Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 304

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 5 лет назад +1

    Tue na umakinifu tunapowasikiliza Masheikh sio kupuruka na kucoments vitu zisizokua na kichwa wa miguu kisa na sababu Mikao.Sheikh Eid MashaLlahu nakupongeza sana kwa ufaswaha wa Darsa zako zote kwa jumla MashaLlahu.Allahu Baarik

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад

      Kuwa makin wewe na bidaa hapo kinachoelezwa ni bidaa haifai lazima tupinge umma utapotea

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@abaafarhat9191 wewe mwenyewe umepotea na uwahabi wako

    • @elishamange5749
      @elishamange5749 Год назад

      Mawahabi wajinga sana nyinyi

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 7 лет назад +3

    Ajuwae na asojuwa hamuwezi kuwa sawa ...kwahivo zidisheni bidii kusoma dini yenu ...wala sio kukaa kutujadili mawlid na kututukana kila mwaka ...inukeni tuwe sote tumswifu Nabii ❤❤❤

    • @omarikaoneka3258
      @omarikaoneka3258 6 лет назад

      Ooooooh. pole sana ujahili ulio nawo nimkubw zaid ya mno

    • @hassanchuxxe1804
      @hassanchuxxe1804 6 лет назад

      Allaahumma swalli wasallim wabaarik alayhi

    • @sittacharlesmaendeleo778
      @sittacharlesmaendeleo778 5 лет назад

      nasikitika sana elimu yako ndogo alaf hutak kuelimika

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад +1

      Katika maulid mnayofanya mkikusanyika katika kundi zima nitafutie vijana kumi waliohifadhi qur an nzima ukiwapata tuletee feedback kama hutakuta maulid wanayajua na kupiga dufu kuliko qur an tunasema hayo kwa sababu tumeshapitia kwa mashehe wa dizain hiyo na tumeona hayo halafu shirki pia zimo kwenye maulid

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Год назад

    Mwanachuoni abuu iddy Muhammad iidy jishekhe lenye fasaha zake

  • @allyismai3761
    @allyismai3761 5 лет назад +7

    maashaallah wasio kuwa Na elimu wanashindwa kutoa hoja Na vitabu kazi yao eti wanamtukana shekh

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 Год назад

    Masha Allah

  • @athumanally4303
    @athumanally4303 5 лет назад +4

    Iddi mungu anakuona ,mtume mnswalia Siku moja tu yakula pilau,(ulafi tu)

  • @musbahuksa147
    @musbahuksa147 4 года назад

    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك الأستاذ

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 Год назад

    Uzushi unatafutiwa njia ila bado haijapatikana kwa waliosoma wamekuelewa kua ulichokizungumza ni porojo na ni matakwa yako binafsi ila zidi kusoma Sheikh huenda Allah akukuongoa wewe na mimi pia

  • @abamoofficial6289
    @abamoofficial6289 5 лет назад +1

    sijasikiliza mpaka mwisho lakin haina haja ya kusikiliza mpaka mwisho langu me ni hili Tu katika Uislam kuna mambo mengi saana mazury Lakin kama jambo hajalifanya mtume wetu muhamad (S.A.W) wala hajalifundisha basi halimo katika uislam kwan mtu ameefariki anasema Dini imekamilika ya Nini uengeze jambo ambalo mtume wala maswahaba zake hawajafanya Je Wewe kuna ibada gani iliyokuwa bora ababubakar ameisahau ukaja ukaifanya wewe Tuwe na Akili Jaman nimeskia umetaja neno hitma je mtume hajafiliwa yeye kwa nn asifanye hitma usipotoshwe wenzako Dini suo ya mchezo hii Tumieni akili jaman tusiburuzwe

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 7 лет назад +5

    mawlid tutasoma mpaka kufa kwetu ....Na tukicheza siajabu walicheza mahabasha msikiti wa habibu wakiterema na kushaha ❤

    • @mwajumarufu681
      @mwajumarufu681 6 лет назад

      Hadya Haydar 👆 and down and

    • @mwajumarufu681
      @mwajumarufu681 6 лет назад +1

      Mbona jihadi mashekhe huwa amzungumzii.

    • @mikailomar
      @mikailomar 6 лет назад +2

      Mahabasha walicheza na silaha yaani walifanya zoezi la kivita kwa panga na ngao, hakuchezesha viuono na zefe ,,mwapoteza watu kwa uzushi wa bidaa zenu potovu

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 3 года назад +1

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 6 лет назад

    sheikh napenda sana kuskiliza mawaidha yako lakiñ kwa hili sikuungi mkono

  • @zahirqassim1893
    @zahirqassim1893 7 лет назад +3

    sawa shekhe MUHAMMAD IDI
    nimekuelewa.

  • @taliatakhalifa7113
    @taliatakhalifa7113 5 лет назад +2

    Allah kareem

  • @fatmaalliy3547
    @fatmaalliy3547 7 лет назад

    Ushirikina ni m baya sana jamani mnauidhinisha ushirikina wenu wazi wazi Inshalla Allah Mwenyezi Mungu ni mkali wakuhukumu ya qawmu hakika nyinyi mnadhulumu nafsi zenu

    • @yaziduiddi481
      @yaziduiddi481 7 лет назад

      Fatma Alliy unajua shirki nn au ndo unavyosikia mashekhe wauongo wenye vikanzu kama wanataka kuruka

    • @abduhamzasungura1642
      @abduhamzasungura1642 6 лет назад

      Subhana lah Hivii nyinyi Mawahabi Mbona mnaroho ngumu Hivi? kilakitu nyinyi Ni Bidaa Du

    • @bakarygumbo9370
      @bakarygumbo9370 5 лет назад

      Eti ushirikina ni upi wew unaesema huu ni ushirikina?

  • @twalibusaidi5281
    @twalibusaidi5281 6 лет назад +3

    MAASHALLLAAH ALLAH AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUITUMIKIA DINI YAKE , UMETUTOA MBALI SANA KWA UFAFANUZI HUU HATUPINGI KUMB TULIKUWA WAJINGA TUNATUMIWA BILA KUJUA, TUNASHUKURU KWA USHAHIDI UNAOJITOSHELEZA .ALHAMDULILLAAH KWA ALLAH KUNIJALIA KUSKILIZA DARSA HILI NA NIMELIELEWA.

  • @abdallahissa7642
    @abdallahissa7642 5 лет назад +1

    Mashaallah nakupenda sana mwalimu

    • @saidisimba7982
      @saidisimba7982 5 лет назад

      Ndugu zangu waislamu matusi yann mbona tunakosa ustarabu uislamu sio kutukanana jamani

  • @jailanimedia4683
    @jailanimedia4683 5 лет назад +1

    Kama we unauchukia uwahab kama Mimi ninavyouchukia like hapa

  • @yussufsule4793
    @yussufsule4793 3 года назад

    Ole wao wanaoandika kitabu kisha, wakasema hiki kutoka kwa Allah

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 5 лет назад

    Bado sababu hazina mashiko shekh wangu, umeshindwa kudhibitisha uhalali wa maulid, ni shekh kannena

  • @allyismai3761
    @allyismai3761 5 лет назад +1

    sheykhunaaa muhamd iddi usichoke endelea kutupa faida Na kuwapa faida wasio soma

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 4 года назад

    Wew unabwabwaja nin mzushi wew

  • @johrahali583
    @johrahali583 6 лет назад +2

    Huyu mjamaaa zuzuuuu sanaaaa na maskini maneno yake anayo toa kupoteza watu kesho ana mas aaul mbele ya ALLAH .....

  • @muhamadkijuu7224
    @muhamadkijuu7224 3 года назад +1

    kuachia ndevu nisuna wew umenyowa umemuiga Nani afu unaachia sharing mtume amekataz kuachia sharub

  • @libangedi4909
    @libangedi4909 5 лет назад

    Usipoteshe waislamu

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 6 лет назад +12

    Ni hoja dhaifu mno sijawahi kuona mfano wake na aya hiyo suuratun yuunus ya 57-58 haijasema kuhusu kuzaliwa mtume ndio watu wafurahi Bali Nilikuwa zaongelea kuhusu kushushwa quran. Pia mwandishi wa kitabu kaitwa myemen na sio ukweli. Pia hakuna hadithi au aya hata kidogo inayotetea porojo za maulidi aliyoitoa ila katka falsafa tu ya anavyodhani. Kuenzi mababu masheikh kama anavyodai pia ni udhaifu ambao kiukweli sheikh wetu kateleza mno hapo. Maana Quran inamrudi moja kwa moja. "Na wanapoambiwa fuaten Yale aliyoyashusha Allah husema tunafuata Yale waliyoyafanya mababu zetu...." Na hapo sheikh anatetea hoja za mababu wasomao maulidi na ndio maana kimsingi hakuna hoja ya kielimu hata inayodhibitisha maulidi anayoitetea yeye. Mtume s.a.w alifunga jumatatu na hakuchemsha ubwabwa wa viungo na nyama. Ni wapi mnakwenda?? Nimeona ajabu mno kwa makosa yote yaliyomo humu ikidaiwa ni hoja. Mtume s.a.w ameusia ataeishi sana ataona khitilaf nyingi. Maswahaba Allah kawaridhia Wote na kasema katika albaqarah aya ya 137 na annisaai 115. kiwa tutaamini na tunafuata matendo kama waliyoyafanya mtume na maswahaba bado tumeongoka na pia atakayeenda kinyume na mwendo wa maswahaba baada ya kumjia haki akaiona akafanya maksudi Allah atamuelekeza huko kwenyewe mtu hiyo anakotaka. Tuwe makini na akhera yetu. Sisi tumetoka huko pia na tunamuomba kila mmoja Allah amuongoze asifanye ushabiki maana kila mtu na mzigo wake.

    • @hassanchuxxe1804
      @hassanchuxxe1804 6 лет назад

      Huna akili ww

    • @omarymohamed4805
      @omarymohamed4805 4 года назад

      @@hassanchuxxe1804 wewe ni wahabi na mawahabi hawana mienendo ya kiislam Bali itikadi za kiwahabi ni sawa na itikadi za kikristo

    • @hutisaleh2320
      @hutisaleh2320 4 года назад

      Akili zko pia ni dhaifu km maneno yko

    • @ismailiyusufu836
      @ismailiyusufu836 3 года назад

      هبععحعل5ي55

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 2 года назад

      Wewe jamaaa ufaham mawahabi hawajawahi kuwa na heshima na maneno yao ni waropokaji bila kujali vyeo vya mzazi wa wazazi

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f 16 часов назад

    اللهم اغفرله ورحمه ورفع درجته في المهديين وخلفه في الغابرين وغفرلنا وله اللهم افسح له في قبره ونورله فيه يا رب العالمين اللهم يمن كتابه وهون حسابه ولين ترابه والهمه حسن الجواب وطيب ثراه وأكرم مثواه واجعل اللهم الجنة مستقره وماواه اللهم يا رب العرش العظيم. أطعمه من ثمار الجنان كل ماحسب وطاب واجعل اللهم ممن قلت فيهم ويطاف عليهم بانية من فضة واكواب من الذهب والملائكة يدخلون عليه من كل باب سلام عليكم بماصبرتم فنعم عقبى الدار اللهم اعنه على جواب منكر ونكير وعوض عن هذه الدنيا جنات النعيم اللهم كن له بعد الحبيب حبيبا ولدعاء من دعا اليه من المؤمنين مجيبا
    وكتب له في مواهب رحمتك حظا ونصيبا اللهم اجعل قبره خير منزلا اللهم يارب العرش العظيم انقله من ضيق اللحود والقبور في سدر مخضود وطلح منضود وظل ممدود وماء مسكوب وفاكهة كثيرة لا مقطوعة ولاممنوعة وفرش مرفوعة مع الذين انعمت عليهم من المؤمنين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا اللهم نور مرقده وعطر مشهده وطيب مضجعه وانس اللهم وحشته وارحم غربته اللهم يا قاضي الأمور وياشافي الصدور كما تجير بين البحور أجره من عذاب السعير ومن دعوة الثبور ومن فتنة القبور اللهم اجعل عمله صالحا مؤنسا له في خلوته اذا او حشه المكان وفارفه الاهل والجيران ان تكون له انسا وشفيعا وتشمله برحمتك الواسعة اللهم ان كان محسنا فزد في حسناته وان كان مسيء فتجاوز عنه ولقه برحمتك ورضاك وقه فتنة القبر وعذابه وافسح له قبره اللهم اجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعله حفره من حفر النيران برحمتك يا أرحم الراحمين يا الله انك قريب مجيب الدعوات يا رب العالمين ان الله يغفر الذنوب جميعا انه هو الغفور الرحيم

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 года назад

    Dini ya kiislam mwalimuwake ni mtume muhammad s a w nakwavile hakuyafundisha hayo mnayoyatetea yatabakiakua ni uzushi unaopelekea motoni japo mnatafuta ushahidi wakulazimisha kilasiku wakatimwengine mpakauganga mnafanya kuwaroga watu wanaopinga uzushi

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 7 лет назад +1

    kumswalia Mtume saw ni Amry kwwnye Dini❤❤❤

  • @badilamu
    @badilamu 2 года назад

    Ilahi yaa raab watetea bid'ah bila ithbati bil kitabi wa sunnah yanayosomwa hawaelewi watu ndio maana kuhifadhi Quraan na sunnah si muhimu kwao bali nyimbo ndio muhimu madrasa zao

  • @mansourali7094
    @mansourali7094 8 лет назад +2

    Kwa faida tu
    huyo sheikh alie tunga kitabu sio myemen.
    Bali ni msiria dimashq ni sheikh wangu nasoma kwake mpaka sasa kwa sasa yupo hapa Uturuki anasomesha chuo kikuu Fatih sultan mahamet vakiv university istanbul.Asante

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 5 лет назад +1

    hawa ndio wafujaji katika dini

  • @mikidadimseta9006
    @mikidadimseta9006 4 года назад

    Wengi wenu mnaoona kuwa shekh kakosea jifanyia tathmini kuhusu elimu zenu maana naona hata katika sentensi zenu bado Kuna matatizo ya kisarufi kweli mnaweza kuogelea katika bahati hiyo

  • @ngwalimahingika4873
    @ngwalimahingika4873 4 года назад +2

    Huyu jam ndio mpotoshaji halisi kama vile walivyo mayahudi wanaujua ukweli lakini wanaupa nyongo

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 2 года назад

    Mimi wakinijibu kuwa hawajui hayo bac watakuwa hawasomi kweli lkn kama wanayajua basi wanasoma

  • @mustayoo
    @mustayoo 6 лет назад +8

    hakuona mtume umuhimu wa maulid waja kuona ww mzushi n mpotezaji watu,uisilamu ni dini imekamilika haiitaji kuongezwa jambo,kisha sheikh hata salamu yako ni yakizushi,kwenye salamu hakuna taalah

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 4 года назад +2

    Mohamed Idd acha kupotosha watu.
    Kila ibada ina nguzo, masharti, na vitu vinavyobatilisha.
    Je nguzo za maulidi ni ngapi na masharti ya maulidi ni mangapi na ni vitu gani vinatengua ibada ya maulidi

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Год назад

      Hujielewi

    • @RajabuAlly-n9z
      @RajabuAlly-n9z 4 дня назад

      Kma maulidi ni bidaha Ata Qurani pia ni bidaha kwa kuwa mtume ajaunganisha Qurani

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 7 лет назад +4

    Na kumswalia mtume hatumswalii kwa mwaka mara moja ....twamswalia mtume kila siku ...Na ikifika mwaka alipozaliwa ndio twazidi kuisherehekea kwa swala za mtume saw

    • @jumanasoro8903
      @jumanasoro8903 4 года назад +1

      Swali liko hivi, wapi mtume kaamrisha kusherehekea mazazi yake au wapi maswahaba wake walikuwa wakisherehekea?

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 3 года назад

      MAULID NI BID'AA IN CAPITAL LETTERS

  • @jailanimedia4683
    @jailanimedia4683 5 лет назад

    Allah atuepushe na mawahab

  • @allykhamisi5849
    @allykhamisi5849 6 лет назад +1

    kitabu cha mshia na hao ndio walioanzisha Maulidi na kwa mujibu Wa itikadi zao ni makafiri.

  • @SalimSalim-ls9lg
    @SalimSalim-ls9lg 5 лет назад +4

    Hawa ndo wale masheikh ubwabwa

  • @abdullaabdulla-li1ue
    @abdullaabdulla-li1ue 6 лет назад +16

    Nilikusikiliza kwa makini sana unaejita sheikhe lakini bado umeshindwa kuthibitisha kuwa maulidi ni ibada.Bado hayo ni ya kwako

    • @hassanchuxxe1804
      @hassanchuxxe1804 6 лет назад

      Bila shaka ndugu yang u una kichaa

    • @libangedi4909
      @libangedi4909 5 лет назад

      Kweli yako

    • @hassanhussein722
      @hassanhussein722 5 лет назад

      abdulla abdulla apana

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 года назад +1

      abdulla abdulla
      hawa ndo wale wale waliosoma kwa kuinba imba tu wala hakuuliza kwann tunsimba na kupiga ngoms sasa leo ndıo wanahanya hanya!
      hawatupati tena hawa tumeshajua kumbe bidaaa tu ! tumeshajua ,

    • @UNO-xt7we
      @UNO-xt7we 4 года назад

      Sasa wewe usie jiita shekhe kma wayajua maulidi si uyazungumzie @abdulla abdulla

  • @dudubaya3608
    @dudubaya3608 6 лет назад +9

    Napenda Mtu yoyote hapa anipe dalili tu tuache kwa maswahaba na tabiin wao wa mbali,Yaani anipe dalili tu kama Imam Shafi,Imam Malik,Imam Ahmad bin Hanbal walisoma Maulidi

    • @hassanchuxxe1804
      @hassanchuxxe1804 6 лет назад

      Huna akili ww

    • @abdallahidi5177
      @abdallahidi5177 5 лет назад

      usimtukane shekh anapo fafanua usilamu umekataza kumtukana muislm ni ufasik na kupigana nae no uksfir kua na hekim were ulomtukana shekh kwamba hana akili weee ndo huna elimu kasome tanga

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 5 лет назад

      Dudu baya wautolee wapi ivi ndugu yangu yupo anaeweza kubadilisha maneno ya ALLAh

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 6 лет назад

    Sheikh Maslahi na kujipendekeza na kutaka umaarufu,elimu ni ndogo,ni upotoshaji mkubwa,yote ni kutaka umaarufu,kitabu anachosoma ni cha kutungwa kwa uzaifu,la kustaajabu yeye huyu atamfuata sheikh wa yemen,sio kumfuata Mtume Muhammad au masahaba zake,ambao hawakuleta uzushi huu,Allah akuhidi, mkwala wake ni sheikh wa yemen na kiarabu, hajajuwa kwamba Wapo waarabu wapotoshaji,Wapo waarabu makafiri,wakristo na jamaa zao wa kishia,madruzi nakadhalika,yarabi tuongoze katika njia iliyonyooka.

  • @khamisijumamkoka9106
    @khamisijumamkoka9106 5 лет назад +1

    Kumswalia mtume kwa wingi ni swala tano kila siku nakumsifu mtume ni kila baada ya swala sio mwezi mmoja kila mwaka. hizo ni nyimbo nisawa na kaswida za alpha blondy. TUBADILIKENI WAISLAMU TUFATENI SUNNA ZA BWANA MTUME HIZO NDIZO ALIZO TUACHIA.

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 6 лет назад

    2.sababu yako ya kwanza ya kusoma maulid ikusoma dua,kusoma quran.....nk. hii sababu waislam wenzetu wanafanya (kusoma quran, kusoma sira ya mtume s.a.w kwa mlañgo mmoja, kupeana mawaidha, kualikana çhakula nk)kwa mida tofauti sio zote kwa pamoja.na wao kwa mwaka watafanya sio mara 1 na ibada zenyewe ni burudani kwao bila kuhitaji qaswida, mashairi wala dufu ima mskitini/viwanjani

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 года назад

    Sikweli mkiacha kupika wali hao wanaokuja kucheza ngoma wataachakabisa maana hatawao wanavikundivyao vyangoma

  • @zeehbblacqtger8918
    @zeehbblacqtger8918 4 года назад

    Huyu Shekh Ni khulaafi mjinga

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 6 лет назад +6

    3.Sheikh Idd Muhammad, kama kweli Allah (s.w) ameturuhusu tufurahi kuzaliwa rehma, je kwanini maswahaba, taabi, taabi taabiin na imaam wote hakuna aliyesherehekea kuja kwa rrhma hiyo?je sisi tunawazidi wao kwa imaan na mapenzi ya rehma hiyo?

  • @alinaaman4857
    @alinaaman4857 7 лет назад +1

    Myemen TWA fata mungu na mtume

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 4 года назад

    Asslam alyqum mwenye nambaa ya shekhe idd naombaa anisaidie

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh 5 лет назад +2

    Kapangusa ndevu zooote, kaachia misharubu tu. Nasi tumeambiwa nyoeni masharubu fugeni ndevu ili mpate kijitofautisha na mayahudi. Porojo tu hapo.

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 5 лет назад +1

      Yeye ni mtu wa kwenda kinyume na mafundisho, kanyoa kidevu bulb alafu unakaa mbele ya wanaume unazungumza porojo ikiwa ndevu tu zimemshinda

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 5 лет назад +1

    Mm kwa elimu yangu ndogo naona bora tufunge tu kama alivyotuambia ,kuliko kupiga migoma kama vidumbaki na kucheza kama wasanii wa mziki,halafu kuna hadithi inasema jambo ukiwa na shaka nalo usilifanye fanya lisilokupa shaka ,siku hizi kila madrasa ina staili yake ya kucheza ngoma kama wanakuziki..hamuwezi kufanya maulidi bila ya kupiga ngoma na kucheza,mbona mtume na maswahaba hawakulifanya tuje kulifanya sisi..

    • @abdallahomary3414
      @abdallahomary3414 Год назад

      Unaijua ngoma wewe au unaropoka tu iv maziwa na tui la nazi unasema yote ni maziwa una akili kweli ww kisa vina fanana

  • @ahmedsoud259
    @ahmedsoud259 5 лет назад +1

    Kwanzo kma wapenda.....fugaa ndevu utasikizwa zaidi

  • @nassirhassan4998
    @nassirhassan4998 6 лет назад

    Maulid niibada ..ikiwa ucingizi niibada vp maulid kusifiwa mtume s.a.w..Allah awongoze wanao pinga maulid ..mtu haezi kutoka tanzania akaenda kenya kusoma maulid kwa sabb yakufuatia chakula..wanao pinga maulid mar nyingi wanawatukana wat wakusoma maulid at wanafuata chakula simaulid....

    • @kasatumswalleh8935
      @kasatumswalleh8935 5 лет назад

      Ibada hiyo katoka kwa Nani ibada ya kuzaliwa mtume صلى الله عليه وسلم alifunga

  • @abdullatwiphahmad2903
    @abdullatwiphahmad2903 4 года назад

    Waambie hao mawahabi hao shida yako wanakaririshwa tu hawataki kusoma,

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 6 лет назад +2

    Sheikh Idd Muhammed wale wanaoiharamisha na kusema manaoisoma wataingia motoni/kupata dhambi hali ya kuwa masheikh au wazee waliisoma,najibu kwa kusema waliopita walifanya mambo kwa kuyajua/kutoyajua ukweli wake

  • @hajimousa5832
    @hajimousa5832 5 лет назад

    Mimi ningelimuomba sheikh Mohammed ldi asijaribu kugara gara kwenye mchanga ila atoe dalili ya uhakika inayothibitisha kusoma maulid.na wala asitangulize kauli za watu wengine ila atangulize kauli ya Allah kwanza na ya pili ni kauli ya mtume (saw) kama ipo.Surat hujrat aya 1 arudi hapo atawaidhika.

  • @hatibmintanga7325
    @hatibmintanga7325 5 лет назад +2

    Mnaopinga Maulid Je Kumsifu Mtume s.a.w ni vibaya?..

  • @samiryabdallh7104
    @samiryabdallh7104 4 года назад

    Katika mashehe walopitwa nawakati we namba moja

  • @khamisijumamkoka9106
    @khamisijumamkoka9106 5 лет назад +1

    Shekhe hakuna dalili yeyote ulotoa hapo . waislam tukubali kubadilika ikiwa ilmu yako yaufahamu ni ndogo omba mungu akufunulie. kwendakufata mpunga na pesa sio dini hiyo. mtaje mtume kwa utulivu na kumtaja Allah. kumjua mtume nikusoma sio ngoma za maulidi. mungu atwambia TUMEFARADHISHIWA KUSOMA DINI,, SIO MAULIDI.

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 5 лет назад

    je sheikh ushahidi wa kufuga ndevu unao?

  • @jailanirazack3074
    @jailanirazack3074 4 года назад

    Shekhe nakukuabali kinyamaa

  • @subulus_salaam2023
    @subulus_salaam2023 3 года назад

    Sheikh kasome vizuri kisha urudi uongee vizuri.
    MAULID NI BID'AA IN CAPITAL LETTERS.
    Hizo aya unazotafsir je ndivo walivyozifaham maswahaba?????

  • @KassimSaary-q5r
    @KassimSaary-q5r 23 дня назад

    Maulidi niyenu wacheni kupaka watu poda, jaribuni mututafsirie kitabu alokitunga barzanji, sio mtume wala swahaba wake, kwa kiswahili, kama haya tulio tafsiriwa 1.mimba ya mtume ilipoingia wanyama wote waiongea nak🎉uoeana habari🎉

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 лет назад +1

    Wallah dini iko wazi musipoteze watu mtume alisema nimewakamilshia uislam maulid haikuwa fanyeni istghfar

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 6 лет назад +4

    5.Sababu nyiñgine ya kusoma maulid ni kuungana na mtume (s.a.w) kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake
    Sheikh Idd tusitake kushindana/kujifananisha na maswahaba/waja wema waliotangulia.kwani wakati mtume (s.a.w) anaadhimisha,waliokua mbele yake walimuungaje kuadhimisha nae?
    Au yeye mtume (s.a.w) aliwafikishiaje maswahaba ujumbe wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake

    • @taifakutika8505
      @taifakutika8505 6 лет назад +1

      Kazi kweli kweli, ile siku maulidi inasomwa ndio siku aliyo zaliwa Mtume (SAW) ??! hata kama ni Jumapili,??!! tehetehe!!

    • @mussayussuph6138
      @mussayussuph6138 6 лет назад +2

      Chungeni sana nyinyi watu mnaosoma hayo maulidi,kwa hakika nyinyi ni kundi moja katika yale makundi 72 aliyotajaja mtume s,aw,maana kumbe mtume s,a,w alisherehekea kwa kufunga na akaacha utaratibu huo kwa maswahaba na tabiin na tabii tabiin na watu woote wema waliotangulia mpaka ilipokuja kuzushwa aina hii yenu unayoipigia debe Kule misri na mashia wa fatmiyuun katika karne ya saba, baada ya kufa mtume s,a,w,pia sheikh waeleze watu ukweli kwamba imamu suyutwii nae amemnukuu ibun hajari al askalaani,kabla ya maneno hayo unayofanya kuwa ni hoja,tayari ibni hajari alishatanguliza tahadhari kwa kusema .."Asli ya maulidi hayo mnayosherehekea kwa aina hiyo unayaitetea ni bidaa",na ki la bidaa ni upotovu na kila upotovu ni motoni

    • @laziamtiwe3358
      @laziamtiwe3358 5 лет назад +1

      Shekhe upon sahihi maulidi siharam

  • @abdullaabdulla-li1ue
    @abdullaabdulla-li1ue 6 лет назад +2

    Umekusanya watu hapo walipo unaendelea kuwapotosha.Endelea tu kwa sababu ukweli unaujua

  • @muhamadkijuu7224
    @muhamadkijuu7224 3 года назад

    kitabu chamasufi hiko siyo chawstu wasuna afu wew nimtu wanida namtume ametabir watu wanamna hio watatokea makazi yao nimotoni

  • @omaryusuf233
    @omaryusuf233 6 лет назад

    Kama maulid ni kumswalia mtume saw kwani sialifundisha kama watu wakitaka kumswalia wafanyaje . Nyie mmezidi uroho tu . Munaongezza vitu ambavyo kwenye dini havipo . Kama mnajitia ndo kumpenda mtume saw . Inamaana mume washinda maswahaba kwani wao hawakufanya . Munawaigia wakristo kusherekea kuzaliwa kwa yesu . Mpo katika mapambano yakulazimisha bid aa kuwa ni ibada subhanallah

  • @abbasmohamed1020
    @abbasmohamed1020 4 года назад

    Wengine munataka kuongeza viewers, hamna hoja zozote za kisheria na kimsingi

  • @athumanialbawaary3249
    @athumanialbawaary3249 6 лет назад

    Namuomba Allah Akujaalie kila la kheri. Hakika tumestafidi

  • @mohamedseifpaz3248
    @mohamedseifpaz3248 5 лет назад +1

    Daaah eti mbwembwe za dufu??
    Kwl shida ipo

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 5 лет назад +1

    Wewe shekh twakujuwa wewe nimtu wabiriyani huna elmu yoyote. Wawapoteza wenzako kasome mwanzo.

  • @mikailomar
    @mikailomar 6 лет назад +2

    Maulid hayana usahihi wowote wewe Fanya ila usimzulie Allah na Mtume wake uwongo

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 2 года назад

    Hata wao wanasoma maulid kwani wamepata wapi kujua mtume kazaliwa lini,na wapi na kazaliwa na nani?

  • @sittacharlesmaendeleo778
    @sittacharlesmaendeleo778 5 лет назад +2

    nasikitika sana unaejiita eti sheikh hujui hata tasfir ya qur an/ usitafsir qur an kwa matakwa ya nafs yako au zenu

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 6 лет назад +2

    We unasoma kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa rehema.kuna masheikh wenzako leo wanasema wanaadhimisha siku ya kuuliwa hussein kwani alikua mkarim nk.kaa çhini utafakari vizuri
    Angalieni!!

  • @saidshabani8771
    @saidshabani8771 5 лет назад +4

    ndio tulikua tunasoma kwa sababu tulikua wajinga sasa Allah katuongoza sasa ww sema yaliyomo kwenye vitabu vya maulid wacha kupepesa maneno ww

  • @shkjumaa5661
    @shkjumaa5661 5 лет назад +1

    tahira

  • @kasimugullum5862
    @kasimugullum5862 6 лет назад +6

    Ikiwa yeye aliidhimisha kwa kufunga je sisi twataka mfumoupi naje? Kwanini tufanye tafauti na vile alivofanya yeye,sisi twamfuatanani?

    • @kasimugullum5862
      @kasimugullum5862 6 лет назад

      @Abdul Swamad aha ha, ha,haaa, salaamu aleykum sheikh.

    • @hassanchuxxe1804
      @hassanchuxxe1804 6 лет назад

      Umekariri ww kichaa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 года назад

      ## Abdul Swamad
      Hakuna funga ambayo Mtume Muhammad s.a.w alifunga siku nyingi kama Ramadhan tu.
      Amesimulia Mama Aisha r.a Mtume alikua akifunga swaumu ya Ramadhan yote, na hizo funga nyengine kama Shaaban akifunga siku nyingi, na si zote.
      Nyingi maana ya siku hata 16, 17, 18, 19 hata 20. Ila hafungi Shaaban yote wala Rajab yote.
      Acheni kupotoshana nyie watu wa maulid. Maulid si ibada, haina faradhi wala sunna.

  • @vistoryvistory5908
    @vistoryvistory5908 7 лет назад +1

    Kumbe tukonao shekhe mchele

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 года назад

    Bidaa zinatetewa kwa nguvu zote jamani ili mradi zisitoweke

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад

      @Hassan Farid swahaba walitaja au wewe umetoa wapi bidaa hiyo

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад

      Kama kumsalia haina shida kuadhimisha mazazi waachie wakristo hiyo ndo waadhimisha mazaz ya Issa bin maryam

  • @mussakhatibu6753
    @mussakhatibu6753 6 лет назад +3

    kwanini uchukuwe maneno ya Mtu tu kutoka yemen usichukue maneno ya mtume wendawazimu hakuna aina moja.

    • @bakariahmadi9645
      @bakariahmadi9645 5 лет назад

      Kumuwita mwanda wazimu muislamu mwenzako wewe mwendawazimu zaidi

  • @qacmmuhammad2129
    @qacmmuhammad2129 7 лет назад

    الباطل ﻻ يصير حقا بمرور الزمن

  • @mbarakawadh3184
    @mbarakawadh3184 4 года назад +1

    Hiyoo Rehmaa hawakuiyonaa Maswahaba . Mwajaaiyonaa nyinyi Misufiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад

      Hawatakagi kupima hapo we hapo ulipo utampenda mtume kuliko waliouawa kwa ajili yake au walikuwa tayari wafe kwa ajili yake sasa hao wote hawakufanya maulid halafu maulid zenyewe zasisitizwa kuliko swala wangapi wanahudhuria maulid na hawasali ni uislamu huo

  • @kasimugullum5862
    @kasimugullum5862 7 лет назад +11

    maulid kwenye uislamu ni kama vile mbio za mwege, hayana umuhimu sheikh muhammad,tafaddhal acha kupotosha ummah wewe unafahamu vema lkn unataka kutumia ufasahawako kudanganya watu kwa maslahi yako madogo tu ya kidunia, shekhe acha, achakabisa.

  • @mariamubomeza1894
    @mariamubomeza1894 8 лет назад

    gogo anajigonga gongs sasa kwa mini uciadhimishe km yeye mwenyewe

  • @shabanihamisi1146
    @shabanihamisi1146 4 года назад

    Eti kuburudika kwa kuimbaaa mnaleta mambo ya unswala hadith ya 5590 ndani ya sahihi bukhari kasome NA unapigajee alaa za muziki NA wakati mtume amesema nililo kukatazeni liacheni

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 года назад

    Hatababaako kamanimzushi atakwenda motoni maana mtume s a w hajawahikusema uongo

  • @hajjihusseinramadhan2774
    @hajjihusseinramadhan2774 8 лет назад +2

    mawaidha mazuri sana, hicho kitabu nikitaka, nitakipaje? nitumieni jamani tafadhali, wanasumbua huku kwetu hao!

    • @zahirqassim1893
      @zahirqassim1893 7 лет назад

      Hajji Hussein Ramadhan ingia kwenye OVI STORE
      kisha andika jina la hicho kitabu utapata APLICATION nzima ya hicho kitabu.
      au nenda ktk maduka ya kariakoo DAR ES SALAAM yanayo uza vitabu vya kiislam utavipata

  • @ابواسامهالمرشدي
    @ابواسامهالمرشدي 6 лет назад +1

    فما بال الحديث عن الرسول صل الله عليه وسلم عن عائشه رضي الله عنها ان الرسول صل الله عليه وسلم أنه قال من حدث ما ليس في أمرنا هذا فهو رد. الحديث في البخار ومسلم.

    • @mussaally6266
      @mussaally6266 2 года назад

      Hujaijua mana yahii hadithi maalaysa ndio fahuaradduh ingekuwa nikilakitu asingesema mtume maalaysa bali ingekuja man ahdatha fi.amrina haadha fahuaradduh lakini iko maalaysa ukijua kaziyahii maa basi utaelewa ukitojua maa imekuja je kamwe hutoelewa

    • @mussaally6266
      @mussaally6266 2 года назад

      Hukujua mana yahii maalaysa imekujaje ukijua malaisa basi utaelewa

  • @abdullaabdulla-li1ue
    @abdullaabdulla-li1ue 6 лет назад +2

    Hebu na wewe unaetoa sababu kwanini mnasoma maulid na kwenu ni ibada ili uonekane uwezo wako ungetumia kitabu chako ulichotunga kwakuwa nawewe pia unaitwa Sheikhe.

    • @khatibmohd5913
      @khatibmohd5913 4 года назад

      Khatib Mohd kombo kikweli ni vizur watu kusoma maulid pia tunayaenzi ambayo alio yaacha mtume mukhammad aley salam

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 лет назад +1

    Hili tabu feki sijui kalipata wapi,wacha kupotosha.

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 7 лет назад +5

    Sheikh Muhammad odd waislam hawakatai maulid ,watu wanahoji Zile Ngoma na ndani ya shereh za mazazi ya Mtume s,aw umevinukuu wapi ,...lakn pia mbona nyinyi màkhekh ,Aya za jihad hamsemi ,kaz kusema mamboo amboyo hayazndui waislam ,wapen watu aya hızı " sürat Al imran 169:173. Tawba 38_39 : 111: na14_15 na 123 na znginezoo Ebu andaeni masa hizoo uislamu inapiga Vita cku had cku ninyi kaz waislam hawakupata hayo waambie o kama ninyi kweli ni mashekh !!

    • @yaziduiddi481
      @yaziduiddi481 7 лет назад

      Kılıç Özgür kwan kutangaza jihaad ndo uislam

    • @abditz8377
      @abditz8377 6 лет назад

      Sahih al-Akhy

    • @mohammedchamoshi96
      @mohammedchamoshi96 6 лет назад

      Aslam alaykum sheikh Allah akujalie ufahamu mbona katka mada hii sijakusikia.ukisema Allah kasema ktk aya flan au mt. Muhammad kafanya au wale makhalifa wongofu wamefanya ila wasema sheikh alietunga kitabu kutunga kitabu siihoja wpo wliotunga vitabu wengi mpka Leo wamarekan wametunga msaafu wao wakupotosha jee wpo sahihi sisi tunataka utuambie mtume kafanya au khurafau rashiduna wamefanya kumsalia.mtume sii.ngoma

    • @abduhamzasungura1642
      @abduhamzasungura1642 6 лет назад

      Mashaaalah Allah Akuhufadhi Na Maaduwi Wa Mtume Wetu S A W

  • @fahimkhariff7020
    @fahimkhariff7020 4 года назад +1

    Maulidi ni asasi ya ushia na wapenda mlo

  • @mussambilu229
    @mussambilu229 6 лет назад +1

    Shehk maulid inamaana yamkusanyiko sasa zilengoma zanini halafu wewe umesomea tanga tuambie ni aya gani

  • @samiryabdallh7104
    @samiryabdallh7104 4 года назад

    Kwaiyo Kama babako mwanga naww mwanga achaerimu za zamani we jahili

  • @ngwalimahingika4873
    @ngwalimahingika4873 4 года назад

    Huyu Jamaica hiragana hana hoja za msingi ila kupiga makelele na kugomba tu hivi kama ingekua kheri ingeibuka karne ya 3 bidaa hiyo?
    Yaani karne 1 ya 2 watu hawakujua umuhimu wake mpaka pale walivyokuja makafiri wanafiqi Shia kuanza nanyinyi ndio mnakumbatia kua kumswalia Mtume 's a w lo! ! Kweli mmepotea

  • @muhamadkijuu7224
    @muhamadkijuu7224 3 года назад

    mtume amesoma maulidi au suhaba gani amesoma maulidi umekaa hapo kundanganya watu ww umeamuwa kupinga suna