ATHARI ANAZOPATA MTOTO ANAPOLELEWA NA MZAZI MMOJA | DEO SUKAMBI
HTML-код
- Опубликовано: 4 янв 2025
- Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi.
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
www.youtube.co...
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #MahusianoUnaweza Kusapoti huduma hii
Mtumishi Mungu akubariki,ila pia mimi nasikitika kwa ofisi za umma kuwahamisha watumishi mara kwa mara unakuta baba anazunguka mikoa yote mwisho mama anaamua kubaki sehemu moja na watoto
Asante sana kwa somo Zurich mchungaji. Mungu akubariki
Mimi ntakufatilia hapa hapa mufanikishe sana kwenye safari hio❤❤❤
Ubalikiwe mtumish me npo kagera ni mama wa mtt mmoja namlea peke yangu baba ake siish nae.
Asante kwa mfundisho mchungaji.
duh! Pastor wewe ni noma!
Asante sana kwa kuendelea kutupa elimu juu ya malezi
Asante sana
Asante Sanaa kiongozi kwa mafundisho
Asante
Asante
Kweli kabisa Pastor
system ya westen na America ni kuharibu jamii ndio single mum wakapewa suport
Kuna shemeji yangu anawasemea watt kwa Mama yao kwa kuwa hawamugopi baba yao wanamugopa mama
Nimekuelewa doctor
Asante sana
Asante sana,nimefurahi sana
Asante sana
Mimi naomba ungesema angalau cha kufanya kama mzazi mmoja hayupo,maana hii elimu ni rahisi hapa kuliko kutafuta kitabu ,nimepata elimu ila sijapata how to deal with a problem
Kitabu cha page 200 siwezi kukifundisha kwenye somo la saa moja..ukitaka maarifa usikwepe suala la kusoma..kama huwezi kusoma ni ngumu sana kuwa huru ndugu yangu
Kama baba mwenyewe yupo lakini hana ukarbu na watt zaidi ya salamu2
Hilo ni tatizo
Doctor ,mbona mwanangu hunisikiliza zaidi mm kuliko baba ,can you tell me why?
Kwenye malezi kuna kitu tunaita role shifting..inatokea baba anafanya role ya mama na mama anafanya role ya baba..hii huwa haina athari kwa mtoto chini ya umri wa miaka 13 ila baada ya hapo inaweza ikaleta shida especially mama anapofanya role ya baba kwa mtoto wa kiume au baba anapofanya role ya mama kwa mtoto wa kike. Sijajua umri na jinsia ya mwanao lakini ni vema uwe makini kidogo na hiyo role shift kadiri mtoto anavyozidi kukua
pastor ubarikiwe saana leo mimi nimejitambua kwanini niko hivi nmelelewa na mama kwasababu baba alifariki wakati mimi mdogo ila ninayo nafasi ya pili kurekebisha kwa watoto wangu na najitahidi kutumia mbinu na uwelewa ninaozidi kujifunza
Pole sana..ni vema kuwa unaendelea kujifunza ili uwafae watoto wako wasipate changamoto uliyopata..Mungu akusaidie
mtumishi unauwezo mkubwa sana wa kupambanua, kufundisha na kueleweka kwa ufasaha asiye kuelewa nihataki ukweli mafundisho yako sio madongo yakumtumia mtu ila anayepona ni anaesikiliza direct napona mimi zaid
Asante sana..ndio maana kipindi kinaitwa uponyaji wa familia..hapa tunakusudia kuhakikisha familia zinapona
Na wale waliolelewa na Babu na bibi