MALEZI KWA WATOTO KUPINGA UKATILI KWA WATOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025
  • Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Mkoa wa Tanga Bi. Mwanaidi Kombo amewaasa wazazi na walezi kuhakikisha wanashiriki kikamillifu katika kupambana na ukatili wa kijinsia kwa watoto wao.
    Bi.Mwanaidi amesema hayo wakati akizungumza na Wazazi pamoja na Walezi katika sherehe ya kuhitimu Elimu ya awali kwa Watoto wa kituo cha Glory To God kilichopo Kata ya Magaoni Jijini Tanga.
    #PingaUkatiliWaKijinsia
    #HakiHainaJinsia
    Video Credit to Tanga TV
    Link: • MALEZI KWA WATOTO WAZA...

Комментарии •