MAULID YALIKUWEPO ZAMA ZA MTUME TUSIWAKUBALIWE MAWAHABI. SHEIKH HASSAN SAID CHIZENGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 16

  • @Mussarashidi-b4f
    @Mussarashidi-b4f 16 дней назад

    Babuv❤❤❤ maashaa الله

  • @nassorshebee22
    @nassorshebee22 10 дней назад +1

    Kuwakubalia nani wazushi ALLAH ATAWALIPA KWA UPITOVU WENU KUNA KIFO BABU

  • @nassorshebee22
    @nassorshebee22 10 дней назад +1

    Wapotofu 😂ALLAH AWAONA

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 17 дней назад +1

    MTUME (S A W ) ALIFANYA MAULID LAKINI MASWAHABA HAWAKUFANYA,MAIMAMU HAWAKUFANYA WALA TABI TABIINA NAO WALIKUWA NI MAWAHABI AU HAWAKUMUELEWA MTUME ,NA MTUME ALISEMA MSNISIFU KAMA MANASARA WANAVYOMSIFU ISA MWANA WA MARIAM

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 17 дней назад +1

      huyuu nae han alijualo walimsifu vip nabii isa mpak mtume akataze asisifiwe km nabii issa wale wamemfanya nabii mungu.ss hatufanyi hivyo dah watu wanashid kwa kweli

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 17 дней назад +1

      @kherimakame212 HUJUI KAMA KUNA KASWIDA ZINAMSIFU MTUME ZINACHUPA MIPAKA KUMFANYA MTUME ANA SIFA SIO ZAKE NDIO HUKO KUMSIFU KAMA WAFANYAVYO WAKRSITO

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 17 дней назад +1

      @@abakibibi9917 Pale pana kaf ya tashbiihi kwamaan kumfananish km wao walivomfananish kijan elewa baba usijitie hilo ndoalokataza mtumeeee

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 16 дней назад

      @@kherimakame212 USILETE MAMBO YA BALAGHA NA MANTIK HAYANA NAFASI KWA TENDO LILILO WAZI HALINA UTATA MTUME SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIFUNGA WEWE WAFANYA MAULID TUMFUATE NANI

    • @kherimakame212
      @kherimakame212 16 дней назад

      @@abakibibi9917 Kituko kweli sasa mtume wapi amegawa tauhid mbon nyinyi mmegawa nasubir jibu twende kwa hoja man hilo pia liko wazi na wapi mtume kafanya mashindan ya qur an na je tufuate tufuate mtume au nan hahaha eee anafurahish nasubir jibu

  • @RaghibJulaybibi
    @RaghibJulaybibi 9 дней назад

    Hata aibu haoni

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 16 дней назад +1

    Upumbavu mtupu

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 16 дней назад +1

    Babu!nini maana ya maulidi ?

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 16 дней назад +1

    Babu Babu Babu kaburini Allah akikuuliza kua maulidi alifanya mtume wenu utasemaje 😂😂😂😂😂
    Babu kalewa vichwa vya kuku za abadir kuku za kiganga
    Mzee chizenga Babu mtume alipiga falaki
    Aliangalia nyota ah ah ah babu umekaribia kumfwata yahya husseni Kule aliko mahakaman na wewe pia umekaribia kwenda