Nawaza hapa Kwa sauti..kama kweli tukiisha Kwa kuyafuata haya Basi kesi za mahusiano zingepungua kama sio kuisha kabisa ...Ila sasa mioyo ilivyo migumu hiii Mungu tusaidie watoto wako kubadirika .... Ahsante Kwa somo zuri Eng Deo ...umeniponya pakubwa Sana.
Deo Deo Deo nimekuita mara tatu uwiii.... Naomba namba nikutumie ushuhuda WA hili somo 😂😂😂 Asieee..nimelisikiliza wiki mbili kama wimbo WA Taifa nimeona matokeo
ASANTE KWA KUWA KARIBU NAMI, NAKUOMBA SUBSCRIBE NA SHARE VIDEO HIZI ILI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI NA WAWEZE KUPATA ELIMU HII.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kwa mafundisho mazuri
Nawaza hapa Kwa sauti..kama kweli tukiisha Kwa kuyafuata haya Basi kesi za mahusiano zingepungua kama sio kuisha kabisa ...Ila sasa mioyo ilivyo migumu hiii Mungu tusaidie watoto wako kubadirika .... Ahsante Kwa somo zuri Eng Deo ...umeniponya pakubwa Sana.
Amen amen..nafurahi kuona watu wanapona
Deo Deo Deo nimekuita mara tatu uwiii.... Naomba namba nikutumie ushuhuda WA hili somo 😂😂😂 Asieee..nimelisikiliza wiki mbili kama wimbo WA Taifa nimeona matokeo
Jennifer Jennifer Jennifer ..nitumie kwenye 0746104034 whatsap
Mtumishi asantee sana umenitoa mbali umenifanya nisimamee mwenyew asanteeee asanteee sana imepona mnooo
Ameeeen..nimefurahi kwa ushuda huu
Kaka Deo Mungu akubariki
Kazi nzuri kaka. Hongera sana
Ubarikiwe mtumishi
Amen amen
Mungu ni mwema
Haya mambo yanahitajika watu kuyajua karibia wote.
Bro umetisha. Big up sana. Be blessed
Amen bro
Thanks pastor
Barkiwa sana mchungaji
God bless you, duh
Kazi nzuri bro Deo! Very educative plus eye opening 😅
Asante sana dada
Sasa nimeelewaa sanaaa
Nakufuatilia sana mchungaj
Asante sana
Haya makongamano tunayapaje jamani
Upo mkoa gani?