Hakika, wanadamu tunapita, kazi zetu tufanyazo zitaishi kusimulia vizazi matendo makuu ya watu hodari walioamua kulitumikia taifa katika mambo makubwa kama haya.
Mradi kama huu mkubwa ni sharti uwe na mkataba wa kandarasi wenye kuonesha ramani,mpango kazi nk . Si wazo la mtu kichwani ! Bila shaka taratibu zote zimefuatwa kwa kuzingatia nyaraka muhimu za mradi huu.
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 Ramani inaweza kuwa ni ile ile na mkataba ni ule ule lakini ubora ukawa si ule uliopangwa na hata muda wa kukamilika kwake kwani mzee alikua mtu wa fasta sana kukamilisha projects ila hili daraja limechukua muda mrefu na bado halijakamilika
Tukosowe majina ya hii sehemu. Siyo Kigongo na Busisi. Ni Shigongo(Huruma) na Bushishi( hili neno lina maana nyingi kulingana na matamshi). Hat Jina Mwanza siyo sahihi. ni Ngw'anza! Ramani za zamani sa zinaonyesha haya majina.
Wow! Ahsante kwa kuturejesha katika historia🙏🏿. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI DUNIANI NA KUWAONESHA HISTORIA NA UZURI WA TANZANIA
Soma vizuri tafadhali "....ITATEGEMEA MAENDELEO YA MRADI" ; hiyo ndio ilikuwa ratiba ya awali wakati ujuenzi unaanza mwaka 2021. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ili kuendelea kupata taarifa zaidi juu ya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu hii muhimu. Ahsante na karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
Acha upunguani ulitaka tu sema la Bibi yako mbona miaka yote usijengwe kwani Kodi ulikua hailipwi? Au utumbo unajikunja kwa wivu ukisikia ni kazi ya magufuli ndio ni daraja la magufuli
Ndo jina la daraja hilo , ukienda hospitali ya Benjamini Mkapa haina maana katoa fedha yake mfukon alikuwa muasis wa mradi huo na hospital ikapewa jina lake , ukienda hospital ya Jakaya kikwete pale muhimbilli haina maana ile Taasisi ya Jakaya ni yake la alikuwa muasisi na muanzilishi wa mradi huo na mradi ukapewa jina lake
Great 👍🏿
🎉🎉🎉
🙏🏿
Magufuri
🙏🏿💯
Very nice kazi nzuri ila spidi ndogo wanatucheleweshaaaaa
Tafadhali SUBSCRIBE,Like na SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI DUNIANI na KUWAONESHA uzuri wa TANZANIA.
Ni kweli spidi mdogo sana angekuwepo magufulli lingekuwa limeisha na linatumika
Pamoja na hivyo aliacha alama kubwa; daraja hili litaleta MAPINDUZI MAKUBWA ya kiuchumi ukanda huu.
Waswahili tunasema tenda wema uende zako. Magu ametenda
🙏🏿
Kwani miakayote si ulikua unatoa kodi
🤔
Sawa daraja hili limejengwa kwa fedha zetu. Limeitwa Daraja la Magufuli kwa kumuenzi tu.Usiwe mkosefu wa fadhila?
🙏🏿✍️
Hakika, wanadamu tunapita, kazi zetu tufanyazo zitaishi kusimulia vizazi matendo makuu ya watu hodari walioamua kulitumikia taifa katika mambo makubwa kama haya.
Hakika ! Tufanye mema yataisha milele.
Sidhani kama hili daraja, limejegwa kama Magufuli alivyopanga
Mradi kama huu mkubwa ni sharti uwe na mkataba wa kandarasi wenye kuonesha ramani,mpango kazi nk . Si wazo la mtu kichwani ! Bila shaka taratibu zote zimefuatwa kwa kuzingatia nyaraka muhimu za mradi huu.
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 Ramani inaweza kuwa ni ile ile na mkataba ni ule ule lakini ubora ukawa si ule uliopangwa na hata muda wa kukamilika kwake kwani mzee alikua mtu wa fasta sana kukamilisha projects ila hili daraja limechukua muda mrefu na bado halijakamilika
Huyu baba Kama angekua bado nchi yetu ingekua mbali sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Atakumbukwa daima 🙏🏿
R.I.P, JPM no comment.
So sad !
Tukosowe majina ya hii sehemu. Siyo Kigongo na Busisi. Ni Shigongo(Huruma) na Bushishi( hili neno lina maana nyingi kulingana na matamshi). Hat Jina Mwanza siyo sahihi. ni Ngw'anza! Ramani za zamani sa zinaonyesha haya majina.
Wow! Ahsante kwa kuturejesha katika historia🙏🏿.
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI DUNIANI NA KUWAONESHA HISTORIA NA UZURI WA TANZANIA
Ngw'anza. Ama. Nyanza
Tuonyesheni gari zinapita aulaa
Hujaona ?
kukamilika 2026 akati mkandarasi kasema Tareh 31 mwezi wa 12 mwaka huu. Embu fanya uchunguzi kabla hujasema jambo
Soma vizuri tafadhali "....ITATEGEMEA MAENDELEO YA MRADI" ; hiyo ndio ilikuwa ratiba ya awali wakati ujuenzi unaanza mwaka 2021.
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ili kuendelea kupata taarifa zaidi juu ya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu hii muhimu.
Ahsante na karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
Acha upunguani ulitaka tu sema la Bibi yako mbona miaka yote usijengwe kwani Kodi ulikua hailipwi? Au utumbo unajikunja kwa wivu ukisikia ni kazi ya magufuli ndio ni daraja la magufuli
🤔
Agekuepo magu logekisha malizika
KABISA! Lakini lipo katika hatua za mwishoni.Tutaleta taarifa hapa linafunguliwa lini rasmi
Acha ujinga.
@@zobakazizi7637 unaemwambia nani
@@zobakazizi7637 huoujinga kakuletea nyumban kwako au barabarani
@zobakazizi7637 kweli!?
Mnatuchosha
Kwa nini?
Daraja la Magufuli au ni daraja la kodi zetu? Huyo magufuli aliuza ng'ombe kisha akajenga au.
Ndo jina la daraja hilo , ukienda hospitali ya Benjamini Mkapa haina maana katoa fedha yake mfukon alikuwa muasis wa mradi huo na hospital ikapewa jina lake , ukienda hospital ya Jakaya kikwete pale muhimbilli haina maana ile Taasisi ya Jakaya ni yake la alikuwa muasisi na muanzilishi wa mradi huo na mradi ukapewa jina lake
Wakati mwingine hakuna haja ya kuwajibu wajinga maana Kila nchi duniani ina miradi iliyopewa majina ya viongozi wao.@@mukhsintwaha5909
🤔
🙏🏿
🤔