Ahsante kwa somo zuri kaka, ni muda gani sahihi au ni umri gani sahihi wa kuku kuanza kuwapa majani? Maana nina vifaranga vina wiki tatu na vimeanza kudonoana,
Oooh ndugu dawa ni nyingi zipo na zinafnya Kaz. Maaana tunaweza kwambia dawa Jina lake ila ukaenda ussikute ukapewa nyingine. Tembelea duka LA mifugo ndugu
Asante sana kwa mafundisho yenu. Mimi kwa kawaida ninaishi Burundi ninafuatilia mbo haya kwa makini; ningewaomba kufahamu inapo kuki anakoroma mfugaji anaweza kutumia dawa gani ya kienyeji? Mbarikiwe.
Ansantee sana
Barikiwa Sana ndugu
Thanks
Welcome
Asante kaka
Barikiwa sana Ndugu
Asante kwa Somo zuri,je majani ya mpera kwa kuku kama ulivyofundisha unaweza kichemsha na kuwapa au ni kutwanga tu.
Ni kwa ku twanga tu
Je? Kwa kuku anaeharisha maji yanamfaa??
Ndio
Je unaweza kuwapa na vifaranga, na mkapi unaweza kuwapa pia
Wawe WA umri WA wiki 4 nakuendelea
Asante kwa HUDUMA MUNGU AKUBARIKI swali MAJANI ya migomba naweza KUWAPA kila siku hakuna madhara
Hakuna shida
Mbarika unafaa kumpa kuku mnyonyo?
Una maaana ipi ndugu
Ahsante kwa somo zuri kaka, ni muda gani sahihi au ni umri gani sahihi wa kuku kuanza kuwapa majani? Maana nina vifaranga vina wiki tatu na vimeanza kudonoana,
Kuanzia wiki 2 waweza wazoesha
@@AGALUSTV ahsante,
Barikiwa sana
Yanafaa kwa kuku wa kisasa? Kroila?????
Ndyo ni tiba pia kwao
Siku ngapi
5/7 mfululizo Kila siku andaa dawa Mpya
Na swali kama kuku ana harisha sana kweli iyo jus ya majini ya mpera unakuwa na mwunyushe limoja ku siku kusema apone ata chukuwa siku ngapi?
Siku 5/7 mfululizo
Siku 5/7 mfululizo
Broiler elfu moja nawapa lita ngapi
Utawapa kulingana na wingi w maji wanaokunywa kuku wako
Ukichanganya majani ya miembe na mpera vp
Sawa tu
kwa layers wanaotaga je naweza kuwapa?pia wamepungua kula chakula na kutaga
Wape tu. Kutaga jaribu kuangalia afya yao lakini pia wape vyakula vya asili kama a lovera, tngawiz, kitunguu saumu n. K
Kuku wangu wanavimba masikio na macho niwape tiba gan
Dawa za mafua
@@AGALUSTV ipi
Oooh ndugu dawa ni nyingi zipo na zinafnya Kaz. Maaana tunaweza kwambia dawa Jina lake ila ukaenda ussikute ukapewa nyingine. Tembelea duka LA mifugo ndugu
Je vifaranga 200 unawapa mara ngapi majani na nimeona mkichemsha mayo vipi
Ata Mara 3 kwa wiki
Tunda la mpera linamsaindia kuku
Ngoja tufuatilie Zaid kujua
Mama mwenye mimba anaruhusiwa kutumia
Apo hatujui ndugu sisi tu nazungumzia Kuhusu Kuku tu. Kwa binadamu hatufaham 🙏🏿 ✍️ Barikiwa
Unaweza prana kwa vifaranga
Ndyo unaweza
Asante sana kwa mafundisho yenu. Mimi kwa kawaida ninaishi Burundi ninafuatilia mbo haya kwa makini; ningewaomba kufahamu inapo kuki anakoroma mfugaji anaweza kutumia dawa gani ya kienyeji? Mbarikiwe.
Ni tangawizi, vitunguu saumu na Pilipili waweza fuatilia video hii 👇 jinsi y kutumia ivyo vitu
ruclips.net/video/WGT_dUPqrZM/видео.html
@@AGALUSTV4:26 asante sana
Barikiwa pia