Nitajieni hata swahaba mmoja aliyewahi kufanya Mawlid kama yupo?? Hamkai chini kusoma mnashibikia tu. Toeni aya ya Qur'an hata Moja iliyowaelekeza kufanya Mawlid. Nyinyi Ndiyo mashehe ubwabwa wenyewe.
SHEKH UNAPOTOSHA WATU WW SAWA MTUME KASEMA TUMFATE YY NA MASWAHABA ZAKE MAKHALIFA NAOMBA SASA UNIJIBU WAPI MASWAHABA ZAKE WALIKO FANYA IYO MAULIDI KAMA HAPPY BIRTHDAY
Kuna bidaa ya watu kusoma qur ani katika nikah je iblisi pia aipenda kuliko maaswiy. Na mtume hakulifanya hilo kama ni zuri angefanya katika harusi ya binti yake. Shida yenu hamutaki kusoma mwasoma mitandaoni
@@waziriislam2455 لا تعلم شيء من ديننك babangu wajichora . Hiyo haitamkwi hvyo kiarabu cha wapi hicho njoo nkutwaliisha nahau mtoto mdogo ww . Kisha ndo unijibu
Sheikh nukta ulizozitoa kuwa watu wanasema ni bidaa kumbe sio bidaa,hizo zilianzishwa na maswahaba ambao mtume alituruhusu tukubali/tuungane nao watakayo yafanya, Wewe ya kwako maulidi alioianzisha je tuliruhusiwa tukubaliane na ibada àtakazo zianzisha?
Quran yote ni dawa na mungu achatuambia katika surah fusilat (41) verse 44 na sura Al isra (17) verse 82 na unatuambia mtume s.a.w hakufunza kama fatiha yaweza tibu. Plz stop misleading the muslims plzzzzzzz
"Wasunnatil khulafaai". Khàlifa gani alisoma maulidi? Màkhalifa/maswahaba walikua wakisherehekea vipi siku ya kuzaliwa kwa mtume (s.a.w)? Je mnataka kushindana na watu wema waliopita?
عن أم المؤمنين عائشة رضي الله عنها قالت قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد،،رواه البخاري ومسلم وفي رواية لمسلم من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد
Tunatakiwa tusome sana tusisome tu jujuu tukajiona tumeshafuzu mana kuna hao wanaojiita masheikh kasoma mwaka mmoja tu basi tayari kashafuzu sasa wale waliosoma miaka na miaka nabado wanaendelea kusoma ivi kweli watakua wanapotosha kama waliosoma mwaka mmoja au miezi tu kidogo ambiwa kashakua sheikh sasa waacheni wale wanaosoma maulidi wakaingie motoni na nyinyi msio soma maulidi basi mkaingie peponi mana nyinyi ndo mwafanya kila lililo alalishwa wala hamkosei nyinyi nadhani inatosha nisije nikayasema mwengine bure ambayo hamyatizi
Sio kisicho fanywa na maswahaba ni haram.ikiwa ni haram tukiingia miskitini tuvunje mafeni,tuyachome mazulia.maspika tuyatoe coz maswahaba hawakutuambia wakati wetu tufanye.Tusomeni tuwache ushabiki.
BIDAA ZA WANAO JINASIBISHA NA HIZBU SALAFI ❤KAMA NI VICHWA HAYA BASI SOMENI! TAWHIDI ZIMEGAWIKA SEHEMU TATU WALIPO ULIZWA Hivi Mtume saw amelisema hili????? Hivi Mtume saw ameghafilika nalo????? Hivi Mtume saw amelificha hili?????? Jibu la HAPANA HAKUFICHA WALA HAKUSEMA WALA HAKUGHAFILIKA NALO BASI TUPENI DALILI SWARIHI JUU YA HII ??????????????? wakazunguka wakazunguka Wakaleta aya ( رَّبُّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا فَاعْبُدْهُ وَاصْطَبِرْ لِعِبَادَتِهِ ۚ هَلْ تَعْلَمُ لَهُ سَمِيًّا ) مريم (65) Maryam Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake. Basi muabudu Yeye tu, na udumu katika ibada yake. Je, mnamjua mwenye jina kama lake? WAKASEMA. HII NDO DALILI YA TAWHIDI TATU wakambiwa hebu tuonesheni hizo TAWHIDI TATU HAPO WAKAUNYAUNYA WAKAULIZWA NANI SALAFI WENU KATIKA TAFSIRI HIYO KM NITAWHID TATU ABUKAR RA? OMAR RA? OTHMAN RA? ALIY RA? WAKAJIBU HAPANA WAKAULIZWA KUNA SAHABA YOYOTE ALOSEMA? WAKAJIBU HAKUNA JEEEE KUNA TAABIINA AU TABII TAABINA ALOSEMA JIBU HAKUNA JEEEE KATIKA MAIMAMU WANNE YUPO ALOSEMA JIBU HAKUNA JEEEEE HAWA WOTEE WAMEGHAFILIKA AU WAMEFICHA AU HAWAKULIONA? SASA HIII SIO BIDAAA ? JEEEE HAMUMSINGIZII UONGO ALLAH SW NAMTUME WAKE ???? JIBU IBNU TAYMIYA NDO ALOSEMA KWAIO IBNU TAYMIYA ANAFAAA KUZUSHA KATIKA DINI?????????? JIBU HAIFAIII MBONA MUNASEMA ASOAMINI KAFIRI MUMEPATAWAPI???? WAMESHINDWA KUJIBU NA MWISHO ALLAH KUMFANANISHA NA KIUMBE HIZO NDO BIDAAA POTOVU ZA SALAFIYA.
Sheikhe jambo lolote lililofanywa wakati wa mtume nae akathibitisha hiyo ni sawa na kuwa yeye ndio amefanya.huna hoja ya sharia katika kutetea kwako maulid.Acha bidaa
Inataka uwe na ilmu sana kumuelewa sheikh Muhammad idy
Ukikurupuka na kwa mihemko ya kiuahabi huelewi
Shukran sheikh wangu
Tamta moja hyoooooo
swadakta
Mashaallah nimeelewa vizuri tuu
Nzuri sana. Allah akubaarik sheikh Mohamed Iddi
mwenye enzi mungu akubariki sana......
Bidaa yapendeza zaidi kuwa ibilisi kuliko Maaswiya. Sheikh acha kupotosha umma.
Mpotoshaji ni wew na wala sio shekh letu
Shekh sio kila kitu cha kusoma vyengine akil usi tutukanie mwalm
Nitajieni hata swahaba mmoja aliyewahi kufanya Mawlid kama yupo?? Hamkai chini kusoma mnashibikia tu. Toeni aya ya Qur'an hata Moja iliyowaelekeza kufanya Mawlid. Nyinyi Ndiyo mashehe ubwabwa wenyewe.
Maaashaa Alllah
kuna mafunzo kweli hapa
shukraaaan saana sheikh wetu Allah akuongoze duniani mpaka akhera.
Vizur shehe
SHEKH UNAPOTOSHA WATU WW SAWA MTUME KASEMA TUMFATE YY NA MASWAHABA ZAKE MAKHALIFA NAOMBA SASA UNIJIBU WAPI MASWAHABA ZAKE WALIKO FANYA IYO MAULIDI KAMA HAPPY BIRTHDAY
Kuna bidaa ya watu kusoma qur ani katika nikah je iblisi pia aipenda kuliko maaswiy. Na mtume hakulifanya hilo kama ni zuri angefanya katika harusi ya binti yake. Shida yenu hamutaki kusoma mwasoma mitandaoni
Mpotofu mkubwa ni ww
Mohamed Zeinab أنت جاهل مركب لا تعلم شيء من دينك
@@waziriislam2455 لا تعلم شيء من ديننك babangu wajichora . Hiyo haitamkwi hvyo kiarabu cha wapi hicho njoo nkutwaliisha nahau mtoto mdogo ww . Kisha ndo unijibu
Mohamed Zeinab SAWA NITAKUJA LAKINI LEKEBISHA HAPO NATOA MAELEZO YA KINAHAW
عظيم يا معلمنا
Baqara 166 itakukinaisha
Twayib
Maneno ya kwenye kitabu hicho cha البدع kina vunja hoja zako na wala haitetei hoja zako, hujielewi wewe
Mtume s.a.w yupo ndio akubali ama akatae hii bid'a yenu Leo hii??? Heri uache kuliko kujuta kesho akhira
Mhh hiko kisa ni cha kutunga.
Swali kwenu Kwa hiyo Leo mkifanya mambo yenu Nani anawathibitishia???
Huyu jamaa ni jahili sanaaa mpaka leo hajui maana ya تقرير
@@jumanasoro8903 سنة تقريرية
@@jumanasoro8903 shukraan .halafu wale walifany wakat Wa Wahyi
Sheikh nukta ulizozitoa kuwa watu wanasema ni bidaa kumbe sio bidaa,hizo zilianzishwa na maswahaba ambao mtume alituruhusu tukubali/tuungane nao watakayo yafanya,
Wewe ya kwako maulidi alioianzisha je tuliruhusiwa tukubaliane na ibada àtakazo zianzisha?
Sheikh wakristo wanadai noeli nikuzaliwa kwa yesu ulishawahi kuwanao pamoja katika sherehi ya maulidi ya yesu? mana noeli nayopiya nimaulidi
Hatuwez kuungana nao kwa sababu lakum dinukum waliya diin
Acha uongo nani Leo atakupa تقرير hali ya kuwa mtume hayupo
Hajakwambia anataka kuwa mtume
Huyu Sufi Analeta Ujanja wa kielimu Na sio Elimu.Anajikanyaga hana hoja
Naam Abu Faisal.
Quran yote ni dawa na mungu achatuambia katika surah fusilat (41) verse 44 na sura Al isra (17) verse 82 na unatuambia mtume s.a.w hakufunza kama fatiha yaweza tibu. Plz stop misleading the muslims plzzzzzzz
Shekh ndo nini ubinadamu upo pale pale
na hiyo Man sanna Unaipotosha.
"Wasunnatil khulafaai". Khàlifa gani alisoma maulidi?
Màkhalifa/maswahaba walikua wakisherehekea vipi siku ya kuzaliwa kwa mtume (s.a.w)?
Je mnataka kushindana na watu wema waliopita?
Khalifa gani alogawanya tauheed uluuhiya rubuubiya asmai wa swifaat mnatakakushindana na watu wema
Soma tena ashirafu Ahmed Khan
Hujaelewa
Wewe acha kuwadanganya watu
m.a sheike
عن أم المؤمنين عائشة رضي الله عنها قالت قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد،،رواه البخاري ومسلم وفي رواية لمسلم من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد
Maulid ni sunnah iqraariyya ? Kwa maana unayo sema: hakuna bidaa yote yanayo zuliwa ni sunna
Umeelewa vibaya hadith hiyooo
Ahxante xhekhe letu mawahabi ni kirusi tu ktk uislam
Ww ulichokiandika wala hukielew
Mtume kasema lakin hujaelewa anachokimaanisha
Tunatakiwa tusome sana tusisome tu jujuu tukajiona tumeshafuzu mana kuna hao wanaojiita masheikh kasoma mwaka mmoja tu basi tayari kashafuzu sasa wale waliosoma miaka na miaka nabado wanaendelea kusoma ivi kweli watakua wanapotosha kama waliosoma mwaka mmoja au miezi tu kidogo ambiwa kashakua sheikh sasa waacheni wale wanaosoma maulidi wakaingie motoni na nyinyi msio soma maulidi basi mkaingie peponi mana nyinyi ndo mwafanya kila lililo alalishwa wala hamkosei nyinyi nadhani inatosha nisije nikayasema mwengine bure ambayo hamyatizi
binafsi nimeelewa vya kutosha. elimu ni muhimu sana.
Rahma Shaban
0
This wahabi group(modern day khawarij)hawana elimu hata kidogo,wao kazi yao ni kususua.
Amekwangura ndevu zote katupilia sunnah ya mtume mbali.kisha wakazua bidaa. (Manhaj ni assalafy swaleh )
Yule alisahihishwa na mtume je wewe unayesoma maulidi nani kakuparuhusu hiyo
Wazee wa bidaa kul hal
Ukimaliza hii cheki na hii ruclips.net/video/B0wtlqOHdks/видео.html
lkn c usahihi wa mawlid sheikh barakallwah fyk
Hawaoni.kma.msikiti.wamtume.hakua.namafeni.je.hii
Hwayoni.namzulia.😶
kwani maswahaba walifanya maulid? acheni bidaa zenu.
Sio kisicho fanywa na maswahaba ni haram.ikiwa ni haram tukiingia miskitini tuvunje mafeni,tuyachome mazulia.maspika tuyatoe coz maswahaba hawakutuambia wakati wetu tufanye.Tusomeni tuwache ushabiki.
BIDAA ZA WANAO JINASIBISHA NA HIZBU SALAFI
❤KAMA NI VICHWA HAYA BASI SOMENI!
TAWHIDI ZIMEGAWIKA SEHEMU TATU
WALIPO ULIZWA
Hivi Mtume saw amelisema hili?????
Hivi Mtume saw ameghafilika nalo?????
Hivi Mtume saw amelificha hili??????
Jibu la HAPANA HAKUFICHA WALA HAKUSEMA WALA HAKUGHAFILIKA NALO
BASI TUPENI DALILI SWARIHI JUU YA HII
???????????????
wakazunguka wakazunguka
Wakaleta aya
( رَّبُّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا فَاعْبُدْهُ وَاصْطَبِرْ لِعِبَادَتِهِ ۚ هَلْ تَعْلَمُ لَهُ سَمِيًّا )
مريم (65) Maryam
Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake. Basi muabudu Yeye tu, na udumu katika ibada yake. Je, mnamjua mwenye jina kama lake?
WAKASEMA. HII NDO DALILI YA TAWHIDI TATU
wakambiwa hebu tuonesheni hizo TAWHIDI TATU HAPO
WAKAUNYAUNYA
WAKAULIZWA NANI SALAFI WENU KATIKA TAFSIRI HIYO KM NITAWHID TATU
ABUKAR RA?
OMAR RA?
OTHMAN RA?
ALIY RA?
WAKAJIBU HAPANA
WAKAULIZWA KUNA SAHABA YOYOTE ALOSEMA?
WAKAJIBU HAKUNA
JEEEE KUNA TAABIINA AU TABII TAABINA ALOSEMA
JIBU HAKUNA
JEEEE KATIKA MAIMAMU WANNE YUPO ALOSEMA
JIBU HAKUNA
JEEEEE HAWA WOTEE WAMEGHAFILIKA AU WAMEFICHA AU HAWAKULIONA?
SASA HIII SIO BIDAAA ?
JEEEE HAMUMSINGIZII UONGO ALLAH SW NAMTUME WAKE ????
JIBU IBNU TAYMIYA NDO ALOSEMA
KWAIO IBNU TAYMIYA ANAFAAA KUZUSHA KATIKA DINI??????????
JIBU HAIFAIII
MBONA MUNASEMA ASOAMINI KAFIRI MUMEPATAWAPI????
WAMESHINDWA KUJIBU
NA MWISHO ALLAH KUMFANANISHA NA KIUMBE
HIZO NDO BIDAAA POTOVU ZA SALAFIYA.
@@mohamedumri9611 elimu yako ndogo
@@mohamedumri9611 kuna miamalat na ibadat feni sio ibada watu hawajui ila hawataki kusoma
Mjinga wewe nani kakuambia kwamba mashekh ni hoja
Mpotoshaji mkubwa wewe
Sheikhe jambo lolote lililofanywa wakati wa mtume nae akathibitisha hiyo ni sawa na kuwa yeye ndio amefanya.huna hoja ya sharia katika kutetea kwako maulid.Acha bidaa
X
Xx xx
Porojo