MTIKISIKO; MPINA AIBUA MVURUGANO BUNGENI, AVUTANA NA WAZIRI/ SPIKA AINGILIA KATI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 апр 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 84

  • @phillipomwampeta9863
    @phillipomwampeta9863 Месяц назад +2

    Watanzania hyu Mbunge luhaga Mpina naye ni Moja ya mzalendo anaewakilisha hoja vizuri,,, haijrshi ni kwa msilahi gan, lakin tumuombee,,,anatuwakilisha vyema,,❤

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Месяц назад +5

    Mpina yuko vizuri sana.Huyu ndio mbunge mzalendo mwenye kustahili kuvikwa taji la utukufu wa Mungu.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +8

    Mpina anaakili sana sana me namkubali sana hawa ndio wabunge tunaowataka

  • @victormsafiri9802
    @victormsafiri9802 Месяц назад +5

    Mheshimiwa spika kama mbunge anahoja za msingi kama mheshimiwa Mpina mpeni mda zaidi msiwe mnakatisha watu wenye hoja za msingi.

  • @GOODLUCKSEFANIA
    @GOODLUCKSEFANIA Месяц назад +12

    Mmoja wawaatu Nina wakubali sana ni Luanga mpina kwasababu anajielewa sana anakenga Howard za kibabe sana

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 Месяц назад

      Hana strong analysis skills and poor judgements. .Kwa hiyo hoja zake hazina mashiko!

    • @titusrobert5890
      @titusrobert5890 Месяц назад

      Anazo hoja nzito na zina mashiko sana tatizo mazingira yalivyo hasomi alama za nyakati

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 Месяц назад +2

    Namkubali sana huyu mbunge, sio mnafiki Wala sio chawa kabisa .

  • @user-mj7hj1gn9x
    @user-mj7hj1gn9x Месяц назад +6

    Nakukubari sana mpina ,vizuri sana

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide Месяц назад +2

    Sijawahi kuridhishwa na utendaji kazi wa Huyu speaker 🗣️ wa bunge 😢😢

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 Месяц назад +5

    Cc hawapendi watu wakweli ..Ni ndio ndioo tuuuh kwasababu wao wanavuta mshahara mkubwa sana na walimu na manesi na mapolisi wetu mshahara haupandi na maisha yanapanda 😢😢

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 Месяц назад +7

    Bunge zima ni mpina pekeake mwenye akili! Nyingi.

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 Месяц назад

      Majungu tu hamna kitu hapa

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu Месяц назад

      @@abdulrahmanally1412 hata hivyo nyie waisilamu hamnaga akili

    • @mkhandihealthcare5106
      @mkhandihealthcare5106 Месяц назад

      EWE NDUGU USIWATUKANE WAISLAMU KISA UNAJIBISHANA NA MTU MMOJA, TAFADHALI SANA... ​@@MACHOYATAI-jk6fu

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Месяц назад +6

    Ccm isivyopenda watu wenye akili itampiga majungu mpaka wamtoe bungeni

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Месяц назад +13

    MPINA ANA AKILI SANA BASI TUU ANAFANYA KAZI NA WABUNGE VILAZA WAUZA BANDARI

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +2

    Kwa kweli sisi wanadamu wa Tanzania Mungu atusamehe

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Месяц назад +1

    Mpina nakufuatilia sana

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 Месяц назад +1

    Muhina mungu akupe afya njema🇹🇿📿✌💪💪💪💪💪💪💪🤳

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot Месяц назад +12

    Rais amtumie luhaga ,,luhaga n mtu mwenye akil sana

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd Месяц назад +1

      Rais ndio aseme mashirika yafutwe watu wa hayo mashirika watu walikuwa wanakula hela bure tu😅😅

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Месяц назад

      ​​@@AllyMaya-yj3xdSikiliza na uelewe vizuri hoja ya Mpina. Mpina huko nyuma alishapendekeza mashirika ya umma yasiyo na tija yafutwe. Hapa anapinga mchakato uliyotumika kuyafuta au kuyaunganisha mashirika hayo Waziri amekiuka mamlaka aliyokasimiwa.. Kwamba Kikatiba waziri hana uwezo kisheria na kikanuni kufuta mashirika ya umma yaliyoasisiwa kwa sheria ya Bunge.

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd Месяц назад

      @@sylvestercameo6263 huna taarifa Mpina mwemyewe hana taarifa sasa mi nafanya kazi Wizara flan toka tangazo hilo litolewe mashirika hayajaungana ila wanasheraia wao wapo wanaandaa sheria ya kuyafuta na kuyaunganisha so hizo sheria zikikamilika zitaenda bungeni mbona kuna watu wapo dodoma wana mwezi wa pili sasa wanamalizia kazi hizo

    • @ericmellau3783
      @ericmellau3783 Месяц назад +1

      Kwa bnadan wasivo penda kuonekana wanakosea akik mpina awez kurudi bungen mana watakata jna mapmaa tu😢😢

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Месяц назад +2

    Luhaga anajitambua kuliko mabunge mengi humo ndani

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Месяц назад

    Yaani nchi yetu,kila kitu hua wanasema kitu kiko kwenye mchakato,au majadiliano yanaendelea,uchunguzi unafanyika,lakini la msingi mwisho wa siku ni havieleweki

  • @rehemakayuga7051
    @rehemakayuga7051 Месяц назад +2

    Maelezo ya Spika Hayana Utofauti Na Hoja Ya Mpina Lakini Chakustajabisha Wabunge Hawajataka Kuungana Nae Kwenye Hoja Yake Yaan Unaona Watu Wanaogopa Wataonekana Wapo Pamoja Na Mpina Duu Hili Ni Tatizo KweliKweli

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 Месяц назад

    Nafrah kuona wtu mmeanza kumuelewa mpina na ikumbukwe tuu moja ya vichwa vya magufuli ni ivi apa

  • @marijanimussa
    @marijanimussa Месяц назад +3

    Mwamba sna hyu jamaa

  • @AbdulMajid-kj5bi
    @AbdulMajid-kj5bi Месяц назад +1

    Safi sana mpina

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Месяц назад +2

    Mpina ni mbunge kabambe. Tungekuwa na wabunge kama Mpina Tanzania ingesonga mbele

  • @Felix72282
    @Felix72282 Месяц назад +2

    Mpina yupo sahihi

  • @user-mj7hj1gn9x
    @user-mj7hj1gn9x Месяц назад +2

    Tuna mawaziri waajabu sana

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Месяц назад +1

    Sijui Hawa maprofesa walitoka wapi

  • @josephlyahbo
    @josephlyahbo Месяц назад

    Mwamba huyu don't give up the future is exciting

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Месяц назад

    Sawa kabisa Mpina

  • @Princewaweru
    @Princewaweru Месяц назад

    Na mbunge wa jimbo langu nae anasema ndiyo OOO 😅

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Месяц назад

    Ni kwa kuwa kila kitu Bunge linakubali nduo maana serikali inaamua ,maamuzi yanapelejwa Bungen, wabunge wanapiga makofi wanakanyaga twende

  • @Princewaweru
    @Princewaweru Месяц назад

    Mbiooo mbiooo ndo nini semeni ukwel ndio au hapana

  • @frankmbonde1703
    @frankmbonde1703 Месяц назад

    Wasema ukweli nchi hii huwa hawatakiwi, ngoja uone atakavyopingwa

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 Месяц назад

    Yaan wengne wanasubili chao tu hawana shida kabisa

  • @user-qy2me3yv9j
    @user-qy2me3yv9j Месяц назад

    Mpina eye wengine viaz

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 Месяц назад

    Tulia huwa anamzuia mtu anae ongea ukweli siku zote

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 Месяц назад

    MPINA MMOJA SAWA NA WABNGE KUMI WA CCM

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад

    Huyo kichwa sanaaaa unaposema ukweli huwa hupendwi tunaombak watu wasiojulikana wasimpe simu wala

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s Месяц назад

    Mpina❤❤

  • @user-fm2ly8gj6u
    @user-fm2ly8gj6u Месяц назад

    Mpina❤

  • @moseskita4251
    @moseskita4251 Месяц назад

    Mpina ni mbunge mwenye akili iliyo hai,anajua kwanini yuko bungeni,namkubali sana

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 Месяц назад

    HILI NDIO bunge letu ,wawakilishi wetu wa nchi

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 Месяц назад +1

    Bora ampe cheo huyu akafanye kazi haongeagi mambo ya hovyo Kama nzega vijijini, mpina anaongea mambo magumu

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Месяц назад +5

    SPIKA MWENYEWE YUPO UPANDE WA SELIKALI YAANI HAKUNA SPIKA😊😊😊😊😊

    • @Commentsplus
      @Commentsplus Месяц назад

      Spika ni mzuri sana ongea mengine

    • @clemencejames7279
      @clemencejames7279 Месяц назад

      Speaker yupo vizuri sana ,,,Mfatilie utajua

  • @mclawrencetvmclawrence_4233
    @mclawrencetvmclawrence_4233 Месяц назад

    Tulia Banana... Dah!!!!

  • @KIDORBOYS
    @KIDORBOYS Месяц назад

    Bunge la kinafki sanaa😅😅

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Месяц назад

    Hebu 2025 ifike haraka tuna bunge la hovyo sana.

  • @josephmkami
    @josephmkami Месяц назад

    Pamoja na kuwa hoja haijaungwa mkono, hoja hii Mh Mpina ameshinda kwani Speaker kwa kutumia kauli za mpina ametoa maelekezo kwa Waziri akiamini Mpina alikuwa sahihi na anaungana na ufafanuzi wa Waziri kuwa ni chakato ndio unafanywa sio kuwa madhirika yameishaunganishwa.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 Месяц назад

    Mpina yupo sahihi shida ya baadhi ya wabunge wa ccm hawana uwezo wa kujenga hoja kazi yao ndio hata kama kifungu hakina afya kwa taifa

  • @oiniletiaollesaitabau6048
    @oiniletiaollesaitabau6048 Месяц назад

    Hapa watanzania tunaweza kuwa tumempata mkombozi wa Tanzania mh mpina anakoenda ataokoa wanyonge

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w Месяц назад

    Hari hii kama ni hivyo mm

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b Месяц назад

    Wabunge was safari hii hawapaswi kurudi bungeni tena kuanzia spika mpakawabuge wote wa ccmabaki mapina na Kenani Na. Deo Sangu Watu wachague wabunge wengine maana hawa Wamevuruga sana bunge wako kwa ajili ya pesa wanazopokea siyo kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 Месяц назад

    Anapinga mchakato wa ufutaji

  • @rehemakayuga7051
    @rehemakayuga7051 Месяц назад

    Ipo Siku Watakuja Watu Watafahamu Kwanini Mpina Anasimamia Kile Anachokiamini Maana Mataifa Yetu Haya Watu Wengi Hawakubali Kitu Mpaka Kiuondoke Ndio Utasikia Alikuwa Shujaa Sana

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 Месяц назад

    mpina mbunge wa tanzania

  • @noeljuvenalmunishi75
    @noeljuvenalmunishi75 Месяц назад

    Mpina asikilizwe!

  • @leonardsebunga7187
    @leonardsebunga7187 Месяц назад

    Hili jinamizi la nchi porojo

  • @majaliwawilson9372
    @majaliwawilson9372 Месяц назад

    Huwanataman bunge lisiwepo kwani micanho yawabunge Makin huwa haufanyiwi Kaz yanayo fanyika nimaamuz yao matokeo kilasiku habli nizile zile malalamiko niyale Yale

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl Месяц назад

    Mpina ni shujaa na msema kweli anaishi anayoamini ni sawa kwa watanzania muacheni aseme ukweli

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Месяц назад

    Hawa wabunge washenzi sana

  • @Princewaweru
    @Princewaweru Месяц назад

    Rais ajaye

  • @Princewaweru
    @Princewaweru Месяц назад

    Hivi bungeni huwa wanajadil nn hasa maana mtu anaongea point mnamkatisha hii ni nini MPINA CHAPA KAZI WEWE NI RAIS WA NCHI HII

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Месяц назад

    Yaani ninapo ona mtu anaipigia debe ccm na muona kama chizi

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg Месяц назад +2

    Wajinga wengi hapo wote ndiyooooooo

  • @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
    @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl Месяц назад

    jembe pekeee ni zaidi wapinzani

  • @zeelamipango
    @zeelamipango Месяц назад

    Bunge la kijinga sana utazani matoto ya chekechea an

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 Месяц назад

    Huyu mpina itakuwa ngumu sana kurudi bungeni😂😂

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha Месяц назад

    Mpina ni jembe

  • @VenaEliki
    @VenaEliki Месяц назад +1

    Mpina sisi tunakukubali sana bunge letukamamaigizo mpina hakika we nimbunge unayejielewa sio ndiooooooooo😂😅😅😅😅

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 Месяц назад

    Wabunge wapo kwenye jengo bunge kula miayo na ndyooooo tu Mh Mpina yupo bungeni Kwa ajili ya kuwakilisha wananchi tu