Hizo hisia ndio zinatufanya tunaambulia maumivu bora wanawake tutumie akili kuliko hisia hii itasidia kuishi na wanaume kwa akili maana wanaume wasasa hivi hawafai kabisa kuishi nao kwa hisia bali tuishi nao kwa akili Mwenyezi Mungu aliwambia waishi na sisi kwa akili lkn tunatakiwa na sisi sasa hivi tuishi kwa akili hatutapata broken heart 💔kwa sana
Yaani hili ni janga yaani

Ni kweli mchungaji mi ni mwanamke wabaina hiyo,
Yani mim kabisa huyu adi naamin wanaume wote wako ivyo ata aseme uki analia simuamin mwanaume