

    Mungu akuweke pilau isikupite, hata humchi mungu, huna hoja, halalisha tu

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 26 дней назад

    Alla amhidhi mkwe wangu alipenuru kabr yake

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 26 дней назад

    Wazee wa maulidi

  • @nassorshebee22
    @nassorshebee22 26 дней назад

    Kuwakubalia nani wazushi ALLAH ATAWALIPA KWA UPITOVU WENU KUNA KIFO BABU

  • @nassorshebee22
    @nassorshebee22 26 дней назад

    Wapotofu 😂ALLAH AWAONA

  • @UzeriAlly
    @UzeriAlly 27 дней назад

    Allah akubakishe shekh wetu

  • @UzeriAlly
    @UzeriAlly 27 дней назад

    Shekh mziwand Allah akuweke zaidi❤

  • @UzeriAlly
    @UzeriAlly 27 дней назад

    Shekh mziwand Allah akuweke zaidi

  • @UzeriAlly
    @UzeriAlly 27 дней назад

    Hakun atakaye wez hatakidg mpk kiyama

  • @MasikaTindi
    @MasikaTindi 27 дней назад

    Ma sha Allah ♥️

  • @mohamedhassan1179
    @mohamedhassan1179 28 дней назад

    S ✨ A ✨ W ✨ mash 💕 Allah ✨

  • @AdamMuhammad-c4p
    @AdamMuhammad-c4p 28 дней назад

    اللهم وفقنا للخير

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 29 дней назад

    Mash Allah tabarak Allah ahsani, khaalyqin Jazzak Allah kheri shekhe

  • @ZagazagaTanga
    @ZagazagaTanga Месяц назад

    Mashaalah khekhe walid wewe ni modo wangu uko vizuri sana unachosema ni kweli tupu atakae kupinga ana mapungufu na udhaifu pia kwamaneno yako katika waadhi maudhui ni kukosekana hishma ndio tatizo kubwa kutoifahamu hio hishma nikitugani wewe unaifahamu hishma ikivunjwa ya alah na mtume wake hukmu yake ushahidi upo

  • @UrindaOthuman
    @UrindaOthuman Месяц назад

    Waandishi kuweni makini sana na uchonganishi mana watu wako live wanafuatilia tukio kwa tukio

  • @dr.mukukihante7673
    @dr.mukukihante7673 Месяц назад

    Jazaakallahu khayran Sheikh

  • @AminiAbasi
    @AminiAbasi Месяц назад

    Allah akulinde sheikh. Samiri... Kweli. Wewe mwalimu na kiongozi.

  • @SuleimaniHamadi-z6c
    @SuleimaniHamadi-z6c Месяц назад

    Raghib: we mpuzi labda haupo duniani ndo nyinyi wavunja dini we pimbi kwel

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g Месяц назад

    Kumbe mshaanza kuchanganyikiwa

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe Месяц назад

    ❤❤❤❤❤

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Месяц назад

    NENDENI VIJIJINI WAISLAMU WANATESEKA KUUJUA UISLAMU

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 Месяц назад

      Kwenye uislam hakuna nendeni, Kuna twenden, hakuna watu maalum wakuisambaza dini, acha ujinga

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Do!!! Mbona aibu masheikh yaani hovyohivyo

  • @Mussarashidi-b4f
    @Mussarashidi-b4f Месяц назад

    Babuv❤❤❤ maashaa الله

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 Месяц назад

    Babu Babu Babu kaburini Allah akikuuliza kua maulidi alifanya mtume wenu utasemaje 😂😂😂😂😂 Babu kalewa vichwa vya kuku za abadir kuku za kiganga Mzee chizenga Babu mtume alipiga falaki Aliangalia nyota ah ah ah babu umekaribia kumfwata yahya husseni Kule aliko mahakaman na wewe pia umekaribia kwenda

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Upumbavu mtupu

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 Месяц назад

    Babu!nini maana ya maulidi ?

  • @shuitv9229
    @shuitv9229 Месяц назад

    Huyo sheikh wakihind sio shia kweli

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe Месяц назад

    Nakupenda Sana sharrfu mungu akupe afya njema na niombeee dua ndungu yangu❤❤❤❤❤

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 Месяц назад

    MTUME (S A W ) ALIFANYA MAULID LAKINI MASWAHABA HAWAKUFANYA,MAIMAMU HAWAKUFANYA WALA TABI TABIINA NAO WALIKUWA NI MAWAHABI AU HAWAKUMUELEWA MTUME ,NA MTUME ALISEMA MSNISIFU KAMA MANASARA WANAVYOMSIFU ISA MWANA WA MARIAM

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 Месяц назад

      huyuu nae han alijualo walimsifu vip nabii isa mpak mtume akataze asisifiwe km nabii issa wale wamemfanya nabii mungu.ss hatufanyi hivyo dah watu wanashid kwa kweli

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 Месяц назад

      @kherimakame212 HUJUI KAMA KUNA KASWIDA ZINAMSIFU MTUME ZINACHUPA MIPAKA KUMFANYA MTUME ANA SIFA SIO ZAKE NDIO HUKO KUMSIFU KAMA WAFANYAVYO WAKRSITO

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 Месяц назад

      @@abakibibi9917 Pale pana kaf ya tashbiihi kwamaan kumfananish km wao walivomfananish kijan elewa baba usijitie hilo ndoalokataza mtumeeee

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 Месяц назад

      @@kherimakame212 USILETE MAMBO YA BALAGHA NA MANTIK HAYANA NAFASI KWA TENDO LILILO WAZI HALINA UTATA MTUME SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIFUNGA WEWE WAFANYA MAULID TUMFUATE NANI

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 Месяц назад

      @@abakibibi9917 Kituko kweli sasa mtume wapi amegawa tauhid mbon nyinyi mmegawa nasubir jibu twende kwa hoja man hilo pia liko wazi na wapi mtume kafanya mashindan ya qur an na je tufuate tufuate mtume au nan hahaha eee anafurahish nasubir jibu

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv Месяц назад

    mwana waharam hata ukimueka ndani yachupa atatoa kidole kwamb yupo

  • @issabaruani4433
    @issabaruani4433 Месяц назад

    Allah Allah,,allah

  • @HemedSerious
    @HemedSerious Месяц назад

    Sheikh misifa yupo kazini😂😂😂

  • @IbraFareed
    @IbraFareed Месяц назад

    جزاك الله خيرا

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 Месяц назад

    Mpira umesema kweli sheikh kunamasheikh zetu wanafnya kutngza kabisa mfn sheikh mziwanda,sheikh Walid,sheikh khuzaymah na mawahabi